SHEIKH KABEKE // MOHAMMAD ISSA KAKURUPUKA KASEMA UONGO MIMI SIO MJUMBE WA ULAMAA

  Рет қаралды 9,179

RADIO IQRA FM MWANZA

RADIO IQRA FM MWANZA

Күн бұрын

SHEIKH KABEKE // MOHAMMAD ISSA KAKURUPUKA KASEMA UONGO MIMI SIO MJUMBE

Пікірлер: 74
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 6 күн бұрын
Sheikh Kabeke Mashaallah umeongea point tupu kwakweli Allah akubariki
@rogersiddy
@rogersiddy 5 күн бұрын
Mtafute shekhe Mohammedy Issa usikilize vzr alipokemea kitendo cha kijana yule alafu urejee comment yako mdau Insha Allah🙏🤲
@farhaanmanji6569
@farhaanmanji6569 6 күн бұрын
Mawahabi wakishajichanganya wanakataana na kukimbiana... Mawahabi hovyo sana. Mioyo yao ina sumu sana.
@TwalijiIsamail
@TwalijiIsamail 6 күн бұрын
Sheikh Kabeke yuko sahihi sana tena sana.
@AllyNgale
@AllyNgale 4 күн бұрын
Uko sawa Shekhe Allah akupenguvu naadhihirishe mwingine atakaekua kama Shekh Muhammadi iddi
@IssaMuhsin
@IssaMuhsin 5 күн бұрын
Allah Awahifadhi masheikh zetu na walinganiaje wooote.
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. 6 күн бұрын
Sahihi sheikh
@Abutwalhamwanyuki
@Abutwalhamwanyuki 6 күн бұрын
Shafii rahimahullah sio ASHAAIRA!!!!
@2003hintay
@2003hintay 2 күн бұрын
Swadakta Asante sana sheikh umesema hakika kabisa huyu ISSA ni Hana hadhi ya usheikg
@radhidimasambiro4620
@radhidimasambiro4620 6 күн бұрын
Mbona kakemea ulitaka akemee vp,mi sheikh wa mkoa huna hata ndevu,na muandishi mwenyewe kazi kuutikia
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 5 күн бұрын
HUU NDIO UPUMBAVU MLIOFUNDISHWA!! KUWAKOSEA ADABU MASHEIKH NA WANAZUONI WANAOSEMA UKWELI.WEWE ALIYEKUAMBIA NI NANI MUISLAMU LAZIMA AWE NA NDUVU?!!! MBONA MNAKOSA ADABU NA HESHIMA HATA KWA WALIOWAZIDI KIELIMU NA KI UMRI!! HEBU JIREKIBESHENI HIZO TABIA ZENU NI MBAYA MNO!! YANI HIVI SASA TAYARI MMEKWISHA JIMILIKISHA MAMLAKA YA KUWAHUKUMU WAISLAMU AMBAO HAWAFUATI ITIKIDI YENU KWAMBA HAWAKO SAWA .ISPOKUWA NYINYI MMEISHAMILIKISHA NA PEPO KABISAA BILA YA UOGA WOWOTE!! HEBU KUWENI NA HASHIMA.NA HESHIMA NI KITU CHA BURE.NA SIFA YA MUISLAMU NI TABIA NJEMA!!
@jacksonhantik7597
@jacksonhantik7597 4 күн бұрын
😅😅😅😅Ndevu ni nguzo ya ngapi katika uislam
@shabanikudra7639
@shabanikudra7639 14 сағат бұрын
@jacksonhantik7597 kabla ya kuuliza ngozo ya ngapi je unazijua nguzo za uislamu?
@ip_header
@ip_header 4 күн бұрын
Shehe kijana amekosea, lkn haina maana na wewe uwaite waislam wenzako Maadui, dini gani mmesoma kama kila siku mnahukumu bila kuzingatia mafundisho wa mtume(s.a.w)
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 5 күн бұрын
Mbona nyie mnamtukana sana sheikh Muhammad bnu abdiliwahab sana matusi yame jaa huko You tuble?
@Natureo-hr9xc
@Natureo-hr9xc 5 күн бұрын
Sheikh Kabeke aache ujanja ujanja.Akubali tu alikosea kuwaita waislamu wenzake maaddui.Sheikh Muhammad Issa amesema yeye ni answar lakini Kabeke bado anamuita Salafi.Kabeke Aache kibri cha cheo na elimu,amrudie Allah.
@sansasansa2504
@sansasansa2504 4 күн бұрын
Hawa wanaojiita masalafi ni kirusi ndio chanzo cha uislaam kugawika hawafanyi kazi ya mtume kulingania wasiokua waislaam bali wao kazi yao wanashambulia waislaam tu kwa matusi na kejeli sielewi ni waislaam wa aina gani chuki zao hazina tofauti na za makafiri kwa waislaam
@isihakamgeta5433
@isihakamgeta5433 6 күн бұрын
Huyu kabeke hajielewi
@khalidibero
@khalidibero 6 күн бұрын
Waislam bana..wenyewe kwa wenyewe hiyo.
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 5 күн бұрын
Mtihani mkubwa
@abushaddad989
@abushaddad989 6 күн бұрын
yan Sheikh unaita Sheikh mwenzako mropokaji kisa kakuita mjumbe wa Ulamaa badala ya kukuita Sheikh wa Mkoa Dah kweli hicho cheo kitam
@seifsaid9905
@seifsaid9905 5 күн бұрын
WEW NI MNAFIKI NAKUCHUKIA MPKA SIKU UNAKUFAAA INSHALLAH MNAFIKI MKUBWA WEW NA TAARIFA HII IKUFIKEE
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 5 күн бұрын
Sasa ukiuliza unamchukia kwa nini ? Utajibu nini....ama unamchukia ni mtu wa Twariqa .... Duuh ni Afadhali unyamaze uangaliye Nafsi yako kabla hujaangalia ya mtu mwengine .... Allah atuongoze na Karne hii yetu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 күн бұрын
​@@muktarkassim6647MAWAHABI NI MAADUI ZETU AFADHALI YA MAKAFIRI WENGINE
@seifsaid9905
@seifsaid9905 5 күн бұрын
@@hilalkhalfan1452 hujui hata hyo unaiyo ita dini yko ni kwer unadin yko na SI uislamu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 күн бұрын
@@seifsaid9905 wewe NDIO huna UJUALO unafata tawi la kiyahudi ili uwe na chuki kwa waislamu SAFI
@HassanDoddy-p2j
@HassanDoddy-p2j 2 күн бұрын
Kakurupuka
@AbdallahKifundo-t5e
@AbdallahKifundo-t5e 6 күн бұрын
Masufi mnamtukana muhammad abdulwahhab nae ni maiti
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 6 күн бұрын
Toa ushahidi wapi sufi walifurahia kufa kwa sheikh wenu Muhammad Abdulwahabi ambaye ndiye muasisi laana yote hii inayouvuruga Uislam leo duniani?!
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 5 күн бұрын
​@@rayisadesigns2646WACHA MANENO YA KASHFA,HIYO HII LAANA UNAYOISEMA KAMA UNAMSINGIZIA SHEIKH MAREHEMU SHEIKH MOHAMEDI IDDI,HAKIKA ITAKURUDIA MWENYEWE!! WEWE ULIONA WAPI MUISLAMU ANA MUITA LAANA MUISLAMU MWENZIWE?!!! MBONA UMEKOSA ADABU KIASI HICHO!! WEWE UNA ELIMU KIASI GANI CHA KUMKOSOA MAREHEMU SHEIKH MOHAMEDI IDDI KATIKA ELIMU YA DINI YA UISLAMU?!! AU WEWE NI MFUATA MKUMBO MSHABIKI WA KUSHABIKIA ILI MURADI NA WEWE UMO KATIKA KUFUTU MASHALA YA DINI?!! ELIMU HII YA KUFUTU MASHALA DINI WEWE UNAYO?!! MBONA MMEKUWA WAKOSEFU HESHIMA NA ADABU KIASI HICHI.WEWE ALIYEKUAMBIA DINI IMEHARIBIKA NI NANI?!! QUR'AN TUKUFU ALLAH MWENYEWE NDIE MLINZI WA MANENO YAKE,HAKUNA WA KUYAHARIBU,KIONGEZA WALA KUPUNGUZA!! NA UISLAMU UKO SAWA SAWA.UNATAKIWA KUTOFAUTISHA UISLAMU NA WAISLAMU.KWA KILA MUISLAMU MWENYE AFYA NJEMA YA AKILI TUNA JUWA MIONGONI MWA WAISLAMU WAPO WENYE TABIA TOFAUTI TOFAUTI LAKINI BADO UKIMUULIZA,JIBU ATAKWAMBIA YEYE NI MUISLAM,HALI YAKUWA TABIA ZIKE ZINA MSUTA HAZIENDANI NA SAMBAMBA NA UISLAMU.SINA HAJA YA KUFAFANUA,NINA JUWA WENYE KIJITAMBUA WAMENIELEWA!! MUISLAMU UNATAKIWA KWANZA UJIPAMBE NA TABIA NJEMA.NA UISLAMU NI DINI YA HOJA!! TENA HOJA ZILIZO WAZI!! MASHEIKH WA KWELI WAPO KWA AJILI YA KUJIBU HOJA ZOTE ZINAZOHUSU MASLAHI YA UISLAMU NA WAISLAMU KWA UJUMLA.MUISLAMU WA KWELI HAWEZI KUWALAANI WAISLAMU WENZIWE!! NA USLAMU SIO KUFUGA NDEVU!! KUFUGA NDEVU NI SUNNA.NA MNATAKIWA KWANZA MJUE NINI MAANA YA SUNA!!! KUNA WAISLAMU WENGINE HAWA KUJAALIWA KUWA NA NDEVU.JE NAO SIO WAISLAMU!! MBONA MNAKOSA HOJA. KUNA MABURUDA WANAONGOZA MAKANISA WANA MADEVU YANAFIKA HADI CHINI YA KIFUA NAO NI WAISILAMU KWA KUWA WANAFUGA NDEVU?!!! WACHENI TABIA KUWAKOSEA HESHIMA NA ADABU MASHEIKH NA WANAZUONI,KWA KUFUATA MKUMBO WA CHUKI WA KUWACHUKIA MASHEIKH WANAOSEMA UKWELI KIELIMU NA KWA HOJA ZENYE NGUVU NA USHAHIDI WA KUTOSHA KWA KUWAKOSOA MNAOWAPENDA.BADALA YA KUUPENDA UKWELI AMBAO ALLAH ANA URIDHIA KWA MASILAHI MAPANA YA UMA WA WAISLAMU WOTE!!
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 күн бұрын
​@@rayisadesigns2646 HAJAWAHI kufurahia muislamu kifo chochote cha MAWAHABI bali tunawaombea watubu hali ya kuwa Ni waislamu na sio kufa katika UWAHABI
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 5 күн бұрын
​@@rayisadesigns2646 matusi yenu yamejaa Kila uchao kwenye comment zenu kibao matusi yanapikwa kwenu na laana mmeileta nyie Kwa kufundisha mambo yasiyo katika dini
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 6 күн бұрын
Muhamad issa kuchambua siasa una elimu nayo, pili kuchambua maswala ya mwezi nnalo pia anaelimu nalo, acheni chuki someni,
@IssaKabelwa-zs2ct
@IssaKabelwa-zs2ct 4 күн бұрын
Shadhir akida yawap jamani hii
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 6 күн бұрын
HUYU SI NDIE ALISEMA MBIO ZA MWENGE ZILIFANYIKA HATA KIPINDI CHA MTUME?
@AliAhmed-b5z8l
@AliAhmed-b5z8l 3 күн бұрын
Ilmu ndogo sheikh wa mkoa
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 күн бұрын
Masufi kazi mnayo
@shabanimussa4269
@shabanimussa4269 5 күн бұрын
xufi baba
@sansasansa2504
@sansasansa2504 4 күн бұрын
Sufi ndio nini?
@gongayaigongayai6346
@gongayaigongayai6346 3 күн бұрын
kasome ww hamna kitu hapa
@r.m.a7570
@r.m.a7570 6 күн бұрын
Mbona watu wanakufuru wengine hamsemi
@SadickMussa-g6h
@SadickMussa-g6h Күн бұрын
Mwenge uliotajwa kwenye Quran mbona umesahau kuutaja?😅
@TwalijiIsamail
@TwalijiIsamail 6 күн бұрын
MUHAMMEDI ISSA HANA LA MAANA KWENYE DINI AENDE ACHAMBUE SABABU YA VITA YA KONGO KIDOGO ATASIKILIZWA.
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 күн бұрын
Wewe la maana ulilo nalo liko wapi😮
@amrennkubila9175
@amrennkubila9175 5 күн бұрын
Muongo sana huyu...K...hana alichofanya..mwanza tofauti na kuleta mizozano na kunyang'anya waislamu misikiti...lini bakwata imefanya maendeleo na wapi..tangu wanyanganye taasis ya waislamu kwa dhulma..wameuza mali za waislamu mpak wamejisahau hata ofisi mwanza hawana wanakutana karibu na choo cha msikit nera
@swedymsoro5007
@swedymsoro5007 6 күн бұрын
Kumbe Tanzania kuna Wanachuoni (Ulamaa) wakubwa! 😅
@SalimAbdulla-q7m
@SalimAbdulla-q7m 6 күн бұрын
SI MANENO MAZURI KUSEMA MMEPOTEZA
@r.m.a7570
@r.m.a7570 6 күн бұрын
Mbona munasema kua n maadui zenu
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 6 күн бұрын
Wote wapumbavu videvu kama wanawake wapinzani wakubwa wa mtume swalallahu aleihi wasalam.
@saadallah6287
@saadallah6287 5 күн бұрын
Ivi nyinyi mnavyo mtukana Sheikh Muhammad bin Wahabi ALLAAH marehemu yupo hai?
@amrennkubila9175
@amrennkubila9175 5 күн бұрын
Hili ndilo lishekh full kibri...na bakwata yao iliotengenezwa na maaskofu
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 4 күн бұрын
@@amrennkubila9175 WACHA CHUKI YA KUPANDIKIZWA.WACHA KUFUATA MKUMBO.HEBU JIREKEBISHENI HIZI TABIA ZENU ZA KUWAKASHIFU MASHEIKH NA MAULAMAA,MBONA MNAKOSA HESHIMA NA ADABU!! MASHEIKH WANAPOZUNGUMZA WAO KWA WAO NYINYI MNACHOTAKIWA KIJIFUNZA KUPIA MIDAHALO YAO, NA KUCHUKUA YENYE FAIDA,YENYE NGUVU YA HOJA!! SIO KUTANGULIZA CHUKI NA MIHEMUKO YA USHABIKI KATIKA DINI,ETI KWA SABABU MNAYEMPENDA ALIEKWISHA WAPENI FATWA YA MAMBO AMBAYO NYINYI KWA UMBUMBUMBU HAMUYAJUI NA HUWA HAMTAKI KUYAWEKA KWENYE MIIZANI KWA KUTAFUTA HAKI NA UKWELI HALISI KUHUSU JAMBO LINALOZUNGUMZIWA KWA MASILAHI MAPANA YA UISLAM NA WAISLAMU.KWA UJUMLA. UISLAMU SIO DINI YA MIHEMUKO NA USHABIKI, WA KUWAKOSEA ADABU MASHEIKH NA MAULAMAA WALIOBEBA DHAMANA YA KUFUTU MAS-ALA YA DINI KIELIMU NA HOJA ZENYE NGUVU KWA AJILI YA KUTUONGOZA WAISLAM WOTE KWENYE NJIA ILIYO YA SAWASAWA ANAYOIRIDHIA ALLAH!! WEWE ALIYE KUAMBIA NANI BARAZA LA WAISLAM WA TANZANIA,NI BARAZA LILILOUNDWA NA MAASKOFU?!! NI NANI HUYO!! NA KAMA KWELI YUPO ALIYEWAAMBIA HIVYO,HUYO MTIZAMENI VIZURI NA MCHUNGUZENI VIZURI!! MWAMBIENI,TUHUMA ZA UONGO NI JAMBO LA HATARI SANA!! PINDI MUISLAM ANAPOTENGENEZA PROPAGANDA ZA KUTAKA KUWAGAWANYA WAISLAM ILI WASIWE WA MOJA,HUYU NI MTU HATARI SANA!!WACHENI TABIA ZA CHUKI,NA IEPUKENI FITINA YA KUWAGAWA WAISLAMU!! NA MIDOMO YENU MUICHUNGE,KUROPOKA MANENO YA KUWAKASHIFU MASHEIKH NA WANAZUONI WALIOCHUKUA DHAMA YA KUWAONGOZA WAISLAM WOTE KWENYE NJIA ZA KHERI.
@allymtito8117
@allymtito8117 4 күн бұрын
Inafaa kufurahi kwa kifo cha mtu wa batili, sema ww hujui kaa usomeshwe
@amrennkubila9175
@amrennkubila9175 5 күн бұрын
Kibli tupu ...bakwat kweli ina Maana ..huyu ndie kiongozi wao hata hekim hana..anasema uongo dhahir ....
@salmaghalib5474
@salmaghalib5474 6 күн бұрын
Wewe hajatukana Martin mbona muongo sana
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 6 күн бұрын
MAWAHABI MTIHANI
@alisaid1347
@alisaid1347 6 күн бұрын
Suratul tawbah Aya ya 65 sio ya 9
@AmirMbuyu
@AmirMbuyu 5 күн бұрын
Amekemea.....ila wewe ndo unakurupuka
@salimmapande4668
@salimmapande4668 6 күн бұрын
Mbona imama Shafi hakuwa na aqida ya Asha'ari?? Shekhe anachanganya mambo
@Aakhar-z3c
@Aakhar-z3c 5 күн бұрын
Tatizo elimu yako ndogo kabeke unapotea.
@ramadhanSwaleh
@ramadhanSwaleh 6 күн бұрын
Peponi tutaingia MAAMUMA. Baadhi ya mashekh wa sasa ni matatizo matupu
@abushaddad989
@abushaddad989 6 күн бұрын
Bora hata umefikiria hivyo , Hawa Masheikh watasubir kwanza
@msowamhokole5028
@msowamhokole5028 5 күн бұрын
Jamani nyie waislam mbona mnagombana sana
@AllyHamran
@AllyHamran 6 күн бұрын
Wewe sio mjumbe wa ulamaa lkini ni mtu wa batwili
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 6 күн бұрын
ila sheikh huna elimu ya sheikh issa ukweli ndy huo ila salafi maiti huwa haisemwi
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 6 күн бұрын
Yani katokea mtu katukana maiti hukumu mnatowa kwa watu woote wa sunah acheni chuki, KABEKE NAHAKUJUI KWA FITNA, UMEDHULUMU WAZEE PESA ZAO ZA HIJA MBONA HUKARUDISHA?
@amrennkubila9175
@amrennkubila9175 5 күн бұрын
Munafik huyu...mwanza kafanya nini...laanatul...Allah....siku zote mnapigania makafir...kuukandamiza uislamu...mmeuza mali zetu...kila siku mnajipendekeza kwao...ndio maana hili suala limeleta utata kwasababu huyo alie dai alikua pale kwaajil ya mfumo kristu...na kabk ni kiongoz mnafik alie katika mfumo kuwanufaisha makafir na mfumo wao pale mawen cty
@RamsoSharif
@RamsoSharif 6 күн бұрын
Kabeke we unasema Mohamed issa Si mwanazuoni? we elimugani au kiwango chako cha Elimu kwani wakazi wa mwanza tunakufahamu
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 6 күн бұрын
Masufi mutaelewa kuwa viongozi wenu ni wajinga na waongo
@abushaddad989
@abushaddad989 6 күн бұрын
yan Sheikh unaita Sheikh mwenzako mropokaji kisa kakuita mjumbe wa Ulamaa badala ya kukuita Sheikh wa Mkoa Dah kweli hicho cheo kitam
@thabitsaidi1507
@thabitsaidi1507 6 күн бұрын
Hawa ndio wanaojiita wana adabu
2 February 2025
12:44
Mohamed Issa
Рет қаралды 10 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
VIPINDI VYA MWISHO VYA SHEIKH ABUU IDDI - MAWAHABI NA WAZAZI WAO
3:01
WALIFURAHIA KWA KUTANGAZA KUFA KWA ABUU IDDI NI WAJINGA TU || Muhammad Bachu
11:21
SAUTI YA MUHABI ALIYEMSHAMBULIA SHEIKH MUHAMMAD IDDI | AOMBA RADHI KWA MUFTI
10:47
KUFURAHIA KIFO CHA MUISLAMU SIO DAAWA YA MTUME, Sheikh Tajir Abubakar
9:26
#RADD : SIWEZI KUFASIR AYA KIBUBUSA /MWENGE UPO // SHEIKH KABEKE
9:15
RADIO IQRA FM MWANZA
Рет қаралды 6 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН