PLAY BOYS ( TATTOO ) HEMEDY CHANDE / TONNY TATTOO / M2

  Рет қаралды 508,873

Classic films tz

Classic films tz

Күн бұрын

Пікірлер: 712
@Kimwana255
@Kimwana255 5 ай бұрын
Napenda sana kuigiza jamani simuniite nije😂😂😂😂
@mohammedmussa4474
@mohammedmussa4474 5 ай бұрын
Njoo
@classicswahiliimage7496
@classicswahiliimage7496 5 ай бұрын
Karibu tutafute
@Kimwana255
@Kimwana255 5 ай бұрын
@@classicswahiliimage7496 kweli.munapatikan wap
@jacksonseleman3160
@jacksonseleman3160 5 ай бұрын
Watakudinyaaaa
@Kimwana255
@Kimwana255 5 ай бұрын
@@jacksonseleman3160 ndio unacho waza icho 😏😏
@MakonoJr
@MakonoJr 4 ай бұрын
Daah bro hemmed🎉namkuli sana huyu jamaa ila sm ilizingua kidogo so naombeni like ata 5 tu jamani😅😅😅
@KizengaRhandavanaMonusb
@KizengaRhandavanaMonusb 5 ай бұрын
Mimi mukongomani wa kwanza 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 likes jameni
@deborahmidiburo3541
@deborahmidiburo3541 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤congo
@EmmanuelJames-gm6mv
@EmmanuelJames-gm6mv 4 ай бұрын
😊​@@deborahmidiburo3541
@LydiaOrty
@LydiaOrty 24 күн бұрын
We are in this together 🤣🤣🤣🤣
@IreneRio-k2f
@IreneRio-k2f 4 ай бұрын
Nimeenjoy kuangalia hii movie hemed nakupenda sana naninapenda kaz zako nataman namm ningepewa kipaji kama chako 2fanye kaz pa1 jamon😢ila love you sana❤
@joycemhina8293
@joycemhina8293 5 ай бұрын
Dah Hemed na timu yako mko vizuri sana tunainjoy Sana na move zenu big up endeleeni kutupa maajabu hasa movie za lomantic
@tariqdasulley
@tariqdasulley 4 ай бұрын
One of the my favorite movie ever 👏🏽👏🏽
@mrsabdul-mz8hh
@mrsabdul-mz8hh 5 ай бұрын
Ah wanawake sisi😢😢😢😢 Mungu tuonyeshe njia sahihi😢😢
@IteritekakellyKelly
@IteritekakellyKelly 5 ай бұрын
😂
@cliffordluanda
@cliffordluanda 5 ай бұрын
Tonny respect Sanaa bro appreciate upo gud bro ududu nimwingi sanaaa wew mnyamwezi Sanaa kiufupi salute bro nakubar sanaaa ududu amazing
@onesmongulo3770
@onesmongulo3770 5 ай бұрын
Tonny akiri una et umalaya tu kuoga aaah😂😂😂😂❤❤❤
@irenehebuka3218
@irenehebuka3218 5 ай бұрын
Kelele ya kwanza kwa mshangazi😂😂😂
@FrankLuhaha-dt5sh
@FrankLuhaha-dt5sh 5 ай бұрын
Daaaaaaaa hiviii vijamaaaaa n visengeeee kweliiii 😂😂😂😂😂😂 tonny
@HanifahJuma-pk5yj
@HanifahJuma-pk5yj 5 ай бұрын
M.2 Ww kiboko kazi nzuri Sana hongera Sana
@Minnahcute
@Minnahcute 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂dozi ya gono na UTI😂😂Ila tonny
@DanielwabahambaBarondashabani
@DanielwabahambaBarondashabani 5 ай бұрын
Nahomba likes zangu mimi wa pili kutoka Congo 🇨🇩
@Neemahashim12
@Neemahashim12 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂ila uyu rafiki wa Tony 🎉🎉🎉daah
@SallyWarange
@SallyWarange 4 ай бұрын
Mapenzi yanauma sana isipokuwa tamaa zawabaume tu
@sishamusic
@sishamusic 5 ай бұрын
Naomba kufanya kazi na wewe please classic film
@CREEDKIDD
@CREEDKIDD 5 ай бұрын
Daaaaah uwaga nakubali san wanang uwaga muna n feeling kinomaaaah yan daaaaaah adii na wish kuja Tz kuwahon ❤
@mezadawa5306
@mezadawa5306 5 ай бұрын
Jamani mapenzi kweli hayatabiliki unayependa kwa dhati huthaminiwi , inaumiza sana . CHANDE na timu yako hongereni sana .🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉..
@DuduBoysSilvester
@DuduBoysSilvester 5 ай бұрын
Tony Tony Tony Acha kunichekesha Ety Muuza Uji Hawajasahau Sukar Salute Brooo
@SaidaKimea
@SaidaKimea 2 ай бұрын
Hahahaja😂😂😂
@fey-ge9pm
@fey-ge9pm 5 ай бұрын
Napenda sauti ya sabra❤ pia n mrembo
@MarishAbdallah
@MarishAbdallah 5 ай бұрын
Nimependa hiyo style yaku x change number ❤ 😂😂😂
@ibrahimkisonga8487
@ibrahimkisonga8487 5 ай бұрын
M2 kipaji kisicho onekana kaza kaka umenenepa ila uwezo wako mkubwa sanaaaaaaa akuna kuma yoyote bongo moivie uko real😊😊😊😊😊😊😊😊😊 umeuaaa sana we siyo bishoooooo kumamake
@mohammedmussa4474
@mohammedmussa4474 5 ай бұрын
Asante sanaaa
@ChausikuMichael-qw2gu
@ChausikuMichael-qw2gu 5 ай бұрын
Vijana wahovyo sana hawa😂😂😂
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 5 ай бұрын
mungu naomba unilinde na tamaa zakimwili nilizike na mume wangu tu nampenda sana mume wangu ❤❤❤❤❤
@rizikisam6481
@rizikisam6481 5 ай бұрын
Amina kipenzi ❤️
@VictorBugobola
@VictorBugobola 5 ай бұрын
❤❤❤hongera mpendwa ktk BWANA... endelea kuwa na Hofu ya Mungu
@JeanBatistaNshemezimana
@JeanBatistaNshemezimana 5 ай бұрын
Uko Salam lakini Maneno Yako Ni Maatamu🎉
@CharlotteMuyenga
@CharlotteMuyenga 5 ай бұрын
Amen Amen 🙏🏻 I’m so proud of you 👏
@RashidiKaulika
@RashidiKaulika 5 ай бұрын
Uwezi
@DeboraTege
@DeboraTege 5 ай бұрын
Nampenda saana hemedy jman kila mov zake huw ziko pouw❤❤❤
@directormarsha
@directormarsha 5 ай бұрын
Hatari sana hii kazi imekaa pouw comedy moja isiyo umiza wala kuchosha Kazi imekaa pouw 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@Issa22680
@Issa22680 5 ай бұрын
Hemed chande unafanya kazi mzur mno Allah awabarik san na awape kila lenye kher amiin
@JescaMshana
@JescaMshana 5 ай бұрын
Nice movie hemedy im your big fan since day one big up
@JosephinaKimbe
@JosephinaKimbe 5 ай бұрын
Nakupenda sn we mkaka hemed yan napenda sn kutizam movie zk❤❤
@DeboraConstantine-op1nt
@DeboraConstantine-op1nt 5 ай бұрын
Kitu kikali Sana unajua kutufunza chande wetu wadada tuwe naakiri jamn uwiiii 😢😢
@afya_yako
@afya_yako 4 ай бұрын
ooyaaaa,na mimi natafta lishangazi lenye midolars
@Skyglory454
@Skyglory454 Ай бұрын
Wew unaz
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 5 ай бұрын
Hiyooo ndooo.maaan halisi ya play boy😅😅😅😅
@mirandahsteves641
@mirandahsteves641 5 ай бұрын
Kuna watu wapo wanayo maisha ya hivi yan😂😢😢
@fey-ge9pm
@fey-ge9pm 5 ай бұрын
Mnaosema huyu dada hajui mna yenu mxeew😏
@David-yw7id
@David-yw7id 4 ай бұрын
This is movie inachekesha xan 😂😂😂 eeeeh wakali san play boys ❤❤❤ 🇧🇮🇧🇮
@HagaiKavano
@HagaiKavano 4 ай бұрын
Mungu anajib mambo yetu hakika amekuckia na atakulinda 🙏 🙏
@LylahMrombo
@LylahMrombo 5 ай бұрын
😂😂😂mwanamke mjinga km hawezi ku2lia n mpenzi mmoja atachezwa 2 big team I love it 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿mashem
@reymathomas1562
@reymathomas1562 5 ай бұрын
😂😂😂 usitutukane hivyo
@LylahMrombo
@LylahMrombo 5 ай бұрын
@@reymathomas1562 ume2kanwa n nmesema hlo n funzo kwa wengine
@estermpare4078
@estermpare4078 5 ай бұрын
Uyu demu wa chandee hamnaa kituuu kabisaaa !!
@AbdulyIbrahim-z3b
@AbdulyIbrahim-z3b 5 ай бұрын
hahaha hahaha ujinga mtamm,🔥🔥🤫
@AbdulahiChatir
@AbdulahiChatir 5 ай бұрын
🇲🇿🇲🇿mozambique moja naombeni like zangu wadau
@BritneyLwongola
@BritneyLwongola 5 ай бұрын
Kweli chande mkeo hajui kabisa kuinginza hana romantic 😅
@leonardsimoni804
@leonardsimoni804 5 ай бұрын
Waoooo jmn movie zenu tamu sana
@TithoYesse
@TithoYesse 5 ай бұрын
Uyo dad umefel chande kuigiza hajui kabisa
@agnessezekiel
@agnessezekiel 5 ай бұрын
Kumbe naww umemuona yaan yupo yupo mmh
@MashaMbwana
@MashaMbwana 5 ай бұрын
Kweli tena wanawake wote wapo vzr ila huyu bado sana ajitahid tu
@salomerobert5241
@salomerobert5241 5 ай бұрын
Muacheni jamani taratibu hakuna alieanza anajuwa kabisa
@BintHassan-o1y
@BintHassan-o1y 5 ай бұрын
Acheni kumkejeli😢😢😢uwenda ndo mwanzoo yuwafunzwa...hakuna alozaliwa akajua jmani
@Nurahsaleh
@Nurahsaleh 5 ай бұрын
Mwanamke wa hemed atqpata shida sanaaa 😂😂 ataliaaa maana kila demu anakiss
@JafariAthumani-p3i
@JafariAthumani-p3i 28 күн бұрын
Nimependa ushawishi wa rafiki yake sonny Jafari from 🇺🇸
@EtongaBokasa
@EtongaBokasa 25 күн бұрын
Hemedy anajieshimu sana yani kama uko natabia iyo yakuto kua msaliti wandoa yani uko vizuri sana kabisa nakupenda kakaangu unajuwa igiza sana ukuwe mfano kuwanaume
@RajabuRojah
@RajabuRojah 5 ай бұрын
Hemedy m nakkbl sn kaka ila umezngua k2 kmj uyo mke wk apn bn an yupo km mjeda at anavyoongea daaah n mciba owa chande sie tunamtaka Yule WA kwny first love owa weeee Yule ana balaa❤❤❤
@lilycruzy4716
@lilycruzy4716 4 ай бұрын
😂😂😂 yule ni chumaa
@TantineZuzu
@TantineZuzu 5 ай бұрын
Big up sana kwa kazi nzuri sana 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮
@Massoud-x5u
@Massoud-x5u 2 ай бұрын
Hemed uyu kibong tunaomba awem kweny movie zako nying man nikomedia mzur anachangamsha san
@Makei-c6y
@Makei-c6y 2 ай бұрын
Me mwenyewe nampenda huyo kaka bonge
@TharcisseMinani-sn2ui
@TharcisseMinani-sn2ui 5 ай бұрын
Yaani wamezidi kwa umalaya😂😂😂😂
@JumaMzongi
@JumaMzongi 5 ай бұрын
Mm mkongomani🇨🇩🇨🇩 wa kwnza naombeni ata Like moja
@AgnesDavidmtalemwa
@AgnesDavidmtalemwa Ай бұрын
Ila huyu kaka jaman mh anahamasisha mda wote yupo na pensi kama unaona ana moyo wa uzinzi gonga like😅😅😂
@BrightKanumba
@BrightKanumba 4 ай бұрын
Nzuri sana kaka Chande naomba Mungu watie nguvu na awabariki sana❤❤❤🎉🎉🎉
@Oness_254
@Oness_254 5 ай бұрын
I really like your movies. God bless your work 🙏 Kenya is watching
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 5 ай бұрын
Hii kaz nime ielewa sana mmetishaaa
@EbindaWelubi-p4s
@EbindaWelubi-p4s 2 ай бұрын
chukua hiyooooo🎉 Hemedy ,mwanamke mjinga hubomoa nyumba yake mwenyewe
@KabughoGisele
@KabughoGisele 5 ай бұрын
Tonny Wewe Apana kabisa kama ndivo kwenye really life😂anyway much love ❤from Congo 🇨🇩🇨🇩
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 5 ай бұрын
Jamani leo nmecheka kweli ❤❤
@officialsaadah6435
@officialsaadah6435 4 ай бұрын
Seeing m2 acts as a playboy feels weird asf nimemzowea kweny scenes za upole akijidogosha kumbe uhuni pia yuaweza damn😅❤
@Nurahsaleh
@Nurahsaleh 5 ай бұрын
😂😂😂😂 nimechekaaaa sanaaaa safi sanaaa abdul kazidiii
@SuzanDithenya
@SuzanDithenya 5 ай бұрын
Daaaah hemed nakukubali kinoumar xan axeeeeh. ❤❤❤❤ aaaaaaaiiiiih
@SaidHijja
@SaidHijja 5 ай бұрын
Duuuh me nimecheka Sana Kwa muuza ujii unyama sana 😂😂😂🙌🙌
@SaidaKimea
@SaidaKimea 2 ай бұрын
Ubaya ubwela muuza uji
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 күн бұрын
Hemed napenda sana movie zako❤🎉
@Wamapozofficial
@Wamapozofficial 5 ай бұрын
Mimi hapa wa milioni nipeni like zang 😂😂
@angelvenson5520
@angelvenson5520 5 ай бұрын
Wasaba Leo naombeni like
@SimoniThomasi
@SimoniThomasi 2 ай бұрын
Sema hiiii movie nikal kuliko zoteeeeeee hemed chande ww kiboko yaaan kuna ka kakomedi flan hv😂😂😂😂😂😂😂
@ireneedigar
@ireneedigar 24 күн бұрын
Mmmh good
@ZawiyaAdamu
@ZawiyaAdamu 5 ай бұрын
Hemed huy dada hajui kuigiza bor ungenichukua hata mim maana yupo na mumewake lakn mda wote busy na sim
@rjmoirati7242
@rjmoirati7242 4 ай бұрын
Manenotu kuoga hapana
@rjmoirati7242
@rjmoirati7242 4 ай бұрын
Manenotu kuoga hapana
@Tobias_mhina
@Tobias_mhina 2 ай бұрын
Umalaya tu umeona mwenzio ana faidi kushikwa shikwa sio
@HopeBaby-hm8xq
@HopeBaby-hm8xq 5 ай бұрын
kazi nzur 🎉hemd move zako nzur sana zinafundisha sana
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 5 ай бұрын
Kazi nizuri sana 🎉🎉😢😢
@alimanana7564
@alimanana7564 5 ай бұрын
Watu wanasema ngo uyo mke wa chande ngo hajuwi kuigiza mbona yupo vizur❤
@MayengDulu
@MayengDulu 5 ай бұрын
Hii ninzili sana kabisa😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Bintabubakar-id2so
@Bintabubakar-id2so 5 ай бұрын
Daah aisee Sisi wanawake kwakweli tunambo
@rasharashacomedy3733
@rasharashacomedy3733 5 ай бұрын
Watanzania bna mbona demu anajua kuingia tu vizuri yani MTU mmoja akikosoa bhasi watu wote wanakosoa sio kweli deku anajua Sana kuigiza Tena mno
@RAMADHANIBAKARI-rq7lc
@RAMADHANIBAKARI-rq7lc 3 ай бұрын
M2 kauwaaa sanaaaa humuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti uji kwani upo siumeisha😂😂😂😂😂
@jemimajerome3971
@jemimajerome3971 Ай бұрын
Huyo mnywa uji atari sana ety mpk nikumbuke utoto😂😂😂🎉
@HarerimanaFeza
@HarerimanaFeza 5 ай бұрын
Ko wenye myaka 12 ndo wakuogopa😂😂😂😂
@Jus-bw2rn
@Jus-bw2rn 5 ай бұрын
Nabapeda san❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ShebeB-c5l
@ShebeB-c5l 5 ай бұрын
Thanks kazi nzuri kaka mkubwa
@barrehotel-q5t
@barrehotel-q5t 5 ай бұрын
Jamani naombeni like kwa niaba #AHMEDCHANDE ❤❤
@OmarSulaiman-y7o
@OmarSulaiman-y7o 4 ай бұрын
Tony ni mnyamwezi ase natamani kuja dar es salam vyombo naona vipo alafu unyama mwingi nimeipenda sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KasambekoMaria-bv3px
@KasambekoMaria-bv3px 5 ай бұрын
Uyu mdada ajui bhna Ila hemed unapenda sana kukiss kiss kaah😅😂😂
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 5 ай бұрын
Kazi safi sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@PoleenNjeru
@PoleenNjeru 5 ай бұрын
Much 💚 from 🇰🇪 alafu wewe tony tattoo you look like tizian pale TikTok from 🇰🇪.. much 💚
@RajabuShija
@RajabuShija 5 ай бұрын
ki2 moto sana chande
@HellenaKakolanya
@HellenaKakolanya 3 ай бұрын
Mnao msema hemedy mwanamke ajui ata hemedy anamkwepa kama ajamkubali ajiachii nae ndomana pia uyo dada kama sio mbongo ila ana ndonya ya kigogo 🙄 jocks 😂😂 kazi nzurii
@KhadijahKinyuri
@KhadijahKinyuri Ай бұрын
Kama umeona TV yaonyesha nn like hapa
@Rachelnzunda
@Rachelnzunda Ай бұрын
Xx nikajua nimeona pekeangu😂😂
@BekamMadawa-t6k
@BekamMadawa-t6k 4 ай бұрын
Nimeipendaa sana🎉
@MariamMariam-h8h
@MariamMariam-h8h 5 ай бұрын
Siku zote mkiambiwa mishangzi ndo wanajua kulea mnakataa🤣Aya ona Tonny anavyo Kula Raha🤣🤣🤣🤣
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 5 ай бұрын
Hemedi kwama busu heee😂😂😂mm hapo ndo anaponiacha hoii😂😂😂
@MaryamSuleiman-xs5ph
@MaryamSuleiman-xs5ph 4 ай бұрын
Ila huyu Tony ❤
@rizikisam6481
@rizikisam6481 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwa kweli leo nlikuwa na bad mood ila nimecheka sana 😂😂😂
@rashidgona1808
@rashidgona1808 5 ай бұрын
M2🎉🎉🎉🎉apo umecheza part yako broo unamwambia dem wako act na rafiki yako
@mohammedmussa4474
@mohammedmussa4474 5 ай бұрын
😅😅
@menejahimself9855
@menejahimself9855 2 ай бұрын
Iyo kipande cha umalaya tu kuoga aaah😂🙌🏽 apo nyuma iyo video mmeplay au sijaona vzuri
@Flicks003
@Flicks003 Ай бұрын
Very crazy hii movie in short n tam san but dakik ya 36:59 background ya tozzy kun TV inaonyesha watu wanafvck I lik it💣😁
@maashalabdallah5381
@maashalabdallah5381 Ай бұрын
Ila wtu mko makin mpk nmerdia kuend kuangalia tn
@glorymhanga8718
@glorymhanga8718 5 ай бұрын
Movie nzur sana hemed ila huyo mwanamke uloigiza nae ndo kazingua sana😮
@SoviaAa-c7j
@SoviaAa-c7j 5 ай бұрын
Huyo shangazi mpeni jina la Amal sonko ..
@faudhiasalehe8521
@faudhiasalehe8521 5 ай бұрын
Chande huyo mkeo ajui kabisa kuigiza hapana kwa kweli
@BazusimboSimbokhan
@BazusimboSimbokhan 5 ай бұрын
Acha zako ako sawa sana huyo dem
@fey-ge9pm
@fey-ge9pm 5 ай бұрын
Amna bhana huyo dada kama cyo mtanzania au hajazoea kiswahili
@gracekavere8856
@gracekavere8856 Ай бұрын
Bydha hajui kabisa kuact hataa kidogo,hata ukiskia kiswahuli chale hakiendi kabisa
@gracekavere8856
@gracekavere8856 Ай бұрын
I mean chake
@NeliaDaniel-h9s
@NeliaDaniel-h9s 5 ай бұрын
💛💚💛💚💛💚💛💚💛🫶🙏🤲💚💛💚💛💚💛 hongereni sana kwa kazi 💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚🤲🙏🫶🤝
@ChanellaNihorimbere-y2r
@ChanellaNihorimbere-y2r 5 ай бұрын
Zwx
@esthernyenza9319
@esthernyenza9319 5 ай бұрын
Huyo dada aliye igiza kwenyee play boy's,ambaye mke wako hajui kbc kuigiza.muwekeni mtu mwingine😢 please begging you hemed
@salmatuleteesehem71jmnmahm59
@salmatuleteesehem71jmnmahm59 5 ай бұрын
Half mbaya havutii hata😂
@Qayler232
@Qayler232 5 ай бұрын
ᵈᵃᵃ ⁱˡᵃ ʷᵃᵗᵘ ⁿʸⁱᵉ 😂😂😂
@Beatrice-ro6gi
@Beatrice-ro6gi 5 ай бұрын
😂😂​@@salmatuleteesehem71jmnmahm59
@Beatrice-ro6gi
@Beatrice-ro6gi 5 ай бұрын
Mwambie ni 😂😂
@irinepamphil7966
@irinepamphil7966 5 ай бұрын
Mtu hufunzwa hakuna alie zaliwa kama anajua🤔🤔🙄🙄🙄
@Dayanakimani
@Dayanakimani 5 ай бұрын
Hemed chande natak nijiunge kweny grp lak🎉🎉🎉🎉🎉
ANITHA FULL  MOVIE / HEMEDY CHANDE
1:37:47
Classic films tz
Рет қаралды 381 М.
TAHARUKI II MKOJANI VS HEMED CHANDE II (EP 01)
24:12
Classic films tz
Рет қаралды 268 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
NEW TAHARUKI SEHEMU YA 1.   ENGLISH SUBTITLES
15:00
Classic films tz
Рет қаралды 146 М.
LOVE IS BLIND
1:22:17
hemedy chande TV
Рет қаралды 781 М.
USALITI 💔--full short film | university films |
12:52
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 7 М.
MOYO WA CHUMA FULL MOVIE.   #directorgozi. #hanifa.  #chado
1:55:27
DIRECTOR GOZI
Рет қаралды 428 М.
PERFECT WOMAN
1:14:25
hemedy chande TV
Рет қаралды 450 М.
LIKE FATHER | FULL MOVIE
3:37:26
KAPELA FILMS
Рет қаралды 62 М.
KOSA LA MAMA || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
2:00:01
kapaayathegreat films
Рет қаралды 4,5 МЛН
TANDI SERIES EP - 01 [ Staring RAY KIGOSI, ROSE NDAUKA , FAIDHA ALLY]
13:53
SECOND WIFE  II HEMEDY CHANDE II M2 II Full Movie
1:21:24
Classic films tz
Рет қаралды 566 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН