SHAJARA | Amos Simiyu aeleza vile kutuma ujumbe ulisababisha akafungwa miaka 20 gerezani [Part 2]

  Рет қаралды 27,068

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер
@stephen-S7
@stephen-S7 11 ай бұрын
I like the way he has stood firm kuwa ni Mungu tu. Amen
@TimothyNderitu-y2k
@TimothyNderitu-y2k 11 ай бұрын
After interviewing Amos how did Royal media fraternity help Amos????
@gladyskalundu4611
@gladyskalundu4611 11 ай бұрын
A good hearted man,. God bless and open doors for you
@Kmaingi
@Kmaingi 11 ай бұрын
I like that conviction that Mungu akikuachilia hakuna judge atakufunga. Mungu mbele.
@TimothyNderitu-y2k
@TimothyNderitu-y2k 11 ай бұрын
....Doc ni documentation office kudos to the afande Tom.....nakumbuka pia Joel Shikunzi , Patrick Arandu Mungu awabariki sir mlisaidia wengi ambao hawajiwezi
@anyangojesinter5888
@anyangojesinter5888 11 ай бұрын
Imani yangu imeogezeka 😢😢 asante MUNGU
@franklineemacar4734
@franklineemacar4734 11 ай бұрын
This man is preaching. Hadi lulu anashanga. My fellow man in the faith.
@christinejuma6591
@christinejuma6591 11 ай бұрын
Avery good preacher kumbe pia we ume notice
@elvisgisore3092
@elvisgisore3092 11 ай бұрын
This man has a strong faith Faith moves mountain
@annetteomunga2212
@annetteomunga2212 11 ай бұрын
God has a big plan Mr simiyu
@mwendii
@mwendii 11 ай бұрын
A man of faith indeed
@reverendarchitectchristoph8384
@reverendarchitectchristoph8384 11 ай бұрын
May The LORD stand with you My dear brother and renew your life.
@muragegatimu6926
@muragegatimu6926 6 ай бұрын
The way he is answering questions is funny though 😅😅
@jackymonga6971
@jackymonga6971 11 ай бұрын
Im yerning for this kind of faith to move my mountains
@magdalenekamuti43
@magdalenekamuti43 11 ай бұрын
This man has great faith
@estherkirigo8427
@estherkirigo8427 11 ай бұрын
This man will go far.
@duncankinoti9933
@duncankinoti9933 11 ай бұрын
I love the faith that this man has
@Brickyadventures26
@Brickyadventures26 11 ай бұрын
Huyu jamaa ni bright sana
@keithkhayati
@keithkhayati 11 ай бұрын
In everything God yuko na ww just trust in him ❤
@edwardshinanda2789
@edwardshinanda2789 11 ай бұрын
Very optimistic young man.Mungu mbele
@sheemaryam
@sheemaryam 11 ай бұрын
From tuko then citizen hope atapata usaindizi
@esthershiko1173
@esthershiko1173 11 ай бұрын
Na ame shine ku shine
@stephen-S7
@stephen-S7 11 ай бұрын
Nimependa hii part saidi kuliko ya kwanza. Ndugu amesimama kidete kuwa ni Mungu pekee yake, aaah barikiwa ndugu yangu. Zaidi ya yote umetoka jela ukiwa muinjilisti
@danielamicheal4680
@danielamicheal4680 11 ай бұрын
being an ophan is really painful yaani kukua mzuri unaishia kuenda jela surely huyo jamaa malipo ni hapahapa duniani
@phoebeadikinyi3441
@phoebeadikinyi3441 11 ай бұрын
Atalipa kwa uchungu tena saana,huyu jamaa mungu amuinue milele
@mingilo3397
@mingilo3397 11 ай бұрын
Mungu ni mkuu sana 🙏🏿
@teresiakwambo9018
@teresiakwambo9018 11 ай бұрын
Lulu nimejufunza Mungu pekee ndio rafiki wa dhati...
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV 11 ай бұрын
Amen😢😢😢😢God Love you nitafte no. Yangu Iko kwa KZbin yangu Nikununulie Unga
@GilbertWanyonyi-zo2sq
@GilbertWanyonyi-zo2sq 11 ай бұрын
Man of faith 💪
@kelvinwanjo186
@kelvinwanjo186 11 ай бұрын
At the end of time, your only really friend, is the money in your pocket and God , if you lack it your finished
@abduljabbarmohammed4188
@abduljabbarmohammed4188 11 ай бұрын
Kazi ya Serekali ya kenya nikufunga maskini.
@godfreyoluoch6218
@godfreyoluoch6218 11 ай бұрын
This man truthful he can't cook this story
@jateso
@jateso 11 ай бұрын
The judiciary ought to compensate this man. 20yrs for a mere sms to someone who had refused to pay him back. Absurd
@mugurecarryme
@mugurecarryme 11 ай бұрын
Lesson learned
@noahshemaiah
@noahshemaiah 11 ай бұрын
Lulu ananifurahisha 😂😂"wewe ni mzuri"😂
@simonekale254
@simonekale254 11 ай бұрын
Nimeskia lulu akisema walai??😂😂
@kamau833
@kamau833 11 ай бұрын
Nimerudia mara nne.😂😂
@kipkorirbii
@kipkorirbii 11 ай бұрын
Haha, nmerudia pia
@LilianBonareri-jm3kp
@LilianBonareri-jm3kp 11 ай бұрын
Poor government... try kuipa kuku kenya utafungwa life...na hawa wanaipa kwa bank na kuuwa watu bado wako busy awafungwii...hii kenya why this man is innocent
@isaacmutinda7070
@isaacmutinda7070 11 ай бұрын
This man is strong
@TimothyNderitu-y2k
@TimothyNderitu-y2k 11 ай бұрын
Jela kutoka ni Mungu tu
@presentertelence1679
@presentertelence1679 11 ай бұрын
Sad indeed
@kelvinwanjo186
@kelvinwanjo186 11 ай бұрын
Power of faith
@boslayogero8329
@boslayogero8329 11 ай бұрын
God is everything 🙏
@wairimuwaihwa2475
@wairimuwaihwa2475 11 ай бұрын
May GOD RESTORE YOUR LOST YEARS WITH HAPPINESS.....AMEN 🙏
@kenyanboy7627
@kenyanboy7627 11 ай бұрын
the judge who gave the 20 year sentence for "an sms threat" must have been bribed to give such a sentence,shame on him/her
@danmarkdavid7000
@danmarkdavid7000 11 ай бұрын
Waja mungu aitwe mungu
@lydiaseniorita2059
@lydiaseniorita2059 11 ай бұрын
Good job Lulu!!!
@margaretwanjiru8183
@margaretwanjiru8183 11 ай бұрын
Mungu always available
@kimberlytv7895
@kimberlytv7895 11 ай бұрын
So alifugwa juu ya threat ama, juu kusema tutaonana hio ni threat
@juliusisaac-t5i
@juliusisaac-t5i 11 ай бұрын
Why is she enterupting his story at church with the senior officer. That's interesting
@petroyohana1126
@petroyohana1126 11 ай бұрын
Ooh god
@clocksam_time7905
@clocksam_time7905 11 ай бұрын
I have cried
@HDMegaElectro
@HDMegaElectro 11 ай бұрын
When lulu said mbona mimi siamini. It was not in your place to say that. Yours was to interview the man
@ICON633
@ICON633 11 ай бұрын
Lulu huoni huyu jamaa anakuhubiria .....okoka tu yaishe
@karenomondi9602
@karenomondi9602 11 ай бұрын
Maneno ya kiongozi kutoka kwa Mungu ni uongo
@fabianjoy12875
@fabianjoy12875 11 ай бұрын
In jail there is kituo cha haki. But
@Lashymreal96
@Lashymreal96 11 ай бұрын
Ameanza kupendeza tuko alikua anahurumisha
@KeruboNyantika
@KeruboNyantika 11 ай бұрын
😢
@erickmugambi1717
@erickmugambi1717 11 ай бұрын
Mpe Kazi Kwako nyumbani lulu kwa kua yeye ni mzuri apate capital ya kurudisha biashara yake
@faithnjoroge8390
@faithnjoroge8390 11 ай бұрын
What’s the objective of doing these stories by Royal Media? Is it just for viewership or do they take steps to challenge our government to improve our systems?
@olesamow7078
@olesamow7078 11 ай бұрын
The objective has been achieved by airing out this, then the citizen must act swiftly and ask the government for reforms
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 11 ай бұрын
Christ is the only solid rock to stand, all other ground is sinking sand, that was the best choice you made. May our Almighty God take you high and protect you.
@stevenogutu3091
@stevenogutu3091 11 ай бұрын
We are in the last days
@boujeeimani2813
@boujeeimani2813 11 ай бұрын
Hakuna mambo kando na Mungu na Biblia. Mwanzo mwisho ni Mungu tu, hakuna kitu kingine
@richardkyui-bp6wl
@richardkyui-bp6wl 11 ай бұрын
Day and night so this guy was jailed 10yrs
@godfreyoluoch6218
@godfreyoluoch6218 11 ай бұрын
Small claims court
@reubenmuhanji325
@reubenmuhanji325 11 ай бұрын
Hi 😂
@muindimulwa2102
@muindimulwa2102 11 ай бұрын
Na wale wamechinja msichana Airbnb roysambu wameachiliwa Kenya ni chooni ama n NCHI
@IgnatiusSanya
@IgnatiusSanya 11 ай бұрын
So sad
@KanjaMachua-ht9oq
@KanjaMachua-ht9oq 11 ай бұрын
Lulu na Mabusu tibim
@Lashymreal96
@Lashymreal96 11 ай бұрын
Vaane 😢
@enocklangat8399
@enocklangat8399 11 ай бұрын
These story doesn't add up. So 2007 alikuwa Burnt forest, and then went ahead to say alikuja Nairobi 2001. Even if it is true that alikuja Nairobi 2001 that means alikuwa only 12yrs, so alipata job aje given amesema id ndo ilikuwa inatakikana 🤔. I stand to be corrected.
@margaretkaruri4815
@margaretkaruri4815 9 ай бұрын
I think he meant to say 2011
@christineachieng4094
@christineachieng4094 11 ай бұрын
nilitumia mwingine message najua kudea na wakora na wezi kama yeye meant kumuanika facebook akaniambia nimwanike hatanilipa nilimuachia mungu alikataa na pesa zangu na nilimsaidia akiwa na shida
@ivymugei
@ivymugei 11 ай бұрын
Pia mmi kuna fala alikatalia pesa yangu nikambia hivyo
@salimmoha7962
@salimmoha7962 11 ай бұрын
Lulu mpee kamtaji kiasi ajisaidie
@brianmoranga7707
@brianmoranga7707 11 ай бұрын
Lulu Hassan unamwambia yeye ni mzuri @18:05 umemezea mate ama😅
@mwendii
@mwendii 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@ashtivkenya
@ashtivkenya 11 ай бұрын
Lulu i hope pia umejifunza kitu
@faithnjoroge8390
@faithnjoroge8390 11 ай бұрын
Huyu hakuna kujifunza, anauliza tu maswali hazina miguu..
@abigaelakubaso3798
@abigaelakubaso3798 11 ай бұрын
Naomba number ya simu ya huyu jamaa aki nimbuyie hata supper aki
@akulaerick30
@akulaerick30 11 ай бұрын
Amesoma at the end of this part
@franciskimani6403
@franciskimani6403 11 ай бұрын
Ameisema
@salimmoha7962
@salimmoha7962 11 ай бұрын
Wale tu wamewahi kuwa hela ndio watamuelewa huyu jamaa,,,,wengineo wanaeza kumuona kama kachizi fulani
@TimothyNderitu-y2k
@TimothyNderitu-y2k 11 ай бұрын
God had a reason for Amos going to prison
SHAJARA | Miondoko ya msanii wa muziki Kidum Kibido [Part 1]
14:51
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,9 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
WORSHIP SESSION: NIMEKUTANA NA YESU -- HAKUNA MUNGU MWINGINE ALIYE KAMA WEWE
10:50
They should have talked to me first, not take my daughter's life | Tuko TV
24:53
MAAJABU: MATUNGURI YAKUTWA KANISA "WAUMINI WANACHAPWA VIBOKO"
7:24
WE HAD A PLAN TO REVIVE PAPA SHIRANDULA SHOW
1:04:51
JEFF KURIA
Рет қаралды 56 М.
Kindiki asks mt. Kenya residents to snub Gachagua
3:48
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 20 М.
Muru wa maitu akomire na mwana wakwa wa Kahii na mami akimenya na agakira-Hannah Karanja
2:21:54
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН