SEMAJI AHMED ALLY AELEZA MAZITO"ALIYEONDOKA SIMBA HANA MCHANGO KWETU|MUKWALA JITU LA BOLI |CHAMA.

  Рет қаралды 21,419

bongotzfm

bongotzfm

4 күн бұрын

"Mwamba wa Lusaka @realclatouschama tunamuheshimu na tunampenda" AHMED ALLY
#simbafans #nbcsports #timuyawananchi
#timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #simbasc

Пікірлер: 26
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 2 күн бұрын
Speed Speed, aquracy passes... muhimu sana kwenye timu.. mpira wa pasi za taratibu zitawagharimu.. mpira wa taratibu umeshapita timu zinakimbia kwa umakini
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 2 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉WAKALI WA KARIAKOO
@kassimkibwe4614
@kassimkibwe4614 Күн бұрын
Bora chama ameondoka, Tena tumechelewa kumuondoa🎉🎉🎉
@HospiaceMata
@HospiaceMata 14 сағат бұрын
Simba cyo kinyonge wajiandae sanaaaaa😢
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y 2 күн бұрын
Simba Uongozi uache tamaa waungane waache tofauti zao za maisha wote watembee pamoja hata wachezaji watakaa kwa Amani bila bugza kuwachomolea posho zao Mungu anawaona acheni
@BarakaDeus-gt8hr
@BarakaDeus-gt8hr 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@justinmwanyingili8073
@justinmwanyingili8073 13 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Tuko pamoja
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 күн бұрын
Bwana waziri anakula huyu binti daaaa!
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 2 күн бұрын
Hata fei akiondoka yanga akaja azizi kii na azizi alikua benchi sembuse uyo mzee Tena chiba
@SanziNzige
@SanziNzige 2 күн бұрын
Chama alitugharimu Sana kwenye.5.za hongo alihongwa psmoja na inonga Manila na wengine wengi tinawajua sense mpuuzi huyu.
@MuammaryAbdalla
@MuammaryAbdalla 2 күн бұрын
maandaliz ya simba day yameanza ila timu bado haijaenda kwenye maandalizi
@justinmwanyingili8073
@justinmwanyingili8073 13 сағат бұрын
Sana ilitakiwa atoke toka mwaka jana mbona atujaona msada wake apo
@SautiYanguJr
@SautiYanguJr 2 күн бұрын
Ila Irene 😂,., tulia sasa😂
@user-sx2hv1vz5e
@user-sx2hv1vz5e 15 сағат бұрын
Duu MUNGU akusamehe Sana Huu Ni mpila na Maisha mengine yanaendelea Matusi ya nini ,,,,,,baada ya kutukana umelipwa nini ,,,,, Achani matusi kuweni na AMANI na watu wote Tanzania hatuji Vita MUNGU ibariki Simba MUNGU ibariki Tanzania Mbarikiwe na usk mwema
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt Күн бұрын
Hapa watu hawaulizani mambo ya mke wa mtu wanaulizana mambo ya wachezaji. Hayo ya mke wa nani utajuwa ww
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 күн бұрын
Chama mali na kama mtabeza sasa mtamwongezea kasi kama kumpiga teke chura
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c 2 күн бұрын
Huyu mwandishi ni mtoto wa ana kilango mke wa malechela?nauliza jmn
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 2 күн бұрын
Hata mm najua hivo unavofikilia
@joshuamtagwa347
@joshuamtagwa347 2 күн бұрын
Ndo hivyo
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 2 күн бұрын
Sio kweli na hawana undugu!!!ni mtoto wa kilango tofauti!!wazazi wake wapo Mbezi Juu!!!na wadogo zake !!!wakina Kilango ni majina makubwa ya kikabila tu
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 2 күн бұрын
@@josephatjordan5560 ok sawa
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 2 күн бұрын
Hahahahaha 😂😂😅🤪 mjinga kweli wewe Ahamad Ally na mdomo wako. Wakina Onana wako wapi? Wakina Lwambangoma wako wapi? Ulikuwa unaongea hivihivi mwisho wa siku nafasi ya tatu . Nyie mafala kweli mikundu wa msimbazi.
@NeymaTarimo-uk1zw
@NeymaTarimo-uk1zw 2 күн бұрын
Daaaaa mbona matusi ivyo ndugu yangu
@user-wl8uu4dw6n
@user-wl8uu4dw6n 2 күн бұрын
Mbona matusi yote yanini jaman
@RokiPeter
@RokiPeter 2 күн бұрын
Matusi yanini kama humpendi siunyamaze tu
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 44 МЛН
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
AHOUA JEAN CHARLES
4:22
Thierry Djodjo
Рет қаралды 81 М.
Kids of Players Wonderful Moments ❤️
0:20
Air Football
Рет қаралды 58 МЛН
Et toi ? Joue-la comme Pavard ! 🤪#shorts
0:11
Fédération Française de Football
Рет қаралды 1,9 МЛН
Ronaldo’s Father 🤍
0:20
midaillyfootball
Рет қаралды 5 МЛН
ПРОДУМАЛ ТАКТИКУ
0:16
В ТРЕНДЕ
Рет қаралды 14 МЛН