SHARIFF MAJINI AMSILIBA MWAIPOPO | AMRARUA KISAWASAWA | ''BADILIKA MAMBO MENGINE HAYAKUHUSU,,

  Рет қаралды 1,266

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@muniraally4091
@muniraally4091 11 ай бұрын
Mwaipopo mfedhuli jamani ah!! Ana majibu ya nyaaah YAANI!!
@user-tr9qx4wb4s
@user-tr9qx4wb4s 11 ай бұрын
Mwaipopo kaongelea point mzuri Tu nakuona unatoa porojo Tu. Jibu hizi hoja sio maneno
@rahimomary7663
@rahimomary7663 11 ай бұрын
Alichokisema mwaipopo vyote vina mantikii shida ya mwaipopo kuliweka hadharani mapungufu ya bakwata hadharani Shida hamtakii kuambiwa ukweli
@musaamini401
@musaamini401 2 күн бұрын
Sawa unavosema kuhusu mwaipopo mbona nawewe unakosea km nawewe ungemuita ukamwambia pembeni Sio kwenye midia nasioni kosa lake masheik wapate nyumba na mishahara
@user-xm7rj8bb2u
@user-xm7rj8bb2u 11 ай бұрын
Shekhe Mwaipopo yuko sawa hawa wengine kuanzia ngazi za juu ni unafiki tu ndiyo imetawala kwa unafiki wenu huo msipo badilika mtakuja kujuta mbele ya Mwenyezi Mungu subhaanahu wataala siku ya qiyama
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 11 ай бұрын
Ivi nyie waislam mnagombana vipi mnaweza kuwashawishi vipi mtu single kwenye dini yenu naona Kama wauni
@harunmanura7900
@harunmanura7900 11 ай бұрын
Waganga wamekosana nini sijuwi maana ninapatwa mashaka na hao Waganga,,mfumo wa hdl umeleta taharuki kwa Waganga hao
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 ай бұрын
Mbona mwaipopo yako sahihi tu. Namsìkiliza mara nyingi ameongea fact !
@nasraabdallah
@nasraabdallah 11 ай бұрын
Wewe umesha ungana na kabeke nini 😂😂😂
@user-px8jb9lb4d
@user-px8jb9lb4d 11 ай бұрын
Tangazeni Dini na acheni Majungu Hii ni Dunia
@user-tr9qx4wb4s
@user-tr9qx4wb4s 11 ай бұрын
Kama wewe sie msemaji WA bakwata unatoaje kauli za chuki. Toa ufafanuzi juu ya hizi Mali za waislam zinatumikaje? Kama wewe ni kweli unaitakia kheri uislam jibu hoja wacha porojo
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
Huu sasa ubaguzi, mwaipopo yupo sahihi kabisa, hapa m naona kama mnambagua,,
@rashidnganga8730
@rashidnganga8730 11 ай бұрын
Kweli mwaipopo yuko sahihi bakwata mnafeli
@nasraabdallah
@nasraabdallah 11 ай бұрын
Hhhh mmeshaibiana nini?
@user-tr9qx4wb4s
@user-tr9qx4wb4s 11 ай бұрын
Mbona sharifu majini huonekani msomi unaonekana mjuba tu
@hijahamadi5793
@hijahamadi5793 11 ай бұрын
PUUUUUUM, USHUZI HUNA LA KUONGEA
@shabanimbanachi8333
@shabanimbanachi8333 11 ай бұрын
Acheni kupiga kelele fanyeni kazi ya mwenyez mungu lakin kiukweli BAKWATA wanazingua
@OmarySaid-xh7ke
@OmarySaid-xh7ke 11 ай бұрын
Mwaipopo yk sawa hy ni mawazo yk na niukweli mtupu ana uchungu na waislam ndio mn anaongelea Mali za waislam
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 11 ай бұрын
Masheikhe ubwabwa utawaponza nyieeee nyie nyie nyieee ubwabwa
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt 11 ай бұрын
Mjibu Kwa hoja, Mbona jamaa anaweka wazi tuu, Kama nyumba zipo ww njoo utuambie nyumba zipo Kama gari zipo tuambie gari zipo Kama mishahara inalilwa wewe sema kua mishahara inalipwa
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 7 ай бұрын
Mwaipopo..hussein msopa majini..sulee.mazinge..masharifu fake woooote wapigaji tu matapeli
@m.othman866
@m.othman866 11 ай бұрын
Hawa woote kazi yao moja tu.. Wasitusumbuwe...
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt 11 ай бұрын
Mjibuni Kwa hoja, Mbona hujibu Kwa hoja ww
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe 11 ай бұрын
Hivi huwa ninyi ni wehu?!!Mbona mnahangaika kama kuku wanaotaka kutaga?!Hamna kazi za kufanya?!
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Mm nimemsoma Mwaipopo kupitia channel yake tuwe na tahadhari nae sana. Inaonekana anauroho sana wa mali/madaraka na nafs yake hawezi kujizuia kuona wenziwe wanamaendeleo. Na inaezekana……… kusilimu akaacha mali mana anasahau km Mtume wetu Muhammad s.a.w alikua masikini na ndio kiongozi wetu sote waisilam! Yy anauza dawa atueleze wangapi kawasaidia bure au kawasaidia kwa mujibu wa uwezo wao??? Anapenda sana fitna! Allah amuongoze yy na sisi sote, amiin.
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 7 ай бұрын
Af uganga wenyew hajui anachukua dawa sehem flan af anauzia jina lake
@muniraally4091
@muniraally4091 11 ай бұрын
Mwaipopo mfedhuli jamani ah!! Ana majibu ya nyaaah YAANI!!
KUMBE WA ISRAEL WALIJITEKA WENYEWE WAONGO
31:51
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 3,6 М.
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 40 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 7 МЛН
ASKOFU GWAJIMA ABOMOLEWA # MUHUBIRI MWAIPOPO#
12:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 6 М.
SHEIKH KISHKI AWAJIBU WALIOPEWA PESA NA NABII MKUU
23:22
Kishki Online TV
Рет қаралды 183 М.
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 40 МЛН