Рет қаралды 1,149,512
April 24 2022 ndio kumefanyika ibada maalumu ya Kituo cha Maendeleo ya Mtoto na Kijana TZ823 hapa Fpct Shalom Temple, ibada ambayo ilihitimishwa na TAMASHA la UIMBAJI, Kwenye video hapa ni huduma ya uimbaji toka kwaya ya Revelation katika ibada kuu kabla ya TAMASHA
KANISA LIPO MANISPAA YA KAHAMA KATIKA MKOA WA SHINYANGA KATA YA NYIHOGO ENEO LINALOITWA MNAZI MMOJA AU WAWEZA KUTUPIGIA SIMU:- +255 757929669 .
-----------------------------------------------------------------
INSTAGRAM bit.ly/3qU9BMB
------------------------------------------------------------
FACEBOOK / fpctshalomte. .
----------------------------------------------------------
WHATSAPP +255 757 92 96 69