SGR YAZIDI KUSHAMIRI- MOROGORO-MAKUTUPORA-TUPO ZAIDI YA 25%,MAMBO YAZIDI KUNOGA

  Рет қаралды 9,713

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 83
@jamesjames2368
@jamesjames2368 4 жыл бұрын
Ben (TRC), jinsi mlivyo mjibu huyo jamaa!! I salute you!!!
@YamunguYb
@YamunguYb 4 жыл бұрын
Mmetumia Akili sana kumjibu huyo mpuuzi Hapa Kazi tu
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Yamungu Athuman yaani zito wakati mwingine anajidhalilisha sana
@theinvestigator2995
@theinvestigator2995 4 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza naomba niandike comment you tube. Mh. Zitto unapoongea ujue kuna watanzania ambao wana akili. Unafanya press conference kupotosha umma. Na kwa comments za watu hapa chini naona umeweza kufauru japo sio kwa asilimia zote. Najibu hoja zako in a nutshell. Umesema deni Taifa linaongezeka. Lakini umesahahau kutaja kuwa na pato la Taifa linaongezeka kwa kasi ambayo haijawahi kuwepo hata kipindi cha Kikwete. Kukopa kunategema uongezekaji wa pato. Kama pato ni kubwa unakuwa na uwezo wa kukopa zaidi na kulipa. Weka siasa pembeni acha kulinganisha deni la Magufuli na Kikwete. Hata kikwete amekopa sana kuliko mkapa, mwinyi na Nyerere. Ukubwa wa deni la Taifa unapimwa kwa uwiano wa pato la Taifa na deni lilopo. Unaweza kuwa na deni dogo lakini kama pato la Taifa ni dogo unakuwa katika hatari kubwa ya kuingiza Taifa kwenye mgogoro wa deni (debit crisis) lakini Tanzania haiko hivyo. Acha siasa tuambie asilimia ya deni la Taifa na pato la Taifa ni asilimia ngapi alafu utuambie kama tuko kwenye debit stress au la! Najua unajua kuwa pato la Taifa ni himilivu ndio maana hutaki kutumia aslimia na unaweka siasa za kulinganisha deni la Kikwete na Magufuli. Unasema serikali ilifanya makosa kujenga reli kwa pesa za walipa kodi badala yake inge kopa kutoka bank ya Exim ya Uchina, hapa ndo nashindwa kukuelewa, unajaribu kuwapotosha watanzania kuwa deni la Taifa ni kubwa serikali haitakiwi kuendelea kukopa alafu wakati huo huo unasema serikali isitumie pesa zake kujenga reli badala yake ikope! Lakini pia naamini kabisa unajua ni kwann serikali ilikataa mkopo wa Exim bank kujenga reli kwann unaficha, kama hujui fuatilia ni kwann wachina walinyanganywa tenda ya kujenga reli na kupewa Waturuki. Pia bila shaka unajua tofauti ya reli iliyo kuwa imepangwa ijengwe wakati wa Kikwete na hii ya Magufuli. Pia umejaribu kufanya political hypocrisy ili kutengeneza chuki kati ya Magufuli na Kikwete kwa kusema Magufuli anaona kila kilicho fanywa na Kikwete ni cha kipuuzi na kupiga dili. Unajaribu kudanganya watanzania kuwa kilicho sababisha bank ya Dunia kuikadilia Tanzania kukua uchumi kwa 4% kutoka 7% ni kwasababu ya serikali kutumia pesa zake kujenga reli, lakini bank ya dunia waliomba radhi kuwa hizo 4% walifanya makadirio kimakosa kwasababu hawa kuingiza miradi mikubwa ya maendeleo kama ujenzi wa reli. Na walisema kupungua kwa ukuaji wa uchumi ilikuwa ni kwasababu ya kuzuiliwa kuuzwa kwa korosho na kuzuia kusafirisha makinikia nje ya nchi. Siasa za namna hii hazijengi nchi.
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Viva Jpm 2020 hiyooo naenda kujiandikisha faster
@fanuelngambiye1342
@fanuelngambiye1342 4 жыл бұрын
Hapa kazi tu
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Kaka Ben hongera kwa ubunifu wa kumjibu mpumbavu huyo Kaz kudanganya tu
@hawahawa8166
@hawahawa8166 4 жыл бұрын
Umemjibu vzr san 👏👏👏😂😂
@hdmtanzania2617
@hdmtanzania2617 4 жыл бұрын
Waapuuzi kama zito itafika mahali wananchi tutachukua sheria mikononi wapigwe kama waharifu wengine wezi wa kuku au wabakaaji maana hawa niwauwaji wanataka kuiangamiza Tanzania yetu, watu wenyewe washa jichokea hawafikirii future wanawaza matumbo yao nyambafu
@frankmtawa3817
@frankmtawa3817 4 жыл бұрын
Your very intelligent #Beny hujawahi niangushaaaaa hahahahaha😅😅😅 nmefrahi kwa majibu mazuri.... Mtu mzima unajiongeza
@frankluhu5322
@frankluhu5322 4 жыл бұрын
Watanzania tuache kusupport ujinga tulikua tunataka maendeleo sasa tunayapata na tunayaona kabisa lakini still watu tunakandamiza serikali inayoleta na kusimamia hayo maendeleo tunasupport viongozi wasiojielewa wala kujua nchi yao inaelekea wapi MUNGU MLINDE NA KUMSAIDIA RAIS MAGUFULI NA SERIKALI YAKE
@ozacsic2832
@ozacsic2832 4 жыл бұрын
Zito amechanganyikiwa maana hajui msimu ujua atakula wapi. Ig u cnt beat em join em JPM stay blessed. God bless Tz God bless JPM. K.majaliwa etc
@frankmtawa3817
@frankmtawa3817 4 жыл бұрын
Unazurura ugenini halafu unataka kuwa up to date..... Aibu yake
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 4 жыл бұрын
Yaani natamani watu wengi wangerusha hili jibu la TRC kwa Zito jamani. Ama kweli 2020 tutaona mengi kama February tu Zito kavurungwa namna hii ikifika October Milembe si itamhusu huyu !!
@ezmexplores
@ezmexplores 4 жыл бұрын
Hata Kama Ingekuwa Morogoro Jpm Anafanya Mengi Na Anampango Wa Kuleta Mengi Mazuri Sio Kama Ww Ambao Wazee Wako Wa Kigoma Wanavyosema Huja Tekeleza Lolote Uliyo Ahidi.
@benezeuskajwaula7306
@benezeuskajwaula7306 4 жыл бұрын
Mwambie huyo mlopokaj anayejichetua
@jamesjames2368
@jamesjames2368 4 жыл бұрын
Roman empire, haikujengwa kwa siku moja, ilijengwa kwa kipande na kipande, (mkoa kwa mkoa).
@michaelluoga3279
@michaelluoga3279 4 жыл бұрын
Zito fala sana yan, zaman nlkuwaga namwona wa maana, kumbe kichwa chake kimejaa konokono tu, cjui lipoje yan linanichefua htr
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Michael Luoga 😁😁😁pole nadhani ukiona sura yake unatapika kabisa😜😜😜
@barakarobert7003
@barakarobert7003 4 жыл бұрын
🐌🐌🐌🐌🐌👈😁😂🤣🤣🤣🤣
@evodiusrwenyagira9901
@evodiusrwenyagira9901 4 жыл бұрын
Huyu hana jipya anatafuta pakutokea anajua mwisho wake kisiasa umefika tamati kilichobaki ni kuwa kibaraka wa mabeberu
@veelusa
@veelusa 4 жыл бұрын
haaaa Safi sana kazi yake kuandika kwenye mitandao hata hana habari mambo yanayoendelea nchini. Siasa sinaweza kufanya mjinga
@progressivemetallicmineral4601
@progressivemetallicmineral4601 4 жыл бұрын
" Jamani watanzania wenzangu naomba msamaha kabla. Naomba niseme kwamba NAMCHUKIA ZITO BIN ZUBEIR KABWE kuliko Mtanzania yeyote na sababu ni tabia yake ya ubinafsi na UNAFIKI. kingine ni tabia ya kudhani ana akili kukiko Watanzania wote.
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 жыл бұрын
Dah! Haina haja ya kuomba msamaha umeongea fact 100%, japo mimi nimeoga maneno mabovu leo baada ya kupost kama wewe kwenye kipindi cha 360 alipokuwa akihojiwa muheshimiwa mstaafu mr Steven Wasira kuhusu zito, jamaa siku amekuwa ni mpotoshaji sana sana nilinshusha thamani kabisa kabisa aliposema eti serikali inyimewe mkopo wa kuboresha elimu eti kwasababu watatumia hela kwenye miradi ya chama tawala na hasa pesa inaweza ikatoka kipindi cha uchaguzi sasa kwa hiyo haitatumika kwenye maendeleo, haya hata mradi wa reli pia anadanganya eti ni dar to morogo tu maana yatu! Maana yake morogoro ndo mwisho na anawapatia waandishi wa habari kwa vile nao wanamihemko ya vyama na uweledi mdogo sana hawahoji maswali mazito.
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
progressivemetallic mineral bila samahani ndugu, we toa dukuduku😁
@geofreypatrick6667
@geofreypatrick6667 4 жыл бұрын
Safi sana Benn Mwanantala endeleeni kuwafahamisha maana bado wapo usingizini.
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 4 жыл бұрын
geofrey patrick Hawapo usingizini bali wamekuwa maiti ! Hawataamka!
@kolokochomwakyagi5113
@kolokochomwakyagi5113 4 жыл бұрын
jpm oyee
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Hahahahah mtangazaji ww ni mzalendo Nimependa ulivo mjibu jamaa ambaye Hana data na habari za nchi yake, Safi sana kwa pamoja Tunasonga, mnaopotosha wanannchi kwa ajili ya matumbo yenu hizo enzi zimeisha tunaona wenyewe cu October..
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 4 жыл бұрын
Mbona zito amezidi na uongo? Hivi anawadanganya Warundi au wakongo. watanzania tuna mcho na tunajua hiyo reli moyà mwisho wake wapi.
@allenmsuya002
@allenmsuya002 4 жыл бұрын
Nyau huyo sijui kachawi umekajibu vizuri
@frankmtawa3817
@frankmtawa3817 4 жыл бұрын
Umenikoshaaaa😅😅😅😅 najua Watu wengine hawakuelewi #Beny
@dwesemizaikesk
@dwesemizaikesk 4 жыл бұрын
BEN kunywa maji baridi popote wambie nakuja kulipa. best and smart reply ever!!!
@munarnkungu8654
@munarnkungu8654 4 жыл бұрын
uyo mkimbizi atakuwaje na taarifa wakati nchi hii cyo yake ahahahah baba shushua ilo zimwiii ahahah
@EmmanuelHaulenjombe
@EmmanuelHaulenjombe 4 жыл бұрын
💪💪💪
@hdmtanzania2617
@hdmtanzania2617 4 жыл бұрын
Atajulia wapi mda wote anawaza wazungu tu ajipendekezaje, hafatilii maendeleo ya nchi yake paka shume huyo
@petershayo3852
@petershayo3852 4 жыл бұрын
ben uko zuri sana l salute you bro hahahahahahahhahahahahaha hapa kazi tu jpm juuuuuuuuuuuu
@pauldaniel5685
@pauldaniel5685 4 жыл бұрын
Mnapoteza muda kumjibu huyo zitto mumuache kama alivyo. Na wanao muamini muwaache pia maana kila mtu na zake.
@ericbon5465
@ericbon5465 4 жыл бұрын
paul daniel kweli asee
@dachjunior4766
@dachjunior4766 4 жыл бұрын
*NGOJA AJIBIWE MAANA WAKIKAA KIMYA UONGO WAKE WAWEZA KUAMINIWA KUWA NI KWELI*
@renatusmisigaro6332
@renatusmisigaro6332 4 жыл бұрын
Usimjibu tena huyo jibwaa! Nipot wangu Ila nahis anachanganyikiwa sikuiz silipend!!
@april7teen
@april7teen 4 жыл бұрын
Dah!! 😅 Kumbe BEN MWANANTARA na wewe unafki unauweza 🤣🤣🤣🤣🤣 ulivyotokea sasa na hiyo Alaaaa yako 😆😆😆
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@SalmaSalma-nb2cv
@SalmaSalma-nb2cv 4 жыл бұрын
Jibu limeenda shule😂😂😂umemsuta utam
@geofreymhina1821
@geofreymhina1821 4 жыл бұрын
Nimecheka sana huku
@geofreymhina1821
@geofreymhina1821 4 жыл бұрын
Wenzao wakienda kutembelea mradi wao wanaenda nje kupiga majungu watakula majungu yao."kanyaga twende jpm"big up mwanantala.chagua unataka u DC wapi.
@corrolesscps
@corrolesscps 4 жыл бұрын
Huyo Nae sijui Zito Kabwe kaishiwaaaa. Akajambe mbelee kule kwa Master zake huko Ulaya Marekani na Canada, Magufuri ni Thomas Sankara wa Africa na Tanzania kiujumla
@abbyjustine7906
@abbyjustine7906 4 жыл бұрын
Wanasiasa kazi yao kudanganya saiz kadanganye walevi wakijijini we are new Generation
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 4 жыл бұрын
Ndio maana JPM alipiga marufuku Siasa,hawa jamaa ni washenzi kwelikweli.
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Kweli kabisa na alikuwa sahihi.
@kkhalifairumba2932
@kkhalifairumba2932 4 жыл бұрын
Huyo zitto ni mpuuzi wa mwisho kazi yake kupinga tu anatafuta umaarufu wa kijinga,awasadie hao watoto waliopata mimba mashuluni kuwalipia kama anaubavu au ndio amesababisha na wengine wasipate elimu
@ezmexplores
@ezmexplores 4 жыл бұрын
Hana Lolote Hata Hao Waliopata Mimba Hawatetei Ila Anawatumia Kuleta Hoja Zake Za Kipumbavu.
@edwardisack1890
@edwardisack1890 4 жыл бұрын
Ogopa technolojia aiseee
@dibya20
@dibya20 4 жыл бұрын
Hahahaha ZITO kweli Umekuwa mzito hata kwa jambo hili dogo tu au hata smartphone hana nini? Inamaana sisi tunaomaliza mb zetu humu kucheki kila mwezi na kila taarifa hapa reli tv ni mapoyoyo hatuoni n vipofu,. NYAU kweli ZITO
@edwardmasangi1214
@edwardmasangi1214 4 жыл бұрын
Kwani magutupola IPO Dodoma au siginda?...
@dibya20
@dibya20 4 жыл бұрын
@@edwardmasangi1214 makutupora ipo ya Dodoma na singida pia.. hivo basi SGR itaishia makutupora ya SINGIDA sio DODOMA
@althomtegah9512
@althomtegah9512 4 жыл бұрын
Hv kumbe haya majina tunayowachagulia waneno tuwe makini kuna wakina Zitto wengine kwel🤔 hakiya Mungu stosubutu kumpa mtoto jina kama hili
@edwinjohn6000
@edwinjohn6000 4 жыл бұрын
Hahahaha nimeipenda hii
@phillipmatola6964
@phillipmatola6964 4 жыл бұрын
ha h a ha ha ...zitto mnafiki kweli kweli...Anatabia za kimalaya Malaya hivi..
@sumadesigner7036
@sumadesigner7036 4 жыл бұрын
😂😂😂umemjibu poa
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 4 жыл бұрын
mfahamishe huyo alikua kalala hahahahahah
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Benny😁😁umemjibu vizuri muongo wakitaifa, mbunge wa Twitter
@frankluhu5322
@frankluhu5322 4 жыл бұрын
Mwanasiasa anasema reli inayojengwa n dar morogor2 pumbavu sana ttz wapinzani wanasem2 bila kufikiri uyo jamaa akili zilo saiz kachoka
@Uswahilini583
@Uswahilini583 4 жыл бұрын
hahahahaha hatareeeeee
@TheAlman
@TheAlman 4 жыл бұрын
kwani huyu zito anatafutanini
@richardtv8339
@richardtv8339 4 жыл бұрын
Hahaha 😂😂😂🔥
@Wastara001
@Wastara001 4 жыл бұрын
Zito ameanika ujinga wake
@godfreyleonad7437
@godfreyleonad7437 4 жыл бұрын
kunamijitu mijinga moja wapo hili
@idrisaseiph3499
@idrisaseiph3499 4 жыл бұрын
Jibu zury mlompa nmfrah san
@maulidmussa8969
@maulidmussa8969 4 жыл бұрын
Ata yanayoendelea ktk nchi yake hayajui dah
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 4 жыл бұрын
Sokwe kutoka virunga mountains. Hajitambui.
@josephsoka1565
@josephsoka1565 4 жыл бұрын
Huyu Mwanantala kiboko!! anayekupigia mixer mpe tip ya kutosha! upo juu duh!!
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 4 жыл бұрын
Hahahaha jamaa ameishiwa kwelihuyu zitto anatamani nchi ifeli lakini ameula kwachuya
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Hahahaaaaa.
@razilsultan
@razilsultan 4 жыл бұрын
Jamaa anakera mpaka basi anajikuta yeye ni genus kuliko mboye
@eddechriss2664
@eddechriss2664 4 жыл бұрын
Ben huyu Jamaa wala usingemjibu, kwani siku zinavozidi kwenda yeye anazidi kuchanganyikiwa
@dachjunior4766
@dachjunior4766 4 жыл бұрын
*AJIBIWE TU LABDA SIKU MOJA AKILI ZITAMREJEA*
@revocatusedward5739
@revocatusedward5739 4 жыл бұрын
Yaani hii clip nimeipitisha mtaa mxima huku kwetu maana ni kijijini ili watu wajue kabisa kwamba hapa duniani shetani kapamba moto kuwatumia watu hasa sura mbaya
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 4 жыл бұрын
This is why i keep on saying Zitto is a useless Politician he doesn't know what he keeps on talking about now he pick Railway issue to start lying to people.
@mrishogange4276
@mrishogange4276 4 жыл бұрын
Yan nilivyo ona sura ya uyu mbwa kabla ya video kidogo ni unisubscribe Chanel yenu, ila mmemjbu vzur sana nyau huyu
@mwinshame
@mwinshame 4 жыл бұрын
Halafu anataka kua rais wa nchi. Mtu mungo namna hii
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Kaka Ben hongera kwa ubunifu wa kumjibu mpumbavu huyo Kaz kudanganya tu
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
The Strongest Militia in the Middle East
13:49
Johnny Harris
Рет қаралды 835 М.
Christian population by country 2024
8:10
Data pool
Рет қаралды 286 М.
RAIS SAMIA AUFUFUA MRADI WA MWAKA 1930 ULIOPO CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
4:17
Arusha Technical College
Рет қаралды 885
Why Turkey Has Finally Had Enough of Erdogan
9:48
TLDR News Global
Рет қаралды 250 М.
SGR TABORA KIGOMA  I MAENDELEO YA KAMBI ZA UJENZI
2:24
TRC RELI TV
Рет қаралды 10 М.
MKURUGENZI MKUU TRC AMEWAHUDUMIA ABIRIA WA TRENI YA KISASA SGR
3:07
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН