UKITAKA KUFANYA MATANGAZO UA VIPINDI WASILIANA NASI +254 721310082
Пікірлер: 25
@MwajumaJumaChessa20 күн бұрын
MashaAllah imetusaidia sana sala mtume
@RakhmanHassan-ei3kn3 ай бұрын
Shukran sheikh wetu tatizo wengine hatuja soma Sana dini,lakini adzikar tunatamanisana kufatisha izotaratibu,tufanyeje sie sheikh wetu
@al_huda_theguidance5034 Жыл бұрын
Nashkuru Sana kwa mafunzo yako sheikh, nimeanza kumswalia mtume na Insha'Allah naomba mungu anikumbuke na mm,
@rashidawangara1318 Жыл бұрын
Assalaam aleikum sheikh. Hukukamilisha jinsi ya kupata hii dua, nami nahitaji jamani. Nitaipataje?
@user-gb6ut9qe4e3 ай бұрын
Jazzakallah kheir shekh Othman Michael 🤲
@user-hu3sc4kg1f3 ай бұрын
Mashaallah shikh kwa mafuzo allah akupe wepeshi mm nimeona mafanikio kusoma duwa
@abdulrazaktayeb Жыл бұрын
Mashallah...jazakallah Ndio darsa ajab hiyo
@user-eq9yi7pz4i Жыл бұрын
In sha Allah shekh wetu shukran sana
@user-jx2be3dq9n Жыл бұрын
Mashallah. Allah akufanyie wepesi
@andrewkwembe9712 Жыл бұрын
A, aleikum shekhe Othmani km Mt hajui kusoma hizo sura ajui afanye vipi sasa
@nurumuhammad2753 Жыл бұрын
JazakALLAH
@hamy255.5 ай бұрын
Sheikh othman shukran sana kwa mafunzo yako yamenijenga na faida naiona Alhamdulillah
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
Unaweza kuisoma ata asubuhi maana usiku shekh sie hatulali kwa mapirika tunalala asibuhi in shaa allah tunachelewa kulala tunaweza kulala tukisha swali Alfajir wallah shekh wangu napenda unavyotifunza Allah akuweke tuzid kuelimika Shukran nakupenda kwa ajili ya Allah
@maryamalli9090 Жыл бұрын
Ifanye wakati wowote ule mungu yupo usiku na mchana na anajibu duwaa muda wowote ule
@aishangina8588 Жыл бұрын
MashaAllah mimi napenda kukusikiza na wallahi, billahi, tallahi nilikuwa na changa moto kubwa Sana ya kusingiziwa kazini kusema yani kila baya katika dunia. Siku moja baada isha nikaswali rakaa mbili Kisha, nikatia Nia na nikamueleza Allah shida zangu nikamswalia mtume kwa idadi isiyo Julikana hadi saa saba au saa nane ya usiku. Asubuhi nilienda kazini nikabadilishwa location, pahali wallahi Pana Amani kabisa na nikapendwa na watu
@gfvh7282 Жыл бұрын
@@aishangina8588 mashaAllah
@gfvh7282 Жыл бұрын
@@aishangina8588 uko wapi ukhty Aisha ?
@aishangina8588 Жыл бұрын
Hapa niko niko qatar cleaning company
@RakhmanHassan-ei3kn3 ай бұрын
Sheikh kwakweli atakama umri umekwenda inabidi tusomedinisana
@HimnaMohamed2 ай бұрын
Sheikh ikiwa ni mwanamke anataka kuomba na kuchinja je naeza kupeana mnyama na maagizo ya Nia ya kichinjo hicho?