Aa sheikh walid ..Allah akupe kila ulitakalo la kheri Amiin wallahi nimesoma aya hii pamoja na yassin
@Edwardcharleshenry-ni5wl7 ай бұрын
Ni haya ipi uliyoisoma ukamalizia na yasin nijuze
@latifaothman28147 ай бұрын
@@Edwardcharleshenry-ni5wlme nilivofaham hicho kisomo cha kurudisha ubaya ulipotoka ni kila baada ya aya ya Suratul yasin unaengeza aya ya 25 ya suratul Ahzab mpaka unamaliza Yasini. Ukimaliza sasa ndio unasoma Alamnashrah na Suratul Fiil..Wallahu A'alam
@DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz4 ай бұрын
Sub-haanallah
@MuhyddenMuhyddeen-u2b2 ай бұрын
ماشاءالله حيك الله طول الحياة في منفعة العلم ونفعن الله بعلمك
Jazaa kallah kheir sheikh walid mungu akupe umri mrefu wenye kheir na ww tuzidi kunuafaika na madarsa yako
@MWAJUMAJUMA-n9g7 ай бұрын
a,alaykum shekhe mm cjui naomba uniandikie nipate kuisoma inshallah
@ibejoe77196 ай бұрын
wacha tusubiri patatokia Muislamu mmoja atatuandikia bila hofu...InshaAllah
@muslimahsister75612 ай бұрын
Ni Ayah ya 25 ya Suratul Ahzaab Waradda Allahul-Ladhina Kafaruu BighaydhiHim Lam Yanaluu Khayraan Wa Kafa Allahul Mu-umininal-Qitaal Wa Kana Allahu Qawiyaan `Azizaan
@hulkamgenihulka26457 ай бұрын
Asante kwa Kutupa Misumari shekh wetu.....Allah Akuhifadhi..🤲
@jogoomohamed26527 ай бұрын
Yaa Rahman,Yaa Rahim,yaa malik,yaa Qudus.Yaa Mutakabir.Nimetaja majina yako tukufu.Kwa baraka ya mwezi huu mtukufu.Wallah.Yaa ninakuomba MJALIE mja wako huyu umri mrefu wenye furaha na mwisho mwema.Wallah Shekhe Walid.Kimbilio la waja wengi
@DarsaTV.7 ай бұрын
Allahumma Ameen
@LatifaMusa-dy3idАй бұрын
Ya allah nijaalie mume mwenye dini wallah
@REHANIDRESAY29 күн бұрын
Nipo hapa
@1nesoch27 күн бұрын
Njoo Rwanda
@muftishaban.a.musamombasak65777 ай бұрын
Mashallaah sheikh ALLAAH akuhifadhi
@khadijakhamis52854 ай бұрын
Shukran barakallah
@ZaidYahaya7 ай бұрын
Asalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh Akuzidishie kila kheri Samahani shekhe zile sura Alam nashrah na surat fiil unazisoma pamoja na Aya ya surat Ahzab ya 25 naomba unifahamisha ili nipate kuelewa InshaAllah
@latifaothman28147 ай бұрын
Walaikum Salam,me nilivofaham hicho kisomo cha kurudisha ubaya ulipotoka ni kila baada ya aya ya Suratul yasin unaengeza aya ya 25 ya suratul Ahzab mpaka unamaliza Yasini. Ukimaliza sasa ndio unasoma Alamnashrah na Suratul Fiil..Wallahu A'alam
Sheikh ni kweli mimi mtoto amepatwa na mtihani huo
@athumanikhamisi33777 ай бұрын
جزاك الله خير
@kessyathuman80957 ай бұрын
As salaam aleykum warahmatul wabarakatul alhabib, shukran sana kwa ilmu hii, Allah s.w.t akuzidishie sheikh wangu.
@mohammedgulam92747 ай бұрын
Asalam Aleikum warahmatullah wabarakatuh. Nauliza surah gan ayaa
@broumaiyyah80187 ай бұрын
Waalykum salaam warhmatulwah.N ayah ya 25 suratl Al ahzab
@gozbethedwinlupogo10187 ай бұрын
Al ahzaab
@latifaothman28147 ай бұрын
Walaikum Salam,me nilivofaham hicho kisomo cha kurudisha ubaya ulipotoka ni kila baada ya aya ya Suratul yasin unaengeza aya ya 25 ya suratul Ahzab mpaka unamaliza Yasini. Ukimaliza sasa unasoma Alamnashrah na Suratul Fiil..Wallahu A'alam
@KhadijaNussura7 ай бұрын
Mashaallah
@Ashrafkhalid-ir4up3 ай бұрын
❤❤❤
@saidkamwana11957 ай бұрын
Asalaam alaykoum, Naomba msaada aya hiyo ni sura ipi??
@aminakassim8317 ай бұрын
Surat ahzab 25
@latifaothman28147 ай бұрын
Walaikum Salam,me nilivofaham hicho kisomo cha kurudisha ubaya ulipotoka ni kila baada ya aya ya Suratul yasin unaengeza aya ya 25 ya suratul Ahzab mpaka unamaliza Yasini. Ukimaliza sasa unasoma Alamnashrah na Suratul Fiil..Wallahu A'alam