nabarikiwa sana na wimbo wimbo huu hasa ninapokwenda kufanya uinjilisti wa nyumba kwa nyumba. Barikiweni sana sauti ya ukombozikijichi my district church
@kelvinn.unyige50554 жыл бұрын
Shusha nyavu zako chuni, Ee mvuvi wa watufanya hivyo kwa Imani.. watu waokolowemavuno mengi shambani, wavunaji wachacheingia SHAMBANI TUIMALIZE KAZI....Hiki kipengele kinanibariki sana
@EsromMkurubi Жыл бұрын
Hii nyimbo uwa inanibariki sana Mungu Ibariki hii kwaya Amen
@peacemunisi57194 жыл бұрын
Powerful! Truly blessed.
@mercykassile3635 жыл бұрын
Nawapenda bure..mbarikiwe
@emmanuelruben-jv2yv Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@HappnessYohanaRohongo Жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@felistakunganilo48734 жыл бұрын
🙏🙏
@loyceackim42965 жыл бұрын
Ndio. utume tuliyoitiwa tutangaze neno
@fridamasomhe49586 жыл бұрын
Mnanibariki vijana kijichi Mungu awapiganie mkife mbinguni mkaimbe na washindi wengine.mbarikiwe sana
@naftalphillip81694 жыл бұрын
Good music. M arikiwe SYU
@maxwellvangulinja5 жыл бұрын
asante sna . Godbless much love
@agnesskiondo22476 жыл бұрын
fav wimbo
@soloartist_ivanvespalusind16095 жыл бұрын
Good music sema tatizo mpo TZ,ila msijali tutatoboa tu.
@larckybinhaider60505 жыл бұрын
Ivan Vespa hahahahahaaa mpaka waende wap ndo watoboe
@soloartist_ivanvespalusind16095 жыл бұрын
@@larckybinhaider6050 Mimi naonaga tu waadventista wengi wa Tanzania wanavyopendelea miondoko Fulani hivi lakini hii wachache sana tunaielewaga.