Congratulations Sana Waziri wetu wew mtu wa pwani kabisa ubarikiwe
@sakaraboy89514 күн бұрын
Kauli ya wazir wetu ambaye ndio mbunge wetu.... Mkulanga, Naamin itatendekaa kwa haraka na viwango .... Soon nasisi tutatoweka ktk hadha ya foreni.... Asante sana Mh. Wazir
@SATZ-news5 күн бұрын
Kwa ujenzi tuu Tanzania sasa kazi inafanyika ❤❤❤ Let's fix our country💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃mpk waseme Na usafi watu wangu tuudumishe haswaaaaaa soon tushike nafasi ya kwanza Afrika 🌍
@peternassari76343 күн бұрын
Haswaa
@hassanlikwenangu84713 күн бұрын
DAR ndo mpango mzima,DAR Oyeeee!!!
@JactonKai3 күн бұрын
mheshimiwa mbona mmejenga kipande kidogo mm nowaombe tujengeeni Hadi vikindu mnara wa Vodacom itasaidia sana MUNGU wabariki.
Utapongezwa kazi ikianza. Mashetani wasiopenda mipango mizuri ya Serikali watakaposhindwa kupeperusha huo ujenzi.
@felixjohn43123 күн бұрын
Epukeni kuweka nguzo nyingi kama daraja la jangwani igeni daraja la Riverside hapaja ziba maji
@hamisilukanda10083 күн бұрын
Tunashukuru najua mwanadamu katika kupata hatosheki ila nilipenda mradi ungefika kisemvule au ata vikindu ingekuwa safisanaa
@hamishassan67844 күн бұрын
Mkuu ukilifanyia kazi hilo naamini utakuwa kwa kiwango kikubwa umekidhisha kiu ya Watanzania wengi wa mikoa ya kusini, mkuranga, kongowe na maeneo ya karibu yake, Allah akuwezeshe hilo wewe na Serikali yetu tukufu
@luswagawamba22324 күн бұрын
Vikindu sangatini tafadhali hebu rekebisha mzee hata usiwekee lami wekokoto tu
@RapheeMohamed5 күн бұрын
Waongo kila mwaka wanasemaga hivo hivo ila baadae unaona kimya shida kubwa kwa upande wa njia za kusin hazipo kipaumbele sana tofauti na njia za kaskazini angalia kule njia ya kutoka ya mbezi kule tofauti na huku Mbagala