Serikali ya Tanzania yafikia makubaliano na wafanyabiashara.

  Рет қаралды 17,227

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Hata baada ya jana serikali kutangaza kufikia makubaliano na wafanyabiashara, taarifa kutoka baadhi ya maeneo hapa Dar es Salaam na mikoa kama Mbeya na Mwanza zinasema wafanyabiashara wamendelea na mgomo.
Mwandishi wa BBC Sammy Awami alizungumza na Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Dar es Salaam Riziki Ngaga kupata undani wa madai yao.
#bbcswahili #tanzania #kariakoo
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Пікірлер: 51
@marwajoseph8060
@marwajoseph8060 3 ай бұрын
Kweli kabisa me nashangaa sana eti asimilia 18 bila hata kuangalia ni faida gani inapatikana
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 3 ай бұрын
Huyu jamaa ni kichwa. Serikali msikilizeni vizuri mfanye marekebisho maisha yaendelee
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 3 ай бұрын
Si kweli kuwa hawa ccm hayo hawayajui kulazimisha kodi huo ndiyo upigaji wao yaani wizi mkubwa kupita kiasi
@salamasefu5494
@salamasefu5494 3 ай бұрын
Kweli kbsa wamachinga wasikae karibu na wanaolipa kodi uko sahihi kbsa
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 3 ай бұрын
Serikali inawatengenezea watu njia ya Kula rushwa na kufanya wizi. Kodi nyingi hazifiki serikalini zinaishia mifukoni mwa watumishi wa TRA
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 3 ай бұрын
Umeongea point sana kuchanganya dagaa na samaki ni ngumu kutofautisha harufu zao.
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 3 ай бұрын
UMeongea vizuli sana sana
@shivobs4485
@shivobs4485 3 ай бұрын
Sahihi kabisa wanazingua sana
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 3 ай бұрын
Hakuna makubaliano bado BBC sema ukweli angalia mtangazaji anajificha
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 3 ай бұрын
Uko sahihi msemaji .serikali ijisahishe
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
Samia sio mama Yako kwasababu ndiye anatia Saini mnaanza kusumbuliwa na TRA halafu yy anakaambali anajifanya haoni
@tashone7884
@tashone7884 3 ай бұрын
Serikali imeshindwa biashara zake zote na zilizopo kila mwaka kuongezewa ruzuku. Bishara ni ngumu tusikilizwe
@devangandhl2255
@devangandhl2255 3 ай бұрын
Safi sana
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 3 ай бұрын
BBC leo mnashindwa kusema ukweli hali si shwari yaani tushwa mbaya sanaa mmelishwa nini mbona kwa JPM mlikuwa wanazi sanaaa
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 3 ай бұрын
Dogo umeongea vizizuli sana mwigulu na laisi wa chukue mawazo sofi umesahau osha na kushusha kontena mutu anashusha mzigo aliolipiya nakushusha alipe mbumbu hao dawa ni kuzi chapa j.makamba nape lidhiwani hawajasema sawa
@salamasefu5494
@salamasefu5494 3 ай бұрын
Kaka umeongea point maneno kamili .recpet
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 3 ай бұрын
Tozeni Kodi BANDARINI na VIWANDANI Kwa kiasi mtakacho ili bidhaa ikifika mitaani isibugudhiwe iwe ni kuuza tu. mfano mkitoza kilo Moja ya sukari sh. 500 kiwansani iwe imeishia kule huku mitaani ikauzwa 3000 sisi tutajua ni elfu 3.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 3 ай бұрын
Wasenge hawa. Wafanyakazi Sekta binafsi wanalipa kodi kubwa sana; PAYE (pay as you earn). Hawalipi kodi wanalilia tu. WAFANYABIASHARA NI WADANGANYIFU LINAPOKUJA SUALA LA ULIPAJI KODI. UKISEMA WALIPE KODI BAADA YA FAIDA, SAHAU. NEVER EVER WATALIPA HIZO KODI. KILA SIKU WATASEMA WANAPATA HASARA
@devangandhl2255
@devangandhl2255 3 ай бұрын
Ulipe City service halafu ulipe malipo ya kuzoa takataka parking .halmashauri wanafanyia nini hizo pesa?
@amosmangura
@amosmangura 3 ай бұрын
Mwanza watu wamewekwa ndani 50000 faini 250000 several da ilemela yaani inaumiza yaanu zinauma sana japo nwamelipa basi ukandamizi
@andreap.assenga8480
@andreap.assenga8480 3 ай бұрын
Hizo sheria mbovu zinaonyesha kwamba rushwa tz haiwezi kuisha kutokana na mfumo mbovu fain ambazo hazilipiki milele
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 3 ай бұрын
Ila Kenya
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 3 ай бұрын
Wazee wa ndio ni wengi bungeni
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 3 ай бұрын
Serekali in ubaguzi inabagua raia zake kuna wanaostahiki kulipakodi na wanaopewa huruma na serekali wasilipe kodi
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 3 ай бұрын
HIZI TAARIFA DODOMA ATUNA. NDIYO TUNAZISIKIA KWENU
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 3 ай бұрын
Kodi itozwe BANDARINI na VIWANDANI Kwa kiasi watakacho ili bidhaa ikifika mitaani izwe bila kugudhiwa hapo migomo hii isingekuwepo kabisa!
@hurumalunda2490
@hurumalunda2490 3 ай бұрын
Nisikilizenii watanzania,,TRA sio tatizo. Tatizo no Wawekezaji wa kihindi na kichina ndio wameharibu biashara ,,tunashindwa kusimamia bei kwa sababu Yao wawekezaji Hadi wateja wamekuwa na kiburi..
@samirhumud7408
@samirhumud7408 3 ай бұрын
Uwo ni ubaguzi jee wew ukibaguliwa utaridhika?Kwani awo ndio wameweka kodi?Usikurupuke kutoa maoni akili ndogo
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 3 ай бұрын
Tanzania ni ya ajabu utakuta.wanayafikia hadi maduka ya mitaani,haya maduka pipi,,ambayo hata mtaji wake haufikii millions mbili,watu wanakamatwa wanachukuliwa hela zao,rushwa imetamaraki
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 3 ай бұрын
Uchaguz wa mwakan inatakiwa wapiga kula wawe na TN number na uchaguz usimamiwe na wafanyabiashara kusudi mbunge na rais atakaeingia madarakan awe na uchungu wa Kodi znazokusanywa na matumiz yawe yenye tija sio Leo hii rais anaenda kukopa nje then pesa znaenda kwenye matumiz yakawaida badala yakuzalisha faida itumike kulipa den
@Man_of_valor
@Man_of_valor 3 ай бұрын
Let's try to reduce transactions using cash!
@sirajimsuya6226
@sirajimsuya6226 3 ай бұрын
Kinachonikera ni service levy
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 ай бұрын
Mpaka gari bovu linaandamwa na tre pale mwandege kucha magari yanaparasuwa pale bagamoyo kutwa tre inaparasa madereva dhuluma imezidi
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 3 ай бұрын
Subili Wana cheza na machinga watahalibu nchi hii
@joshuaburton6599
@joshuaburton6599 3 ай бұрын
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 3 ай бұрын
Hao machinga wengine mitaji yao mikubwa kuliko wanaolipa kodi
@JundikiFoodproduction
@JundikiFoodproduction 3 ай бұрын
Hapo kwenye kukadiriwa mauzo ghafi inaumiza, hawaju una losse una wafanyakazi,kodi ya pango, osha, fire, manispa, mishahara,bili za maji umeme nk, malipo ya nssf kwa wafanyakaz gharama za uendeshaji marejesho ya bank nk
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 3 ай бұрын
Yesu awape loho ya huluma watu pesa za kausha damu ni shda tena halimashauli nazo zina kuwa kausha damu
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 3 ай бұрын
Umesema vizuli sheliya na sela ya biashara awepo mufanya kazi mukulima mfanyabiashara kama sela inavyasema Sasa machinga halipi Kodi mama lishe halipi Kodi zaidi ya kuchagua Jiji anae taka kujiaajili ajiajili Kwa vitu hivyo vitatu bila hivo ccm mutasambalatika
@RuthCharles-u4j
@RuthCharles-u4j 3 ай бұрын
Kweli service levy ya nn nikama kodi ndogo ulipe tra ulipe manispaa kwel
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 ай бұрын
bado watu wa fire
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 ай бұрын
pia Reseni
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 3 ай бұрын
Hivi nisawa kitu kimoja kitozwe naTra mara nne, bandalini kitozwe, kwenye duka la jumla kitozwe kikifika kwa wa rejareja kitozwe, ndiyo maana vitu bei.
@dennismwakilembe5800
@dennismwakilembe5800 3 ай бұрын
Point sana ndugu yangu
@zully756
@zully756 3 ай бұрын
Beira msumbiji bandari ipo
@devangandhl2255
@devangandhl2255 3 ай бұрын
Ndugu City service inabidi ibakie kwa Impoter au waagizaji wa mizigo viwanda mahoteli any wauzaji huduma siyo maduka ya jumla na rejareja.
@mariamshaban4518
@mariamshaban4518 3 ай бұрын
Nyinyi wakinga semeni shida zenu msituchanganye na sisi machinga kama mmegoma rudini kwenu mbea kenge nynyi
@karimjuma4019
@karimjuma4019 3 ай бұрын
Akili huna kenge ww
@SaimonJohn-fi8tp
@SaimonJohn-fi8tp 3 ай бұрын
we huelewi kitu mamba ww unadhani wamaduka makubwa wakifunga we utanunua wap hizo takataka zako
@mariamshaban4518
@mariamshaban4518 3 ай бұрын
@@karimjuma4019 endeleeni kufunga wachawi wakubwa nyinyi mnaacha kufanya biashara muneleta umbea mjini hizo flemu zenu mulizo ficha misukule ndani kama zimewashinda ludini kwenu mbeya kariakoo ni ya kila mtu fisi wakubwa nyinyi
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 105 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3 МЛН
Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
5:57
Millard Ayo
Рет қаралды 951 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 581 М.
Language Review: Arabic
21:44
Language Simp
Рет қаралды 321 М.