Sera ya Marekani dhidi ya China haijabadilika | VOA Swahili

  Рет қаралды 3,082

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Sera ya Marekani kwa China haijabadilika kutoka utawala wa Donald Trum mpaka kwa Joe Biden - huku marais wote wawili wakiiona China kama mshindani mkubwa sana wa Marekani. Lakini katika ushindani kwa rais ajaye, Kamala Harris na Donald Trump wametofautiana kidogo katika mwelekeo kwa taifa lenye nguvu duniani.
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
»Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili...
»Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
»Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
»Tufuatilie katika X: / voaswahili
»Tufuatilie katika KZbin: / @voaswahili

Пікірлер
Hofu ya Vita yatanda Mashariki ya Kati
30:01
VOA Swahili
Рет қаралды 73 М.
Umebaki chini ya mwezi mmoja Wamarekani kufanya uchaguzi wa rais
3:59
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,8 МЛН
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 2,5 МЛН
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 4,3 МЛН
Hofu ya vita yatanda Mashariki ya Kati | VOA Swahili
30:01
VOA Swahili
Рет қаралды 11 М.
Mossad's Deadliest Mission: The Hunt for al-Wazir | Real Crime
48:45
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 41 М.
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Hassan Nasrallah Mwiba uloinyima usingizi Israel Umeanguka
19:11
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 16 М.
NIPASHE WIKENDI | Gachagua apanga kujitetea
40:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 90 М.
MTANGA NA BAMBO ,OMBA OMBA WATATA ,HII KALI YA KABISA.
11:46
MTANGA COMEDY TZ
Рет қаралды 3,4 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,8 МЛН