Kwa majina naitwa Rizza Robson ni mtoto wa tatu kati ya watoto wanne wa mzee robson alie maarufu kwa jina la ‘Don Rob’.
Пікірлер: 344
@ankojay_3 ай бұрын
PART 03 HII HAPA ISIKILIZE kzbin.info/www/bejne/fnunnp2EdrNsq8Usi=3kaeAKdzTZrOjeFK
@njerijane40833 ай бұрын
@@ankojay_ asante sana. Kaipata pap. 🙌🏽
@ggvv99703 ай бұрын
@@ankojay_ Asante anko jey
@ZaiZainabu-o4p3 ай бұрын
Lisa mwala unajuwa sana mkiambatana na msimuliaji wetu mung azidi wabari katika kazi zenu asant wadau vip hali zenu tumshkuru Mung kwakua katuamsha tukiwa salam leo nimewai duuuh
@lissamwalla5013 ай бұрын
Ameeeeeennnnn ❤
@usterbae3 ай бұрын
Ahsante ankojay kwa simulizi nzuri may God bless you more 🙏🙏❤
@ConsolathaMakala3 ай бұрын
Ankooo hii kali hongera Lisa mwala pia nawe kipenzi ankojay unasimulia utamu na sauti nzuri pokea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yenu kwa kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@zenaathumani81443 ай бұрын
Asante sana ankojy kwa mwendelezo wa simulizi hii bomba kweli kweli 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote wanafamily wa ankojy 😘😘
@AyralAythen3 ай бұрын
@@zenaathumani8144 habali
@marryofficial91433 ай бұрын
Tunaoshindag online kwa page ya anko jay taratibu tutakanyaganaa bs🥺👋👋asantee Mungu kwa sikuu nyingine tena kwetuu sote🙏🏻
@RommyChuwa3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥 hapooo tutaendaa sawaaah jamn Asante anko jay 🥳🥳🥳🥳❣️❣️❣️
@Shadia5443 ай бұрын
Haya jamaniii BINTI SASHA tunaendelea na simulizi yetu tamuu ✌️✌️haya asante tumekaribia humu ndani ✌️✌️
@fatimafoaani22633 ай бұрын
Thanks a lot anko jay pamoja na Lisa kwa story tamu,twasonga mbele mdogo mdogo mpaka tujue hatima ya Sasha ❤❤❤🎉🎉🎉
@elizabethkatoko88673 ай бұрын
Asante jay nilikua nmeboeka kwa kweli ❤❤❤❤❤
@ChristinesifaRuwa-jx4qw3 ай бұрын
Yeah anko mzigo mtamu sana huu 🔥🔥🔥🔥🔥wakuotea mbali aiseii
@hellenwanjiku98913 ай бұрын
Mimi kwanza ukasimama kwa jia yangu napita na wewe nikimrukia ankojeeeii waaah deni atakibatabata inakuwa nga chungu sana rafiki
@Jasmeni-ns9dg3 ай бұрын
Yule mdada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like zenu ❤🎉
@DorcasMuomba-gd3sw3 ай бұрын
Asante anko jay tunakupenda zaidi ❤❤weendeleye hivi aya twende nayo binti Sasha
@Lilian-k4s3 ай бұрын
Kazi nzuri bro jukua maua yako 🎉🎉🎉🎉
@tufaamzee27383 ай бұрын
Daaah simuliz kali sana dada yg lissa hujawah kukosea huna baya ww na anko j wetu
@KhadijaMusa-be8lw2 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah Anko j ubarikiwe na Allah akufungulie milango ya baraka na neema Kila la kheri yarabb
@susansamira81373 ай бұрын
Asante kaka Ankojay hii simulizi nzuri sana na yenye mafunzo ubarikiwe mnooooo ❤❤❤
@Nuru95683 ай бұрын
Like nyingi kwa Anko Jaya na Lisa Mwalla❤🎉
@rebeccazagabe3 ай бұрын
stress zangu zote zimeichiaga kwa simulizi za anko jay.shukrani sana anko mapesa🎧🪑
@LizaLiza-v2m3 ай бұрын
ASANTEEE Lisa wangu tupogoooo lisabebeeeee kpz changu Lisa mwala
@lissamwalla5013 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@fatmasalum83343 ай бұрын
Anko j mwendo wa humu 2😂😂😂😂much love❤❤🎉🎉🎉🎉
@aumuelly29093 ай бұрын
Ahsante anko anko Jay simulizi na wewe lisa mwalla ❤❤❤❤
@salmaebrahim20583 ай бұрын
Ni kweli mzigo mtamu na umepata msimuliaji na mpendwa anaga show mbov 😂😂 hongera Sana
@samychance3 ай бұрын
Leo hata sina comment 😂❤❤🎉
@mumbikibathi70363 ай бұрын
Nime wahii , Mumbi Wa Naivasha ako locked wapi likes
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
❤❤Ankojy Asante ,Sasha nisimulizi tam Sana. team Lizzy naomba likes 5. Mungu awatunze nakuwabalik familia hii,nawapenda🌹 ila demi Hana aibu shetwan huyo🪑🎧🏃
@shukururamadhan67213 ай бұрын
yani wewe nakupenda bire.mipenzi wa simulizi
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
@@shukururamadhan6721Asante 😃😃nakupenda pia❤😁
@YashAbduh3 ай бұрын
Nakuona Dada ake uliwahi sana
@rizmwMwriz-mf2cu3 ай бұрын
Mtamu sana aswaaaaaa❤❤❤❤
@cadeaualiza3 ай бұрын
😂😂😂eti Dunia iwe na minywele ,migu juuu😂Kwani Dunia ina miguu😂,unanicekesha we mkaka
@MwanamisiHamisi-ze3pz3 ай бұрын
Mashallah anko jay Leo unejitahidi kweli 🧡🧡🧡
@MwajumaToh3 ай бұрын
Asante kaka ubalikiwe sana tunakupenda ❤❤❤❤❤❤❤
@aumuelly29093 ай бұрын
Wamekuchezea weeeeeeeeeeeer❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@AshourAli-d3e3 ай бұрын
Waoooo Ank leo katuletea mapemaa 2pate kupikia cha mchan
@RoseMbuya-cn5dg3 ай бұрын
Wadau WA anko jay mpoo naomba like zenu 🎉❤ nawapenda sana
@SpeniaNicolaus3 ай бұрын
Naisi sasha km jini maan sio kwa kufanya kz chap chap ivo km kupika na vinginevyo ay ngjea tusikilize wanaume wanaopenda wadada wazr na nyash nyash😂😂😂😂😂😂
@annahnyansiaboka4513 ай бұрын
Niko na hofu na yy
@FatumaJumanne-p4d3 ай бұрын
Mmeshaanza kujamba moyon na awe jn awanyooshe hao wazee maana nahc yule demi walmtshia pakubwa
@GdHc-ct3dh3 ай бұрын
Ankojay umetisha sana Yan unasabisha mpka nakesha kusikiliza story zako ❤❤❤mungu akubariki sn uzid kutuletea mambo mazur ss watu wa Oman
@مريمكينيا-ش8ح3 ай бұрын
Asante anko kwa simuliz nzur jaman munipe like
@BlessingsKelvin-c9u3 ай бұрын
Nimependa sana my darling bro
@nelly-r6v3 ай бұрын
Asante sana ankojay simulizi tamu❤❤❤🎉🎉🎉
@yusufuheri65243 ай бұрын
Asanteeh studio 🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️
@FadhilunMohamed-je8en3 ай бұрын
Sawa Kaka nakuelewa sana
@TumainOmar3 ай бұрын
Jamani huku nipo harusini anko j nae kasha shusha vitu Hadi nachanganyikiwa mie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HamisaAbdallah-ub1ee2 ай бұрын
Wow na enjoy TU hapa
@sephrinewarenga27453 ай бұрын
Wow,kazi nzuri Kaka .
@hdhjdh7753 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ Asante sana Anko wetu 😘😘😘❤❤❤❤🎉🎉
@SikudhanijumlaSabo3 ай бұрын
Asante sana ankojay wetu ❤
@ElvinLulu2 ай бұрын
Da lisa & anko j nawapenda mnoooo ❤
@PhilipinaPhilipo3 ай бұрын
Ubaya ubwela 😅😅😅😅😅anko nakupenda ❤❤❤
@JanethMgunya3 ай бұрын
Jamani mwenzenu sujaona kipande Cha 1
@SikudhanijumlaSabo3 ай бұрын
Andika binti sasha utaiona
@Khadijaalphan3 ай бұрын
Jamani tumpe ankojay maua yake🌹🌹🌺🌺 sio kwa furaha hii
@WinniePretty-t1v3 ай бұрын
Fangio za chelewa zinakaje Anko Jay 😂😂😂😂Chuma chakavu foku 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥 macho kama mbengu za mapera
@mariamMilha-st3qu3 ай бұрын
Lisa mwalla Ongera hujawayi kutupa bovu ugikutana na Anko Jy nakuwa hoyi🎉🎉🎉🎉
@Khijratkhijrat-eq1px3 ай бұрын
Asante anko jay 🎉🎉🎉🎉
@NeemaSamir3 ай бұрын
Tupe mwendelezo jamn ❤❤❤😂😂
@GraceBakari-wo8ly3 ай бұрын
Naumwa vpenz jmn ila npo ❤❤
@RachalGimson3 ай бұрын
Ivi kuna mtu amechaka sana kwa hii simulizi jamn😂❤
@نظيفهخالد3 ай бұрын
Whay kondoa ankoo ok love u from🇲🇬🇹🇿
@khadijahamisi65583 ай бұрын
Et akijamba dera linachanika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila anko j hapanaa🙌🤣🤣🤣🤣
@JoyceJulius-r6g3 ай бұрын
Hanaga shoo mbovu anko j na Lisaa mwala🎉🎉🎉🎉🎉
@YussraSimba-u6o2 ай бұрын
Ank jay tuletee na simuliz zinazo husu mahusiano ya kina wa dada yakoje mfano tom boy hivi tujue wanaishijee 😂😂🙌🏽
@BethMdoe3 ай бұрын
Ila ankoJay leo umetusemq teamstrong 😅ila umesema ukwel huwa tunasahau kbs kama tuna wanaume😅ila simuliz zako awee hatusahah😅
@IshaeryMwampyate3 ай бұрын
Muendelezo lini jamn anko 🙌🙌🙌🙌❤❤
@joshuaramson85023 ай бұрын
Daa anko jay bana mambo mazuri niaje
@ggvv99703 ай бұрын
Inabamba sana 😂😂😂❤❤❤
@qaltumsaid30953 ай бұрын
Wale wa kuchelewa kuangalia huku tukisoma comment tujuane Kwa like ili tuende sawa ✅✔️ much love from 🇶🇦🇹🇿♥️♥️
@PhoebeWafula-d6c3 ай бұрын
akojay mapesa apo upande wa mahaba shash mupe mupe 😂😂😂 hii tamu
@SifaelDickson3 ай бұрын
Leo tena naona mi ni wa mwisho. Kwa Raha zangu bwana
@ReginaBenjamin-ij2ec3 ай бұрын
Wanawake saw tunapenda San pesa lakn Kuna mida mwanaume ukitanguliz San pesa aaah utapendew izo izo pesa zako mapenz ya kwel ni ngum San kuyapat
Mbona hapo kwa watu wa nje umegusa penyewe kama ulishawahi kukaa huku😂,mungu akubalik sanaa
@gedizwamama3 ай бұрын
Wa 2🎉
@nurafedrick3783 ай бұрын
Huyu sijui ndo lizar angemsikiza huyu mshichana wauswahilini nahisi baba lizar alimwambia huyu dada ahame huko naona ndosababu lkn kwann wewe dada hukumuambia ukweli. Haya mahaba niue huku unaona wivuuu 😂😂😂😂😂etii anaongea na mtu nahujamuulizaa ninani unanuna tuu kazi ipo
@shallylembe38593 ай бұрын
Asante anko kwa simuliz nzur
@IshaeryMwampyate3 ай бұрын
nzur jamn ❤❤❤
@ZainabuIbrahim-u7l3 ай бұрын
Yani ingekua hivi kila siku unaangusha hivi kila siku waa raha tu anko jay
@avelinabaluhya28043 ай бұрын
Mh,wadada salini sana kuomba Mungu ili kujua kama mume wako mtarajiwa ni yupi kama tunavyoona yanayomsibu Sinta,hawa wazazi nao wanachofanya siyo sawa,mapenzi ni hisia jamani siyo tabia wala muonekano na unavyotazama wewe siyo anavyotazama mwingine na hiyo iko wazi
@binthassan91913 ай бұрын
Wenzangu wa uswazi mpo 😂😂😂
@ZulfaRamadhan-s5b3 ай бұрын
😂😂😂watu hamsubiri hata kdg khaaaa uwiii
@HadijaKikal3 ай бұрын
Sema hii sashaa ni motooo
@Sidrasidra6363 ай бұрын
❤❤❤
@ZenabZ-e4w3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@syliviamurondoro46903 ай бұрын
Kweli mzigo mtamu❤❤❤❤
@godsfavour56653 ай бұрын
Wueeeeeeh hivo ndio tulidondoshanga jecinta kama kaa la moto😭😭😭😭😭
@jinaanhkareem36503 ай бұрын
😂😂😂😂😂Hiko kipande cha miguu juu masikio Kati nawaza vampire 😂😂😂
😂😂Ninacho kiona hapa,huyu sasha huenda akawa ni kahaba tena professional,ashalala hata na huyo babamkwe,kwa style hio lazima atumie jina bandia, alafu huyo bamkwe nikama walikua wakijuana kitambo tu,coz alitumia nguvu nyingi kutaka huyo dogo amuoe sasha, huyu mzee ni kama anakauchawi,kupitia huyu kijana wake kushea mwanamke sio Bure i say
@ReginaBenjamin-ij2ec3 ай бұрын
Uyu Sasha Kuna namna yupo na bab mkwe
@Fatuma-e8z3 ай бұрын
🪑🎧 simulizi yamoto hiii🔥🔥♥️♥️♥️
@aminanimbona18613 ай бұрын
Uyu Liza naona atakuja kumumiza Sasha atakuwa amekosa ponge moja la mwanamke
@EstherJoram-gt4lt3 ай бұрын
Pamoja sana anko jay
@Alya-np7gm3 ай бұрын
Jmn jmn, Lissah kiboko anajua adi anakeraaa , na saut ya anko jey ndio kabisaaaa
@Dasu-n7t3 ай бұрын
Nice ❤❤❤
@agnesagnes52883 ай бұрын
ANKOOOO PLZ MR LOVE MAUMIVU MOYONI...😢😢😢
@LispaKadzoKalu3 ай бұрын
Pole yako hadi tarehe 20 mwaya 😅😅😅😅
@agnesagnes52883 ай бұрын
@@LispaKadzoKalu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hdhjdh7753 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ChristianChristianRehema3 ай бұрын
Aposasaaaa🎉😂😂😂😂😂❤
@godsfavour56653 ай бұрын
Shida ni wazazi kukuchagulia mchumba siku yenye kinakuramba utashinda kulaumu wazazi maisha yako yote