SIMBA MWEUSI - EPISODE 12 | SEASON 2 |

  Рет қаралды 25,922

Chumvinyingi Tv

Chumvinyingi Tv

Күн бұрын

#chumvinyingi #season2 #comedy

Пікірлер: 112
@HamisiMachinda
@HamisiMachinda 7 күн бұрын
Naipenda sana Simba mweus mungu awazidishie mzidi kutuletea raaaa chumvi nying gang 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@chumvinyingigang
@chumvinyingigang 7 күн бұрын
Amin
@Frank-l2k
@Frank-l2k 7 күн бұрын
😂😂😂😂wangapi wanafurahia mbio za kisofa😊😊😊
@NtacobanzizaLeatitiazilfa
@NtacobanzizaLeatitiazilfa 7 күн бұрын
Kumbe wawazo yet yarikuwa zio mazuli tusame mwarimu muku 🎉🎉🎉🎉❤
@zaitunkea
@zaitunkea 7 күн бұрын
Mambo yanazid kuwa moto😂😂😂
@CarolinekaladzeJambo
@CarolinekaladzeJambo 7 күн бұрын
Jaman kisofa kajichanganya huyo 😂😂
@marymele9714
@marymele9714 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂kisofa kayatimba uku 😂😂😂😂
@FabianNtimba
@FabianNtimba 7 күн бұрын
Mbona kama kisofa kayatimba 😂😂😂😂😂
@SaidiKazungu-f8m
@SaidiKazungu-f8m 7 күн бұрын
I say chumvinyingi hapo safi sana 👍
@MazanzaOfficial
@MazanzaOfficial 6 күн бұрын
Mnahatari Sana Mnabatua Kikwelikweli Kazi Nzuri Cast Nzuri Pia Chumvinyingi 🔥 ,Nyangemba 🔥,Batuli 🔥
@FabianNtimba
@FabianNtimba 7 күн бұрын
Kibonge upepo umekata anavyo hema sasa 😂😂😂😂
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 7 күн бұрын
Pole nyangemba utamuon mwanao kwa winyi mkuu
@IdrissaMakame-i5c
@IdrissaMakame-i5c 6 күн бұрын
AAAAHH MAMBO HAYOOOOOOO POMBE ZIMESHAPANDA KICHWANII DAH CHUMVI LEO UMENIVUNJA MBAVU ZANGU ILA UKIIGIZA UMELEWA UNAKUA FUNDI KINOMA HONGERA
@NicholasLukube
@NicholasLukube 7 күн бұрын
Yani Mungu awalinde sana Tu tena sana nawakubali San CHUMVINYINGI GANG 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🥰🥰🥰🫶🫶🫶🫶🫶
@chumvinyingigang
@chumvinyingigang 7 күн бұрын
Amin na Asante sana atulinde wote inshalah
@chumvinyingigang
@chumvinyingigang 7 күн бұрын
Amin na Asante sana atulinde wote inshalah
@mwamionlinetv
@mwamionlinetv 7 күн бұрын
Kazi nzuri sana chumvi kipaji hakijifichi hongera sana
@KlementinaNgatunga
@KlementinaNgatunga 7 күн бұрын
Kazi Zuri 😊😊
@JacquelineErick
@JacquelineErick 7 күн бұрын
Hii kazi ni hatari🎉🎉🎉
@IssihakaMustafa
@IssihakaMustafa 7 күн бұрын
Mwinyi mkuu🎉🎉🎉
@RosemaryEmmanuel-s9o
@RosemaryEmmanuel-s9o 7 күн бұрын
❤🎉kaz nzur
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 күн бұрын
Nampenda mwinyi mkuu ila napenda unapoteteya sio kuharibu
@HhBbh-tn5uh
@HhBbh-tn5uh 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂 pole batuli
@ButoyiRukiya
@ButoyiRukiya 7 күн бұрын
Kazi nzuri 😊
@SamanthaPrize
@SamanthaPrize 7 күн бұрын
Kazi nzuri sna🎉🎉🎉
@Rashidsleman-x8l
@Rashidsleman-x8l 7 күн бұрын
leyo nimewahi❤❤
@AllyMilunda
@AllyMilunda 7 күн бұрын
Mazoezi akuna 😅😅😅😅😅😅
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 күн бұрын
Naamini mzee simba atakufa hukohuko alikojificha minimum itatenda anakubaliqna na mimi maga hapo
@KimuEj
@KimuEj 7 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe wapendwa mungu ni mwema saana. Ni wakati mwingine tena wa kumshukuru mungu Kwa pumzi hii . Tuendelee na Simba mweusi Ameen
@Jasmini-ip7ly
@Jasmini-ip7ly 2 күн бұрын
😂😂😂kisofa
@SalmaSaid-v3d
@SalmaSaid-v3d 7 күн бұрын
Chumvi we mlevi 😂😂
@AaAs-u8i
@AaAs-u8i 7 күн бұрын
Ila chumvi utamsaidia mwenzio kweli jamani
@ixha706
@ixha706 7 күн бұрын
Tulio wahi tujuane❤🙌🔥🔥🔥
@ShahzadNduli
@ShahzadNduli 7 күн бұрын
Wa kwanza hapa nipeni maua🎉 yangu🇹🇿🇹🇿
@HamranRashid
@HamranRashid 7 күн бұрын
MBONA SCENES AMBAZO ZINAHUSIKA NA CHUMVI ZIMEPOA JAMANI TOFAUT NA HEKA HEKA ZA AKINA KIJICHO NA ZOBA AU MWINYI MKUU😂
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 7 күн бұрын
Mnaboo sasa n hii sires mbon ilikua pambe mwanz
@halimaali8732
@halimaali8732 7 күн бұрын
Mwinyi Mkuu keep going 💪 👏 ❤ 🇰🇪
@Samiyabahatinanti
@Samiyabahatinanti 7 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😁chumvinyingi
@AbubakariKombo
@AbubakariKombo 7 күн бұрын
Mamb mazur
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 7 күн бұрын
Nice movie
@MussaRevocatus
@MussaRevocatus 7 күн бұрын
Hapo xawa mumetoa mwendelezo
@LoreineFaida
@LoreineFaida 7 күн бұрын
Namimi nimewayi
@SitaniRongo
@SitaniRongo 7 күн бұрын
Daaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 күн бұрын
Batuli wangu 😢😢😢
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 күн бұрын
Mkizianza nyengine rikodini angalau ep kadhaa ili muwende na muda msianze na ep 1 alafu tusubiri inabowa
@DavidEdwin-i7x
@DavidEdwin-i7x 7 күн бұрын
Mungu awabariki chumvinyingi gang
@chumvinyingigang
@chumvinyingigang 7 күн бұрын
Amin
@FatumaJuma-i8q
@FatumaJuma-i8q 6 күн бұрын
Kisofa mishemishe huziwezi
@mnyakitz2007
@mnyakitz2007 7 күн бұрын
SIKU 7 CHUMBANI KWA MGANGA BATULI LAZIMA APATE MIMBA 😅😅😅😅 MGANGA MWENYWE ANAMUDA SANA AJAPATA KIBOX MANYOYAA.. ALAFU WAPO WAWILI NA MZEE SIMBA 😂😂😂SIMBA NAE KWA UROHO ATAMFINYA MKWE WAKE😅😅 MIMBA YA BATURI ITAKUA NA BABA WENGI SANAA
@HhBbh-tn5uh
@HhBbh-tn5uh 7 күн бұрын
😂😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 6 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@richardgodfrey9020
@richardgodfrey9020 7 күн бұрын
Kisofa mmmmh
@MusaJosephi
@MusaJosephi 7 күн бұрын
Wa 12🎉🎉🎉🎉
@VennyJael
@VennyJael 6 күн бұрын
Sijamuona Anu baba 😁😁
@MussaRevocatus
@MussaRevocatus 7 күн бұрын
Niponaifatilia simba mweus
@MussaRevocatus
@MussaRevocatus 7 күн бұрын
Jamn chumv ananipa laha
@SaidyBotea
@SaidyBotea 7 күн бұрын
wakwanza apa leo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 күн бұрын
Chumvi unabowa msaidiye kine
@tuyajengeyaishe-vq5pq
@tuyajengeyaishe-vq5pq 6 күн бұрын
Chumvi hii movie inabidi iishe maan imepoteza mwelekeo
@pharmacotherapist-hb8rm
@pharmacotherapist-hb8rm 7 күн бұрын
Sijachelewa sana leo nipeni like hata moja
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 күн бұрын
Mama batuli hana raha
@aminarashidy577
@aminarashidy577 7 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@ModricMussa-y5y
@ModricMussa-y5y 7 күн бұрын
Kisofa umeyatimba kwa champo
@RizikiZiki
@RizikiZiki 6 күн бұрын
Mwinyi usimubake Batuli acatama jamani unamuwekeya nini ndani sumutowe lakini wevipi mbona kama munamuonea Batuli jamani
@RechoJoni
@RechoJoni 7 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@FredyEzekiel-y1c
@FredyEzekiel-y1c 7 күн бұрын
Me Leo wa kwanz kuangalia nipeni like zangu
@Bahati-wu4bs
@Bahati-wu4bs 7 күн бұрын
Kisofa kimemlamba
@FredyEzekiel-y1c
@FredyEzekiel-y1c 7 күн бұрын
Daddy Nathan 4️⃣5️⃣
@joufflyngmutangaza306
@joufflyngmutangaza306 7 күн бұрын
Nice 🇨🇩🇨🇩🔥🔥
@RakmaRakma-o9b
@RakmaRakma-o9b 7 күн бұрын
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
@IjaNurdine
@IjaNurdine 7 күн бұрын
Boa história
@ShanuraBabuu
@ShanuraBabuu 6 күн бұрын
Bbababababaaaaaa,,,,.batuli umetisha na hio nguo yako ya green umependeza sna niwachie no zako hapa kwa comment❤
@LoolKing-z5z
@LoolKing-z5z 2 күн бұрын
Kunkucha 😅😅😅😅😅
@VeronicaBonafasi
@VeronicaBonafasi 7 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ZakariaAnderson-t2h
@ZakariaAnderson-t2h Сағат бұрын
Nakubali❤❤❤
@WaziriKirungi
@WaziriKirungi 7 күн бұрын
Duuh
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 күн бұрын
Sasha🎉🎉🎉
@JITULAMTUMBA101
@JITULAMTUMBA101 7 күн бұрын
Usiseme imeisha kwani😢
@FredyEzekiel-y1c
@FredyEzekiel-y1c 7 күн бұрын
Me Leo wa kwanz kuangalia nipeni like zangu 9:43
@AziziMohameddy
@AziziMohameddy 5 күн бұрын
kayatimb 😅😅
@SadatiIssa-n1r
@SadatiIssa-n1r 7 күн бұрын
Kila m2 wa kwanz
@gayanestory4357
@gayanestory4357 7 күн бұрын
❤❤❤
@PatrickSimetikapolemba
@PatrickSimetikapolemba 6 күн бұрын
Zoba tena
@BarakaSaidswalehe
@BarakaSaidswalehe 7 күн бұрын
Mbon zinachelew iv
@reubenmwidima
@reubenmwidima 7 күн бұрын
Kama naanza kupoteza mvuto na hii series
@MussaRevocatus
@MussaRevocatus 6 күн бұрын
Hamujatoa2 kipand
@VeronicaBonafasi
@VeronicaBonafasi 7 күн бұрын
😂😂😂😂
@VeronicaBonafasi
@VeronicaBonafasi 7 күн бұрын
K😂😂😂😂😂
@Mounirahya
@Mounirahya 7 күн бұрын
🎉🎉🎉
@dtv6734
@dtv6734 5 күн бұрын
Mgetumia angalau vipisi vya miti ili iende sawa na huo mfano wa pembe za ndovu...
@negoboy002
@negoboy002 7 күн бұрын
🎉🎉🎉😂😂
@VeronicaBonafasi
@VeronicaBonafasi 7 күн бұрын
Ch😂😂😂😂😂
@geegee1743
@geegee1743 6 күн бұрын
Inachelewa kutoka
@Ibrahim-h2r7i
@Ibrahim-h2r7i 7 күн бұрын
Mdada akigusa comment yangu namtongoza❤
@AaAs-u8i
@AaAs-u8i 7 күн бұрын
Haya njoo nakungoja
@Ibrahim-h2r7i
@Ibrahim-h2r7i 6 күн бұрын
@AaAs-u8i siwez ishibila wew
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 5 күн бұрын
Ndo unachowazaga mwehu wee😂😂😂
@Ibrahim-h2r7i
@Ibrahim-h2r7i 5 күн бұрын
@@SaraUlaya-is2ch siwez ishi bira wew
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 5 күн бұрын
@Ibrahim-h2r7i hahahahaaaa mwehu weee😂😂😂
@AziziMohameddy
@AziziMohameddy 5 күн бұрын
kaish kisof
@Nestgold-mx7lp
@Nestgold-mx7lp 7 күн бұрын
Wa tatu leo plz comment zimiminike ❤chumvinying gang juuu
@PascalIlunga-zs6xi
@PascalIlunga-zs6xi 6 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@heavythinker9273
@heavythinker9273 7 күн бұрын
@HamranRashid
@HamranRashid 7 күн бұрын
MWANAMKE AKISHAFIKISHA MIAKA 30+ HAFAI KUOLEWA,, SASA ENYI WADADA NJOENI KWANGU MUPATE NDOA KABLA YA HUO UMRI😅😅😅
@MinaSule-l6v
@MinaSule-l6v 7 күн бұрын
Bc haya
@MonicaMtindo
@MonicaMtindo 7 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@FaridaMousa-xy2rk
@FaridaMousa-xy2rk 7 күн бұрын
❤❤🎉🎉🎉
@AziziMohameddy
@AziziMohameddy 5 күн бұрын
kaish kisof
@MaryNyota-xh9rw
@MaryNyota-xh9rw 5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
SIMBA MWEUSI - EPISODE 13 | SEASON 2 |
20:01
Chumvinyingi Tv
Рет қаралды 23 М.
DUNIA (Ep 48)
23:19
ASMA FILMS
Рет қаралды 300 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
BAMDOGO NYAU EPISODE 1 STARRING #NYAU
20:39
NYAU GANG📺
Рет қаралды 13 М.
SIMBA MWEUSI - EPISODE 11 | SEASON 2 |
20:15
Chumvinyingi Tv
Рет қаралды 28 М.
LAST PUNCH episode 1 | Action movie
27:42
Meloflix Swahili Movies
Рет қаралды 8 М.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 752 М.
QUEEN SAUDA | 1 |
17:03
BRAVOO GENIUS
Рет қаралды 51 М.
SABABU YA ALIKIBA KUSHUSHWA JUKWAANI NA DIAMOND KUPANDISHWA
17:30
PROFESSOR [1]#clamvevo #kiparabrand #sandraOfficial
21:25
KIPARA BRAND
Рет қаралды 269 М.
SNAKE HOUSE EPISODE 《06》#clamvevo #sandraofficial #kiparabrand
21:48
IRM PRODUCTION PLUS
Рет қаралды 20 М.