No video

SHEIKH KISHKI AWAJIBU WALIOPEWA PESA NA NABII MKUU

  Рет қаралды 183,344

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 1 500
@josephmazengo1113
@josephmazengo1113 Жыл бұрын
Ngja nikwambie sheikh Kishki mm Ni mkristo Ila hcho walichofanya hao watu Ni ujinga na wametengenezwa,njaa tupu inawezekana wakawa kweli waislam lakni njaa mbaya na ninauhakika wametengenezwa maana huyu Ni nabii wa Kiki.. thanks 🙏
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Na bee wa kujiona mara ajivunie yy mara ana uwezo akikaa ju ya kiti akizungukaa kwa majigambo muongo
@godfreymtefu6168
@godfreymtefu6168 Жыл бұрын
Yule anaesema muigizaji wa jua kali nae inakuaje sasa
@ElizaBeth-rc7yf
@ElizaBeth-rc7yf Жыл бұрын
Acha kujipendekeza hata kama humpendi joe davie usifikiri ndio watakupenda wewe, mimi mwenyewe simkubali joe davie,nakushauri vitu kama hivi tazama na ukae kimya waache wenyewe.
@allymangogasya8068
@allymangogasya8068 Жыл бұрын
Uenda ikawa wametengenezwa
@nassboy1915
@nassboy1915 Жыл бұрын
correct
@Quranicrecitation1995
@Quranicrecitation1995 Жыл бұрын
MashaAllah Sheikh kishiki ALLAH akufanyie uwepes Asante kwa kuelezea jambo hili
@mereybajrey8418
@mereybajrey8418 Жыл бұрын
Abubakar bi swadik huyu muislam gani 🙄🙄
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@mereybajrey8418 BADO KAMALIZIA NA RADHIALLAHU ANNHU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mamuoman7849
@mamuoman7849 Жыл бұрын
Hata salam hawajui kuitamka
@zeit6359
@zeit6359 Жыл бұрын
From kenya 🇰🇪may Allah grant you jannah sh.kishki it is because of your teaching am now a better muslim
@khalidimzamiru9406
@khalidimzamiru9406 Жыл бұрын
Walllah sheikh nurdin Kishk Mungu akujaalie umri mrefu nakupenda sana sheikh kwa ajili ya allah kwa kazi yako
@habibumohamed1543
@habibumohamed1543 Жыл бұрын
Allah awape umri mrefu na awatunze masheikh wetu,wanazuoni na walinganiaji Tujitahidi kupeleka watoto zetu madrasa waisome dini na maadili yake Kwa kufuata Qur'an na Sunna ili wajekuwa masheikh katika kutoa elimu na usahihi Kama hivi sheikh wetu KISHKI maana huko Tunapoelekea Uadui ni mkubwa juu ya Uislamu,, Hawa wanaojiita masheikh wa mchongo hakika wametutia doa kudhalilisha Uislamu na waislamu ALLAH anaulinda Uislamu na sisi tuutetee na kuupigania na kujitoa katika kusema Kama hivi tunavyokosewa na kuvunjiwa kheshima
@oman9880
@oman9880 Жыл бұрын
ماشا ءالله شبحن الله الحمدلله الله أكبر 🌹🌺🏵️🌼🌾🌿🌴🌱🍁🍀🍂☘️🍃🌸💮💮🌸🌼🌿🌴🌱🥀🌺🏵️💐🌸🍁🌾
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 Жыл бұрын
My best sheikh of all time in East Africa I real appreciate your work may Allah bless you 🙏
@thuwaybah5679
@thuwaybah5679 Жыл бұрын
Amiin🤲
@jumahamis5137
@jumahamis5137 Жыл бұрын
Mashehe wa mchongo tumesamda
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Sisi sote. Ni. Ndugu achen chuki
@shabanimohammedy6441
@shabanimohammedy6441 Жыл бұрын
Sheikh kishk kipenz chawatuu kwann uja kuja kwetuu songea luvuma yetuu inamakafiri kibao karbu kwetuu
@rashidmshindo1527
@rashidmshindo1527 Жыл бұрын
jamani wakristo mbona mbona mnatufatafata mbona navijieravyenu
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir ust kishk kwa ujumb nzr sana mola akulipen pepo pamoja na ss waislam amiin yarabalialamiin
@amidoissa4049
@amidoissa4049 Жыл бұрын
Hawa kweli ni wakristo ,shekhe umewaona ,Nakupenda kwa ajili ya uisilam ,allah atulindie uisilam wetu, wmin summa amin.
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Жыл бұрын
Amiin
@thumarashid9842
@thumarashid9842 Жыл бұрын
Laanatu llah ziwashukie wababa hawa wasiojijua wallai mpk mwisho wao wa maisha
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
Wanaotumia majini na waganga wa kyenyeji ni dini gani vile?
@saidathinayabaganwa9963
@saidathinayabaganwa9963 Жыл бұрын
@@johnsonbagambi1908 kwani wakirsto hawaenda kwawaganga wakienyezi punguza maneno
@donhussle948
@donhussle948 Жыл бұрын
ALLAH ( SW) c allah
@bakarimatangula7607
@bakarimatangula7607 Жыл бұрын
Sheikh Kishki just for Every Body And he is The World wide. Tunakupenda Sana Shekh Kishki
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
My shekhe my brother my ndugu yetu wa kiislaamu my shekhe wa kimataifa. Nimekuelewa sana, ni kweli hawana hathari za kiislaam.
@sirkingsky108
@sirkingsky108 Жыл бұрын
Am a Christian but for surely am so interested with your speeches always
@omarabdallah372
@omarabdallah372 Жыл бұрын
May God guide u to Islam thanks bro for your comment
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
He will be pleased to meeting you. May Allah bless you with comfort and prosperity.
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
@@omarabdallah372 Insh'Allah
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 Жыл бұрын
May Allah guide u brother
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
@@omarabdallah372 ameen
@rahmaally5128
@rahmaally5128 Жыл бұрын
Swadaktaaaaaaaaa Sheikh wangu mie 👌 Allah awe pamoj nawe na akulind na shari zao, masha Allah umenena vyema , as always sheikh wangu unabusar na hekma umejaa msimamo thabit huteterek upo imara ktk kuulingania na kuutetea uislaam , najivunia mno kuwa na sheikh Nurdeen kishk kwe nchi yetu , tunakupend kwa ajili ya Allah
@shamsakhaji289
@shamsakhaji289 Жыл бұрын
Nampenda jamani haogopi kama mashehe wengine yani ana msimamo sana . Huyu ndio kiongozi mfano wa kuigwa ❤
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Mmoja wao ni shekhe wa bakwata ameshapewa barua ya kusimamishwa
@aljabriroblox7844
@aljabriroblox7844 Жыл бұрын
WANA. MACHO. LAKINI. HAWAONI.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Wengine ni vibaraka wa kanisa na wanapewa pesa hao Bakwata
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 barua ile geresha tu kwani mkwe wa mufti Alhadi ndio zake
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 Жыл бұрын
Kinacho waumbua wanafanya arama za kinaswala, eti wanapiga makofi hhhhhhhhhhhhh
@omarysaidy5524
@omarysaidy5524 Жыл бұрын
Maashaallah nampnda sana sheikh kishik hajawahi kukaa kmy kweny Mambo abayo sio mazr ya kupotosha dini kwa kweli Allah akuweke sheikh kishik umriii tuwilll amiin anakupenda Kwa ajili ya Allah
@saay4273
@saay4273 Жыл бұрын
Amini yarabilalamini
@issahamis581
@issahamis581 Жыл бұрын
Sasa naware wanao kwenda kwa waganga jee
@pauloegbert515
@pauloegbert515 Жыл бұрын
Kwendeni zenu nyinyi mmeongea na mungu kwa taarifa yenu dini ziko nyingi duniani msifikri kwamba Mungu ni wa kwenu tu kazi yenu kuchochewa vurugu na kutuletea ubaguzi washenzi nyie
@saay4273
@saay4273 Жыл бұрын
@@pauloegbert515 sasa umeona uje kutukana hapa au
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@pauloegbert515 WEWE KONDOO KAMA UNATAFUTA MUME NENDA KAOLEWE VATICAN UTAOLEWA RASMI KANISANI.
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 Жыл бұрын
Mashaa Allah. Allah akupe umri mrefu sheikh wetu. Nakupenda kwaajili ya Allah. In shaa Allah
@anna19805974
@anna19805974 Жыл бұрын
Mimi ni mkristo hao watu wametengenezwa na wamelipwa. Njaa mbaya sana. Nashukuru sana kuliongelea hilo umewafungua macho waislam ata kwetu wa Kristo huyo anaejiita nabii Mkuu ndio wale manabii feki. Ukiona kiongozi wa dini anatumia pesa na sio neno LA Mungu jiepushe kaa mbali nae. Soma neno LA Mungu lituongoze hawa wauongo watakuja wengi sana siku za mwisho. Barikiwa Shekhe
@mirrykirungi5078
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Kwakweli naungana na wewe kwanza huyo mwingine amekosea ana sema wabaraka mmmh wamichongo MUNGU awasamehe njaa mbaya sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
HUYO NABII FEKI KAINGIZWA CHOO CHA KIKE 🤣🤣🤣🤣🤣 MJNI SHULE HAO NI MATAPELI 2.
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
Masheikh mchongo tumesha wabaini washenzi hao. tunashukuru sana Allah kutujaaliea sheikh wetu Kishki na amnyooshee mambo yake ya kheri kwakutupa ufahamu ALHAMDULILLAH 🙏
@saay4273
@saay4273 Жыл бұрын
MashaaAllah tabarakallah Allah akuhifadhi Shekhe wetu umewafumbua wengi masikio kwanza hao hata Salam hawawezi kuitamka ipasavyo hao wanataka tu kutuharibia watoto wetu ambao bado hawajui chochote Shukuran sana Shekhe 🙏
@hasnahasna7872
@hasnahasna7872 Жыл бұрын
Aameen yaa Rabb. wallah inasikitisha san.
@shukranjazzakhaallahukheir1897
@shukranjazzakhaallahukheir1897 Жыл бұрын
innalillahi wainnaillahi rajiuni... MashaAllahu sheikh were mungu akuhifadhi
@bgpin7497
@bgpin7497 Жыл бұрын
Kwanini wasitafutwe waulizwe 2 hata yesu alisema yeye niwa mwisho tujiadhali watakuja mnabii wa uongo
@shapdullayo837
@shapdullayo837 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu Shekh wetu.. uzidi kupambania dini Ya Allah! insha'Allah
@mwajaburasul566
@mwajaburasul566 Жыл бұрын
Alhamdulllillah huu ndiyo msimamo.unaotakiwa tuwe nao sisi waumin wa kiislam Allah akulipe Sheikh Kishki Mashamallah
@mwajaburasul566
@mwajaburasul566 Жыл бұрын
Masha allah
@ZAMYLFILM
@ZAMYLFILM Жыл бұрын
Mashaallah barakaallahu fikum ya sheikhuna kishki ndio maana uislam twaambiwa FADHAKIR FAINNA DHIKRA TAN FAUL MUUMINUN kishki waallahi umefanya jambo kubwa Sana waallahi tunakupongeza Sana watu wa mambrui na lamu hongera sana
@neykweyamba1784
@neykweyamba1784 Жыл бұрын
Maishallaha Sheikh wetu nilijuwa tu Baba yangu katika imani ujakuja kutusahihisha na kututuliza Nafsi zetu kuwa Ao ni miongoni mwetu 🙏🙏🙏🙏
@shamsakhaji289
@shamsakhaji289 Жыл бұрын
Yani kama mimi nilihuzunika sana aisee😢😭😭. Naiheshim sana dini yangu
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Жыл бұрын
@@shamsakhaji289 Yani mm Maka nasema ikuwezekan walaniwe ila sio vyema kuambia ivyo ila km Kuna adhabu kwajili Yao mungu namuomba awapatie hapa duniani kwanza
@alush3138
@alush3138 Жыл бұрын
Allh awahidiii nanjaazenuuu nakuzalilish uslam
@nadyajaffarali7289
@nadyajaffarali7289 Жыл бұрын
Allah atudhihirisha sasa Dini ya Kiislam ni Dini ya Kweli ya Allah,hii inaonekana wazi,ushahidi katika Suratil Nasr"Itapokuja Nusra ya M.Mungu na kushinda utawaona watu wanaingia katika Dini ya M.Mungu makundi kwa makundi..... Wakristo wanachanganyikiwa haooo!!!wanafanya kila mbinu watuvute lakini hawatuwezi isipokua tunatakiwa tusome sana Dini hasa Vijana wanaoinukia wasome na kupata Imani ya sawa tusiyumbe.ALLAH AKBAR!!!
@ayshahamisi1240
@ayshahamisi1240 Жыл бұрын
Allah akulinde shekh wetu. Nakukubali Sana. Unaweza kuwasemea waislamu
@aliujendo
@aliujendo Жыл бұрын
Mimi yangu nina muonba Allah atunusuru Tanzania kiukweli unafiki nimwingi mno mashekhe wauongo ni wengi kuliko ma sheikh wa kweli Allah atulete mujahideen watuongoze kwenye haki in sha Allah
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Жыл бұрын
Alhamdulillah Allah anajalia haki na batri zinabainika na kukaa PEMBENI. ALLAH AKUHIFADHI INSHAALLAH SHEKH KISHKI NURDINI. ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA, ALLAHUMMA AAMIN AAMIIN
@mudiyork7702
@mudiyork7702 Жыл бұрын
🕋🤲 nina kukubali sana may Allah bless you Amin
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 Жыл бұрын
Wewe ndiye wanawaza kukemea huu uzushi ila sio mashekh wa bakwata Allah akuhifadhi shekh
@sein.208
@sein.208 Жыл бұрын
Masha Allah ALLAHUMMA AMIYN 🤲🏼 Allah akulipe kheir nyingi Sheikh wetu Kishki
@hadhaminfadhwil-rab287
@hadhaminfadhwil-rab287 Жыл бұрын
Innalillah Wainailah Rajiun😭 Allah akubarik shekh Kishk kwa kuendelea kuwabainisha wanafik, na akuhifadh minkuli hali insha-Allah🤲
@farjallahubeydabdulrahman4845
@farjallahubeydabdulrahman4845 Жыл бұрын
SHUKRAN JAZIILAN Sheikh Kishki kwa ufafanuzi na kutuelemisha ALLAH Akupe afya Akupe umri mrefu wenye baraka
@khayriyamussa682
@khayriyamussa682 Жыл бұрын
MaaShaa Allah umezungumza vzr sana Allah akuepushie na mabaya na akulipe kheri zaidi(Amiin)
@abeliever6823
@abeliever6823 Жыл бұрын
Sheikh Nurdin Kishk. Mola akuhifadhi. Mola akuzidishie ikhlaas na elimu yenye baraka
@abeliever6823
@abeliever6823 Жыл бұрын
اللهم أحينا علي الإسلام وامتنا علي الإيمان
@swaibakamikazi9249
@swaibakamikazi9249 Жыл бұрын
Allahu Akbar, Nafurah kuona sheikh wet hakukawiya kulizngumziya hili, maaan masheikh wenyew hat Salam hawajuw kuitow, Allah atuongoze atufshe haliyakuw tukiw waislam
@neykweyamba1784
@neykweyamba1784 Жыл бұрын
Ameen
@saay4273
@saay4273 Жыл бұрын
Amini thuma amini
@nailaty
@nailaty Жыл бұрын
Hizo salam tu zinaashiria sio waislaam subhanna llah
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 Жыл бұрын
Subhanna llah
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu nakupenda nikisikia unaunguruma kwa haqi ,
@kilosa2000
@kilosa2000 Жыл бұрын
Ameen
@abouawardh1637
@abouawardh1637 Жыл бұрын
Alhamndulillh shekhe mwenyezimungu akuzidishie heri na akuondolee hisda
@lelaurambo7535
@lelaurambo7535 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Shekh Nurdin Jazaka llahu Khair unetufunguwa macho 😳 si waislam wote kwakwel najaribu hatta kuskiliza Wanavyo towa Salaam dah ni makuffaru Allah awape yanayo wastahili amiin 🤲
@hajraabdallah71
@hajraabdallah71 Жыл бұрын
Nikweli kama huyu wa pili anasema Asalamwalykum warahma tullah wabaraka.... Mungu atuongoze waislamu wote tusikubaliane na hili jambo maana huwezi kukuta shekhe anatowa hotuba anapiga makofi
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze Жыл бұрын
Hizi kanzu za mitumba za bukubuku, ndio sehemu ya tatizo kila mwenye lake miongon mwa mashehe ubwabwa anatupia kanzu🙄🙄🙄hawajui uislam una codes zake.
@hajraabdallah71
@hajraabdallah71 Жыл бұрын
@@Zainabnoor0087-ze nikweli kabsaa
@farajamyinga2613
@farajamyinga2613 Жыл бұрын
Mashallah Sheigh Nurdin Kishki, Allah akulinde.....
@khadijaathumanikhadijaathu9031
@khadijaathumanikhadijaathu9031 Жыл бұрын
Masha Allah 🙏🙏 Allah subuhana huwataara uzidi kukuongoza sheikhe katika wisilamu ishaallah 🙏🙏 🤲🤲
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Umeongea vinzuri lakini umeharibu mwishoni hao ni wakristo kwani hakuna waislamu washenzi nenda Kwa mwamposa wengi waislamu usitukane Imani za watu mshenzi ni mshenzi Hana dini
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 Жыл бұрын
SubhanaAllah😰 wallah ni mtihani mkubwa sana😰😰Sheikh Nurdeen kishk ALLAH Akuhifadhi 🤲🤲🤲🧡🧡🧡
@hidayaali1741
@hidayaali1741 Жыл бұрын
Amiin thumma Amiin
@josephanthon8037
@josephanthon8037 Жыл бұрын
Wale ni Mashehe wakweli kabisa Ila lazima mkatae t
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 Жыл бұрын
@@josephanthon8037 hpn hpn sio masheikh hao
@muhidiniabass4385
@muhidiniabass4385 Жыл бұрын
Alhamdulillah kwa kuliona ilo
@neemairadukunda2113
@neemairadukunda2113 Жыл бұрын
Allah atuwekeye wepesi atupe mwisho mwema kweri njaa nimbaya saaaana❤️🇧🇮
@mustaphaabdallah9502
@mustaphaabdallah9502 Жыл бұрын
Maash Allah shekh hongera kusimama ktk ukwel bila kuhofia binadamu Allah akulipe ktk hili Insh Allah maana Mwengine angeanza kuzunguuka ila thankx 4 ure truueth
@kanyikamustapha199
@kanyikamustapha199 Жыл бұрын
Shukrani sana shekhe wetu JAZAKALLAH KHEIR. Kwanini msikae mashekhe wa dar es Salaam mkaamua kuwa chukulia hatua maana wanawagombanisha na waislam
@bakarimaalim8579
@bakarimaalim8579 Жыл бұрын
Hili suala liliniumiza sn moyo,nashkur kw kuona Sheikh wng umepaza sauti kulikemea ahsnt sn Al akhy Qishk Jazaakallah khayra...
@rahmaramadhani3470
@rahmaramadhani3470 Жыл бұрын
Mimi pia niliumia sana wallah ila Allah Kareem
@aqrammussa7452
@aqrammussa7452 Жыл бұрын
Shekhe wangu umewapatia hao matapeli wa dini yetu Allah atawapatia adhabu Kali sana wana tudharirishia mashekh wetu
@ramadhanimasudi6904
@ramadhanimasudi6904 Жыл бұрын
Kwa hakika tunakushukuru kwa ajili ya ALLAH. Uwepo wako Tz ni jambo la kumshukuru Mungu kwa sababu wewe ni Neema nzuri ambayo Mungu ametujaalia. Nakuombea maisha marefu ili uendelee kua baraka kwetu sisi waislaam na kwa wasiokua waislaam. Kwa sababu wewe ni haki iliowazi kwa watu wote. Namshukuru Mungu kwa kutuletea wewe. Asante sana!
@nshimirimanayassini694
@nshimirimanayassini694 Жыл бұрын
Barakallah Allah akujalie zaidi ufaham na ilimu naakup umri mref tuwez kunufaika nawo naautujalie pepo insha Allah soote
@aminamohammed7946
@aminamohammed7946 Жыл бұрын
subhanaAllAH,innalilahi wainnailahi rajiun, kwa kweli huu ni msiba mzito.mungu atuongoze sisi waja wake
@saidibakari4414
@saidibakari4414 Жыл бұрын
Hawa ni Waislam lakini njaa wamepewa pesa kumnyanyua nabii mkuu jamaa wameenda kutengeneza pesa baadae watatubu
@fatumankya610
@fatumankya610 Жыл бұрын
Alhamdulillah !tunahitaji sana hoja nzito kama hizi ziwe hewani
@yohanaleopoldleopold2572
@yohanaleopoldleopold2572 Жыл бұрын
We kishkh unajifanya ujielewi hao niwaislamu njaa swala lakusema unabii wawatu Acha zungumzia hao waduduwako waliofata pesa
@rehemaally8128
@rehemaally8128 Жыл бұрын
Ma Sha Allah sheih wetu ingekuwa ni ww ninge shutuka ila hao nilijua tuu ni njaa zina wasumbua
@user-hu2hl9sx1n
@user-hu2hl9sx1n 4 ай бұрын
Allah akupe umli mlefu shekhe kwa kuliona hili wanachafua dini kwakupewa hera
@mrdayssaidnahrrel6773
@mrdayssaidnahrrel6773 Жыл бұрын
Innalillahi wainna illayhi rajioun🤦‍♂️ wote hawa wapo kwa ajili ya kuichafua dini ya kislamu ila kwa uwezo wa Allah (s.w) hawatoweza inshallah
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Alhamdulillah wallah tunatukanwa sana tuaambiwa yesu ni Mungu 😭
@sweeteaglepower4773
@sweeteaglepower4773 Жыл бұрын
Kweri Yes nimungu
@emmanuelshaban6821
@emmanuelshaban6821 Жыл бұрын
NDIO YESU NI MUNGU
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@sweeteaglepower4773 NA WEWE NI KONDOO
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@emmanuelshaban6821 NA WEWE NI KONDOO
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
WAKISEMA HIVYO TAYARI WAO NI WASHIRIKINA HAO NI WASHIRIKINA WATAKWENDA NAR JAHANNAM KHALIDINA FIHA ABADAN.
@zuhrazuuvenus3705
@zuhrazuuvenus3705 Жыл бұрын
Asante shekhe kishiki Allah akulinde ht mwenyewe nimejiuliza watu karibia ishirini hivi wasialikwe hata mmoja ht kwenye busati la mtoro au ht nisimuone ht mmoja ht tv Imani
@rehemachuma7747
@rehemachuma7747 Жыл бұрын
Allah akulipe khery Kishki... Geordavie anapenda kuigiza.. Keshapita kwa wachekeshaji, waimbaji kaona hajapata kiki... Kahamia kwa waislamu.
@aishakinia4957
@aishakinia4957 Жыл бұрын
Mashaallah bora ulikemeee mwanzoni sije wakapotosha watu. Sheikh nakuaminiii sana uwezo ona upuzii ukanyanyamaza mbali na masheikh wengine. Swadakta sheikh ata mm limenikera
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Mashallha shukurani sana sheikhe wetu kishik allha akuzidishie lnshallha
@lizoboy4584
@lizoboy4584 Жыл бұрын
Nakupenda sana shekhe mungu awe pamoja na ww naupenda sana uislam na nipo teyari kutetea uislam kwa njia yoyote ile
@revocatuspaschal4391
@revocatuspaschal4391 Жыл бұрын
Shehkhe JESUS CHRIST LOVES you.Get prepared to receive HIM
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 Жыл бұрын
Wewe kichaa sanaa
@user-ji6kb4qj6n
@user-ji6kb4qj6n Жыл бұрын
Masha ALLAH umri mrefu sheikh kishki.ameen
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Жыл бұрын
حفظ الله شيخنا كشكنا وواصل تعليمنا
@yasinrock1635
@yasinrock1635 Жыл бұрын
Dah kwakweli leo nimethibitisha uwislam nidini yahaki nandiomana inapigwa vita eh Allah tulindie dini yako
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Жыл бұрын
@@yasinrock1635 kabisa yani
@shareeph2223
@shareeph2223 Жыл бұрын
آمين والله يحفظه ولنا جميعا
@jumarobert4929
@jumarobert4929 Жыл бұрын
Mtu yeyote anaweza kubadilika kwaiyo unaposema ni wakristo sijui
@mkojanielectricalsolution1195
@mkojanielectricalsolution1195 Жыл бұрын
Allh amuhifadhi kishki ni sheikh wa kuigwaaa
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Allhamdhullillaih , nashukuru ALLAH kwa sheikh wng kishki kwa kuongelea jambo hili la masheik wa mchogo , sheikh kishki ALLAH akulipe kheir amiin
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Sheikh kishk Allah akubariki na akuhifadhi Tunashukuru sn kwa kutufahamisha tunashukuru kwa kutuweka sw alhamdulilahi
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Жыл бұрын
MaashaAllah Walhamdulillah sheikh kishki
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Жыл бұрын
Mashaallah shukran jazzakallah khairan shekh wetu tukupendae kwa kutetea haki za waislam umeanza kuwajibu sasa umefungulia vidume vya Allah wako mezani wanaandaa dawa yao wasichezee dini yetu laailaha ilallah Mohammada rasulullah wanatudhalilisha tu 😭😭😭Allah atawaongoza
@khadijahamza5670
@khadijahamza5670 Жыл бұрын
Masha'Allah shekhe wetu kipenz nakupenda kwa ajili ya Allah mwenyezimungu azidi kukujalia Afya njema uzidi kutuelisha na atujalie vizazi vyema maana hizi ni nyakati mbaya😭😭 wanatuchafulia uisilamu wetu
@hasnahasna7872
@hasnahasna7872 Жыл бұрын
Aameen
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 Жыл бұрын
Sheikh langu hao ni njaaa tu inawasumbua, kweli hao ni wamchongo ata salamu hawajui kuitoa,. Mmoja amesalimia, salamaleko😀😀
@adamufundikira7878
@adamufundikira7878 Жыл бұрын
@@hasnahasna7872 waisilam mnajikuta sana na wakati mnawapeleka watu motoni
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@hassaniidrissa5916 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍👍
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@adamufundikira7878 SAWA KONDOO WEWE.
@inyivuze
@inyivuze Жыл бұрын
Assalaam aleykum Warahmatulallah Wabarakatu, asante Shekhe, kwa maana sasa ivi inakua ngumu sana kuzuiya mambo kama aya, kwasababu ya social media, watoto wetu uku nchi za nje dini tunajitahidi sana waweze kupata elimu iliokua sahihi.. Mungu akuzidishia hekma na Umri wa afya
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Mungu Atawazibu Apa duniani kuna shekh mmoja mchongo kamwita baba kwa njaa🤲🤲😭
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah ☝️wallah njaa!Subhannallah aibu gani!
@sophianyangalio3796
@sophianyangalio3796 Жыл бұрын
SubhaAllah 😭 mtihan wallah na hata salamu hawajui kuitoa kwani mmoja kasema jina lake lenyewe ni shda kutaja wallah huu msiba mnzito sn
@beatman401
@beatman401 Жыл бұрын
Assalam Anlaikoum 🙏#Cheikh ! Nimetokea🇰🇲🇰🇲🇰🇲#Comoros sijawahi Ata Mara moja kufika #Tazania🙏🙏. Bassi cheikh, unasema UKweli mnoo, wao sio Waisilamu, Do Wale Ma Dajali 30 Abao Watakuja lakini Sasa wapo, Bassi asante cheikh 🙏🙏🙏🙏🙏
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Subhanallah Innalillah wainnailaih Ndio Sasa naiona Kwa kwel hawa ni Waislam wa kutengenezwa Wanataka KUCHAFUA Lkn Dimon yetu hawawez kuchafua wanajichafua wao wenyewe Astaghfirullah Loh!!Njaa Zinawauma Namuomba Allah awaongoze yarabby Kwa hakika wamepotea🙄ASANTE Sheikh Kishk Sasa Ao Masheikh waje KWA sheikh Nurdin tunawataka wafanye Mdahalo NA Sheikh Kishk Allahumma baeik
@tanzanian8847
@tanzanian8847 Жыл бұрын
Hongera sana Shk. Kishik kwa kazi nzuri unayofanya kwa ajili ya Allah. Allah akulipe Jannat Firdausi.
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Manshallah mungu akupe maisha marefu
@khamissultan279
@khamissultan279 Жыл бұрын
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh yani kweli kabisa hawa ukiwatazama tu unajua hawa sio miongoni mwetu tena aliyeanza kuzungumza HIYO KANZU KAVAA NYUMA MBELE MBELE NYUMA Allah akujaalie nguvu uzidi kusimama katika haki Ameen🤲
@kautharyamour6923
@kautharyamour6923 Жыл бұрын
Jina la sana yan shehe ana jin la sanaa
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura Жыл бұрын
Mtihan mkubwa Jazakhallahu khairan Ya sheikh wetu kipenzi Allah akuhifadhi
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Жыл бұрын
Subhaanallah liadhim Allah hamfichi mnafiki salam tu utamkaji wadhihirisha kuwa sio waislam
@banihashim5347
@banihashim5347 Жыл бұрын
Safi sana sheikh wetu, Umetupunguzia mzigo, maana hili limetuudhia sana
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 Жыл бұрын
Inna lillah wainna ilahi rajiuun njaa nimbaya wallah
@hamidabdallah5664
@hamidabdallah5664 Жыл бұрын
Njaa bana duu
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 Жыл бұрын
Hao mashekh wamechoka kuwa ndugu wa majini wameamua kumpokea yesu🤣
@banihashim5347
@banihashim5347 Жыл бұрын
@@erickmaisha4773 hao sio masheikh, hao ni wagalatia wenzenu wasiokua na akli
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 Жыл бұрын
Acha kuwaruka wamechoka kusujudu nakupulizwa nyuma wakisali🤣
@alexkimela621
@alexkimela621 Жыл бұрын
Aisee mimi ni mkristo lakini nampenda sana huyu kishki namna anavyoitetea imani yake
@mirrykirungi5078
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Kwakweli nimempenda bure anavyotetea na kuelemisha masheikh wale walikuwa wa mchongo wasiharibu imani za watu nabii hajitangazi
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Hamia huko mkafuge majini
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Жыл бұрын
Swadakta allah akupe afya njema na akulinde na kila aina ya shari akujalie hapa dunian hadi kesho akhera
@adamkingi6073
@adamkingi6073 Жыл бұрын
SubhanaAllah
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 🤔 Subhanallah shukran sana Sheikh Nurdin 🌹 kwakwel nimegunduwa ki2🤔Hatta nyuso zao hazina Nuru kwakwel makofi Kwa wingi na hatta Mkao wao si waislam kabisa Astaghfiru llah ya Rabala'alamiin 🤔🤔🤔🤔🤔
@omarysaidy5524
@omarysaidy5524 Жыл бұрын
Me pia niliwaona subhanallah nuru ya kuwa wao waislam hawana
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Kwanza hy muongeaji kavaa kanzu au ni zile nguo za hospital wanao vaa wakitaka kufanya operation
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
@@khadijahali4837 hahaha hatta Sunna za ndevu hawana na ni WA zee makongwe Astaghfiru llah 😂
@zuwenamohd4372
@zuwenamohd4372 Жыл бұрын
Mwengine anakwambia anaitwa Abuu Bakar swiddik R.A. 🤣ningekua karibu angechezea kofi la kichwa
@zainabzainab3907
@zainabzainab3907 Жыл бұрын
@@zuwenamohd4372 😂😂😂nilicheka Sana hapo alivyomfaja Abuu Bakar
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 Жыл бұрын
Uislam ungekuwa ni dini ya Mtu wallah ungeshakufa siku nyingi!!!! Allah atulinde shekh wetu
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Mungu akulinde shekhe ukweli mzuri Dunia na akheri mungu akufanyie wepesi Kila jambo waislam tusimame imara
@khalifasheughaa2410
@khalifasheughaa2410 Жыл бұрын
😭😭😭subhaanallah😭 Allah awadhalilishe Kama wanavo taka kuidhalilisha dini yake
@ibrahimmchucha3034
@ibrahimmchucha3034 Жыл бұрын
Innalillahi wainna ilahi rajiun Allah atujaalie mwisho mwema🤲
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Ameen
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Жыл бұрын
Allah atufanyia wepesi naakulinde shehe wetu Nurdin kish kish hawa njaa tu inawasumbua😌😌😌
@nacksuma2263
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Usitukane wezako mungu ni mmoja hamna mungu wa waislamu au wakristo ukifanya dhambi Moto unahusu haijalishi umuislam au mkristo
@maulidimussa2148
@maulidimussa2148 Жыл бұрын
Mashaallah shekh Allah atufanyie wepesi tuwe na msimamo na Allah atujaalie iimani na qauli thabiti insha Allah
@hanifa9153
@hanifa9153 Жыл бұрын
Allahu akbar yarrab salama. Allah akujaalie umri mrefu inshaallah biidhinillah💕🙏
@leilazulpha3205
@leilazulpha3205 Жыл бұрын
Masha Allah nakupenda sana sheikh Nurdin kishki kwa kusmamia ukweli na kitetea dini yetu tukufu ya kislamu tunakupenda kwa ajili ya Allah
@halimahamis3742
@halimahamis3742 Жыл бұрын
Laaana ya Allah iwejuu yenu nawallahi km mnamdhihaki Allah.bc mwenyezi mungu awafishe vifo vyakufatana km mlivo simama msitari
@hanashhanash535
@hanashhanash535 Жыл бұрын
Njaa mbaya sana 😭Allah atupe mwisho mwema IshaAllah
@rajabtwahakombo
@rajabtwahakombo Жыл бұрын
Wamekosea sana sana na kosa lao nikumuita nabii wakati nabii w mwisho ni mtume wetu Muhammad SW waleyh wasalaam da naogopa hata kuendelea nahisi nitakosea
@PetroBujashi-oe8ye
@PetroBujashi-oe8ye Жыл бұрын
hao manabii na mitume ni wa mchongo, kwa sasa manabii na mitume hawapo
@PetroBujashi-oe8ye
@PetroBujashi-oe8ye Жыл бұрын
Ifikie sehemu tumwogope MUNGU wanatumia uchawi kufanya miujiza yao. mpaka wengine wanatumia watu kutoa ushuhuda wa uongo na ushahidi tunao, njaa mbaya sn mpk tunamfahamu MUNGU
@seifkandanga8281
@seifkandanga8281 Жыл бұрын
allah atunusuru na watu kama hawa, allah atulinde na fitna kama hizi
@cuteahlam8282
@cuteahlam8282 Жыл бұрын
Ameen
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Mama B usilie uko vizuri mbele za Mungu .umekemea kwa nafasi yako. Mungu atakubariki Heri wapatanishi hao wataitwa wana wa mungu uko vizuri dada
@user-xx1yw7jw2p
@user-xx1yw7jw2p Жыл бұрын
Swadakta shekh kishki mashaallah mungu akuzidishie
@munirashughuli618
@munirashughuli618 Жыл бұрын
Allah akupee Mwisho mwema Sheikh wote wale ni njaa tu Mola awaaongoze wote in sha Allah
@mohamedissa4110
@mohamedissa4110 Жыл бұрын
Dah ila njaaa... Wanavyoongea hawa jamaa 😭😭😭😭 INNALILLAH WAINNA ILAYH RAJIUN
@ameenamohammed4413
@ameenamohammed4413 Жыл бұрын
Shukrani sana shekheh kishiq Allah akupe ujira mkubwa 🙏
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,2 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 22 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
ZINAA NI DENI LA AJABU. SHEIKH KISHK.
39:14
Kishki Online TV
Рет қаралды 230 М.
UJIO WA MTUME MPYA MBAGALA PROF MAZINGE AMCHANA
14:23
arkas online tv
Рет қаралды 16 М.
UBORA WA DHIKRI YA ALHAMDULILLAH / SHEIKH HASSAN AHMED
33:58
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 131 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН