tunakushukuru mola wetu kwa maisha yake kwetu na elimu aliyotupa mpe kauli thabiti mja wako aamiin 🤲🏼
@abunajreenELSESANY7 күн бұрын
Mwamba umekwenda, Ilmu imeondoka
@abubilal43197 күн бұрын
Hakika tunamshukuru Mola SWT kwa maisha yake na ilimu aliyotupa! Alhamdulillahi Alaa Kulli Haali🤲
@احمدشوقي-ط3ق3ت7 күн бұрын
الهم غفر له وارحمه
@solomomadej7 күн бұрын
Aamiin@@abubilal4319
@nadiaba64187 күн бұрын
Niliwahi kumskiya mara Moja Mola akanitiya Mahabah yakupenda kweli wewe ni Kipenzi wa Mola na Mtumi wake .Amin Ya Rabi
@RayaAmeir7 күн бұрын
Innaalillah wainnaa ilayh raajiun....Allah ampokee kiumbe wake akiwa amemridhia Amiin
@abunajreenELSESANY7 күн бұрын
It's so DEEP, ABU EID Muhammad EID , mwanawachuoni, mpambanaji, mkereketwa wa maendeleo ya Dini ya uislamu. Allah ampe kauli thaabit, na ataqqabal aamal zake. Innalillah wa inna ilayh raajiuun
@NaifatAlly-e3j7 күн бұрын
Ameen 😮😢
@AwaShaban7 күн бұрын
@@NaifatAlly-e3j🤲🤲
@SakinaSakinat-qd9rs6 күн бұрын
Aamiin Aamiin Aamiin
@BIGFAMILY2557 күн бұрын
Innaalillah wainnaa ilaihi raajiun Allah ampe ujira wake na asitufitinishe baada ya kuondoka kwake. Allah amsamehe alipokosea na amsahilishie maisha yake ya barzakh na ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kuume.
@HajiMliwa7 күн бұрын
Inalilahi waina ilaihirajiun M mungu msamehemakosayake pamoja nasisiAamin
@Heryramadhan-c7zКүн бұрын
Allah amsamehe makosayake yote ameen alikua nimtumzuli zaidi alinipenda sawasawa na watotozake nikikumbuka siku niloskia kauli yake akinita mwanangu daah inauma sana mungu amlaze mahala pema ameen 🤲🤲🤲
@abuusaid5117 күн бұрын
Innaalillaahi wainnaa ilaihi raajiuun : Yaaraabb twakuomba umsamehe makosa yake shekh wetu huyu na umpe Qauli thaabit yaarabb na umuhifadhi katika bustani za neema Nasisi utupe mwisho uliomwema yaarabb , Aamiin Yaaraabb 😭😭😭🙏.
@Ustadhihamza7 күн бұрын
انا لله وانا اليه راجعون اللهم اغفر له ورحمه واسكنه في الجنة
@Jamalkishangu7 күн бұрын
Allah akupe kauli thabiti, ulikuwa mpambanaji na mwanaharakati jemedari hodari, tangulia nasi tupo nyuma yako, sote tutarejea kwake.
@RehemaMuhammed-k4h7 күн бұрын
Inna lillah wainna ilaihi rajiun Allah atupokee tu
@modestamodesta39407 күн бұрын
Jmn mungu akulaze Mahal pema pepon amen 😭😭😭😭 umetuliza baba
@AzizaKhamis-c6t7 күн бұрын
Inna lillah wainna ilayhi rajiuun, twamuomba Allah ampe kauli thabiti na amsamehe makosa yake, amjaalie pepo ya firdais
Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Raajiuun, Allah SWT ampe kauli thabit Shekhe letu, Allah SWT ampe Pepo ya Juu kabisa Firdaws!
@abdulimapande42657 күн бұрын
INNAA LILLAAHI WAINNAA ILYHI RAAJIUUN thabbataka llaahu bil qaulith thaabiti
@mussamabawa29737 күн бұрын
Inauma sana, Innalillah wainnailaih rajiuun
@wilbardvalerian65567 күн бұрын
MARUHUM SHEIKH ABUU IDDI Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Rest in Peace Mhadhiri Sheick Abou IDD Wote ni wa Mungu na kwake Tutarejea. Channel Ten Arrisalah Jumapili Usiku tutakukumbuka
@Zulfa-sc4bu7 күн бұрын
Innalillahi wainnaa ilaihi rajiuun, Allah ajaalie kaburi lake bustani ktk mabustani yapeponi ,Wala Asilifanye shimo ktk Mashimo yamotoni
@drruhanitz81617 күн бұрын
Allah amhifadhi
@JumaSalu-z8i7 күн бұрын
Inna lillah waynna ilahi rajiuun nilikuwa nampenda sana huyu shekh jamani maan akiwa anakuelekeza jambo lazima uelewe eeeh mola mpe kauli thabit mja wako
@ababdsuleiman11677 күн бұрын
Tunamuomba Allah amsamehe makosa yake na hatimae amchague kuwa ktk waja wa Peponi Inshaa Allah
@HamduMasud-xw6qc7 күн бұрын
Innaalillahi wainnaailayhir rajiuun Allah amthibitishie amali zake
@SadaHasimu7 күн бұрын
Innalilah wainnalillah lajuun
@faridsaid43827 күн бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun
@mahmoudomar77117 күн бұрын
inna lillah wainna ilayhi rajiuun
@omarysalim10227 күн бұрын
Inna lilah wainna ilayh rajiuuun
@DottoAthumani-nt4du7 күн бұрын
Inalillah
@SadatiHassani-r1u7 күн бұрын
Mungu ampe kauli thabit na amsamehe alipo kosea kama binadam inshaallah
انالله وأنا إليه راجعون اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس
@AbuunawlainyMbise7 күн бұрын
إنا لله وانا إليه راجعون
@abuuanafy71807 күн бұрын
Innalillah waiinailayh rajuun
@mahershadhil24937 күн бұрын
Inna lillah wainna ilayh raajiun
@zahraalbaloochi28417 күн бұрын
Allah ampe Janna Yarrab
@hamisibakari72717 күн бұрын
Wanachuoni wanaondoka tunaachiwa hawa wasioitikia hata salamu za waislamu wenzao wakiamini kwamba ni wapotovu wao ndio salafi😢 Allah akupe kauli thaabit hakika kazi kubwa ya dini umeifanya tutaendelea kukukumbuka sheikh abuu idd