Sarah Dominick Ft Saimon(mnyamaliech) - Mnaonaje (Official Music Video)

  Рет қаралды 18,986

Sarah Dominick

Sarah Dominick

Күн бұрын

Karibu katika Chanel Maalumu ya Sarah Dominick inayojihusisha na Uinjilishaji kupitia nyimbo za Injili
Kwa Mawasiliano wasiliana kwa Namba za sim +255 655 790 316 / +255 753 890 037
Waweza tupata kupitia mitandao ya kijamii
youtube Sarah Dominick

Пікірлер: 91
@Frenk-hk9cn
@Frenk-hk9cn 7 ай бұрын
Nabarikiwa na Nyimbi za kiasiri hasa wagogo,wabena,wahehe na wachaga Mungu awabariki naona upon na Simon Mnyanaliechi kazii ni njema
@SarahDominick1
@SarahDominick1 7 ай бұрын
Ahsanteee saana frenk
@everinachaless6489
@everinachaless6489 3 ай бұрын
Jamani wagogo tuko vizuri sana Nasisi daaaaaaaaaaaah jamani Mungu tubariki wagogo mwote nawapenda sana wagogo wenzangu
@Singamtz
@Singamtz 8 ай бұрын
YUYUYUYUUU LANGA NYEMO NYEEEEE😂😂😂😂MUKUMOTA DU VIBIIII🎉
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
😂😂🙏
@habotv8459
@habotv8459 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana, hakuna kabila lenye melody nzuri kama Wagogo. Tupo pamoja watu wangu tuzidi kumtukuza Mungu 🙏🙏🙏
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
Ahsante sana Mtumishi
@Dalmate00
@Dalmate00 2 ай бұрын
Wagogo, best music in the whole big world. Only love from Croatia 👋👍👏
@SarahDominick1
@SarahDominick1 2 ай бұрын
ahsante sana 🙏🙏🙏
@mtambo
@mtambo 4 ай бұрын
New comer gospel singer 🔥 🔥 shikiria apoapo dadaaaa!!
@SarahDominick1
@SarahDominick1 4 ай бұрын
Ahsante Sanaa
@estermachea3373
@estermachea3373 2 ай бұрын
Dunia nzima wagogo wa tuh na wamasai mko mbinguni
@SarahDominick1
@SarahDominick1 2 ай бұрын
😂😂😂🙏jaman
@KEDIMONIRiCHADI
@KEDIMONIRiCHADI 5 ай бұрын
vinzuri sana ❤❤❤❤❤
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
Ahsante sana
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 4 ай бұрын
Wow wajomba aaa
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo 8 ай бұрын
Uwwww chaliona viswanu yaan safi sana Dada angu wimbo umibariki mnooo🥰🙏🙏
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Ahsanteee sana mdg wangu
@unclestivesanga6764
@unclestivesanga6764 8 ай бұрын
Hongeren sana vijana wa YESU wimbo ni mzur saana lakin pongez kwa zex media kufanya kazi nzur saana yaan viwango viwango saana naona ni NZHUUUULI
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Hahahaha kabsaaa naona ni nzuriìi
@prosperramson
@prosperramson 8 ай бұрын
Good Work, Be blessed
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
Thanks..be blessed too
@JackoboWilliam
@JackoboWilliam 11 сағат бұрын
🎉🎉
@PeterTens-hu9qw
@PeterTens-hu9qw 3 ай бұрын
I like the guy kkk blessed with sweet words,come to Malawi siku Moja kkkk
@SarahDominick1
@SarahDominick1 3 ай бұрын
Waooooooh ahsante saana mtu wa MUNGU ntakuja sku moja
@user-kq4yk5zy7v
@user-kq4yk5zy7v 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana, dada kipenzi unaupiga mwingiiiiii
@SarahDominick1
@SarahDominick1 7 ай бұрын
Ahsanteee sana mdgo wangu
@andrewkayombo644
@andrewkayombo644 3 ай бұрын
namshukuru Mungu kwaajili ya nyimbo za kigogo
@SarahDominick1
@SarahDominick1 2 ай бұрын
ahsante saana mtumishi
@AnitaNghata
@AnitaNghata 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana mbarikiwe wapendwa wangu
@SarahDominick1
@SarahDominick1 7 ай бұрын
Ahsanteee saana mtumishi
@johnkalebi9470
@johnkalebi9470 8 ай бұрын
Hongera Sana. Nice song.
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Ahsanteee sana
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 8 ай бұрын
Hongera mungu akuzidishie baraka
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Aminaaaaah sana jmni
@YONAMABWAIMINISTRY
@YONAMABWAIMINISTRY 8 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kazi nzuri
@SarahDominick1
@SarahDominick1 7 ай бұрын
Ahsanteee sana baba angu
@mossesgaitan3121
@mossesgaitan3121 6 ай бұрын
Ipo powa sana wagogo wenzangu, sema huyo anayemwaga komoni (pombe ) kanifanya nifurahi😅😅😅
@SarahDominick1
@SarahDominick1 6 ай бұрын
🙃😂😂😂ni hatar
@mossesgaitan3121
@mossesgaitan3121 6 ай бұрын
@@SarahDominick1 na hii vizuri Sasa inavyotamkwa 🤣🤣🤣, huyo jamaa na huyu Saral wanaendana mtowage nyingine tena jamani 🤣🤣
@SarahDominick1
@SarahDominick1 6 ай бұрын
Hahaha jaman mosesi ahsante
@SaraaSaraa-i1j
@SaraaSaraa-i1j 4 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@samuelyona7373
@samuelyona7373 7 ай бұрын
Caliona viswanu❤❤❤
@jeremiaabdallah1254
@jeremiaabdallah1254 8 ай бұрын
Safi sana❤
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
Ahsante sana Mtumishi wa mungu
@user-ro6dt7xf4q
@user-ro6dt7xf4q 7 ай бұрын
Hongera Sana uko vizur
@SarahDominick1
@SarahDominick1 7 ай бұрын
Ahsanteee sana ndugu
@Emmanuel-nx1hi
@Emmanuel-nx1hi 7 ай бұрын
Hiyo hiyo 😂😂
@SarahDominick1
@SarahDominick1 6 ай бұрын
Hahaha ahsante
@SaraaSaraa-i1j
@SaraaSaraa-i1j 7 ай бұрын
Mbarikiwe sana sana wagogo wenzangu
@SarahDominick1
@SarahDominick1 6 ай бұрын
Ahsanteee sana
@unclestivesanga6764
@unclestivesanga6764 8 ай бұрын
Jaman walioludia kuangalia mala tatu kuuangalia huu wimbo emb tujuane bas
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Hahaha daaaaah jamaniiii ahsanteee sana ndugu yangu ahsanteee sana mtu wa MUNGU
@Samweliakko
@Samweliakko 6 ай бұрын
Dada.mungu.akubariki.sana.nawapenda.sana.wagogo.nishemeji.zangu
@mamachris6811
@mamachris6811 7 ай бұрын
Nani kaja huku Kutoka TikTok 💃💃💃
@SarahDominick1
@SarahDominick1 7 ай бұрын
Sjakuelewa
@mamachris6811
@mamachris6811 7 ай бұрын
@@SarahDominick1 yaani baada ya matumishi Obama kuipiga TikTok 🙏
@malkialinah
@malkialinah 8 ай бұрын
😢nice nyimbo ipo vzr nimependa nawaombea kwa Mungu mzidi kufika mbali wagogo wenzangu aman 🙏
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Ahsanteee saana
@mikahezron1662
@mikahezron1662 8 ай бұрын
MUNGU azidi kuwabariki. Mpewe Neema ya kuinuliwa. Amen🙌🙌
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Aminaaaaah
@issackmaigegogadi
@issackmaigegogadi 6 ай бұрын
Mbarikiwe 🙏
@SarahDominick1
@SarahDominick1 6 ай бұрын
Ahsanteee saana
@michealkiria4374
@michealkiria4374 7 ай бұрын
Nice job
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
Thanks Mtumishi wa mungu..
@HappyBilali
@HappyBilali 8 ай бұрын
Ongera sana kwa kweli.,mungu akufikishe kwenye malengo yako ya wihimbaji
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Ahsanteee saana
@chidemiijr2202
@chidemiijr2202 8 ай бұрын
Be blessed
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
Thanks a lot
@Valeriamaope-ef5of
@Valeriamaope-ef5of 8 ай бұрын
❤ kazi nzuri wapendwa mbarikiwe sana
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Ahsanteee sana
@safenathpanea
@safenathpanea 8 ай бұрын
Be blessed
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Barkiwe sana
@user-fn2uy4ee2i
@user-fn2uy4ee2i 8 ай бұрын
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Ahsanteee
@LOLOBOY_TZ
@LOLOBOY_TZ 8 ай бұрын
🙏
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Ahsanteee saana lolo boy
@bspgra-ustv4119
@bspgra-ustv4119 8 ай бұрын
Barikiwa sana kwa kazi nzuri
@SarahDominick1
@SarahDominick1 7 ай бұрын
Ahsanteee saana
@EstaAmosi-f8u
@EstaAmosi-f8u 8 ай бұрын
Mungu awape makubwa zaid ya zaid wapendwa
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Smina sana jmni
@mlengulemedia2482
@mlengulemedia2482 6 ай бұрын
Asante
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
Shukran sana🙏
@dianarobert4841
@dianarobert4841 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
Ahsanteee sana
@petrojailos868
@petrojailos868 8 ай бұрын
Injili isonge mbele kwakweli chaliona viswanu😂😂
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
Ahsante sana Mtumishi
@Singamtz
@Singamtz 8 ай бұрын
YUYUYUYUUU LANGA NYEMO NYEEEEE😂😂😂😂MUKUMOTA DU VIBIIII🎉
@SarahDominick1
@SarahDominick1 8 ай бұрын
😂😂😂😂yuwiiiiiiii nye cha Mota nyeeeeee mpaka chikuwona wivu
@Singamtz
@Singamtz 8 ай бұрын
YUYUYUYUUU LANGA NYEMO NYEEEEE😂😂😂😂MUKUMOTA DU VIBIIII🎉
@SarahDominick1
@SarahDominick1 5 ай бұрын
😂😂😂🙏
Engine - Mama Samia Anaupiga Mwingi (Official Music Video)
8:58
Engine Sanga
Рет қаралды 202 М.
SARAH DOMINICK ATIKISA DODOMA TV
41:25
Sarah Dominick
Рет қаралды 822
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 886 М.
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
NYATI -Nindo
4:22
Chamwino Arts
Рет қаралды 47 М.
Sarah Dominick Ft Good Star- NI WEWE For SKIZA SMS 69313279 To 811
3:44
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 544 М.
Rose Muhando -  Ombi Langu (Official Music Video) SKIZA CODE - 5964896
6:05
Rose Muhando Official
Рет қаралды 18 МЛН
Sarah Dominick_MNAONAJE_live perfomance
1:37
Sarah Dominick
Рет қаралды 4,1 М.
Agape Gospel Band  -   Nimeziona Baraka za Bwana ( Official Music Video )
13:49
Agape Gospel Band
Рет қаралды 1 МЛН
Ruth Lameck - Batimayo u Muchiwa (Official Video)
5:40
Ruth Lameck
Рет қаралды 13 М.