Aaah kaka...kumbe kando na kua video director, una kipaji cha uimbaji... Amina
@gloriousnp5 жыл бұрын
Kweli hakuna wimbo bora na mtamu kusikia kama Mdhambi mmoja akitubu Maana malaika juu waimba na kushangilia Asanteni sana KWAYA YA VIJANA KIJICHI 🙏🙏🙏🙏😊👌
@josephinemirondo94204 жыл бұрын
Motomoto🔥🔥🔥🔥 fire fire
@adv.benedictpius4 жыл бұрын
Favorite song of all... amazing song
@lingonico56575 жыл бұрын
kwaya yenu ni ya kipekeyake yan haifanani na kwaya zngine.. hongereni
@ngwalusondo964 жыл бұрын
Sanaaaaaaaaa
@soloartist_ivanvespalusind16095 жыл бұрын
Nakosa cha kusema! Mungu atukuzwe,muende mbele. Van ni mfano Wa kuigwa,unatumia vyema talanta "zako" maana ni nyingi,pengine unyenyekevu wako ndio siri ya mafanikio.
@eduulowassa43472 жыл бұрын
Wimbo mzuri sanaaa…Mbarikiwe sanaa
@magomamarwa10395 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa huduma hii iliyotukuka
@johnblessing89384 жыл бұрын
Motomoto fire 🔥 fire 🔥 fire 🔥
@haulefausta Жыл бұрын
Aminaa! Mungu azidi kuwabariki
@sweetestgospelmelodies57235 жыл бұрын
Safi sana MUNGU atukuzwe kwa wimbo mtamu huu
@reymos85 жыл бұрын
Nilibarikiwa toka siku ya kwanza kuwasikia, hata sasa. Huduma njema
@jobjronline48295 жыл бұрын
MUNGU awabariki (sauti ya ukombozi choir)..an really blessed
@EsromMkurubi Жыл бұрын
Wimbo Bora mdhambi akitubu. kweli Mungu awabariki sana
@petermfungo88585 жыл бұрын
Mungu awabariki sana waimbaji...
@gidionnyangaka89405 жыл бұрын
mzee baba ulitisha sana humu, be blessed.
@erickmsuguli22255 жыл бұрын
Its real a blessing The Arrangement is super
@florencejared31775 жыл бұрын
Wimbo mzuri , mbarikiwe
@raphaelmatiku99985 жыл бұрын
Nzuri sana aisee..
@loyceackim42965 жыл бұрын
Mmenibariki saana na wimbo huuu mbarikiwe sana.
@leskarmeikok8956 Жыл бұрын
Hongera kiongozi nyimbo nzuri
@naomichamba58025 жыл бұрын
Wow, mbarikiwe sanaa wimbo mzuri
@reginavicent40365 жыл бұрын
May God bless u guyz .Mungu akawaimalishe ktk huduma yenu
@BrownMakota-fy1yv Жыл бұрын
Mbarikiwe sauti yaukombozi,na wapenda sanaa
@lisabyampanju9952 жыл бұрын
Awesome
@dorawayega Жыл бұрын
Sooo good I love it ❤️
@mbarikiwambarikiwa64793 жыл бұрын
Amina 🙏🙏🙏
@racheljnicolao36545 жыл бұрын
So proud of you lil bro Vankuva. Mmeimba vizuri sana. Binafsi nimeupenda sana huu wimbo. Mbarikiwe sana!
@josephinemirondo94204 жыл бұрын
Amen
@ngwalusondo964 жыл бұрын
So much blessings
@boniphacebundara75125 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@joshrumi69545 жыл бұрын
What an amazing song! It really blessed me.
@tucasast.josephboko6135 жыл бұрын
Vancuva ur on fire🔥🔥🔥 aisee kazi nzur sana ... kijich ma home land mfike mbali
@joramrugina33832 жыл бұрын
Sasa hivi ni moja kati ya kwaya mbili za kanisa, na sio kwaya ya idara ya vijana. Inaitwa kwaya ya Sauti ya Ukombozi (SUK)
@namsifumaduhumwita24952 жыл бұрын
Ila huu wimbo jaman ni mtamu
@samiapaul5065 жыл бұрын
Amen, the living God shall continue to be praised. Thanks everyone who was part of this blessings, Jack so proud of you little brother (beautiful voice too) love from your sister here UK (Sk) ❤️🙏
@henryhaonga10273 жыл бұрын
Amazing song
@angelonesmo24914 жыл бұрын
Wao this youth choir is really blessed
@joramrugina33832 жыл бұрын
It is now among the two choir at Kijichi SDA, there is Sauti ya Ukombozi SUK(This one) and Kijichi SDA choir. It is no longer identified as Kijichi Youth Choir.
@josephabayo84505 жыл бұрын
God has been praised here.
@josephinemirondo94204 жыл бұрын
Hahaha hahaha it is true
@elihazina93465 жыл бұрын
Am so blessed for sure Mungu aendelee kuwainua
@HappinessJosiah782 жыл бұрын
🙌🙌
@saulgwahula85225 жыл бұрын
What an Amazing song for the one n only God above.