Sele tengeneza tobo kwenye godoro hakuna namna mdogo wangu 😂😂😂
@Emmymajula58389 ай бұрын
😆😆😆 chumba cha nne walevi haya wavuta bangi haya 😂😂wachoma visu wezao haya
@fridacharles41739 ай бұрын
Sele sele sele 😂😂😂😂😂 manyonyo hayo fanya mazoezi bhn😁😁🙌
@NauriaAlly9 ай бұрын
Chibaba anakwitaa😊😂😂😂ila mkojan mtie pressure 😂😂😂
@HoneysugarPudding9 ай бұрын
Mkojani anaweza kuua mtu kwa pressure 😂😂😂
@IsmailBakar-lu9qw9 ай бұрын
yani sele nipimbi sana hawezi fanikiwa simuna mjuwa pimbi ndo sele
@RobsonWisdom9 ай бұрын
Chandimu manyonyoooooo punguzaaa chpsi na mikuku ya kisasa mzeeee
@Makkahmadinatransport9 ай бұрын
Hataki kulewa siku hizi sele na kile kicheko chake ya tharau kilipotea wapu😂😂😂😂
@Awoshy9 ай бұрын
Atajinyonga huyu jamani 🤣🤣🤣🤣
@JamesMichael-lg7qv9 ай бұрын
Mkojani mmejua kumuumiza Sele mpaka nimefurahi❤❤❤
@WilsonKihanga-jb5fb9 ай бұрын
Hata na mimi
@WilsonKihanga-jb5fb9 ай бұрын
Nimeenjoy
@RosemaryPius-cs5lh9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 sele anachekesha sanaa afu mkojani eti una manyonyoo
@MonaaOm9 ай бұрын
Sele mwenda tezi naomo maregeo ngamani😅😅😅
@HassanHassan-ix7cj9 ай бұрын
Mwenda Tezi na Omo Maregeo ni Ngamani 😂😂
@Awoshy9 ай бұрын
Mkojani janga lake unampikia makange😂😂😂🔥🤣👏👏😍
@Kijana_wa_hovyo_9 ай бұрын
Mwambieni sele Aje nimuuzie kamba za kujinyongea zisizochubua bei imekufaa kabisa.
@samsonmorris9 ай бұрын
Sele minilijua hutoboi 😂😂😂
@AbelFrancis-ww7cb9 ай бұрын
Wazee wazamani wanatumia nn😂😂😂😂
@yurry_meh89119 ай бұрын
We Selemani we sele sele😂
@Mohd-mv3vb9 ай бұрын
Sele ameyatimba 😂😂😂
@lunangabenjamin31219 ай бұрын
Mkojani bwege kabisa eti acha kubaki kifuwa wazi una manyonyo mbona na wewe njo una nyonyo kubwa kumzidi mwenao.
@HassanHassan-ix7cj9 ай бұрын
Sele atakufa na kiwewe😅😅
@RobsonWisdom9 ай бұрын
Chandimu anamaziwaaaa😂😂😂😂😂😂😂
@mishymorgani58289 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kama chizi jamani chandimu !!!!!!kimekukuta kitu pumbavu wewe😂😂😂😂😂
@HassanHassan-ix7cj9 ай бұрын
Eti jinsia mbili tafauti 😅😅😅😅
@RadhiaJumanne-d5e8 ай бұрын
😂😂😂😂 nimeipenda hii wallah
@munirachangawa29289 ай бұрын
Mkojani nyie kiboko yani muko juu kama bendera mlingotini
@issahaji87159 ай бұрын
😂😂😂 sele pole sana kula kwa macho tu
@lovenessfracis9 ай бұрын
Mkojani movie nzuri lkn vipande vifupi mno walau weka dk15-20 basi jamniii😢❤
@Asma-m1j9 ай бұрын
😂😂😂😂 Seleman we sele sele😂😂😂
@husseinissa46429 ай бұрын
Nani anajuwa iyi Mukojani ndakwemera ur uwambere lack 🎉
@AbelFrancis-ww7cb9 ай бұрын
Nanje ndamwemera😂😂😂
@charityzed47369 ай бұрын
Vita n Vita muraa,,, nimependa hiy viora
@Julyoman9 ай бұрын
Nawapendea hapo hamcheleweshi kazi😂😂
@HassanHassan-ix7cj9 ай бұрын
Wa ngapi wamegundua Mkojani anatumia sauti yake halisi ❤ Like
@evancengimbwa73279 ай бұрын
Mkojani🙌🔥🔥🔥🔥
@LucyRafeali9 ай бұрын
Move nzuli hii inafundisha sana 😅😅😅😅
@aminielsaidi80159 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Seleman kapigwa na kitu kizito kichwani
@Professor.Irene959 ай бұрын
Mkojanii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 movie nzuli sana😂😂😂😂😂😂
@VarelianGarus9 ай бұрын
Ongeza dakika bwana mkojani
@lulumpenja4599 ай бұрын
Sele mpaka umeota maziwa khaaa
@hilalimohammed93969 ай бұрын
Bado anaendelea kukaa tu. Maana Ayo mapenzi Yao ni adhabu kubwa kwake😂😂😂😂
@Joseph-ngei9 ай бұрын
Ooohooo I like it 😅kama umeskia hiyo gonga like
@SenedaShekali9 ай бұрын
😂😂 anjipitisha n manyonyo tuta harrus
@AnniesChimuliwo9 ай бұрын
Mkojani we ni noma sana ausheleweshi kazi ku post kama wengine big up bro
@beatricejoy56829 ай бұрын
😂😂😂😂 nimecheka mpaka basi
@IsmailBakar-lu9qw9 ай бұрын
Seleman wew sele sele atakula jeuri yake 😂😂😂😂 8:41
@twahaanyoni91209 ай бұрын
Sele kayatimba 😂😂😂😂
@Owsm-Owsahm7 ай бұрын
😭😭😭Owns hot with quick race open as
@AndrewRichard-e1c9 ай бұрын
Acha afeeee jamani nasisi wanaume tujifundishe kupitia huyo
@FaridaOngala9 ай бұрын
😂😂😂 mkojani nakupenda
@presentertelence16799 ай бұрын
Kenya tunasema Kimemramba Chandim
@HassanHassan-ix7cj9 ай бұрын
Kabisa😅😅
@ahmedsalim75259 ай бұрын
Mkojani na VIOLA Wamemuonyesha UKENGE SELE😅
@tumainimalima81128 ай бұрын
oyaaah ni zaidi ya ukenge😂😂😂
@Asma-m1j9 ай бұрын
Nina wazo Sasa huo wimbo inabidi ubadilike, sasaivi wimbo ni seleman we sele sele😂😂😂, weka like kama mmeupenda wimbo huu
@AbelFrancis-ww7cb9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@hemedykayonko41099 ай бұрын
Huo ukilya sasa
@hemedimohamedi42509 ай бұрын
Mi nahisi wimbo unamaanisha mkojani atakuja kujuta badae nahisi ngoma
@Asma-m1j9 ай бұрын
Kweli wanaweza kurudi Ana Aveola Na sele, nitaaminikweli kipendaroho hula Nyama.... 😂😂😂
@katabaroonlinetv96889 ай бұрын
Wazo lako zuri Sana shida ule wimbo Una hati miliki wakiutumia inaweza kuleta shida
@Emmymajula58389 ай бұрын
Mkuyati😂😂😂🎉🎉❤
@Legends_Interviews9 ай бұрын
Sele kakomeshwa😂😂😂
@dirmkamani9 ай бұрын
Nimeipendaaaaa!!!!!
@hakizimanaferuzi27599 ай бұрын
Sele toka tutakufa na kihoro
@BagenzaAsmani9 ай бұрын
Sele imba zile nyimbozak sele mani we seleeee 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 mimi wakwanzaaa like zang munip
@salimally28239 ай бұрын
Chandimu upunguze Manyoyo mdogoangu..piga pushup mzee baba
@iddi299 ай бұрын
Sawa mwanangu sele duuh 😂😂😂😂😂
@LiberatusDamas069 ай бұрын
😅😅😅😅hii ni kupigwa na nyundo kichwani
@IsmailBakar-lu9qw9 ай бұрын
Seleman wew sele sele atakula jeuri yake
@kelvinmollel28759 ай бұрын
Akiii mkojani kwenye chumba cha nne umenivunja mbavu
@dotoomary68899 ай бұрын
Sele nguvu zimemuishaaa hakutegemea
@IliiKalunda-eq2js9 ай бұрын
Ahahaha kajifunza fala malipo hapahapa duniani wivu wa nini sele mke umeacha mwenyewe lakini lingine nyie ni majiniazi mnatukimbiza kweri hongereni😮😮😮😮
@MariamMohamedi-z2u9 ай бұрын
Du sele analakufanya
@mussaMbwego-lz9hd9 ай бұрын
Hapo ungeweka neno mnkambi ungeewaacha watu hoi vibaya mno
@AbelFrancis-ww7cb9 ай бұрын
Kwer mkojani nilevo nyingine
@cyprianyinnocenty20029 ай бұрын
M wa namb kamili 40 nipen like 40 tuuu! Zikifik 40 muache ku c0mment Ila all in all mk0jan kaupig Mwing 😁😁
@abuuqamar589 ай бұрын
Sele ungeondoka 😂😂
@BenicialInc9 ай бұрын
Nimependa sana hiyo
@jacquelinelekule4269 ай бұрын
mpk raha mkojani kibokoo selemani wee sele sele😂
@MuntazSaid-nx2ds6 ай бұрын
manyongo😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
@hafsamussa3339 ай бұрын
Sele utakufa taratibu nakwambia 😂😂😂
@JuneGuy2068 ай бұрын
Mbn hivoo😂😅😅
@hafsamussa3338 ай бұрын
@@JuneGuy206 🤣🤣
@EmmanuelKunzugala9 ай бұрын
VIOLA WANGU JAMAN KAZAMA PENZIN 😅🤣😂🤣😅😅😅
@AdmiringBamboo-pf5sd8 ай бұрын
Seleeeee😂😂😂😂😂
@InnocentArmadillo-do9vm9 ай бұрын
Team mkojani gang mnajua kinoma.
@MussaRasul9 ай бұрын
Sema yataka moyo sana Yani kuishi na aliyekuwa mume wa mke wako hawakawii kukumbushia
@StanleyaStella9 ай бұрын
Amna kitu kama icho hawawezi
@SaudaAdam9 ай бұрын
Yaan bd sele mpk aseme😂😂
@dannytohjoh59849 ай бұрын
Wa kwanza leo🎉🎉🎉
@abuuqamar589 ай бұрын
Mnachelewa leo iko wapiiiiiiiiii
@HvgUgg-w1p9 ай бұрын
Sele zamu yako yakulia sai
@Zuansh22789 ай бұрын
Daaa utasema km kweli kumbe wanaigiza mpk huruma
@Zuansh22789 ай бұрын
Mpk machozi yamenitoka
@AbelFrancis-ww7cb9 ай бұрын
Sere limemukuta jambo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PrinceJambia-tv1zw9 ай бұрын
Nikiangalia muvi za mkojani nasahau kuwa kuna mapenz