Wangap walisha isahau hii movie leo nd wamekumbuka
@moonmo73414 күн бұрын
Kwa mara nyingin tena baada ya miezi 6 🙌🙌🙌 endeleen kuchelewesha tutazid kuwafatilia.
@raiszongo41363 күн бұрын
Nilishaisahau aisee
@kundiidd87554 күн бұрын
🎉🎉🎉 shida mwachelewa kupost
@BURUHANI4 күн бұрын
sema munachelewesha kazi sana wanangu jitahidini kuwa siliasi🎉
@nduwimanadiane36094 күн бұрын
😮mnachelewesha jameni
@AsheryJames-c8f4 күн бұрын
Kaz iko pow ..lakini mnachelewesha kutoa hadi inapelekea mashabiki tunasahau kabsa kuwafatilia
@IsaacNziokaMunyoki-b2z4 күн бұрын
Tunawapenda lakini mwakawia sana kutoa episode next Kutoka 🇰🇪🇰🇪
@saidymo3604 күн бұрын
Kazi nzuri sema mnachelewa sana kuachia ✌🏻
@albadawiamour4 күн бұрын
Dah ben royal unatucheleweshea sana wanao aisee
@bwilekashebo10344 күн бұрын
Mpo vzur ila mnachelewesha sana kaz zenu
@PeterWandameno2 күн бұрын
Ah jmn tulimiss sana hii kitu, saiz inabid mtuwaishie kaz piah leteni nyungine ili msisahaulike sokoni Ila hii kitu 🔥🔥🔥
@johnrichard54824 күн бұрын
KAZI NZURI SANA...! 🙌🙌🙌👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥
@BellonBoniface4 күн бұрын
Dah kwel mnazingua achieni kazi wanangu
@simikeonlinetv4 күн бұрын
Kazi zenu nzuri sana Mungu awafikishe mbali zaidi ya hapo alipowafikisha
@patriciachangawa17544 күн бұрын
Jamani paka tuna sahau🤔🤔
@mandelasamwely90764 күн бұрын
Mnachelewa sana kutoka mwendelezo
@JohnPaul-ef5jy4 күн бұрын
Kaz nzur❤
@kassimakida16664 күн бұрын
Tunapoa bob kazi inachelewaqa
@RAJABUKAZUNGU4 күн бұрын
Mnakawia sana 😢
@VenerandaMwashiuya3 күн бұрын
Tumeisubr Sanaa hatimae chuma hiki apaaa 🔥🔥🔥
@WanboyXavier4 күн бұрын
mm na taka uwo mziki
@EdwardEmanuelMbulu-ow4wt4 күн бұрын
Sasa na nyinyi matangazo ni mengi Yani yamezidi sasa tunaangalia kwa tabu sana punguzeni matangazo
@LéonardKyongozi4 күн бұрын
Kazi zuri ila ina chelewa sana arakisheni
@AINEAEsipila4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ xan but mnachelewa xan
@uledybob45372 күн бұрын
Hiz nyimbo tuwekewe tuweze kuzskiliza jamn salut kwako mbanga name
@JohnasNestory4 күн бұрын
Mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉
@justinemgend93404 күн бұрын
First one today From Mwanza 💪🏿
@MarKarim-km2yh4 күн бұрын
Nimefurahi kuona mmetukumbk na Ss🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KenyanaiBeats2543 күн бұрын
Fuegooo🔥🔥🔥🔥
@ClaudeprsSonga3 күн бұрын
Mimi njo kwanza na fata session e ni movie kali kabisa ila shida muna chelewesha sana
@IsackLobina4 күн бұрын
Mnachelewa sana kuachia kazi😢
@KinihiriRamadhan4 күн бұрын
Kaz nzur ila mda mlefu sana wakusubil
@NtemweFlorence4 күн бұрын
Time ni kidogo sana yani utamu ndio waanza kipindi kimeisha
@JumaSalumu-n6l4 күн бұрын
Na mwendelezo wa JUNGWA tafahari🙏🙏
@samsonthomas81864 күн бұрын
Vizuri sana ,mmejua kutupoza na episode mbili baada ya kuchelewa ,,nmeipenda hiyo tactic!!
@GittahFunmtu2 күн бұрын
Kwn bdo inalipiwa ndo uone😂😂
@allysuleimani20774 күн бұрын
Nilikuwa nmeshasahau kama hii movie inaenderea duuuh
@FabianNtimba3 күн бұрын
Move bomba sana ila tuliisubiri kwa muda sasa 😢
@mashafestusmramba7577Күн бұрын
Wana chelewe sana
@MoneyKey247-fk4oy4 күн бұрын
Leoooo na Mimi ni wakwanza kuweka comments kwa banloyar🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
@PeterMkumbwa-x2t23 сағат бұрын
Daaah jaman mmechelewesha sanqa
@Daizo2554 күн бұрын
Kazi nzuri Ila nyie jamaa mnazingua movie zenu kali na znaubunifu WA Hali ya juu shida yenu huwa hamalizi movie nyingi Hua mnazitelekeza kama Mali, imeishia njian mpk now na hii nayo mnaonyesha dalili ya kuitelekeza Kwan mnachelewesha mpk tunasahau badilikeni kueni serious mko talented Sana I appreciate your work guys
@bonifacewiliam46954 күн бұрын
Tatizo hammalizii
@Timothynewtommorow-gx2rr4 күн бұрын
Safi saana
@AsensioDhaZurra-b5k4 күн бұрын
Hii Movie ni mzur lakini munachelewa sana kuhitowa 😢
@Boneseries4 күн бұрын
SECTION E 🔥🔥🔥
@Naima-v6v4 күн бұрын
🎉🎉❤❤❤❤
@whitemusic14193 күн бұрын
mnaolalamika kazi kuchelewa,je mnashea kazi?make wanatumia gharama mjue..mkitaka kazi zije haraka basi itazamwe na watu ili wapate kua na moyo wa kufanya kazi!hvy niwaombe tuwasapot kwa kushea kazi hii kaLi kama saport🙏🏻
@Benroyalmovies3 күн бұрын
Shukran sana kwa sapot
@JemedaliHamisi-v8i4 күн бұрын
🤜🤛
@jubaidamiss24092 күн бұрын
Next ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@ErickErick-rx4fx4 күн бұрын
Kumbe bad inaendelea
@SanchezShedrack4 күн бұрын
Saf sana ila mingus sana
@kifimboThemaster2 күн бұрын
Kazeni
@BrianGuniMwatela4 күн бұрын
Shida yenu mnaboo juu hamtaki kupost kwa wakati
@HassanPyagula4 күн бұрын
Mbn mnachelewesha kaz mpaka tunasahau😒😒😒
@yusuphdeogratius10363 күн бұрын
Mnachewesha san kutoa muendelezo
@EusebioEduardoAntonio2 күн бұрын
mnachelewa sana lipi tatizo?🇲🇿🇲🇿
@WestonKassana4 күн бұрын
Mnachelew saan wazeee af movie kar
@MkSalvador4 күн бұрын
Wakwaza leo 😮
@kingcicero17084 күн бұрын
Duh mpaka nilisahau😢
@HezenMunuo-r6g4 күн бұрын
Like zangu jaman wa kwanza kutoka 🇦🇱🇦🇱🇦🇱
@thomasmlima5774 күн бұрын
💪💪
@nelsonmwawasi67464 күн бұрын
Vyema,,episode 10 isichelewe plz
@deborasamweli-bc6ie4 күн бұрын
🎉🎉🎉
@AbdalahMkumbwa4 күн бұрын
Binafsi naona hamko siriasi
@ArnoldZebedayo4 күн бұрын
Wa kwanza leoooo🎉
@saidiabdallahkibwana4 күн бұрын
Mbona c.i.f haipo
@IbrahimMansour-m9x4 күн бұрын
Mnachelewaaa
@IsmailAbdikadir-lz2xx3 күн бұрын
❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@godfreymariki52764 күн бұрын
🔥🔥🔥
@ngolimsuliche46264 күн бұрын
Unachelewesha sana
@kenethngulo16624 күн бұрын
Vijana mlipotea
@Kahogoasili20244 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@PaulSichone4 күн бұрын
❤❤
@calebrashid43224 күн бұрын
Ave been waiting for this❤❤❤🇰🇪💕🇰🇪
@celestinemashauri4 күн бұрын
Mnachelewesha kaz mpk mtu anasahau iliyopita iliishia wapi
@Gobolefilms4 күн бұрын
🎉🎉🎉
@DezzyJumanne4 күн бұрын
Kitamb san
@charlesbenard64154 күн бұрын
First 🥇
@M3Mike-h8d4 күн бұрын
😊😊😊😊
@djdoublekofficial7382 күн бұрын
Mim apa
@KhassaniKimosa3 күн бұрын
Mnazingua bhn kweny kutoa Ngoma mnachelewa kutoa bhn
@Daizo2554 күн бұрын
Kazi nzuri Ila nyie jamaa mnazingua movie zenu kali na znaubunifu WA Hali ya juu shida yenu huwa hamalizi movie nyingi Hua mnazitelekeza kama Mali, imeishia njian mpk now na hii nayo mnaonyesha dalili ya kuitelekeza Kwan mnachelewesha mpk tunasahau badilikeni kueni serious mko talented Sana I appreciate your work guys