SHARIFU SULEYMANA :.. ATOA FAIDA YA MTI HATARI SANA KWA WACHAWI

  Рет қаралды 23,039

Sharifu Suleymana TV

Sharifu Suleymana TV

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 2 ай бұрын
Asantee sana sana shekhe ALLAAH..akuoe afya njema❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Amina
@gekaraphilip7037
@gekaraphilip7037 Жыл бұрын
Asante sana Maalim umenifunza mengi ambayo sikuwa na ufahamu nao kuhusu elimu ya miti Mungu akuzidishie neema
@soleilsosolove6479
@soleilsosolove6479 Жыл бұрын
Asante sheikh mungu akupe maisha marefu
@fadhilimagembe6413
@fadhilimagembe6413 Жыл бұрын
Asante sana Sheikh kwa elimu ya mimea unayotufundisha
@EDSONHESHIMA
@EDSONHESHIMA 7 ай бұрын
Nashukuru baba unatufundisha muzuri sana unaeleza kilakitu Mungu akubariki Niko Congo/Goma lakini ningependa nikuone.
@nurukhamis7454
@nurukhamis7454 Жыл бұрын
Ahsante Allah akubarik Sheikh
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Allah akuifadh Maalim Suleiman
@ZulfaSaid-p5p
@ZulfaSaid-p5p Жыл бұрын
Alhamdulilah Allah akulipe kher inshaallah
@jongoathumani3690
@jongoathumani3690 Жыл бұрын
Ahsante sana Sheikh tunapata somo kubwa sanaa ila natatizo nawazee wanguu kaka nimwaka wa 5 baba angu anakiharusi namama angu nae anakiharus kisichokomaa anapepesuka tu ana lalamika vichomi mpaka kwenye moyo naganzii kiukweli nimehangaika nao sana wazee wangu nahitaji msaada wako
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv Жыл бұрын
sawa sawa
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv Жыл бұрын
Njoo in box nikupe muongozo ndugu yangu
@RehemaAbedi-zw2vm
@RehemaAbedi-zw2vm Жыл бұрын
Jazak Allahu Khairan Sheikh, Rehema
@gisthevictorperiod.9763
@gisthevictorperiod.9763 10 ай бұрын
Jazak Allah khayran.
@mohamedirajabu-dg6cg
@mohamedirajabu-dg6cg Жыл бұрын
Shekh unatuokoa wanyoge MWENYEZI mungu atakubariki MIMI siomtaalamu LAKINI nikifanya maelezo Yako nafanikiwa na Dua ni zaukweli .tusaidie sana
@MstafaSalum-lh7up
@MstafaSalum-lh7up 4 ай бұрын
Sharifa Mungu akubariki sana maana elimu yako imeisaidia
@reemareemo2698
@reemareemo2698 Жыл бұрын
Asante baba
@modybazenga3230
@modybazenga3230 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie umri
@ismamuwanga7771
@ismamuwanga7771 Жыл бұрын
Tunashukru shiekh wetu
@shemmaster7swaleyuun228
@shemmaster7swaleyuun228 Жыл бұрын
SISI WA OMAN HATUPATI SANA MITI ILA TINANUFAIKQ SANA SANA. MASHAALLAH MASHAALLAH. ALLA SW AKUZIDISHIE ELIMU.
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv Жыл бұрын
Amina
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 Жыл бұрын
​@@sharifusuleymanatvShekh sharifu wallahi nakuombea kwa Allah akuzidishie Elmu na uwezo NA Akujaalie mwisho mwema kwa unavotusaidia Shekh me Nina shida nimeanza Kazi kuajiriwa ni mda sana ila mwanzo wakazi inaenda vizur Alhamdulillah alafu inabadilika kidogokidogo Hapa nimeajiriwa tena nna kama miez 4 sasa inasemekana katika familia kuna MTU anandudu ndio anaenifatilia ili nisitoke kimaisha mambo yakianza kua mazur tu bas anachafua mwili Alhamdulillah unakinga ila huyo ndudu naambiwa ndio anasababisha mabos wanaanza kunichukia hata kama walikua wananipenda kama mtoto wao UNANISAIDIAJE KWAKWELI HELA SINA LABDA KUNA DUA ILI HUYO NDUDU HATA AKITUMWA ASIFANIKIWE? NIPO DAR MAGOMENI NINGALIKUA NA HELA NINGALIKUJA OFSINI HUKO MWANANCHI ILA SHIDA HELA .
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi 9 ай бұрын
Shukran shekhe
@FaroukMitenje
@FaroukMitenje Жыл бұрын
Mungu akubariki
@sakinaissa8289
@sakinaissa8289 Жыл бұрын
Asalaam aleikum Asante shehe hii dawa mtu anaoga chooni au nje
@mrambasura6309
@mrambasura6309 Жыл бұрын
Nakufuatia sana masomo yako nimazuri mno Mungu akupe afya njema
@leticialawi9569
@leticialawi9569 9 ай бұрын
Amen
@mrambasura6309
@mrambasura6309 Жыл бұрын
Asante unafaa
@soleilsosolove6479
@soleilsosolove6479 Жыл бұрын
Lakini ukindu siujuwi nambie ingine jina sheikh 🙏🙏
@abdallah0bullalia118
@abdallah0bullalia118 10 ай бұрын
N ile inatengeneza jambi?
@clemencecharles3392
@clemencecharles3392 Жыл бұрын
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Жыл бұрын
wewe fundi mungu akuzidishie
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Жыл бұрын
Ndio unajua mimi nakusikiliza nipo kongo d r c uvira 🇨🇩🙏
@Jackson35320
@Jackson35320 Жыл бұрын
Ukichukua ile imetengeneza kikapu uchome unaweza ukatumia hio unga wake
@JacksonDismas-p6u
@JacksonDismas-p6u Жыл бұрын
Ahsantenaminitafanyahivyo
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Жыл бұрын
Ndio docta nakuku Bali sn ninaswali nahuliza km mtu unavitu vinatembea mwilini au kuna vitu ulikula usingizini je unaweza piga mizizi ya mti wanyaha kisha utamiya yake uliopiga ili unywe nisawa kufanya ivyo ndoswali langue ilo nipo kongo 🇨🇩 uvira
@azzahrau
@azzahrau Жыл бұрын
Asalam alykum mm nautaka huo mti shekh ntaupata vp
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv Жыл бұрын
Njoo in box upate utaratibu
@azzahrau
@azzahrau Жыл бұрын
@@sharifusuleymanatv kwanamba gani
@mwanakonyaume3611
@mwanakonyaume3611 Жыл бұрын
Ukindu naujua yale majani yake ya kusukia vitu sasa io unazungumzia ni sehemu gani ya ukindu
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 Жыл бұрын
Daah kila mtu ameumbwa duniani kwa sababu elimu ya miti unayotupatia inatusaidia sana cc wanyonge hatuna pesa kwenda kwa wataalam,mm nafanya mwenyewe na mambo yangu ni poa kuna watu hawaji kwangu na njia wamebadili pia hawanichangamkii km zamani tokea nianze kufanya kinga zako kwa nn?
@JacksonDismas-p6u
@JacksonDismas-p6u Жыл бұрын
Ahsantenitumievideonyingine
@agnesimchicha4499
@agnesimchicha4499 Жыл бұрын
Namshukulu kwa SoMo zuri daw unazofundisha Nina Fanya kazi mwenyew matatizo atumie Mimi nimetumia nyingi nyingi zinafanya kazi
@asispetty2590
@asispetty2590 2 ай бұрын
❤❤
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Жыл бұрын
Jambo mzee nahuliza km napiga ule upindu ninaweza tumia Yale maji au mpaka ni mizizi wake tu ndo mtu anapiga ilitumiyz kunywa
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Жыл бұрын
ukisha chemucha Yale maji utachanga maji ta kuongea au utahoga yenyewe Yale maji ya ukindu pasipo kuchanga namaji yakuogea ?
@NicholasPelu
@NicholasPelu Жыл бұрын
Ashante. Sana
@jackmerci7819
@jackmerci7819 Жыл бұрын
Muti huo unaota wapi tuoneneshe pica yake vizuri
@RehemaWere
@RehemaWere Жыл бұрын
I think huu mti most catholic hutumia Kuna siku huwa wanaenda nayo church I think ni hyo
@RehemaWere
@RehemaWere Жыл бұрын
Sheikh si utusaidie wenye tuko Gulf aki hayuko kenya penye tunaeza ipata,tutashikuru
@RehemaWere
@RehemaWere Жыл бұрын
Huu mti ni ule unakuwa na mwiba mbele ama????
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 4 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 22 МЛН
LIVE🔴:  FAIDA ZA MTI WA MVUJE | YUSSUF BIN ALLY
39:57
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 132 М.
INAENDELEA:...SIRI ZA WACHAWI SEHEMU YA 2
19:59
Sharifu Suleymana TV
Рет қаралды 2,8 М.
IJUE FAIDA NA TIBA YA MTI WA MU ALOE VERA | MSHUBIRI | SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
10:42
MSIMSHAMBULIE DR SULLE UHAKIKA WA ELIM YA MAJINI HUU HAPA INATISHA No2
44:55
SEHEMU YA 2 SIRI NA MAAJABU YA YASINI KUSAMBARATISHA UCHAWI WACHAWI NA MAADUI
14:00
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43