#SGR

  Рет қаралды 15,562

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@jacksonsamson3282
@jacksonsamson3282 3 жыл бұрын
Ooooooh!!!hatumalizi Kila mpango wenye maslahi ya kusaidia watu Mungu huwa ni mwepesi ku bless God bless JPM
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Moyo wa furahaaa..pamoja nami.
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 3 жыл бұрын
Nakupongeza sana Benn..unaripoti vizuri mno bila ya chenga...Mimi binafsi huwa natamani niwe narudia rudia tu kutazama clip yako....haichoshi aisee
@elinamilyatuu7493
@elinamilyatuu7493 3 жыл бұрын
Kabisa
@bahatidamiani561
@bahatidamiani561 3 жыл бұрын
JPM OYEEEEE
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Hapa kazi tuu , hakuna kuuza maneno matupu
@misschagga8042
@misschagga8042 3 жыл бұрын
Love from 🇫🇮🇪🇺
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Shida ni kwamba rais atakaye kuja baada ya Magufuli, atayaharibu haya.
@zawadix9574
@zawadix9574 3 жыл бұрын
Hizi trips kila siku acha wa fanye kazi jamani bongo pia
@singingbird8540
@singingbird8540 3 жыл бұрын
Congratulations to Mr President MUGUFULI one of the best in Africa
@nambuacassandramlaki3516
@nambuacassandramlaki3516 3 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@shingzyoung7288
@shingzyoung7288 3 жыл бұрын
Kaka nakubali comment yako unaikubali kinyama
@alexanderpius1992
@alexanderpius1992 3 жыл бұрын
Kweli kaka jpm lazima tufanye namna cc tunaitaj maendeleo, lazma tumuongezee muda!!
@ezekielanastatus1579
@ezekielanastatus1579 3 жыл бұрын
Tu onesheni stesheni ya dodoma
@bennykaselle5996
@bennykaselle5996 3 жыл бұрын
BENNO MWANANTALA LETE HABARI ZA UJENZI WA RERI MPANDA KAREMA ,ULITULETEA HABARI KUWA TRC IMEAMUA KUTEKELEZA AGIZO LA RAISI KUJENGA RELI HIYO NAJUA KIPINDI KIJANGINE UTATULETEA TARIFA YA MPANDA KAREMA
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 3 жыл бұрын
#VivaJPM!!
@mzalendo9678
@mzalendo9678 3 жыл бұрын
Mbona hii ya dar-morogoro haikamiliki tu?maana tuliambiwa itaisha 2019 lakini hadi sasa 2020 tunaelekea na 2021 na hakuna dalili ya kuisha tatizo ni nini?
@simonmanyelezi628
@simonmanyelezi628 3 жыл бұрын
Mm kumbukumbu zangu zinaniambia miradi hii mikubwa yote ilikuwa inaishia 2021
@mpandaboy2279
@mpandaboy2279 3 жыл бұрын
LOT 1 Inafunguliwa mwez wa 4 mwakani,, by waziri mkuu
@carlosn_tz
@carlosn_tz 3 жыл бұрын
Hapo Covid 19 imeihold constant?
@MARK-nh4hx
@MARK-nh4hx 3 жыл бұрын
Hi reli inachukua decades ...
@officialgivenjacksonngalla
@officialgivenjacksonngalla 3 жыл бұрын
Hivi decades maana yake?umetumwa nini?
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 3 жыл бұрын
Tatizo ni hizo asilimia ya Dar mpaka Moro asikimia 70 ilikaa miaka 3 asikimia 90 ndio usiseme mpaka sasa hivi mmeona uvivu kutangaza kabisa
@idrisaseiph3499
@idrisaseiph3499 3 жыл бұрын
Ujenzi wa reli kama hizi huwa unchkua mda
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 3 жыл бұрын
@@idrisaseiph3499 wao wamezidi sasa kutuongopea kwa mfano dar- moro walisema utakamilika mwezi wa 10, 2020 lkn mpaka leo hakuna kitu, wanasema mwezi wa NNE mwakani treni ya kwanza itapita lkn mie nasema kwa muonekano tu ujanzi wa dar Moro utakamilika mwezi wa 12, 2021
@simonmanyelezi628
@simonmanyelezi628 3 жыл бұрын
@@rajabmnyimwa3126 Rafiki kazi ngumu hata hivyo makadirio huwa yanatolewa na kama jinsi wanavyokwambia wanakabiriana na changamoto ambazo zinajitokeza na wala hawakuzitegema lakini pia kumbuka hicho kipande cha Dar hadi Moro unaambiwa kimeshafikia asilimia 90 na kitu.Kwasisi wanamahesabu umekula ng'ombe bado mkia huwezi kusema hujamla ng'ombe.
@momomella9845
@momomella9845 3 жыл бұрын
Makutupora ipo Dodoma sio singida
@justinecleophas2950
@justinecleophas2950 3 жыл бұрын
Hii ni ya singida sio dodoma
@besumitv8674
@besumitv8674 3 жыл бұрын
@@justinecleophas2950 ahsante sana KWA jibu zuri
@ibrahkimesu2402
@ibrahkimesu2402 3 жыл бұрын
Makutupora ipo pia Singida, ukiachilia mbali hiyo ya Dodoma. so hajakosea
Guinea Conakry: Life on the Edge | Deadliest Journeys
47:59
Best Documentary
Рет қаралды 2,2 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 35 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 27 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,8 МЛН
MKURUGENZI MKUU TRC AMEWAHUDUMIA ABIRIA WA TRENI YA KISASA SGR
3:07
Which brands are exploiting East Turkestan?
12:20
GZT
Рет қаралды 43 М.
RAIS SAMIA AUFUFUA MRADI WA MWAKA 1930 ULIOPO CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
4:17
Arusha Technical College
Рет қаралды 710
HUDUMA KWA WATEJA YAFIKA  KIKWETE STESHENI - MOROGORO
3:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 1 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 35 МЛН