𝐇𝐔𝐘𝐔 𝐒𝐈𝐎 𝐒𝐇𝐄𝐈𝐊𝐇 𝐁𝐀𝐋𝐈 𝐍𝐈 𝐌𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈𝐍𝐀 ....... 🎙️SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI

  Рет қаралды 35,721

Dawaa tu salafi💫

Dawaa tu salafi💫

Күн бұрын

‪@dawatul-salafi129‬
⬇️
USISAHAU ku subscribe na kugusa alama ya kengele ili uwe wa kwanza Kila tunapo achia video mpya 💫🌟💫

Пікірлер: 244
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 12 күн бұрын
NAMUOMBA ALLAH AMUONGOZE JAMANI SHEIKH SULE, MAANA ANAVYOONGEA NI KAMA MTU ALIYECHANGANYIKIWA, SIYO SULE YULE NINAYEMJUA MIE. YA ILLAHANA MUONGOZE SHEIKH SULE NA MAGENGE YAKE KATIKA HAKI. ALLAHUMMA AAAMIN.
@mariamdjuma-d9y
@mariamdjuma-d9y Ай бұрын
ALLAH atuongoze sisi maamum. Mana nimtihani kwakweli
@fasilkais5669
@fasilkais5669 Ай бұрын
Alihamdu liilaah amiri tunakupmbea duwa Allah akuifadhi Kwa maneno yako ya tauhid ulikuwa wapi sheeh tufundishe shehh tumepotea Kwa kuwaamini Hawa wsio jua
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
NAMEONA AMERICA SHEIKH KASOMA KOLOANI KANYWA SUMU NA AJAKUFA KULOANI DAWA SHEIKH WANGU UBALIKIWE ❤❤❤
@dawatul-salafi129
@dawatul-salafi129 Ай бұрын
Koloani ndio nin?
@AlhajjiShabani
@AlhajjiShabani Ай бұрын
WAISLAAMU ZINDUKENI ELIMU YANYOTA NI ELIMU INAFUNGAMA NA UCHAWII ,,,
@saidissa8273
@saidissa8273 Ай бұрын
Mgonjwa anaumwa utajuaje ana marathon ya aina gani? Mbona miskitini hatuna idara ya tiba za marathon ya kichawi waende wapi kama sio kwa waganga
@JumanneAbeid-cc4tc
@JumanneAbeid-cc4tc Ай бұрын
ni kweli kabisa
@karimdaud3993
@karimdaud3993 Ай бұрын
Sio uchawi umeuliza kujua elimu yoyoteina faa hata kusoma biblia inafaa .KUFUATA INATEGEMEA KAMA KUNA SHIRKI HARAM. Allah ni mmoja tu
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
HUYU SHEIKH SULE WAKE ZAKE WOTE KAWAINGIZA KATIKA USHILIKINA MUNGU TUPE MWISHO MWEMA 😢MCHAWI USHILIKINA WOTE MWISHO WAO MBAYA SANA 😢😢😢
@fasilkais5669
@fasilkais5669 Ай бұрын
Waambie waumini kuwa huyo ni mshilikana dokta sule ndaki ndaki amechukua Dunia kaiweka motoni dokta sule siyo yule wa 1999 _2000 wakat ana hubir
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Ай бұрын
Tutahukumiwa na Allah
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
Sheikh umesema kweli kabisa. Kila anaepinga ujue hana elimu au hajakufahamu au ni kibri tu. Allah akujaze elimu
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Ай бұрын
Ni kweli usufi umetoa waganga wengi wakichawi ni kweli na ameharibia uislam jina
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
@@makhanguwakhutu2408 utaenda kulitolea ushahidi mbele ya Allah s.a.w ,na pia hebu nitolee andiko ndani ya qur Ani linalosema kuweni masalafi ?
@AtiqQassim
@AtiqQassim 17 күн бұрын
Soma aya ya 100 ktk sura aattauba
@ABDULRAHMANIDAS
@ABDULRAHMANIDAS Ай бұрын
Ni kweli hii ni taaluma lakini ni uchawi, na kujifunza uchawi na kuutumia ni ukafiri. Msituchafulie dini yetu
@karimdaud3993
@karimdaud3993 Ай бұрын
Kufanya sio kujifunza
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Ай бұрын
Kwa hiyo ukijifunza ni sawa?😂
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys Ай бұрын
Ila mashekhe wasikuiz hem muogopeni Allah musisemene kwenye mitandawo kila shekhe anafanya yy ajuwa kuliko mwenzake
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Ай бұрын
Sio kusemana kwenye mitandao, hapo alipo ni msikitini
@KoyJahsh
@KoyJahsh Ай бұрын
Yy pia si kasema mtandaoni kwaiyo ajibiwe chumbani
@panadomadola3064
@panadomadola3064 Ай бұрын
Uovu utafichwa hadi lini, bora kuwafichuwa wale Mashekh wa shetani ili waislamu tuepushiwe hadhabu ya kabri
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 27 күн бұрын
Acha aseme,ninyi washirikina na mnasali na majini
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl Ай бұрын
Tuelimishe shek Abdi ,majahali yanajifanya mashek sule kuhani,jee akisalisha inafaa kumfata.
@idrisamara6510
@idrisamara6510 Ай бұрын
Allah will protect true Muslims inshaallah
@salumuselemani-km2ee
@salumuselemani-km2ee Ай бұрын
Sheh kasome mnamuonea Dr Sule Bure hii elimu ni pana sana kama hujui usibatilishe vitu
@AbdillahAlly-fl4vh
@AbdillahAlly-fl4vh Ай бұрын
Subiri yakukute Abu khawlah
@YangoNayango
@YangoNayango Ай бұрын
Wallaah wqliosilimu zama hizi huwa nisiba wakiwa mashekhe hawatapigwa rad watatupoteza kinacho takikana tauhid mwenyezi mungu atuongoze kuiona haki na kuidbihirisha na kuona uwovu na kuukemea
@muhsinimohammad58
@muhsinimohammad58 Ай бұрын
أحسن الله إليكم وجزاكم الله خيرا
@fredyunga2138
@fredyunga2138 Ай бұрын
I'm proud to be. .... is typing
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 27 күн бұрын
Ukristo ni dini sahihi sana,yesu alikataa uchawi na tunapinga ushirikina.ninyi majini,uchawi,ushikirina,na kusoma nyota,, duuh 😢.Bora nilizaliwa mkristo.
@dawatul-salafi129
@dawatul-salafi129 27 күн бұрын
Sawa kafiri
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 27 күн бұрын
@@dawatul-salafi129 sawa jini maimunaa
@hassankhalifa5017
@hassankhalifa5017 26 күн бұрын
Lete ushahidi kupitia kitabu chako bibilia inaposema ukristo ni dini
@fasilkais5669
@fasilkais5669 Ай бұрын
Ni kweli amiri wetu waambie waliowengi atujui)( na uyo alijinabisha kuwa yeye muumini na anaminika na jamii Kwa iyo kila anchosema anakubalika)( tufungue masikio
@idrisamara6510
@idrisamara6510 Ай бұрын
Allah akubaariki, kazi njema sana ...keep moving forward
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym Ай бұрын
Nyie mnamuonea wivu Dr Sule kwa utajiri wake
@mohamedsoud3225
@mohamedsoud3225 Ай бұрын
Dr umepoteza heshima yako na thamani ukweli Dr unaelekea wapi Sasa astafrullah uislam na majini wapi na wapi usipoteze umma dr
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Ай бұрын
أحسنت اخي الكريم
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 Ай бұрын
Kutumia majini ni uchawi na ndio wengi wenu mnatumia.
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Ай бұрын
بارك الله فيكم
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 Ай бұрын
Aibu sana
@harounsalim927
@harounsalim927 Ай бұрын
Sh. MZIWANDA jazakallahu l'khair wewe uko kwenye Haqi
@mwalimual-ismaily756
@mwalimual-ismaily756 Ай бұрын
@haroun--------' hii pcha ya sheikh wetu Mziwanda imetumika tuu ili mzungumzaji apate kusikilizwa maana mzungumzaji si sheikh Mziwanda. Swali:- ni kwa nini asiw3ke video clip inayomuonesha akizungumza ???
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Ай бұрын
ALIKUWA SHEIKH MZURI SULE SASA SIJUI NANI KAMUHARIBU HESHMA YAKE
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 Ай бұрын
@@matukutajuma156 dini ya kisalafy ina juhudi kuu za kuvunja Heshima za waislam
@MokiwaKaskaz
@MokiwaKaskaz Ай бұрын
Watu wote waelewe Dini yetu tukufu ya Uislam iko mbali kabisa na ushirikina, hivyo kila anaejihusisha na ushirikina si muislam hata kama anaelimu ya dini kubwa kiasi gani. Ushirikina ni najisi na ni ibada za mashetani.
@jumaabdalla3005
@jumaabdalla3005 23 күн бұрын
Jitu likiwa pofu ata uliambie kitu hichi hawez kuona sheitwani akutumikie bila kukutia ktk kufru hao wote wanatumikiana
@geofreyidebe1216
@geofreyidebe1216 Ай бұрын
Dokta Sule n tapeli, hata wanaomshabikia ukiwatizma n Wale wale Wavaa, hiriz na mapete makubwa Kwenye vdole, fanya utafiti Utanambia Kama nadanganya, wanaomtetea dokta sule n Wavaa mapete makubwa kwenye vdole Kama mabilinganya, mapete ya nyota sjui bahat Mara mapete ya Bahat, hao ndo Kuna kubwa LA washabik WA dk sule, waganga na washirikina ,
@mutwarrifmohd-mn3gr
@mutwarrifmohd-mn3gr Ай бұрын
Hawa wengine ndunguzanguni waskilzeni tu kwanza hawajuwi ata wasemayo huwa wnatafuta kupata umarufu lakni wanatabia za kike mana mwanamke hatakiwi kuonekana sasa mtizameni na yeye haonekani kwanza ni ishara ya unafiki unajifanya kumsema mtu halafu akimuona anaonesha usofulani ivi kam sio yeye kwaiyo wasikilizeni tu wasemayo hawayajuwi wanatabia ya kufahamu wasiyo yafaham jambo halijuwi lkn atasema tu na yeye ili aonekane kasema na anajuwa kumbe ni kinyume ndio tabia ya hawa masalaf kadiim na jadid
@SaalimmodyAbubakar-mn1sg
@SaalimmodyAbubakar-mn1sg Ай бұрын
Shida hata nyinyi Mashekh mnatusumbua,kama mtu hana elimu ya kitu fulani anapinga,,,,rudin msome msitusumbue hapa,km elimu hujui unapinga,watka watu wakubali elimu yako,
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س Ай бұрын
Nahawamasufi kama hawakuacha hayomabo yakuzuazua kwenyedini kubainikatu
@mutwarrifmohd-mn3gr
@mutwarrifmohd-mn3gr Ай бұрын
Uganga na usufi wapi na wapi jamani tuweni makini wengine hawa c mashekhe ni wachafuzi wa uwislaam na hata kutangaza itikadi za mayahudi
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota Ай бұрын
Yaan mtu akipinga hawa washirikina mwaasema hamkusoma eb wekeni bayana hawajosoma nn .....mbn mwaishia kusema hujasoma .......mm naamin kwel abuu khaula hajosoma lkn hajosoma uchawi..
@shambebro382
@shambebro382 Ай бұрын
Wew ni Maderere Kwr Nkama Uko na uivu Vile 🤕🤕🤕 Je Ume tibu Wangapi weye Keb Tuache Uivu jamen....viva Sheikh Sule
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg Ай бұрын
Mufsidiina
@karimdaud3993
@karimdaud3993 Ай бұрын
Madhambi ni madhmbi kila mmoja ana hesabu yake ww somesha sio kutaja watu WEWE MWENYEWE HUJIJUI . TOA elimu kama unayo . Kua mchamungu .WACHA UNAFIKI.
@faridfrefre35
@faridfrefre35 Ай бұрын
Nenda kasome
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
Ww ndio hujui, yeye anajua ndiomana akaiambia jamii ili wazinduke, dct Sule anaipoteza jamii. Hivyo unavyotaka ww ndio uisikamu hautaki, sio kila mtu kivyake kazima tuwejane sawa
@ISSAMOHAMEDMuhamudu-hm8ft
@ISSAMOHAMEDMuhamudu-hm8ft Ай бұрын
Siwaelewi
@SadickMussa-g6h
@SadickMussa-g6h 9 күн бұрын
Huwez kuelewa mpaka Allaah akueleweshe
@fasilkais5669
@fasilkais5669 Ай бұрын
Kachukuea Dunia kaiweka motoni aombewe duwa huyu sule ehhe suleee ogopa moto wa Allah ulikuwa una wahofisha watu wewe kuhusu moto wa allha kuhusu ushilikina imekuwaje Leo umebadika )( unaipenda Mali yenye kupita)( ogopa siku ya mwisho acha ushilikina nakuombea Kwa allaah uache ushilikina omba Toba kabla jua alijatika maghalibi sule umenya makubwa katka dini tunakupenda)( acha ushilikina
@AbeidMabrouk-yu7iy
@AbeidMabrouk-yu7iy Ай бұрын
Uchamungunikazijaman mtukuitwasheh siuchamungu sheh niushenzitu wanafikihao
@baqirmkilindi9369
@baqirmkilindi9369 Ай бұрын
Shkh kasome ndg yangu. Wufqu ni hesabu tu hizo.kuwa makini.soma ndo utoe hukumu
@JumanneAbeid-cc4tc
@JumanneAbeid-cc4tc Ай бұрын
acha ujinga wewe ndiyo kasome
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 Ай бұрын
Duuuuuuuuuuh heti hesabu kwani dokta sule alisema ni hesabu anatumia au maneno na mabukhuur, MASUFI WARONGO BHANA
@AyoubKhatib-p4k
@AyoubKhatib-p4k Ай бұрын
Dokta Sule umekata panki
@salumSelemani-o6o
@salumSelemani-o6o 17 күн бұрын
Nyie acheni kuwapa nguvu wachawi uyo sule ni mlinganizi ktka milango ya moto msihadaike na utajiri wake
@RamadhanMohamed-uj5is
@RamadhanMohamed-uj5is Ай бұрын
Sule muongo saana unajifanya unajua kumbe hujui
@AhmadWande
@AhmadWande Ай бұрын
Yan unamzungumzia imamu ghazal
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Ай бұрын
Ahlusunnat waljamaa huwa wana akida yao inafngamana na tauhid na kumtegemea Allah kwa kila hali na kutawakkal kwake kama alivyotuhimiza katka Quraan kuwa na kwa Allah watawakkal waumini na bahat mbaya au nzuri wasiokuwa ahlusunnat waljamaa wao hitegemea majin, makabur, mahirizi n.k wallaahi katika zama hizi tulizo nazo ahlusunnah waljamaa wa kweli n wachache sana bali washirikina wamejaa zaidi na hii ni hatari sana. tujitahidini kushika Allah na kumtegemea kwa killa kitu. hakuna zaidi yake atakayetufaa kwa lolote dunian wala akhera.
@khadijabalolwaeuphrasie3488
@khadijabalolwaeuphrasie3488 Ай бұрын
jazzaakumullahu khayran ndugu ktk imaan Allaah akubaarik pia akujaaliye elmu yenye manufaa duniani na kesho Aakhera
@EtihadBega
@EtihadBega Ай бұрын
PICHA YA MZIWANDA INAHUSIKA VIPI HAPO
@rajabumuhombolage6025
@rajabumuhombolage6025 Ай бұрын
Mziwanda ni Sheikh wa kisufi kam alivyo Sule
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 Ай бұрын
Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh akhy naomba mfululizo wake mwanzo mpaka mwisho
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Ай бұрын
Tuma namba yako ya wasapu nikutumie za audio zote ili upate faida.
@MgazaMhina
@MgazaMhina Ай бұрын
@@khaalidcheo5383anza kumtumia khutuba yake ya Ijumaa ya masjid omar halafu ndio umpe muhadhara wote
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Ай бұрын
Sijawahi ona jitu jinga kama hili
@shabanizuberi2932
@shabanizuberi2932 Ай бұрын
Eleza kwa kina
@MgazaMhina
@MgazaMhina Ай бұрын
Yupi sasa
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Ай бұрын
@@MgazaMhina uyo anayejiita abuu hawla
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm Ай бұрын
​@@YaziduIddy-u7psubhaanallah
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
Mtume Muhammad swalla llahu alyhi wassllam kashasema siku z mwisho yale yaliyo ya mazuri wanaona mabaya na yale yaliokuwa mabaya wanayaona mazuri. Zinduka ndugi yangu, katafute elimu ujinga umekuvaa
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Mziwanda ni Sufi katika masufi lakini sina uhakika kama anaweza kuwa sawa na Sule maana Sule naona kabisa katika kutangaza shirki
@jannatuherman1466
@jannatuherman1466 Ай бұрын
Huyo na nyie mnaomsikiliza hamjui maana ya shiriki mkitaka kujua niulizeni mimi kuhusu shiriki
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
Usikilizwe wewe km ni nani wewe? Allah na mtume wake Swalla llahu alyhi wassllam kashaelezea wazi. Wewe km hutaki basi km hujui kasome
@HamisiR
@HamisiR Ай бұрын
Ila mnasemana sana mpaka mnachanganya watu uwisilalamu unataka kuheshimiana jamn na Mungu ndio amesema mwenyewe ukiona mwenzio kakosea mfuate isimtangaze da waisilamu dini inataka akili na sio bangi jamn kurani inataka uisome vizuri ili uwelewe ukiisoma kibangi bangi huelewi jmn we unajiona uko sawa sana kumsema mwenzio yani we Shekhe wewe hakuna Shekhe mzuri Tanzania kila Shekhe umemsema kwanini usiwaaeme wenzio huko Kenya kwani wao wamesomea wapi acha upuuzi kwanza ungekuwa we ni mwema ungekuwa unaoneekana sura yako we hutaki kujionyesha uwo pia ni unafiki
@MgazaMhina
@MgazaMhina Ай бұрын
Uyo sio yule wa Kenya huyo wa Tanzania na huo muhadhara ulifanyika Masjid Irshad (Ilala -Dar)na ulikuwa wa siku 2,kama ukitaka kumuona mbona anaonekana sana
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Kuna makosa mengine haitakiwi mtu afuatwe pembeni. Kama makosa na maovu yanayofanywa na akina dr Sule ukisema unamfuata pembeni sasa itakuwaje kwa watu waliopotoshwa katika mitandao?
@salimlipendele470
@salimlipendele470 Ай бұрын
Hiyo kurani uliyoisoma Kurani ipi? Sisi tunajua Quraan imekemea Ushirikina na Imewasema vibaya mnoo kuliko hata wasemavyo hawa Mashaikh.
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
Wataka ajionyesha ili iweje?
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Ай бұрын
Hapana tunatahadharishana maana ushirikina ni moto mkali nanunetangazwa na hawa wazi nasi yabidi tuwaweke wazi wote walosikia haya hata wallah jambo hatari sana kuliko umeme mkali au shimo kubwa refu lenye kila hatari ili watu wajihadhar yabidi kuweka wazi
@mutwarrifmohd-mn3gr
@mutwarrifmohd-mn3gr Ай бұрын
Na huyu na yeye jamani anaitwa. Shekhe au ana jitashekhe😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂 iyo sufi anaijuwa ata maana yake
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
Wewe ndio hujui kasome
@rashidkapile
@rashidkapile Ай бұрын
Hivi,nduguzangu cc binaadam Tuna msujudiya mungu au majini?Katiya hao Nani sahihi? Wa kukupa liziki?
@abdulshakurmshindo9040
@abdulshakurmshindo9040 Ай бұрын
Masalafi hawajui ni nini ushirikina bali ni wapuuzi wasiojijuwa kuwa ni wapuuzi
@user-mm7tx5kf1d
@user-mm7tx5kf1d Ай бұрын
wewe unajua maana ya shirki?
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 Ай бұрын
Nilichogundua vita ya fikra na ufahamu mdogo unawaamiza wanaojiita masalafi
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
Tatizo ujinga uliokuwa nao ndio unakupelekea kisema hivyo
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
​@@mohamedimiraji5495 Ujinga uliokuwa nao ndio unakupelekea kusema hayo. Katafute elimu
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Ай бұрын
Jee kila JINNI ni mbaya?? Jee Hakuna majini wazuri kwenye UISLAM??
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
Majini waziri wapo, na majini wazuri wanafuata yale walioamrishwa n Allah hawashirikiani binaadamu, hata wakija kisali misikitini hatuwaoni wala hawatudhuru. Wao wanayao na sisi tuna yetu. Majini aina hayo wanaoshirikiana n binaadamu ni wafuasi wa ibilisi
@BilalbinRabba
@BilalbinRabba Ай бұрын
MUHAMMAD BIN ABDULLAH A.S KUTOKA MADINA TAYARI AMEKUJA KUJA KUSIMAMISHA UKHALIFA WA UISLAMU NA KUSIMAMISHA IMAM MAHDI KWA MAELEZO ZAIDI INGIA KWENYE ACCOUNT YANGU
@ibrahimselemani-nq2nc
@ibrahimselemani-nq2nc Ай бұрын
Allahulmustaan atakama ww ni awam ndo utetee uchawi kweli kwani mganga c anatumia majini na sule anatumia majini tofauti nn tena hadi kuleta mvuto na kuleta mapenzi hiyo ni tiba gn sasa ila ndo jamii yetu wajinga wengi kuliko wasomi
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س Ай бұрын
Haonao seule na diwani wanauharibu uislam kwakweli kwàkutumia majini naugang
@user-zs6qg7ql1i
@user-zs6qg7ql1i Ай бұрын
Hmn la kusema Bora mnyamaze Sasa umeona wapi mwanachuoni akatunga ukafiri kwa hio ghazal mshirikina?
@suleimankapalata7256
@suleimankapalata7256 Ай бұрын
shekh kamahujui borakukaakimya usichukue masomo yasheria ukatoleafatua elimu yataaluma halisifaniyako waite wenyetaalumayao wakufahamishe huo niuzalilishaji
@NassorRwambo
@NassorRwambo Ай бұрын
Allah akuongoze
@NassorRwambo
@NassorRwambo Ай бұрын
Allah akuongoze hujitambuo
@christinaloth
@christinaloth Ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@NassorRwambo
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 Ай бұрын
Doh Imam Ghazali ni mchawi!!!!!! Masalafi kweli nyie mazayuni
@ShafyKimaro
@ShafyKimaro Ай бұрын
Ndugu yangu jaribu kulitaftia ufumbuzi na elimu hili jambo huwenda ukapata kujua zaid
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline Ай бұрын
Hawamjui Imamu Ghazali. Wanamsema wasiyemjuwa
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 Ай бұрын
Lete ushahidi kuwa vitabu SI vyake, Wenda kasingiziwa hajaandika yeye, tatizo hapa Kuna vitabu vyanasibishwa nayeye vya kichawi.
@MwanzaUriengwa
@MwanzaUriengwa Ай бұрын
Tumuamini nani?
@user-bx5cn5no5e
@user-bx5cn5no5e Ай бұрын
Naona Mayahudi wamejipanga kwel kwel uharibu dini waislam tuwe makini sana hii dini sio mpya hawa mashekh wapya waliotengenezwa wasitutoe kwen dini tuwe natahdhar nao
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Chuki kwa wayahudi ni uchawi pia
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
Wewe nawe sijui umesoma mpaka la ngapi? Sasa Wayahudi na Uislamu na majini yenu wapi na wapi
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
Mngewajua hao Wayahudi wapi bize na mambo yao, hawanamuda na Uislamu wala Mohamed. Kwanza mitume na manabii woote ni ndugu zao na wanayo imani yao inayowatusha na wala hawana haja ya kukaribisha mtu kwenye imani yao
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Ай бұрын
Hivi ni nini maana ya neno SUFI kisheria hawa ni watu gani katika sheria yetu ya dini kama kuna maelezo mnip tafadhalini ama mnielekeze kwa kitabu maana ya neno SUFII
@ibrahimselemani-nq2nc
@ibrahimselemani-nq2nc Ай бұрын
Kasome kitanu talbis ibilis cha al imam ibnil jawz au ata cha masufi pia al maisua
@saidissa8273
@saidissa8273 Ай бұрын
MNAOPINGA WAGANGA HAMJAUMWA NYIE.
@MwanzaUriengwa
@MwanzaUriengwa Ай бұрын
Tumfate nani wazungu watengeza vitu sio shirki inamana waislam ata ukitumiya jani kunywa shirki watoto wadogo wana tobolewa miili eti wana chanjwa hiyo si shirki alafu inaitwa kinga
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Ай бұрын
Watu wamejua Uislam uko na mambo.Maji yakimwagika hayazoleki.🏃naenda kuambiwa watu siri imelipuka!😂
@KhamisQays-ur1dm
@KhamisQays-ur1dm Ай бұрын
Huna adabu wee
@dengepandu9734
@dengepandu9734 Ай бұрын
Weweje si mkatolik sitawi hiloo la kanisa
@geofreyidebe1216
@geofreyidebe1216 Ай бұрын
Mambo ya majin, haya sis ambao hatutumii majini, mbona tunaruzuqiwa na Maisha yanaenda, kwann kujitia taabun kwa muungano WA majin na nyie, ??? Hebu tutulie kla mtu ana majin hapa dunian WA kumpa riziq, kinga nk, sasa Nafas ya Muumba iko wap?? Watu wadumu na Adhkar
@madrasatunnajmizzaahiral-i2478
@madrasatunnajmizzaahiral-i2478 Ай бұрын
Kielimu nikuwa:Kwanza uleta taarifu ya uchawi,na taariifu ya sufi,kisha ndiyo ukaanza mada yako
@MgazaMhina
@MgazaMhina Ай бұрын
Huo muhadhara ni wa siku 2 kwahiyo mambo yote yamezungumzwa na vitabu vimechambuliwa kweli kweli
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Ай бұрын
Huna d mbili abuu khaula , mambo ya tiba yako
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
Abuu khawla kasoma secular kuliko wew...kama hana d mbili basi wew huna hata S mbili
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x hausaidii uislamu chochote . Chuki tupu huku kaongea
@Sheba4651
@Sheba4651 Ай бұрын
" D " mbili moja iwe ile ya mwanadam alitokana na sokwe ama? D hiyo ya faida gani?
@user-sj9tt4ti6d
@user-sj9tt4ti6d Ай бұрын
Abuu Khawla kasoma mpaka University ndugu usimchukulie pouwa
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Ай бұрын
@@user-sj9tt4ti6d kama kasoma university ndio nini??? Anavyozungumza inatosha kumfahamu yupo vp
@AhmadWande
@AhmadWande Ай бұрын
Ww na imamu ghazal nani mwenyew elimu
@user-mm7tx5kf1d
@user-mm7tx5kf1d Ай бұрын
unamjua huyo ni nani mpaka useme hivyo
@HamiduMaftah
@HamiduMaftah Ай бұрын
We sheghe kwani mw/mungu hajaelekeza tibaa, na majini kwani ni wadudu,kwani jini hapaswi kumsaidia binadamu,jini kwani anadiniyake,jini hafai kuarafiki na binaadamu?nidaidie sheghe njiapanda.
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 Ай бұрын
Haifai kumtegemea jini wala kusaidiana nae,wao wasaidiane wenyewe na cc wenyewe,
@RamyGichero
@RamyGichero Ай бұрын
Hawo wote wapumbavu tu sioni shekhe apo wahuni tu 😂
@shaibchat8054
@shaibchat8054 Ай бұрын
Mpumbavu wew
@christinaloth
@christinaloth Ай бұрын
Mpumbavu baba Ako
@gmai446
@gmai446 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg Ай бұрын
Aaaaa wee khabith weee huna adabu ATA kuongea hujui Elimu yko yakufikisha kuonge utumbo
@JumanneAbeid-cc4tc
@JumanneAbeid-cc4tc Ай бұрын
kijana kaa usome alafu kuwa na adabu
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg Ай бұрын
Mawahabi tumewachoka Kwa elimu tunayopata kutoka kwenu labda kuharibi din adabu NK fikra za kishayaaatwiin Nibalaaa kweli kundi hili Ukishakua na kundi hili ww huna adabu huna dini ni ujinga ujinga na hayo ninayo yasema ndio yalivo ktk jamii mnaonekana lkn kwasb nyiny nimijitu miharibifu hata ufahamu wenu ni duni ndio hamuoni .
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Ай бұрын
Huyu ni Tahira
@JumanneAbeid-cc4tc
@JumanneAbeid-cc4tc Ай бұрын
kuwa na heshima
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Ай бұрын
Abu khaula ni mnafiki
@JumanneAbeid-cc4tc
@JumanneAbeid-cc4tc Ай бұрын
hapana kijana soma alafu sikikliza kisha elewa
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 Ай бұрын
Jazba hizi sasa
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
Hakuna watuwaovuu kama masalafii 😢ukisoma kwanza itiqadi zaoo hazina tofauti na za mayahudii na wakristo
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 Ай бұрын
Acha kutAja wakristo tumetulia na Aman imani yetu na Aman pia, nyie si magaid
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
@@nestarnestar4520 ATI amani nyinyi ndio mafisadi munawaingiza majasusi wenu kwenye dini ya uislamu kuja kuleta fujooo
@abuuzarkaan604
@abuuzarkaan604 Ай бұрын
Tutakutana Na wew Kwa Allah hakuna tabu tunashkur Kwa kutufananisha Na makafir
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
@@abuuzarkaan604 hahaha kumbe inakuumeni eeh nyinyi munawakufurisha waislamu wenzenu ?? Kweli nyinyi hamuna utofauti na mayahudi na wakristo tena wale makathlik ndio nyinyi wanachukii za ndanii hasaa
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
@@abuuzarkaan604 hamuna utofauti na mayahudii nyinyi kazi yenu chukii na ufisadii basi hamuna jengine alafu munajiita watu wa Sunna ,kazi kujipachika majina mazuri mazuri tu munafikiria hatukujuini itiqadi chafu mulizo nazoo na ajenda zenu dhidi ya waislamu wenzenu !
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 Ай бұрын
Kwanini unazungumza nyuma ya pazia? Na kwanini sauti yako ipo kwenye vibration?
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
Leo kuu la da'wa ya kisalafi ni kuleta chuki na mgogoro katika uislamu ili waislamu wasiwe kitu kimojaaa ndio maana ukakutaa nyumba mojaa mume kalaa mke kafungaa ikishaa mume anamdai tendo la ndoa mkewe ndani ya ramadhani 😢hapaa ndipoo walipoo tufikisha masalafi 😢kwahiyoo endeleeni kuwasikilizaaa
@user-wd7vl2df8u
@user-wd7vl2df8u Ай бұрын
Sasa shekhe anachosema huongo au
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
@@user-wd7vl2df8u ndio muongoo kwani yeye mtume au ?? Yeye ni binaadamu kama wengine na masheikh wa siku izii wengi wao ni waongoo wanataka sifaa tu Kwa watu na kutaka umaarufu hakuna jengine
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Ай бұрын
Lau we ni sheikh wa kweli ebu chapisha kitabu kimoja tu kama imam ghazali tujuwe ww ni sheikh
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 Ай бұрын
Cha uchawi au elimu, Imam ghazali ana elimu sawaa, ila hakuacha kutainiwa Allah amsamehe, Kwani iblis naye SI mjuzi tena alikuwa mchamungu hasa, ila mbona kadondoka
@sakanishabani
@sakanishabani Ай бұрын
Kwani kuna shido😂😂
@cosmasmwaitete5004
@cosmasmwaitete5004 Ай бұрын
Uislamu na uchawi na ushirikina ni Pete na kidole, ukweli Ndo huo kataeni kubali lakini ukweli utabaki ukweli uislamu sio dini ya kweli ni makao ya shetani fungueni macho
@hassanhussein-ow7qh
@hassanhussein-ow7qh Ай бұрын
Shoga Cosmas ungezungumza ushoga wako ukaacha yasiokuhusu
@ABDULRAHMANIDAS
@ABDULRAHMANIDAS Ай бұрын
Wewe ndie mpumbavu kwa ujinga wako wa kuto jua dini yako.
@shabanizuberi2932
@shabanizuberi2932 Ай бұрын
Toa maelezo zaidi
@MgazaMhina
@MgazaMhina Ай бұрын
Nan sasa hajui dini yake
@mbaroukaljahdhamy3964
@mbaroukaljahdhamy3964 Ай бұрын
Dr . Sule ni shekhe na ni msomi
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
Dr Sule si sheikh wala syo msomi
@Sheba4651
@Sheba4651 Ай бұрын
Alipokua akihadhir akafik Zanzibar, miaka hiyooo, watu wakakusanyika, mara kauza dawa, mara ana kifaa kinatoa sumu mwilini, mimi nikajua utapeli tu, akampima maradhi mtoto wa ami yangu, akasema ana mimba miezi 3, kumbe hata mume hakua naye, tena bikra hakuguswapo. Aliwachota pesa watu mpaka akachoka, siku hizo alikua mgeni watu hawajamjua Zanzibar.
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
😂😂 sio masufi pekeyao hata masalafi pia wanaaakida za kiyahudiii😂😂😂 ila wanajitukuza na kujiona ndio wapoo sw 😂😂😂😂
@jumaalhadi4274
@jumaalhadi4274 Ай бұрын
Yaani wewe unaweka title na picha za watu halaf unawakanyagia na wakat wewe mwenyewe huonekani huo wenyewe mbona uchawi..?
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Ай бұрын
we kafiri wa kisalafi kwanza kuwa MUISLAM kisha ndio uongelee uislamu
@MusaRamadhani-wj2dw
@MusaRamadhani-wj2dw Ай бұрын
Sule Wacha ujinga kasome wewe kwani huwezi kuongea kitu unacho kijua kuliko kuongea vitu bila ya elimu
@shaibchat8054
@shaibchat8054 Ай бұрын
Hamkusoma nyie ndio maaan mnawaona watu washirikina
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Nyinyi masufi ndo hamkusoma ndio maana hamjui lipi haramu na lipi halali, mnaacha kufuata mwenendo wa mtume saw na badala yake mafuta uzushi na ushirikina
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
Mazungumzo yako yaonyesha uchache wa ilmu yako katika uislamu....kama huwezi bainisha shirk ndugu yangu we kwisha
@nassor6333
@nassor6333 Ай бұрын
Nyinyi mmesoma uchawi ndio mkaona dini.
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Ай бұрын
HUYU NI MWEHU TU YAANI KABEBA CHUKI ZAKE DHIDI YA DOKTA SULE AKAZIHAMISHIA KWA MASUFI!!
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
Da'awa ya kwanza na ya muhimu kwa manabii woote ilikuwa ni kukemea na kukataza ushirikiina ndugu yangu. Sasa ukisema mtu anayekataza ushirikiina ni mwehu basi ituhumu akili yako...ima hujui unachosema au huna ilmu ta kutosha katika tawheed au we pia ni miongoni mwao
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
Hawa masalafi wanahasadaa ndio maana kwenye nyoyo zao zinachukii Kwa masheikh maaruf ndio maana wanajitahidii kuwachafulia majinaa 😂😂 hebu tujiulizee sheikh gani asiekuwa salafi akapendwa na masalafi ?? Ikiwa wao Kwa wao masalafi wanakufurishana wataacha wengine ??😂😂😂
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
​@@KhamisiMulusiyaani nyinyi hamuoni tabuu kumwita muislamu mwenzio mshirikinaaa 😢na wakati ukilinganisha wewe na huyoo docta sule basi huenda akawa Bora mbele ya Allah kuliko wewe unaemlaani na kumtukanaa 😢kama kweli mupoo sahihi kwanni musimfate mukakaanae kitako mukamuelewesha alipoo kosea ajirekebisheee ? Ndio maana nasema nyinyi masalafi munachukii na waislamu hamuna jengine
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 Ай бұрын
Wanajiita wayahudi kumbe ni sinagogi la shetani. Makhazarians hawa mazayonist hawa
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp Ай бұрын
musi mtukane sule kaya fanya mengi kwaajili a uislam Leo akiteleza nikumuita kumkumbusha au kufundisha musimuukumu kwen sheke gan ambae snauakika yeye pepon lazima aingie
@ismailysadic-9863
@ismailysadic-9863 Ай бұрын
Ndugu hapo hakuna kosa kwani huenda mkosoaji hayupo katika mji mmoja na alie kosea huenda yy kaona clip akiwa mwanza sule yupo dar kwaiyo kumkosowa ni sw Kwan video za median zinakwenda mbali na Kila mtu anazipokea ss ukisema umfate sule aliko huyu alie ano akiwa Arusha utamuelimisha vp
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Dr. Sule alisema kweli, Uislam na ushirikina ni dugu moja. Mnampinga ili kuficha ukweli.😂😂😂
@mansourkombo587
@mansourkombo587 Ай бұрын
Weslam wafta qur an hawmfti sufi
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 9 МЛН
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 34 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 80 МЛН
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 51 М.
JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM
34:54
Said Salim Matango
Рет қаралды 1,6 МЛН
🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA
59:53
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 9 МЛН