Nimefurahi sana kuona jeshi letu na mama anajivunia sana kuwa jeshi kubwa.Ninaipenda sana tanzania yangu.Mungu ibariki tanzania.
@nabosedward48365 ай бұрын
Yani chawa bhan kila kitu mama mama
@Noorein-ws8wk5 ай бұрын
Aamiin
@dancerboy26865 ай бұрын
😂😂@@nabosedward4836
@CatherineLekule-l7z5 ай бұрын
Raha n kuwa na Jeshi dogs lenye weredi
@GeraldKisembe5 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 for life , safi sana makomando wetu 💪💪
@YakoubAbass-r9i4 ай бұрын
Pamoja sana weng tuna ndoto za kuw hapo mulip pigen kaz na cc tunakuja kwa. Uwez wa Mungu
@MagangaPeter-w4d5 ай бұрын
Pamoja na hali zetu za kimaisha, changamoto N.k bado tunaswa kuipenda nchi yetu hata kufa kwa ajili ya vizazi vyetu, naipenda tanzania yangu nchi yangu.❤
@ChristianChristopher-fd3kd5 ай бұрын
Tanzania Moja Tanzania yetu
@conganyoyo31955 ай бұрын
Nakupenda TANZANIA 🇹🇿🇹🇿,MUNGU IBARIKI NCHI YANGU
@YassinSea5 күн бұрын
Munguibariki Tanzania pamoja Na afrika❤❤❤
@IssaMatandi5 ай бұрын
Pia ninakukubari sana waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi.Safi sana.Mungu ibariki tanzania.
@SalumHamad-i2s5 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 for life ❤❤ jwtz on 🔥
@ShukurkollAngel5 ай бұрын
Hakika Uzalendo ni Utimgongo wa Amani. Umoja wetu ndiyo silaha yetu. One Tanzania! One people!
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 nipo napambana huku mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️
@EventEmanuel5 ай бұрын
Mungu ibariki tanzania mungu mbariki dt samia suluhu hassan
@uzimameditv81485 ай бұрын
Asanteni mmetubariki Mungu awabariki, lakini madini yetu yasiibiwe na raslimali ya inchi yetu mkiwa mpo.
@ادريسالبلوشي-ل9ي5 ай бұрын
Naipenda sana nchi yangu ya 🇹🇿
@JosephMihayo-zg8se3 ай бұрын
Mungu awabariki sana makamanda wangu
@rajabujuma17474 ай бұрын
❤ amani, nguvu Moja ,upendo daima , nchi yetu...
@HRmanco-yd3lf26 күн бұрын
Naipenda mpaka nalia Tanzania
@khalfanikimanta66635 ай бұрын
Suali langu moja tu Je! Vile wanajeshi walivyojengwa imani na mapenzi juu ya nchi ya tz vipi kuhusu wananchi nao wanaipenda na niwazelendo vivo hivo?
@boazgondera19774 ай бұрын
Naipenda Tanzania ❤❤
@mohammedimpeme5 ай бұрын
Best infantry in Africa TPDF
@humbimusisa-db1tg5 ай бұрын
Nchina ndio nchi rafiki wa kweli na Tanzania .... ❤
@JeffMankizo-p7r4 ай бұрын
Naipenda nchi yangu nzuri
@amanitwaha99825 ай бұрын
Naipenda mpaka naliaa! Taanzaniaaa❤
@Wilifredmshangila5 ай бұрын
I love you so much TANZANIA👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@anuarymyekakimolo47854 ай бұрын
JENERAR MKUNDA
@silasponeka17734 ай бұрын
Safi kabisa .Ongezeni silaha za kisasa kabusa
@Torono_955 ай бұрын
Hao wachina wasenge wanajua akisimama kibabu kimoja tu kinaua wote pamoja na drone yao😂😂😂
@panduafricangiant49025 ай бұрын
Feel luck to be born in peacefull country like Tanzania ni fursa kubwa
@Mitama495 ай бұрын
Nakubali..morali ipo juu
@TedyMwakyendenge4 ай бұрын
Tanzania nchi yangu ndugu zangu tukipta nafas tukumbkane
@Jonhkikopola5 ай бұрын
mungu awape maisha marefu sf🙏
@SaidSaid-o3s5 ай бұрын
Longlive Tanzania longlive madam samia
@HeriLuwavi3 ай бұрын
Masha Allah ❤
@justinemico18715 ай бұрын
God this is my turn
@hawaelymaricca76025 ай бұрын
Love sana Mh Rais wangu mumy nakupenda sana kaz iendelee
@VerenaRosalia-q8f5 ай бұрын
Tanzania nchi pendwa ❤❤❤❤
@hawaelymaricca76025 ай бұрын
Safi sana Tanzania Amani itawale
@CharlesEdwardCvanoedward5 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@DaudiMalema28 күн бұрын
Good
@FranklinHosea5 ай бұрын
Mpaka raha🇹🇿
@hossenmsemo78595 ай бұрын
Bravo TPDF
@AmaniJumanne-q9l5 ай бұрын
Kweli Hawa ni makomando
@storytownTv5 ай бұрын
Vibe ka lote .🎉
@chikujuma185 ай бұрын
❤❤❤ Tanzania tupo juu
@mangerzoo24125 ай бұрын
Naapa, naahidi TANZANIA nitakulinda mpaka kufa
@Diasdigital-gm4 ай бұрын
sniper yuko na rifle 97 mgongoni
@abdallahkambangwa72155 ай бұрын
jeshi letu lina vibe sna ila jeshi la china linanidhamu sana
@OscaMlwiloJr5 ай бұрын
Tanzania ❤❤for life jwtz fire👍
@DivasDamian4 ай бұрын
Tuna jeshi nzur na lenye utii na nizamu.
@HamidaNdimu5 ай бұрын
Naipenda inchi yangu
@kamanapomo70295 ай бұрын
Kazi nzuri wapambanaji
@hassanhancha14135 ай бұрын
Hawa sasa ndio wahuni sio wale wapuuzi wa mitaani wanaocheza sengeli uchi
@rockmakunda51205 ай бұрын
Hakuna jeshi lenye morali Africa kama JWTZ
@edumagobo46335 ай бұрын
Tanzania nguvu moja
@lawrenceleonard20075 ай бұрын
Jamani kama mizuka yenyewe ndio hiyo si nasisi basi ambao atuna vigezo mtupe cousre ya ukakamavu tujifunze tu nasisi,kwani lazima tufike form six?
@AdamuAndendekisye4 ай бұрын
Ndugu yangu jeshini kizuri ni nyimbo tu hivi vingine ukaze moyo 😂😂
@yhktv98235 ай бұрын
Uyo jamaa qa tbc apo anajiona kama anatoa habari kati kati ya vita vikali😂😂😂
@Africasafarichannel5 ай бұрын
Kama umeona drone ina SMG gonga like
@MichaelMwanganya5 ай бұрын
Nimeona smg man....
@daudifungo55215 ай бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA
@lobuluhosea24605 ай бұрын
Jeshi morali...
@MussaKipamila5 ай бұрын
Mh kuvaa granda sio shida ni vitani kuwa shapushuta ndo ushindi
@shaviercharvinho1814 сағат бұрын
Huo mdege uko nyuma heh3hehe
@bouweengabriel24775 ай бұрын
Kuishia darasa la saba shida sana
@pauldaniel53525 ай бұрын
Hiyo ni kaul mbiu ya kila nchi
@azizmiraji26104 ай бұрын
Jeshi langu naliamini ndo maana sina na wasiwasi hata kidogo
@kainimlowe96465 ай бұрын
Hadi wavietinam kumbe wapo😂
@IbrahimOmar-tu5tc5 ай бұрын
Kila la kher familia kubwa mpo vzr TPDF sojar
@emmabrownmissana69965 ай бұрын
Nidham safi
@DancanJoseph-t5t5 ай бұрын
mama wetu piga kazi mama
@MagrethMallya-we8ui5 ай бұрын
Kwani bila jeshi la china sisi hatuwezi? Huu ni ujanja Fulani siyo kuna kipande mmewauzia kweli!!!!!!😮😮😮😮😮
@kamanapomo70295 ай бұрын
Ujuaji wa ujinga usikupotezee muda sana, ni ushauri tu
@AbasiShabani-lw2fd5 ай бұрын
Ubongo wako mzito Sana kuelewa ulimwengu unaendaje kwa sasa mnasikia kila siku marekani anafanya mazoezi ya pamoja na NATO kwahiyo marekani kauza kipande cha ardhi kuwapa hao Wana umoja wake
@machechubaraka27955 ай бұрын
Acha ku comment ujinga
@ndukulusudikucho_5 ай бұрын
Marekani huwa anashirikiana na Nchi nyingi kwenye mazoezi ya kijeshi je hawajiwezi? Kama jambo huna Elimu nalo kaa kimya la sivyo kila mtu atajua jinsi ubongo wako unavyo fanya Kazi
@kikalarashid90035 ай бұрын
Babu sio kila kitu mtandaoni unacomment tu!! Wewe hata mkuki unajua kutengeneza??
@EphraimWekesa-je7gy14 сағат бұрын
Suluhu wazungu wanataka kumupa sumu
@allymwilu80895 ай бұрын
Makomandooooo
@NyamtigaIbrahim5 ай бұрын
Hivyo Vijamaaah Vinatamani Vingekuwa vibongo Hapo Vimetoa Macho Kama Haviamini Wanachokiona 😂😂😂😅
@BenardSadani5 ай бұрын
Jaman awo wachina wanatuted kiwandan balaa yan siwapend atakuwaon awana ujamaa awoooh
@BenardSadani5 ай бұрын
Wanasutesa San wajinga awoh
@Abgail-k1e5 ай бұрын
Jichanganyeee hapo sasa
@musaenocy5 ай бұрын
tanzania namba 1
@ASMAFTAAH5 ай бұрын
WAENDE DAFUR NA CONGO SASA HIZO MBWEMBWE WAKIONESHE VITAN WAKASAIDIE NDUGU ZETU
@peterdotto40555 ай бұрын
Mbona wengi wanalinda amani Daful na Kongo kila mwaka wanajeshi kama 2000 wanaenda kulimda amani vitani huko
@salimujuma-kb7wv4 ай бұрын
Commando commando commando
@salimbilali51745 ай бұрын
Waende Haiti after hapo😂😂😂😂
@jactonmoris30345 ай бұрын
Wachina wapo model lakini wa tz mmmh
@jafarchambuso59535 ай бұрын
Kaa mbali na hizi sura
@mashakanyanjali73255 ай бұрын
Safi sana hata Mimi nalipenda sana jeshi letu la Tanzania
@yohanakateko5 ай бұрын
Vita ya saizi ni ya tecknolia walinzi wetu tupo pamoja
@MussaSio-l6u5 ай бұрын
Ukiwaangalia wanajeshi wa china vizuri na hawa vitumbo wetu utaona kuna tofauti kubwa sana baina ya wanajeshi wetu na wachina
@dalalihakweahakweya66635 ай бұрын
Sijaona chakuandika
@geraldluiso67925 ай бұрын
❤DRC mpaka Leo haina Amani na mpo pale miaka nenda Rudi. I believe diplomatic relations.
@allysalim98225 ай бұрын
Ni mm sijaelewa au...hivi Mtu upo na jeshi la ulinzi wako ila bado Bodyguard anakulinda tena 😄😄 mana kwamba hata hapo hakuna usalama au...me sijui kitu lakini Mtu anisaidie
@mohdkhamis29145 ай бұрын
Adui anatokea popote tuu maana ukiwa kama binadamu hasa kiongozi huwezi kupendwa na wote nanukumbuke mtu wa karibu na anaekufahamu ndio anayekudhuru kwa urahisi so umakini unahitajika zaidi
@pascofp1455 ай бұрын
Bodyguard anatimiza kazi yake
@josephjohn21145 ай бұрын
Kumbuka kuna wakati jeshi linaweza kuasi...rejea kipindi cha nyerere alitaka kupinduliwa na wanajeshi waasi
@ndossiadventurestz.67965 ай бұрын
Mbali ya kua mlinzi pia ni msaidizi wake koo kua karibu yake ni lwa ajili pia ya kumsaidia anapoitaji msaada wake.
@ghottaman25704 ай бұрын
🇹🇿🇨🇳🔥🔥💪
@SmithJacob-f2r5 ай бұрын
Ila waziri wa ulinzi anatakiwa mwanaume yaan hii nchi
@bongomsasa24965 ай бұрын
Ili afanyeje? Huyu anafanyaje??
@MussaSio-l6u5 ай бұрын
Wachina hakuna hata mmoja mwenye kitumbo hapo
@Mr_Rebel_2545 ай бұрын
AK-47 AKM Type-56 Type-81 It looks different, but on the other hand they are still AKs.😅
@zhu_zi45335 ай бұрын
Because almost all Warsaw Pact weapons during the Cold War were more or less influenced by the AK47, and the 7.62mm chambering is common, and is still widely used by both sides on the battlefield in Ukraine today. The 5.56mm weapon is a NATO standard