Woow....just woow. The creativity here is a gift. Mungu akazidi kuwapa neema yake ili mumtukuze. Praise God.
@jonathanmnale6627 Жыл бұрын
Naupenda huu wimbo❤
@eligiusnyoni36902 жыл бұрын
Habari kuu ya Yesu Kristo kwamba anarudi Mungu awapiganie sana Kwaya
@barackawithokiswaga2686 Жыл бұрын
Nyimbo zenu zimekuwa kivutio cha Moyo wangu, kuna mahali mnanitoa!! " MUNGU awabariki sana!!" Nawapenda sana,!!
@Mr_Bass_Fw2 жыл бұрын
Amazing sana.,, kwakweli habari kuu imesikika🙏🏽 … Great production too🔥
@abrahambryson47442 жыл бұрын
Aisee Huu wimbo mnanibariki sana God bless you so Muchhhh
@vanprostudio2 жыл бұрын
Asante sana basist katika hii record
@mpehisontv98302 жыл бұрын
Habari Kuu - Yes anakuja pongezi kwa kazi nzuri
@davidthomas29852 жыл бұрын
Wow! Amina sna nimebarikiwa na nimemwona Mungu atupatiae maarifa kwny hii video, utunzi na upangaji wa sauti
@drjohnboniphace61202 жыл бұрын
Bonge la nyimbo ubunifu wahali yajuu Sana huchoki kutizama Wala kusikiaa stayblecd all
@mikemhina96562 жыл бұрын
So Artistic once again... HABARI KUU.
@dodomaadventistchorus2 жыл бұрын
Amen. Jesus is coming soon. Bwana awabariki Sana. Everything is done to the best level.🙌🙌🙌👏👏👏👏👏
@vanprostudio2 жыл бұрын
Amen
@maxwellvangulinja2 жыл бұрын
Mungu bariki kazi za watumish wako. Aminaaa....Top notch quality
@phiniasmanoko29622 жыл бұрын
Very very creative,, congratulations 👏🎉
@rebeccamagomere92152 жыл бұрын
🙌🏻🙌🏻🙌🏻 wimbo unavutia sana, ubunifu mwingi na mzuri ujumbe safi sana. Mbarikiwe
@kelvinmwakalebela2 жыл бұрын
wimbo huu ni mbaraka , nimebarikiwa sana Mungu azidi kuwabariki..🥰
@gideonsafiel59762 жыл бұрын
Joram&Job mwambie bro God is great. Sauti Ya ukumbozi inanibariki nikiwa Sudan.
@stevenbamba74892 жыл бұрын
Wonderful and Inspiring Song...AMEN SUK
@andrewmnyone47562 жыл бұрын
WoooW.... KWAYA YA SAUTI YA UKOMBOZI Motooooo..... Nimebarikiwa sana kuona kazi ya Mungu inasonga mbele kwa kasi.... Video nzuri ...ubunifu mwingi.... Mungu akubariki sana Vankuva
@vanprostudio2 жыл бұрын
Asante sana mwanakwaya wetu
@mrpromeshacky58532 жыл бұрын
It is well kuva I like it
@ahmedsabu76602 жыл бұрын
Habari kuu🎁🎁🎁
@rachellemi20392 жыл бұрын
kazi nzuri.....ubarikiwe
@kibangujuusdachurch2 жыл бұрын
a masterpiece filled with THE EVALASTING GOSPEL. GOD Bless all the talents used to Glorify Him
@etvmtazamemungu28902 жыл бұрын
Bwana awabariki mno kwa ubunifu
@lilamandu25132 жыл бұрын
Amina na Amina tena. Watu wakabarikiwe na ujumbe lakini pia na kazi nzuri kwa utukufu wa MUNGU
@vanprostudio2 жыл бұрын
Muimbaji wa besi katika hii recording Mwl lila Mandu
@johnnewland99102 жыл бұрын
Amen
@EsromMkurubi Жыл бұрын
Mungu awabariki sana hahah jamani Mkovizuri sana watumishi Bwana
@happyswai35022 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
@marwachris2 жыл бұрын
Kweli hii ni Habari kuu
@shadrackorinda13082 жыл бұрын
Very good
@frankibrahim39022 жыл бұрын
Nasikiliza sijui ni mara ya ngapi.
@elizabethdaud82932 жыл бұрын
Amina
@namsifumaduhumwita24952 жыл бұрын
Great creativity 👏👌👍🙌💯🙏
@samwelmwazini2 жыл бұрын
This is a blessing.... mbarikiwe sanaaaa
@themessengertz12372 жыл бұрын
Ha ha ha aa Woow Brother Vankuva director mbunifu sana , huu wimbo niliupenda long time ila this video Mmeupiga Mwingiiii, Mbarikiwe na BWANA
@phyniacerungu53682 жыл бұрын
Kusema kweli video hii nimeitazama na kuirudia zaidi ya mara 20 na bado macho yanatamani kuzidi kuitazama tena na tena. hongereni san waimbaji kwa kuvaa uhusika wa ujumbe uliomo katika wimbo huu. zaidi kongole nyingi sana kwa director wa video hii, ubunifu mkubwa mno, picha zilizopigwa ni kali mno, setting ya maana......aiseeeeeeee........director uko na nafasi kubwa sana kule mbinguni 😍. Mungu azidi kukuinua na kukupa maono na ubunifu kwa kazi za mikono yako na tena zip[ate kibali machoni pake. once again.....SAUTI YA UKOMBOZI Mungu awabariki sana. 👏👏👏👏👏👏👏🙏
@odstainmedia58432 жыл бұрын
Amen.. Great news indeed, the King is coming 💪
@soloartist_ivanvespalusind16092 жыл бұрын
The director is genius
@ThulaniPrince4 ай бұрын
Aminaaaaa
@NahashMwathi2 жыл бұрын
Beautiful song! God bless you!
@jeremiahmogayzo1248 Жыл бұрын
So wonderful 🎧
@dr.edwingeorge98372 жыл бұрын
"Habari kuu - mfalme anakuja" a song full of transforming blessings.
@vanprostudio2 жыл бұрын
Blessings
@isaacnicolao56842 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Mungu awabariki sana
@vanprostudio2 жыл бұрын
Shukrani big bro
@willygadi22172 жыл бұрын
Nice👍
@frankibrahim39022 жыл бұрын
Mbarikiwe
@abrahambryson47442 жыл бұрын
Bro Vankuva Keep it up I love the creativity👏👏🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥