AMEN 🙏 AMEN 🙏 AMEN MUNGU BABA nisaidie sana tujiepushe na mambo yasiyonihusu ROHO MTAKATIFU nakuomba tawala kinywa changu na ufahamu wangu KWA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMEN
@djumahermani531214 күн бұрын
Amina
@blessingcharles-lc1rrАй бұрын
Amina mtumishi wa Mungu mimi nimekuelewa kabisa . Mimi mwenyew nikama nilihisi roho wa Mung ananionya nisijihusishe na hayo sababu lengo lake ni kutupoteza watakatifu tuache kupambana na kazi za shetan.na matokeo yake hatuwezi kufanya chochote kwa ajili ya ufalme na tunapoteza nguvu za Mung ktk mambo yasiyonafaida
@AnastaziaTeshaАй бұрын
Asante kwa somo zuri mtumishi naomba Mungu anisamehe sana,ninaomba toba na rehema
@Geofrey-Martin-KaputaАй бұрын
Amen amen! Bwana Yesu atusaidie kwa Kweli
@lovenesswalter665029 күн бұрын
Barikiwa sana nmeelewa sana mtumishi
@janengaga2928Ай бұрын
Barikiwa mtumish wa MUNGU MKUU.Ameen
@Marcus-wv2lfАй бұрын
Asante kwa maono na ufunuo wa Bwana jinsi Ibilisi anavyotumia mitandao kunajisi Watakatifu wa Bwana..
@MpokiMwakaje29 күн бұрын
Yesu ametuadi ushindi na tutashinda kwa Damu yake,na ushuhuda wa neno la Mungu,
@InjiliyaUfalmetvАй бұрын
Amen Mtumishi ,Mungu amekutumia tupate kupona
@susanilundaАй бұрын
Asante Bwana Yesu kwa ujumbe huu
@TumsifuJosephАй бұрын
Amin Mungu aweza yote
@lovenesswalter665029 күн бұрын
Hii kweli kabisa mtumishi wa Mungu
@neemapetro6168Ай бұрын
BWANA YESU nisaidie nisikwamishwe kuingia mbinguni Kwa kusikiliza mabaya ya Watu na kuwasema Watu vibaya nisaidie katika Jina La YESU KRISTO.
@ChristerExaverykilamlilo-fc7kiАй бұрын
Amina sana. Neno lenye busara ya hali ya juu
@GacoboAdolphАй бұрын
Ubalikiwe sana MCHUNGJI WANGU kwa ujumbe wa MUNGU ili tuvuke amina sana
@akothchristine4752Ай бұрын
Amiina wonderful massage Amiina
@neemapetro6168Ай бұрын
Ni kweli Mtu au Mtumishi anayewasema wengine vibaya na kujiona yeye ndiye mwenye haki huo ni mpango wa Kuzimu, Tujihadhari tusije tukaangamizwa Kwa kukosa maarifa haya anayotufundisha Mch Peter. YESU tusaidie
@yoniphamsigwa7592Ай бұрын
Amina
@MariaMwasyila-mq6ycАй бұрын
Asante sana mchungaji kwa ujumbe
@beatricendikumana8776Ай бұрын
Asante sana
@AlidaSijiaАй бұрын
Mungu ni mwema
@NURU-YA-BWANA-TV29 күн бұрын
Ameen Ameen mtumishi
@VESSITINAHPURASSI-m8lАй бұрын
amina
@FailaMwangaza-x5s19 күн бұрын
Veronika asikiliki kwanini?
@LinouciousPeterАй бұрын
Amen
@MjakaziSarahRobertАй бұрын
Hukumu ni ya Bwana Sie ni kutangaza ufalme wa Mungu watu wageuke UNYAKUO huo
@ChristerExaverykilamlilo-fc7kiАй бұрын
Asante kwa somo Mchungaji. Nahitaji ubatizo mimi na familia yangu
@PastorPeter00Ай бұрын
SIKU UPATAPO NAFASI NJOO UBATIZWE, WASILIANA NA MCHUNGAJI MBAGA 0788592059
@ibrahimshabani5918Ай бұрын
Sisi wa mikoani tunapataje ubatizo wa maji mengi
@PastorPeter00Ай бұрын
OMBA MUNGU AKUPE MCHUNGAJI ANAYEBATIZA KWA JINA LA YESU KRISTO. NA UKIWEZA KUJA DAR-ES-SALAAM CHAMAZI BASI SIKU HIYO HIYO UTABATIZWA.