God bless you man of God,,you have made me realise how to be grateful for what I have,that God as blessed me with
@Breakthrough-jl2gb2 ай бұрын
Good job bro! Love what you are doing to the less financially privileged in the community. I wanna add to your list, if you have these items, kindly ignore. 1. Matchsticks 2. Self rising flour instead of buying baking powder 3.small size cooking oil 4. Peremende/ chewing gum 5.Biscuits 6Vaseline 7.Body soap 8.Feminine products 9.Small size toothpaste 10. Cigarettes LOL
@frednyabuto73342 ай бұрын
Apostle Dan watu wanadhalau hiyo trouser 😂😂 na imebeba 20k ngai God bless you man of God
@AnnastaciaAnnastaciamwikalimus2 ай бұрын
The landlady surely😢😢
@ventolineochieng2 ай бұрын
Kwanza landlady akona roho chafu sana wachatu,@@AnnastaciaAnnastaciamwikalimus
@Nelly-gv1rh2 ай бұрын
Waah yani alikuwa na imani kweli yani anatafuta duka na hana pesa surely mungu acha ubaki kuwa mungu tu🙏
@berthakisale11922 ай бұрын
Na wewe hii ni mfano kwa kila mwanadamu, Abraham the father of faith was so convinced everything that God was saying to him even though it wasn’t making sence in nature. Ester naye anakuwa business owner kwa sababu Mungu yupo
@mercykinyua2 ай бұрын
She took a step of faith and God blessed her . May God expand your business and be a blessing to other people.
@soita2542 ай бұрын
What a blessing from God,hadi ananunuliwa shopping sahi ya duka Mungu wewe utabaki kuitwa Mungu milele na milele,wapi likes za Dan Wema ❤
@miriamwalls10912 ай бұрын
She’s so beautiful ❤
@zipporahmibei90072 ай бұрын
This is the Lords doing
@ventolineochieng2 ай бұрын
Let's take this opportunity to also thank camera man he has done a good job
@HappyChameleon-xm7gs2 ай бұрын
Kabisaa 😅
@Joselyne_kАй бұрын
TRUE,HE NEEDS A BLESSING TOO
@Franciscah-d4cАй бұрын
Absolutely 🎉
@paulmulwale-ez3oe2 ай бұрын
Wale mnajiita apostle muinge mfano wa Apostle Dan. Msiwe mnajipenda sana.mnapenda kupewa but kurudisha kwa society nigumu.god bless you Dan
@Janemuthoni2892 ай бұрын
Those are thieves wakora marapist
@metrineshilavukha2 ай бұрын
True
@AnnastaciaAnnastaciamwikalimus2 ай бұрын
Hao ni watu wa Tampa tu
@ruthee18952 ай бұрын
Kila Apostle ako na neema tofauti. Mimi ni Apostle na ninatumika kukomboa wengi kutoka kwa minyororo ya giza..kama ni umaskini mapepo ya umaskini natumika na mungu kungowa mpaka maisha ya mtu inabadilika..kama ni magonjwa ninangowa madhabau ya magonjwa na mtu anapona kabisa..Apostle mwema ameoewa uwezo wakufikia na kusaidia na pia kuonyesha dunia nzima..Apostles wengi wanakomboa na kusaidia bila ulimwengu nzima kujua..Usitulaumu kila mmoja na neema yake
@rosembugua99842 ай бұрын
@@ruthee1895Kwanza wewe wa kukomboa watu Kwa minyororo na umaskini ogopa!ogopa😢
@georgembugua68492 ай бұрын
Apostle Dan wema we in Australia are happy about your good job of transforming a life in a our mother land kenya. God bless you mightily.
@godelivekakoy30692 ай бұрын
Imani ya ku hamisha milima ndiyo Esther ana tembeya nayo Kwenda kutafuta duka na hana pesa She wil be next millionnaire kwa jina kubwa la YESU CHRISTU WA NAZARETI ALIYE HAI AMINA AMINA AMINA
@alicekaita2 ай бұрын
Ana Imani kubwa saaana
@bethnganga91352 ай бұрын
Amen 🙏 imagine hiyo Imani yake iko juu zaidi Hadi angalia apewe nyumba na hata rent hana❤❤❤❤❤
@williambarasa85072 ай бұрын
the power of ksh 10......just ksh 10/= has transformed Esther's life. WITH GOD EVERYTHING IS POSSIBLE, GLORY TO GOD. May this shop be a testimony to the entire world ,Amen
@elizabethtoo3522 ай бұрын
Wishing her all the best in her shop.🎉
@DelvinMoraa-k9d2 ай бұрын
Warembo wanachangamkia kubarikiwa kwa mwenzao mungu atawabariki nanyi kwa kuwa n roho safi
@sarahkamau97972 ай бұрын
Huyu mrembo alikua na faith ndio mungu akaingilia ,alikua ametafuta nduka ,sasa ona maombi iza jibiwa from kibarua to a her own business,,,,,mungu a protect hio business na akutumie more customers......huyo mama manye hio nduka ajue kuna mungu ache kutharau watu hivyo ,dan God blesse you.
@EuniceMoragwa2 ай бұрын
Mungu ni mwema siku yako ikifika akuna mtu atakataa tuwe na imani na tukue wtu wakusaidia na madalau tuache hui mibalaka inatoka wapi nashukulu huyo musijana akue na hiyo loho ya kusaidia siku sote Mungu akubariki sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉niko na furaha sana
@ireneatuke15812 ай бұрын
Mungu akisema ni leo ni leo na hakuna wa kupinga.Good job apostle Dan and be blessed
@catrinah027712 күн бұрын
be blessed dan....🎉🎉🎉
@BentaJuma-wv3rs2 ай бұрын
Dan may your pocket never run empty. Be blessed abandanty.
@rka16062 ай бұрын
Every woman is beautiful
@evansokemwa65872 ай бұрын
true ni vile akuna pesa
@evansokemwa65872 ай бұрын
ile kitu ni megudwa ata bibi ukimtoa shambani umuoshe atakua mrembo sana
@LisahLisah-r3j2 ай бұрын
Yap! They say no one is ugly we are juz broke
@Ethio-s4f13 күн бұрын
I'm Oromo of Ethiopian 🇪🇹 from USA 🇺🇸. May Allah surprise with his meracle, the man who changed her life.
@samsonodhiambo2953Ай бұрын
Ladies with good hearts may God bless this saloon.
@ruthoketch12612 ай бұрын
Am shading tears of Joy 😭😭😭, when God says yes nobody will say no. Walai God's time is the best
@godsfavour56652 ай бұрын
I love her faith Yani anaangalia duka na hana pesa. ona vile mungu anafanyanga maneno yake🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏nice one mungu azidi kukubariki aki
@carlosmutuku23582 ай бұрын
The person who had promised you Is now with you That is none other than ,,,,Dan Wema The Angel of the day ,,,be blessed 🎉
@NaomiKerongo-kn9ki2 ай бұрын
what a blessing Gods time is coming am realy encouraged that do not give up
@HenryKaranja-w6wАй бұрын
Kweli it all starts with a dream and faith na a good heart... tym ya Mungu ikifika hakuna wa kupinga Amen👏
@GirlOfTheAfricanSoil_0012 ай бұрын
The girls in the salon are so nice and beautiful 😍. I love their coordination and team work. They look like besties 🥰 See God at work!! God bless you Dan❤️
@maggiegeorge46842 ай бұрын
Wale tunamtakia Apostle Dan Baraka Zaidi ili aendelee kubariki wengine weka like
@EdwinNaibei-n4l2 ай бұрын
Aki Dan wema God blessed you
@alexkioko3815Ай бұрын
I love what you are doing be blessed
@agneswambui7172Ай бұрын
Be blessed Apostle Dan wema.... nimeamini Mungu yupo dan yako...endelea kuwa na roho hiyo ya ukalimu
@ModestaAmayi-r6s24 күн бұрын
Nalia machozi yà furaha,barikiwa Sana Dan may you never lack in your enternal life 🙏🙏🙏👏👏🫶
@zadocktalai55522 ай бұрын
Great work Apostle ,may God bless you abundantly
@alexsaidi39402 ай бұрын
For real poverty is a bad disease,uyu Mama ni MREMBO ivi wololo God thank you for using apostle Dan to put a smile on people's faces
@beatricemambo36862 ай бұрын
Pleasant environment, music poa, joy in the air! Blessings to Esther! Dan keep the good Godly work up!!
@furahag30982 ай бұрын
Kazi nzuri sana mtumishi mungu akubariki 🙏🙏 kwa sababu umetoa watu mbali 😢
@susanachieng4194Ай бұрын
Looking good and she looks young, haki poverty God deliver us from poverty it's not your will,thanks to Apostle for changing lives 🎉
@muhatijuliet97802 ай бұрын
Your work is exceptional,may God bless you.
@LevyMasinde2 ай бұрын
Wow Apostle your videos are normally encourages and build the hearts of many.God bless you
@VioletClara-i8wАй бұрын
Sijaona land lady na vile aliongea mbaya ati aliona msichana ni mchafu hana viatu ina faa ajue Mungu mwenye alimbariki ni ule mmoja amebariki Esther. Apostal Dan Wema barikiwa tu saana na akupe nguvu za kuendelea kutenda mema kwa wengine kama jina lako🙏🙏🙏🙏🙏
@kennedykioko-k2v2 ай бұрын
Woow! This is extra super humane... May God pay back to you a Billion times...
@EuniceAnyanguАй бұрын
Waaah I have learned something about this May God continue to use you Dan wema Mungu akubariki sana tena sana
@jamillahmussa37752 ай бұрын
Wallahi landlady ni mbaya, ati ni mchafu , haugi na hana viatu😢😢😢😢 hajui ya mungu ni mengi,
@JenniferKembi2 ай бұрын
Aki n mbaya tena anaongea tu naujasiri😢😢😢
@Asiaha-l7q22 күн бұрын
Anaonyesha pia bado atakuwa na wivu naye
@lucynderitoppl77822 ай бұрын
God bless the landlady also!! She believed in Esther n kept the shop 4 her even tho she was still doubting Her.... ! May God remember her also n May Esthers shop go far IJ MIGHTY NAME...🙏 🙏🙏
@Moviemaverick-tim2 ай бұрын
Be blessed Apostol Wema, you have changed people life
@MercyKivindu2 ай бұрын
We have one great apostle in 254 DAN WEMA,GOD bless you always u are touching many soul's 😂😂
@CarolineAchayo-p8w2 ай бұрын
Mungu akubariki dan wema kwa roho ya kusaidia
@mosesmwaura27162 ай бұрын
This is one of the best of Dan wema
@monicamose17102 ай бұрын
I declare and declare victory over this mama more blessings from above stay blessed apostle Dan it's only God knows 🙏🙏🙏
@JosephineKwamboka-v3m2 ай бұрын
Kumbe hakua mama alikua msichana wow😂😂 God bless you danwema
@kennedykioko-k2v2 ай бұрын
Am searching whether i can subscribe a thousand times coz such acts deserve credit from humane people. Dan Wema keep on rising, growing and glowing. Stay healthy to reach generations.
Aki mungu akubariki kila mahali unapitianga ww mtumisi mungu na akuongese singine
@EssieWanjala2 ай бұрын
Alafu ashikilie neno la mungu sana juu hao wenye wanashuhudia lazima kuna wa roho ya wivu na uchawi,
@ThatAfricanDude12 ай бұрын
Wonderful Mtumishi. Baraka. Nitakuona Baadaye
@HARDROCK-n9e2 ай бұрын
I can now testify hatakama siedagi church naeza eda yako u truly define what gospel is
@ScolaStica-p9b2 ай бұрын
God bless dan wema, mungu akuongoze na akulinde , good job dan 👏 👍
@Iam_Maureen2 ай бұрын
She is beautiful inside and out ❤❤❤May God bless you Dan
@Keedsmart2 ай бұрын
For the 1st time nimewatch youtube 2 hours bila kutoa, God bless You
@peterokoth-u3wАй бұрын
Dan umefanya kazi nzuri,umeosha mrembo ako smart
@memehhhahshshdhdhd2 ай бұрын
Apostle jitahidi ku summarise kidogo content. Unarudiarudia sana maneno halafu story za nyuma unazisimulia muda mrefu sana. Upunguze story ndefu za kurudia. Pia unataja sana camera man
@MetrineAlembiАй бұрын
Hyu dem ni mrembo ila maisha tu ya ushago ndio imemnyorosha vibaya😢 enyway god bless you Dan wema good work brother
@Jennifer-zu9yw2 ай бұрын
Hii nayo imeenda.aky nimewatch hadi nimemaliza nimejifunza from these video for sure these saves big God and God's time always the best be blessed Dan wema
@apostledanwema2 ай бұрын
Wow
@bethbe96882 ай бұрын
Imagine anatafuta duka mbila pesa mungu ni mungu😅
@eunitakesio2 ай бұрын
WA matambara wakikutana na mtu mwenye Hana viatu haogi na wakatengeneza kitu ya maana through 10bob God is good all the time be blessed Dan and don't give up
@mmassycharles409Ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi. Uje pia Tanzania.
@Soloforextrader2 ай бұрын
I love what you're doing my brother and our Lord God will raise me to be a blessing to people like you and I will be faithful like you bro may God bless you,He'll be glorified through this
@princeofmemes23502 ай бұрын
God bless you apostle, I have been watching your videos and am truly blessed. Favor upon favor.
@lukasmboga8590Ай бұрын
I love what ur doing apostle Dan.
@hansstephenotomchief68152 ай бұрын
When God visits through His sent people, everything changes.... thank you Apostle Dan for blessing this mum
@salomecherono23662 ай бұрын
Only ten bob imekubadilishia maisha... kindly endelea na huo moyo madam na mungu atakupeleka mbali ....... Dan be blessed ❤️
@arodiboyi2 ай бұрын
For security purposes the backdoor should be sealed....
@Hillarydiscoveries2 ай бұрын
I like how you be a blessing to people am a student I always admire your bless people and this always inspires me very much I could have been my best to support but the situation is still bad with me but may God bless you so much apostle 🎉❤
@namungolubala17882 ай бұрын
DAN WEMA WAKORA WASIMWIBIYE UMTILIYE MLINZI WAKORA WENYEWE WAKOHAPO HAPO ❤❤❤BE BLESS DAN
@annewambui89802 ай бұрын
Mungu wa yatima,😢ihave lack words may God bless u
@christinedavid87872 ай бұрын
Wow!what a transformation!may God favor you always @Dan Wema
Faith is the key mungu akubariki sana for your strong faith
@janemutunga57962 ай бұрын
Good job..God bless you 👏
@CapableWifeАй бұрын
Ewebuye ewefwee❤❤❤, good work man of God
@ireneandasi9086Ай бұрын
God bless you apostle 🙏🙏 I am hoping to do the same mungu akinibariki aki
@AnneTeddyNdobo2 ай бұрын
Hallelujah ❤, may God bless our Apostle Dan. I hope the lady has run a shop b4, how will she know how to price those items 😮, she will need a lot of guidance. And the security in the area, hope it's Sawa 😊
@AelhAelh2 ай бұрын
Apostle God bless you more and more l cant count but be blessed alot umetoa huyo msichana mbali sana continue to spread love in the word even my 3yrs son he knows you more
@beatricemambo36862 ай бұрын
Apostle Dan, would it be better if someone oriented her on cost and sale price. A little bit of book keeping. That way she knows what is profitable and what is not.
@MargaretNgangaNetworkАй бұрын
Apostle you just blessed a generation, she cannot take care of her family
@Dominicanmutukule2 ай бұрын
so amazing be blessed dAN
@salomenabwile17632 ай бұрын
When God opens the door no one can close it's only who knows our tomorrow
@LevyMasinde2 ай бұрын
You are truly doing good Apostle.You never know who's heart will be happier of what you are doing to low life hood people and God's blessings reign on avery day
@salomenabwile17632 ай бұрын
She's beautiful
@glowmujera46782 ай бұрын
Every woman is beautiful,, blessings dan
@jessicahneshi98112 ай бұрын
Dan be blessed aki that is a good work
@imaniproduction25612 ай бұрын
Continue with that heart bro
@MdArkayyaАй бұрын
God bless you so much my brother
@BIMTV3605 күн бұрын
Wow nabambika sana na Esther Hadi juice 😢 woi umaskini ni kitu mbaya sana
@lydiaalbert89522 ай бұрын
Dan pamoja na kazi nzuri raster nooo.Ungemsafisha akabaki na natural hair zake.Hayo mengine uliyomtendea ubarikiwe umemkopesha Mungu
@nellymaheli29432 ай бұрын
👌 wow may God bless you apostle Dan wema
@FrankKabeАй бұрын
mungu akubariki sna bro
@omwegajosphat50072 ай бұрын
Hapo mbele weka mesh wire, ndio mikora isimuibie majani na royco
@evansokemwa65872 ай бұрын
true
@shiksjustinАй бұрын
God bless you Apostle Dan
@Dorka12-n7b2 ай бұрын
Surely God's time is the best glory be to God from grass to grace be blessed apostle Dan
@eunitakesio2 ай бұрын
Umasikini ni mbaya ona vile ako smart na alikua anakaa shosho God comes in a miraculous way
@LisahLisah-r3j2 ай бұрын
Huku watu n washamba anyway reciev more and more blessing
@risperjuma56312 ай бұрын
Goodjob Dan wema,God bless you for me 🙏
@w.batiak461Ай бұрын
Camera man...Mrembo ata nyongwa jameni na kiugali..angalisha camera kanfo😂😊❤