MAKOMANDO WATUA KWA HELIKOPTA KWENDA KUMUOKOA MWENZAO ALIVYOTEKWA, SILAHA NZITO

  Рет қаралды 798,718

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 443
@Pira-gm4gr
@Pira-gm4gr 8 ай бұрын
Interesting. Love from Kenya
@stevejeremiah4497
@stevejeremiah4497 10 ай бұрын
😆😆😆😆kama hivi ndivyo tunavyoweza kuokolewa kutoka mikononi mwa adui, Basi tutaokolewa sote tukiwa maiti. Ila Bongo kuna vituko
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 10 ай бұрын
Ukiwa hujui kitu usicoment
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 10 ай бұрын
Mapenzi mabaya kweli hivi hamars wana mateka na urusi pamoja kuws na jeshi bora duniani jumlisha washirika wake wameshindwa haya ni mazingaombwe kuiwalisia haipo ongera mapinduzi
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy 10 ай бұрын
Nipe mbinu nyingine tofauti na hiyo inayotumika kuokoa watu ? Hawa kuna nchi umeona wanapeleka maroboti ? Punguza ujuaji😂
@simonmoneni6768
@simonmoneni6768 10 ай бұрын
😂😂😂😂,,hizi ni vituko gani jameni
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 10 ай бұрын
​@@AbdulatifSaidykuna mbinu nyingi sana, hii ni common mno among sf community huko dunian si kitu kipya
@IssackMaingu-ng5lk
@IssackMaingu-ng5lk 10 ай бұрын
Sherehe zimefana ila kubwa kuliko yote ni uhodari wa jeshi letu limetuonyesha ufanisi wa kazi wa hali juu sanaa, naomba mungu aendelee kuwapa nguvu, maarifa na afya ili tuendelee kuwa juu zaidi na zaidi(NIMEFURAHI SANA)
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 10 ай бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana
@Verycute-lg6jt
@Verycute-lg6jt 5 ай бұрын
Mamb
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 10 ай бұрын
Wamejitahidi sana na hongeren majeshi yetu kwa kazi nzuri mmejitoa vilivyo
@AmosNgadada
@AmosNgadada 10 ай бұрын
Huwa natamani sana kusikia maswali ya mama kwa mkuu wa majeshi aonapo movie hizi kaliii live 😂😂😂 Hongera kwa wanajeshi wetu,hongera kwa mama nchi imetulia chini ya uongozi wake... Afya njema na maisha marefu kwako Rais wetu ameeeen
@josemangula8806
@josemangula8806 10 ай бұрын
Najalibu kuwaza mimi kama ningekuwa adui hiyo ndege naifyatua bomu kabla haijatua yan hizi mbinu zao hata mimi nawaua🤣🤣🤣
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy 10 ай бұрын
Unafyatua sangapi wakati wamekuchunguza wamekujua ukoje wakakufanyia ambush mda huo utapata sangapi wakati ushamalizwa 😂
@EmmanuelKigola-ds4yr
@EmmanuelKigola-ds4yr 10 ай бұрын
Hayo ni maonyesho sio vita elewa tofauti so unataka watoe Siri mbele ya majority ?
@josemangula8806
@josemangula8806 10 ай бұрын
@@AbdulatifSaidy we siumeona apo et wapo juu ya ndege adui yupo chini et anasubili washuke adi apigwe adui gan mzembe namna hiyo kaa wewe kwenye nafasi ya adui then waza kidogo
@josemangula8806
@josemangula8806 10 ай бұрын
@@EmmanuelKigola-ds4yr apo sawa ila kama siku imetokea kweli ndivyo watakavyo fanya amna kitu apo
@barikiringo6311
@barikiringo6311 10 ай бұрын
Nafikiri hii ni mbinu ya Karene ya 19, imeshapitwa na wakati.. drone ndio mchezo mzima uliyobaki
@flavourboyke
@flavourboyke 10 ай бұрын
Kwa hii style ndege zitakuwa zishalipuliwa
@izzahboe1442
@izzahboe1442 10 ай бұрын
Umeona wanazingua izo show za kuwaonyesha watoto
@siaelisteven6157
@siaelisteven6157 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy 10 ай бұрын
Nenda katufute mbinu ya tofauti izo au kuokolewa kupitia gari ulete hapa punguza ujuaji tu😂
@flavourboyke
@flavourboyke 10 ай бұрын
Huo ndio ukweli , sai technology ziko very advanced, nani atangojea mfanye hizi vitu wanafanya ama wanadhani ni movie
@Users2523
@Users2523 10 ай бұрын
Wakikutana NA RPG za hamas hawa wamekwisha 😂😂😂😂 hizo style za kwenye movies 😂😂😂
@ErickyTz-ku7dt
@ErickyTz-ku7dt 10 ай бұрын
Nendeni Gaza mkafanyie practical😂
@stellanyamuhogota1832
@stellanyamuhogota1832 10 ай бұрын
😂😂😂
@ngoymulunda3978
@ngoymulunda3978 10 ай бұрын
😂😂😂
@UpendoLazaro-n3e
@UpendoLazaro-n3e 10 ай бұрын
😂😂😂
@Pretty22750
@Pretty22750 10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣you pple you gonna kill me ooohh
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 10 ай бұрын
Wapo congo sudan na kwengneko.
@daudmnanga7075
@daudmnanga7075 10 ай бұрын
Hatari sana jeshi letu mungu azidi kuwalinde
@salomewandya7257
@salomewandya7257 10 ай бұрын
Naipenda nchi yangu Tanzania 🇹🇿 ❤
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 10 ай бұрын
Kwa Izo Comedy zao😂😂😂
@abdulmnondo76
@abdulmnondo76 10 ай бұрын
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Fanya na ww hyo comedy Acha dharau Nyie ndo ambao mkiskia sauti ya risasi tu mnaanza kuhaha
@Bmsecret
@Bmsecret 10 ай бұрын
Muongo huipendi nchi yako no TANGANYIKA znz haikuusu
@erickotieno988
@erickotieno988 8 ай бұрын
❤ vipi
@marylibaba2589
@marylibaba2589 10 ай бұрын
Mama yangu tuwaheshimu sana Askari wetu wanakazi kubwa sana JAMANI TUSIWASUMBUE TAFADHALI SANA🔥🔥🔥🔥
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 10 ай бұрын
Nawaza ao watekaj awajaskia saut ya helkopta😂
@emnanuelimtui1805
@emnanuelimtui1805 10 ай бұрын
Kazi gani hzo zaidi ya kuonea wanyonge na kuwalinda waraji
@smarty1064
@smarty1064 10 ай бұрын
@@msafirimaulidi5054 acha vurugu 😀😀😀😀
@smarty1064
@smarty1064 10 ай бұрын
@@emnanuelimtui1805 wabora sana kwenye kuzuia maandamano sio kuokoa raia kwenye ndege iliyotua baharini
@AlwanKombo-hd3dt
@AlwanKombo-hd3dt 10 ай бұрын
Haya niadui gan utakae nkamata ivoo amba mchezo wa govinda
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 10 ай бұрын
Nawapenda Sana Naomba Mungu tu anipe mume mjeshi mimi❤
@bestmilltz7071
@bestmilltz7071 10 ай бұрын
Yaan adui awaangalie bila kufyatua risasi😂😂😂
@richardcasmir4169
@richardcasmir4169 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JosephTibu
@JosephTibu 10 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️
@Abdul_rhmaniSalum
@Abdul_rhmaniSalum 4 ай бұрын
Hai
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 10 ай бұрын
Hizi n comedy naona😂
@erickotieno988
@erickotieno988 8 ай бұрын
very nice
@izzahboe1442
@izzahboe1442 10 ай бұрын
Kwa izi mbinu zetu waafrika na technology ya sasa tunaweza kuwa tunapigika kila siku maana toka kwa nyerere ni ivi ivi tuu😅😅
@RamadhaniMzashi
@RamadhaniMzashi 10 ай бұрын
Ahahahaha
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 10 ай бұрын
Nunueni Black Hawk helicopter za Marekani zisizo na sauti,mwulizeni Osama kilichomkuta.
@Pretty22750
@Pretty22750 10 ай бұрын
​@@pennymahombo9528😂😂😂😂kwn marehemu huwa wanaongea nowadays
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy 10 ай бұрын
Kwenye mbinu za uokoaji type mbinu mpya tofuati na hizo za ndege au gari ? Au kuna nchi wanatumia roboti punguza ujuaji😂
@NasiHama
@NasiHama 10 ай бұрын
Awee watakufa saana tusiombee
@godlistenlaban9933
@godlistenlaban9933 10 ай бұрын
Wamejitahidi ila nikiangalia technology ya vita inavyokwenda kwa sasa tunahitaji kuongeza juhudi.
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 10 ай бұрын
Dunia ilipo Sasa na tunatakiwa kuwekeza kwenye Nuclear Warfare
@musa-v3f
@musa-v3f 10 ай бұрын
hakuna kitu hiyo hellicopter itarushiwa bomu ikiwa mbali na drone hii ni style ya mwaka 1947 ya kuja na hellicopter huku adui anakuangalia tu
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 10 ай бұрын
Hyo ni just for fun. Hao watu watakaa hapo akifanya nn
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 10 ай бұрын
tatizo mmezoea mambo ya kwenye movie haahha
@HusseinKalamba
@HusseinKalamba 10 ай бұрын
Natamani waje na Idia nyingine mahana hii tumeizoea toka Enzi jk nyerere
@Chapesamedia
@Chapesamedia 10 ай бұрын
Bora msioneshe huu upuuzi maana watu wako kwenye ubabe wa nuclear nyinyi mnaleta movies scripts 😢
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 10 ай бұрын
Kwahiyo mateka wako unaweza kumuokoa kwa nuclear?? 😂😂😂Punguzeninujuaji
@fredlugome7952
@fredlugome7952 10 ай бұрын
😂😂😂kuji fanya unajua ndo madhara yakeeeee
@izzahboe1442
@izzahboe1442 10 ай бұрын
Fact
@kabaranamaganga6646
@kabaranamaganga6646 10 ай бұрын
Kuwa na heshima kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Cc km wazalendo tumeridhika na jeshi letu na tunalitakia kilalakheri ww endelea na Nyuklia
@Chapesamedia
@Chapesamedia 10 ай бұрын
@@kabaranamaganga6646 Fala kweli elewa point ndio uwanze kutukana watu
@edesjackson2183
@edesjackson2183 10 ай бұрын
Heeeeee ngonjera ipo sk tutajamba. 😂😂😂😂 EXTRACTION. Hyo sk tutaweza kudifine vzr. Serikali iweke kipaumbele na kuimalisha vyombo vya dollar sio sanaa hivi tu. Jeshi la chini lieleweke na jeshi la anga lieleweke maendeleo yake, chuma zinaunguruma utatoka kwa EXTRACTION kwl❤ TZ
@RobertLazaro-u5y
@RobertLazaro-u5y 10 ай бұрын
Hongereni Wana jeshi letu la tz kwa kituonyesha uhodari wenu nawaponeza sana tu.
@NaomiCharles-bb8md
@NaomiCharles-bb8md 5 ай бұрын
Cngilatueshen komamndo 🇹🇿♥️🌹
@mfalmepeterekuwom9237
@mfalmepeterekuwom9237 20 күн бұрын
We need a friendly match between Kenya and Tz Defence forces
@LovelyBurrito-xt5tu
@LovelyBurrito-xt5tu 9 ай бұрын
Mimi najiuliza izi herikopita mbona sikuziona kipindi ndege imezama bukoba ? Yaan Mungu atusaidie sana😢
@hamadichopoti2996
@hamadichopoti2996 10 ай бұрын
M nlipenda wanajeshi ndo muigize muv za kivita tanzania ningezipenda sana
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 10 ай бұрын
Duh😂 hapa mm nitakunya kuhara kutapika mwisho nitazirai nawaeshimu tena sana shikamoon wanajeshi
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 10 ай бұрын
Ni kweli tumeona lkn kwa sasa nchi ipo mikononi mwa mabepali kwahiyo hata hatuyafurahii mengi ht km ni ya msingi cz nchi haipo salama
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 10 ай бұрын
Hapa jwtz wanacherehesha tu ili maazimisho yapendeze mwingine akiona hiyo helicopter moyo wake unafurahi ingekuwa vita hapo uwanjani wote wangekimbia na wengi wangezimia watanzania tulipende jeshi letu kwani ndiyo letu wewe unaebeza SI upime kina cha maji harafu utajuwa kama Mzee Nyerere alikosea au hakukosea kuunda hili jeshi .
@samwelmigera7274
@samwelmigera7274 6 ай бұрын
Kazi njema,Mungu azidi kuwatunza daima
@hans_tech0015
@hans_tech0015 10 ай бұрын
hii nchi bhana watu wanaonesha claha wao wanashuka na helcpter sas hyo c michezo kam michez mengne
@jackgodgivenzihindula
@jackgodgivenzihindula 10 ай бұрын
😂😂😂 DRCongo 🇨🇩 Iyi onyesho iliwashinda jm
@DicksonBanda-cq6wm
@DicksonBanda-cq6wm 6 ай бұрын
This is so special deal of our Military personnel
@IsaacfilsUnefamille
@IsaacfilsUnefamille 6 ай бұрын
Mungu ni mwanzo na mwisho🙏🙏🔥
@ErickMayunga
@ErickMayunga 2 ай бұрын
Best wish my country
@micheckwachira
@micheckwachira 5 ай бұрын
Hhhhaaaiiaa sijaona Kenya ikifanya hii waaa inapendeza
@Maryc2G
@Maryc2G 10 ай бұрын
Impressive, kazi nzuri
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 10 ай бұрын
Yaani makamanda kwenye ndege wamekaa kwa kurelax sana yaanii hadi wanatabasamu afu makamanda wako slow sana kwenye ufungaji wa kambaa Adui hawezi kukuacha kwa style hyoo
@MohdMohd-o7e
@MohdMohd-o7e 7 ай бұрын
hamna kitu
@sierraminingltd1590
@sierraminingltd1590 10 ай бұрын
Kumbe walioteka waarabu koko😅😅😅😅😅😅😅 ila naipenda nchi yangu. Mapunduzi daima
@daudmnanga7075
@daudmnanga7075 10 ай бұрын
Vizuri sana makomando
@AbdulBakar-vw7db
@AbdulBakar-vw7db 7 ай бұрын
Nakubari wajeda
@franklevison9477
@franklevison9477 10 ай бұрын
Yaaaan hapo badooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nchi bwana tucheke tuongeze siku za kuishi
@HarunPius
@HarunPius 4 ай бұрын
Wow napenda kwl
@fatimaussene1010
@fatimaussene1010 10 ай бұрын
Matumizi mabaya ya fedha haya usanii mtupu
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 10 ай бұрын
Ili ioneiane hawaigizi inabidi watumie risasi za moto?? Acheni ujuaji wa kishamba
@fatimaussene1010
@fatimaussene1010 10 ай бұрын
@@Fatherjaybadmaan kwani ujuaji wa kishamba na uhalisia ndivyo ilivyo maana action ya dakika tano au kumi si ngumu ata konde boy aliweza hiyo kkkkk
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 10 ай бұрын
@@fatimaussene1010 Hujitambui sasa unataka tufanye uhalisia kwa kutumia risasi za moto,, mabomu itakuwa onesho ama ni vita sasa
@fatimaussene1010
@fatimaussene1010 10 ай бұрын
@@Fatherjaybadmaan ujitambui wewe buege mfanye vitu kwa uhalisia kama action iendane na uhalisia ata kama msingetumia za moto ila mgeonesha uhalisia kuwa mstaarabu kuwa mwanajeshi ndo uambie wenzako awajitambui sijapenda na chunga kauli yako
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 10 ай бұрын
@@fatimaussene1010 ndo Hujitambui sasa,, uhalisia upi unataka?? Ukitaka uhalisia manake sasa inabidi ishutiwe movie ili siku ikifika muwekewe muitizame
@EugeneMasinde-q7h
@EugeneMasinde-q7h 10 ай бұрын
TZ you have a long way to go, come and train in kenya
@Danieldk24
@Danieldk24 10 ай бұрын
Acheni kuigiza bro 😅😅 nendeni Congo muone vita vyakweli 😂 iyi niuongo 😂 kufuraishana tu.
@ceasariomulumba5956
@ceasariomulumba5956 10 ай бұрын
Mbona wanaangalia mbele tu??! Adui akitokea NYUMA si kwisha habari yao😂
@NaomiCharles-bb8md
@NaomiCharles-bb8md 5 ай бұрын
Mama ana upiga mwingi💪♥️🇹🇿
@gilbertchebet7411
@gilbertchebet7411 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂hii movie ya dj afro hapa kenya
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 ай бұрын
Mhh naogopa jinsi halikopta jinsi inavuzunguka
@SINTACLEMENSBYABATO
@SINTACLEMENSBYABATO 6 ай бұрын
Sasa mbn hawagawi wastan kwa idadi
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 10 ай бұрын
Mbinu izi msije kufanya tutawalilieni 😢😢😢
@azmanmkwambe4917
@azmanmkwambe4917 10 ай бұрын
kweeli broo ni it's very easy
@azmanmkwambe4917
@azmanmkwambe4917 10 ай бұрын
Nirahisi sana vitu wanavyo vifanya japo sisi hatujui ila nirahisi mmno huwezi kumuokoa mtu kirahis vile et mateka jashikiriwa analindwa na mtu mmoja wee uliskiia waapi broo inatakiwa mtuoneshe mifano hai mpaka rahis mwenyew akubaari
@StephensinganoNdululu-pd2ty
@StephensinganoNdululu-pd2ty 9 ай бұрын
Certified well improve d
@JonathanGang-u2y
@JonathanGang-u2y Ай бұрын
Nice commando Tanzania ❤❤❤
@josephatsospeter7219
@josephatsospeter7219 10 ай бұрын
Bado Sana hakuna ubunifu unakuja na kelele za helkopita kumuokoa mtu adui atakuwa anakusubili utue
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 10 ай бұрын
Hpa ndg yngu umenena 😂😂😂
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 10 ай бұрын
Huo uwanja no MDOGO sasa unadhani helcopter unaenda kutia kwenye eneo husika??
@arifali3942
@arifali3942 10 ай бұрын
Wafany nn hawa sasa hivyo hericopt mpk ifik kutuw si ishatunguliw zaman akkaaaa hawa hasa wachekeshaa
@arifali3942
@arifali3942 10 ай бұрын
Mpk kufungua na kufunga hayo makamba si washapigwa shaba woot hao
@AvelinaMlokoz
@AvelinaMlokoz 18 күн бұрын
Nyegezi me pia 4:46 Mwnza
@EmmanuelNicolas-n9l
@EmmanuelNicolas-n9l 10 ай бұрын
Nhhh bado sana kwan maadui wamelala
@reginasyomiti7862
@reginasyomiti7862 9 ай бұрын
Kazi zuri kweri
@FrankChuma-ug4bj
@FrankChuma-ug4bj 5 ай бұрын
Kazi kaz❤
@KatanaNgombo-yo5zu
@KatanaNgombo-yo5zu 5 ай бұрын
Kazi nzuri
@khansinterprisekhans3129
@khansinterprisekhans3129 10 ай бұрын
Naipenda nchi yangu
@ShijamandwampembaShijamandwamp
@ShijamandwampembaShijamandwamp 3 ай бұрын
Urusi😊😂 6:42
@KokoBidu-lu4qm
@KokoBidu-lu4qm 10 ай бұрын
Kuna kosa 3,ikiwaniya ukweli mutalizwa.
@twahaissack7887
@twahaissack7887 10 ай бұрын
Op entebee ,comoro walifanya hv hv,ongerenii
@NasiHama
@NasiHama 10 ай бұрын
Toka wee mbona watu wanakufa tu bila hatia na hawaendi kuwaokoa wanafanya mazoezi kuua Raia tu sio kulinda Raia
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 10 ай бұрын
Bado sana,,kijeshi tupo nyuma Tanzania.serious investment inatakiwa,kila mwaka maonyesho ni hayo hayo,, fanyeni changes at least tuone improvement kweny this Independence day,, wawe wanaonyesha ugunduzi wa silaha nzito Kama makombora,, mabomu,, na silaha ambazo dunia itaelewa there is something different in Zanzibar,, other developed countries wanafanya new innovation like strategic weapons such as nuclear, balastic,and supersonic missiles,, and not games like this..,, 🙌🙌🙌
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 10 ай бұрын
ukitaka kulijua jeshi vizuri kajaribu tukio la kiuhaini uone!
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 10 ай бұрын
@@elispiuselias1339 wakapambane na magaidi au wenzao huko nje ya nchi alafu ndio tutajua wako vizuri au vipi,na sio kupiga raia ambao ndio wanalipa Kodi zinazowalipa na kununua silaha.Raia ukifanya kosa watakupiga lakini haimaanishi wako vizuri,, usimpige mnyonge ukajiona uko na nguvu,, waende wakapigane Vita nje ili tujue uwezo wao,, na sio vingine.
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 10 ай бұрын
Eti matek Matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi
@binamutawa9637
@binamutawa9637 10 ай бұрын
Ukilinganisha na wenzetu waluoendelea bado tunatakiwa kuwekeza zaidi kwenye ulinzi has a kuwa na vifaa tulivyovitengeneza wenyewe
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 10 ай бұрын
Ndugu yangu linganisha nchi yetu na majirani zetu ambao nguvu zetu za kijeshi zinafanana ,nchi zilizoendelea sio za kwetu na wala hatuwezi kupigana vita nao,do a fair comparison
@sonmsb1839
@sonmsb1839 10 ай бұрын
Hongera sana JW
@SonkoMolle-if3tz
@SonkoMolle-if3tz 7 ай бұрын
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡❤️🤝🤝🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿naipenda sana taifa langu😊
@Shijajohn5084
@Shijajohn5084 10 ай бұрын
Mhh lkn hiyo faili ya makomando inaenda wote wameangalia mbele, hakuna anaeangalia nyuma
@YusuphHugugu
@YusuphHugugu 10 ай бұрын
Mbona kama utoto ivi huo siujinga asa huyo mateka ata Mimi sinawez kumkomboa ya wanajeshi kumi alafu adui mmoja hahahahhaha duuuh hii nchi inavituko yan paka helcomta inashuk na hao askal wanashuk wanajiandaa wao maadui wanakua wamelewa au
@abumasoud1996
@abumasoud1996 10 ай бұрын
Mfumo.wa.zamani huo.sasa hivindrone na satalite. Hayo maonyesho yashapitwa na wakati na wakati.dunia ya sasa hivi toknologie.watu hawatumii nguvu Bali utaalami wa nuclier
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 10 ай бұрын
Mbna kaelezea kila kitu kwamba ulianza uchunguzi kisha wakatumwa waokozi,, Sasa hiyo drone inaweza kubeba mateka?? 😊😊Acheni ujuaji wa kishamba
@IssackMaingu-ng5lk
@IssackMaingu-ng5lk 10 ай бұрын
Huwezi kuonyesha mafunzo yako yote kwa. sherehe kama hizi, yaliyobakia wanajua wao ila mm na ww hatujui
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy 10 ай бұрын
Hayo ni maonyesho halafu drone ukatumie kuokoa mtu ? Eeh punguza ujuaji zile ni ndege ambazo hazina rubani lazma commando watumike kwenye uokoaji 😂
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 10 ай бұрын
Listen technology haiondoi basics za utendaji ...kinachopimwa ni utimamu na ubora wa utendaji wa jukumu ( efficiency and effectiveness ya utendaji) Silaha kubwa ya askari sio vifaa alivyonavyo bali ari na nia ya kupigana mpaka kufa. Taleban wamempiga america kule Afghanistan kwa sababu ya Nia ya kupigana mpaka kufa kwa nchi yao. Na sio silaha
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 10 ай бұрын
Drone ya kubeba wanajeshi ipoje hiyo
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
Hao watekaji Watakywa wapi HADI muingie kilaini hivyo
@mwanzaboy1548
@mwanzaboy1548 10 ай бұрын
Misijawaelewatu wamefanya upuzitu 😂😂😂😂
@daudmnanga7075
@daudmnanga7075 10 ай бұрын
Tanzania salama iko fulu kiulinzi
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 10 ай бұрын
Matumizi mabaya ya fedha
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 10 ай бұрын
Mi nafkilia tuenderee kuekeza katika jeshi letu zaid ili ifike atua tuone mambo mazuri zaidi mim nafkilia jeshi letu lipo ok sana xchini angani naona bado sija pata kitu cha kufrai zaid
@HuliloDonard-gu9bp
@HuliloDonard-gu9bp 10 ай бұрын
Mungu ibariki nchi yangu Tanzania
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 10 ай бұрын
Ila wabongo hawajawah kuwa seriously
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 10 ай бұрын
Tuonyeshe pia, angekuwa ameshikiliwa na Hamas mngemwokoaje
@chenyakwihela1637
@chenyakwihela1637 10 ай бұрын
Mbona 9 december sikuhizi haifanyiki jamani
@amosdaudi9793
@amosdaudi9793 10 ай бұрын
😂😂😂 tulioenjoy na mwendo wa utayari tunakaa wapi?
@thomthegotti
@thomthegotti 10 ай бұрын
Alie sikia "msongamato" tu ndie anaruhusiwa ku like.😂
@aziadaommary
@aziadaommary 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤ mashaallah kazi yenye ufanisi mkubwa
@johnbernad3990
@johnbernad3990 10 ай бұрын
Tuliinjoi saana 😊😊
@SetevenyAmony
@SetevenyAmony 10 ай бұрын
Safi sanaaa..namm ningekuwa ivo.
@NasiHama
@NasiHama 10 ай бұрын
😂😂😂😂kama wana bomu si wanawalipua
@BenMugo-tl9ef
@BenMugo-tl9ef 6 ай бұрын
Nice pitch here...
@NasiHama
@NasiHama 10 ай бұрын
😂😂😂😂sasa hapo walivyo lundikana kwenyehiyo kamba wanasubiria kidogo tu wapandishwe juu wanawatilinga kombora wanamwagikia chini kiurahisi tu
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 10 ай бұрын
Yani Toka Nasoma Shule Ya Msingi Maonyesho Ni Haya Haya Adi nimemaliza Secondary Adi nipo Uraiani Sion Nilicho Badilika Kwenye Maonyesho Yani Ata tukiomba Mechi na Alshababu Watatupiga tu
@vayeen
@vayeen 10 ай бұрын
Ndo aseme kizimkazi jamani😂
@justincostantine9662
@justincostantine9662 10 ай бұрын
Mungu ibariki tanzania
@PapyMuanza-w5m
@PapyMuanza-w5m 10 ай бұрын
Bonjour
@DjreyBlackstar
@DjreyBlackstar 9 ай бұрын
Tanzania chi yetu tunaipenda lakini sio kwa ujinga huu
@sierraminingltd1590
@sierraminingltd1590 10 ай бұрын
Maaskari wanaulizana eti nimekaa sawa😂😂😂😂😂😂😂the Hii nchi tunacheka siku ziongezeke😂😂😂😂
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 8 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 11 МЛН
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 6 МЛН
RAIS SAMIA ASHUHUDIA MAKOMANDO WAKIPIGANA MMOJA ABURUZWA NA GARI
10:00
Новости дня | 24 ноября - утренний выпуск
4:44
Euronews по-русски
Рет қаралды 9 М.
MWANAFUNZI MCHAWI |1|
9:03
CLAM VEVO
Рет қаралды 6 МЛН
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 454 М.
IMPOSSIBLE! Giant SNAKE Lay Eggs Hunters Saving Girl | MIKE FISHING
11:32