Ayubu 38:12 2 Je! Umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Umeyajulisha mapambazuko mahali pake?
@ThobiasPeter-oh7xz3 күн бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu..hii iko sawa ingawa watu wengi hawatilii sana maanani katika majira sahihi ya Mungu.. Ni kweli kabisa siku huanza Asubuhi sikia pia Mungu Mwenyewe anamwambia Ayubu mtumishi wake yakwamba je umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Ayubu 38:12-
AMEN....UBARIKIWE MTUMISHI WA BWANA YESU UMENIFUNGUA
@PastorPeter006 күн бұрын
@@tumpedaudi6681 SIFA NA UTUKUFU KWA BWANA YESU KRSTO
@AlfaMwahasanga-j1q2 күн бұрын
Siku inaanza jioni mtumishi wa Mungu
@TumsifuJosephКүн бұрын
Amina sana
@barakabusima4 күн бұрын
Mtu wa Mungu ubarikiwe kweli siku zote Ina wafuasi wachache sana kama ilivyo Ile njia iendayo uzimani
@nathanjandwa82484 күн бұрын
Umejitahidi! Lakini Biblia inafundisha siku inaanza jioni na kuisha jioni. Mwz 1:5 Mambo ya walawi 23:32
@Priscus-w1o3 күн бұрын
Jambo tusilolijuwa kuhusu siku Mungu alitumia miaka 7000/kuiumba dunia maana sikumoja kwa mungu nimiaka 1000
@AlfaMwahasanga-j1q2 күн бұрын
Acha ujinga wa kiroho siku ni halisi na masaa yake 24. Acha upuuzi wa kimapokeo
@JeraldDasho5 күн бұрын
Nimeelewa Mtumishi maana hata kwenye Kufunga hua tunafunga masaa 12 yani kuanzia saa 12 Asubuhi mpaka saa 12 Jioni maana yake nisiku moja sasa kama siku inabadilika saa 6 Usiku kwanini tusifungue saa sita Usiku? Mungu tusaidie
@Eliasimoniaswile4 күн бұрын
Kamfundishe. Na mwankemwa maANa hayajui hayo anadai wasabato ni waongo kumbe mwankemwa yeye ndo hajui kitu afu ni mbishi hataki kujifunza
@luenachannel6 күн бұрын
Amen mtumishi WA MUNGU
@PastorPeter006 күн бұрын
@@luenachannel BWANA YESU AZIDI KUKUBARIKI SANA
@markomgogosi60934 күн бұрын
siku wala masaa hayatupeleki mbinguni
@DavisMpotwa4 күн бұрын
Ingekuwa hivyo Mungu asingehangaika kusema mpinga Kristo atabadili majira na sheria katika Daniel 7:25
@ChikondiMadaliso6 күн бұрын
Amina mtumishi nimekuerewa
@PastorPeter006 күн бұрын
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU
@IBRAHIMSOKONI5 күн бұрын
Bwana yesu apewe sifa
@rajeshndola4 күн бұрын
Thank you
@BerylSeer16 күн бұрын
Amen mtumishi
@PastorPeter006 күн бұрын
UBARIKIWE SANA BERYL
@IndalesioHenery4 күн бұрын
Kweli nisiku zamwisho
@LindaMasanja-s3k4 күн бұрын
Hizi ni sherehe za shetani na wanozifanya maisha Yao Yako kwx shetani
@Upendo60454 күн бұрын
Mtuasipo kupenda nisawa ila upendoo Wa KRISTO auwezi kuisha kwako mtumishi
@Charlesselelya5 күн бұрын
oooh!? jioni ni saa ngapi kiblia mananake uliitaja.
@Galilayatz3 күн бұрын
Kwa hiyo siku inapokelewA tarehe moja mwezi wa kwanza saa 12 asubuhi si ndio?
@FadhilZaharan4 күн бұрын
Ukweli mnaujua ila hamtaki kuufata wakristo wengi duniani wanasheherekea mwaka mpya huo ni ukafiri
@LindaMasanja-s3k4 күн бұрын
Dunia imedanganywa acha isubili kuchomwz moto tu make watu wabishi tutaimba mpaka lini wasikie hawataki hata lisherehe la kisimasi nalo limewekwa kuwa siku ya kuzaliwx mokozi
@moyojubeki63305 күн бұрын
Sasa cm ya mkononi nabadilishaje
@jofreykilangila41184 күн бұрын
Na ndo ukweli ila kunawatakaobisha. Waliifungwa. Hawajuwi kuwa huwo ulikuwa ni mwezi wa uhalibifu na ndo mwezi wake shetani wa kutoa makafala ndo maana maaajali yanakuwa mengi sana mwezi wa 12 ila watu hawajuwi
@HedinaMbilinyi5 күн бұрын
Wafundishe na sabato jumapiri sio yakibibiria nimapokeo mchungaji
@MichaelMathew-j3f4 күн бұрын
Siku zote ni sawa!!!
@DavisMpotwa4 күн бұрын
@@MichaelMathew-j3f "...kwa hio Bwana akaibarikia siku ya sabato akaitakasa."kutoka 20:11 (sijawahi kuona siku ambayo Bwana ameitamkia hivyo)
@MichaelMathew-j3f3 күн бұрын
@DavisMpotwa pw!! Endelea na sabato yako
@jimmymushi-d8vКүн бұрын
Sabato iliumbwa kwa ajili ya mwanadamu, na sio mwanadamu kwa ajili ya sabato....siku yoyote utakayoichagua kumtukuza Mungu, na kufata yote yaliyoamriwa kuhusu sabato, hiyo ndiyo sabato itakayompendeza BWANA
@MichaelMathew-j3fКүн бұрын
@jimmymushi-d8v kweli kabisaaaaaa
@venancerutta68753 күн бұрын
Huwezi kuyaondoa neno la mungu hilo unaliubilia umelikuta nani kaandika hayo binadamu???
@jimmymushi-d8vКүн бұрын
Hebu uliza swali tena ndugu...sijakuelewa nahofia kujibu nje ya swali lako
@sichingaedward56426 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa ufafanuzi mzuri huo. Ila hapo uliposoma mwanzo umesoma ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja, Je haimaanishi kuwa siku inaanza saa 12 jioni hadi kesho saa 12 jioni?
@PastorPeter006 күн бұрын
AMINA, UBARIKIWE SANA,SIKU INABADILIKA ASUBUHI.
@FailaMwangaza-x5s4 күн бұрын
Namimi naku nakuamina
@ntibaali38654 күн бұрын
Wewe jiliye pesa
@jofreykilangila41184 күн бұрын
Watu tunapenda kudanganywa hatutaki kweli.
@ttheshepherdvoice4 күн бұрын
?????????😢😢
@JescaEdward-k5k4 күн бұрын
Tarehe zipi unazozifuata wewe? Maana ndivyo ilivyo
@alfoncejohn21044 күн бұрын
HAPO NDIPO NINAPOWAPOWAKUBALI WACHONOZZZZ
@DavisMpotwa4 күн бұрын
Biblia haina mwezi wa siku 31,28 au 29 miezi yote ya biblia ina siku 30
@petromachanga55385 күн бұрын
Polen
@EliaHiluka5 күн бұрын
Wako makristo wa uongo ndio hawa
@josephmusagasa5 күн бұрын
Ameongea maneno kutoka kwenye Biblia. Amekuwaje mkristo wa uongo hapo? Acha maneno yasiyo na tija
@nathanjandwa82484 күн бұрын
Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya kwanza, mwz 1:5 Mtaishika hiyo sabato tangu jioni hadi jioni Mambo ya walawi 23:32 Hivyo tunaanza na jioni na kumaliza na asubuhi hatuanzi na asubuhi na kumaliza na jioni. Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya kwanza mwz 1:5
@FadhiliOswald5 күн бұрын
Vip kuusu chrismass
@PastorPeter005 күн бұрын
@@FadhiliOswald Nilishafundisha kuhusu Krismas, ingia kwenye upload video utaona
@Charlesselelya5 күн бұрын
oooh!? jioni ni saa ngapi kiblia mananake uliitaja.