Рет қаралды 3,369
Mtangazaji wetu @jalyl_sr amepiga stori na Shabiki wa Simba Sc @kaymziwandal ambaye yeye anasema kuwa kwanza anafurahi wao kama Simba wanavyolumbana kila siku kwa kuwa imani yake inamwambia kuwa malumbano yao ni ya faida. kuwa yamesaidia hadi mwekezaji wao amerudi kuisaidia Simba Sc kwa nguvu zote kama zamani
Kay Mziwanda anasema kuwa mwaka huu Simba Sc imemfanya aishi maisha magumu sana kwani imemfanya kila alipokuwa anaenda uwanjani abebe Panado za kutuliza maumivu ya kichwa
Full Interview hii ipo tayari tumeshakuwekea kwenye KZbin Channel yetu ya ZONE YETU MEDIA nenda sasa kaitazame lakini pia usisahau
Ku-Subscribe
Mtangazaji: @jayli
Cameraman : @perfect_mutiva
#ZoneyetusportnewsUPDATES