SHEIKH ALIYEBATIZWA AOMBA MSAADA POLISI KENYA

  Рет қаралды 1,681

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 143
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 14 күн бұрын
Allah akujaze heri mwanetu sheikh wetu mwaipopo akuepushe kila la shari achana na izo potovu
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 19 күн бұрын
Ni kweli kabisa sheikh mwaipopo uislamu ni raha sana na hasa imani ikipanda zaidi alhamdulillah
@ShedrackKisumbe
@ShedrackKisumbe 18 күн бұрын
Duuuh una hasira sn ww
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 18 күн бұрын
Safi sana she mwaipopo
@SamsiaKassaKangeta
@SamsiaKassaKangeta 19 күн бұрын
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh!
@mwatimampagama1779
@mwatimampagama1779 18 күн бұрын
Kichwa Cha habar tofauti na hoja.
@mobutu3884
@mobutu3884 18 күн бұрын
MWAIPOPO MWIZI TU, ULIJUA TIMOTHEO ATAKUBALI KIRAHISI ILI UPIGE PESA ZA KISHKI 😂😂 YANI UTATOA POVU MPAKA BASI ILA MJADALA HAKUNA, TIMOTHEO HAFANYI MIJADALA NA WEHU
@NoahMwankenja-ft4ql
@NoahMwankenja-ft4ql 18 күн бұрын
Kwa kuchamba uku....mh.....pepo utaiskia kwenye bomba
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 19 күн бұрын
Njaaa uyo kimoteo inamsumbua watu km wale ndio angalau wanatakiwa wakatwe japo sikio mana watu km hao hata wakisomewa Aya za mwenyezi mungu huwa wanazipuza
@TitusIbrahimu-n8j
@TitusIbrahimu-n8j 19 күн бұрын
Mwaipopo wewe ndo ndo mchochezi namba moja nchini Tanzania
@sospetermatonya5133
@sospetermatonya5133 18 күн бұрын
Sasa kilaza Mwaipopo unafikiri Ismail anakuogopa? Hoja huna
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
YOHANA 3: 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda Ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee, ili Kila mtu amwaminiye asipotee Bali awe na UZIMA WA MILELE...... 17 .... 18 Amwaminiye yeye hahukumiwi asiyeamini amekwisha kuhumiwa Kwa sababu HAKULIAMINI JINA LA MWANA PEKEE WA MUNGU
@MwijakaSwalehe-dg4hw
@MwijakaSwalehe-dg4hw 19 күн бұрын
Fikiria,nani aliyeyasema maneno haya
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@MwijakaSwalehe-dg4hw Maneno hayo yalinenwa na ROHO MTAKATIFU ndani ya YOHANA soma 2PETRO 1: 21
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@MwijakaSwalehe-dg4hw Jawabu lako soma Biblia 2PETRO 1: 21
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@MwijakaSwalehe-dg4hw Jawabu lako soma Biblia 2PETRO 1:21
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@MwijakaSwalehe-dg4hw Jawabu lako soma Biblia 2PETRO 1:21
@DanielSebastian-w5y
@DanielSebastian-w5y 15 күн бұрын
Unahubiri au una lalamika
@paulmushi2428
@paulmushi2428 18 күн бұрын
Maamuma Katonta Mwaipopo yaani unaweza kuusimamisha UKRISTO 😂😂😂 umefanya mihadhara mingapi na UKRISTO unaendelea tu sasa hizo ni porojo
@NassorHamad-h3m
@NassorHamad-h3m 19 күн бұрын
Huyu mtu hakuwa muislam. Usimuite Sheikh. Hakuwa muislam. Ni mbinu zao tu kutumia majina ya Uislamu ili kupotosha. Nakuomba usimuite Sheikh. Hajawahi kuwa muislam huyo
@mobutu3884
@mobutu3884 18 күн бұрын
Mwaipopo ana hasira sana kaharibiwa dili lake la kupiga pesa, sura inaonesha wazi 😂😂 ulidhani hutashitukiwa shetani mkubwa wewe 😂😂
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 19 күн бұрын
Asalam alaikum sheikh mwaipopo huyo thimoteo hajielewi
@tanzanite9944
@tanzanite9944 19 күн бұрын
Ismael Hakuwa Mwislamu Acheni kujigoa Ufahamu. Na Someni Biblia mpate Ushahidi.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
YOHANA 14: 6 YESU akamwambia, Mimi ndimi NJIA na KWELI na UZIMA mtu haji Kwa Baba ila Kwa NJIA YA MIMI ( Waislamu karibuni muokolewe)
@babazungu3180
@babazungu3180 19 күн бұрын
Ndio ujuwe wewe huna roho mtakatifu,sasa kipindi yesu hayupo ni nan alikuw njia ya uzima???
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@babazungu3180 YESU alikuwepo kabla ya Ulimwengu kuwepo YOHANA 17: 5
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
Babazungu Jawabu lako soma Biblia 2PETRO 1: 21
@JOHNJOHN-e8c3c
@JOHNJOHN-e8c3c 18 күн бұрын
Huyu ndo muhadhiri wa kiislamu anayetrend kwa drama KZbin 😂😂😂😂😂 .....kulalamika tuuu hoja hana
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 18 күн бұрын
KAOG0PA HANA JEURI YA KUJA DARESALAAM KAMA ANAJIONA YEYE MWANAUME RIJALI , ATIE MAGUU , LKN NI MWANAUME SURUALI NA NI MWOGA KAMA KUNGURU
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
YOHANA 8: 12 Basi YESU akawaambia tena akasema MIMI ndimi NURU YA ULIMWENGU yeye anifuataye hata kwenda gizani kamwe, Bali atakuwa na NURU YA UZIMA. ( Waislamu karibuni Kwa YESU KRISTO NURU YA UZIMA)
@konandawise4550
@konandawise4550 18 күн бұрын
Shukran sana kwa wito wako - ww pia karibu kwenye uislam - fungua moyo wako usome kwa ukweli na utulivu huenda ukafaidika
@feizalmas
@feizalmas 19 күн бұрын
Sheikh mwaipopo uyo usipatenae tabu kila kunapokusha sheikh diwani anamnyoosha. Na anaelekea kuelewa
@tanzanite9944
@tanzanite9944 19 күн бұрын
Ishmael ni jina liko kwenye Biblia na ni mtoto wa Ibrahim Au Abraham baba wa Imani. Hakuwa Mwislamu wala Mkristo wala Watoto wote au wale wengine wa Ibrahim hawakuwa Waislam wala Wakristo na wala hizo dini 2 za Ukristo na Uislamu hazikuwepo wakati wa Maisha ya Ibrahim na Watoto wake Au Kizazi chake. Waislamu mnajitoa Ufahamu kusema Ismael alikuwa Mwislam wakati aliishi miaka 3000 kabla Muhammad hajazaliwa. Na wala hamjui kuwa Story ya Ibrahim na Wake zake na Watoto zake 7 imeandikwa kwa Kina kwenye Biblia na ndiko Quran ilitoa Habari ya Ibrahim ikachukua kipande cha Ismael na kuanza kukiabudu baada ya kuona kwamba Ismael na Mama yake walitupwa Jangwa la kusini mwa Israel. Nusu ya Quran imekopiwa kutoa kwenye Biblia na Halafu maana zikabadilishwa zionekane za Kiislam ila hakukuwa na Uislamu wala Ukristo enzi za Ibrahim wala Isaka wala Ismael wala Watoto wengine 5 wa Ibrahim wa yule mke mwingine bada ya mke wake Sarah kufariki.
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 19 күн бұрын
Kama mwapopo wwe ni mwislamu na umesoma fanya ivi uwambie waislamu waezako wakuchakie mihela uje Mombasa subutu wwe kazi yko tu ni kujifugia kwa chumba na kumbweka tu huna lolote
@SamsiaKassaKangeta
@SamsiaKassaKangeta 19 күн бұрын
Ustadhi Mwaipopo umempiga Timotheo kwenye mshono!
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
Mshono wa Mwalimu Timothy Uko sehemu gani?
@basilejuma
@basilejuma 16 күн бұрын
Omba mdahalo wacha upupa,kwanza we hujiezi,ata kiarabu hujui
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 14 күн бұрын
WE chakwzko unajuwa kipi?mjadalo, unaskiya anawaogopeni nyinyi mbona hamumtishi kutab chote kipo kichwani mwake
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 14 күн бұрын
Sema iyo pumbavu yenu potovu ndo naiskitikiya sana sabab itakapoanza kuulizwa haitapata lakujib sabab halina elim ilooo
@basilejuma
@basilejuma 14 күн бұрын
@@KabatoniBoraa mbona waingiza baridi..
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 14 күн бұрын
@basilejuma imekujaa baridi mwenyewe n'a upotevu wako
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 14 күн бұрын
@@basilejuma wakikuomba mjadalo utaweza kujib maswali yote ambayo ma paster wameishashindwa kujibu?sema tuanze.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 18 күн бұрын
Naomba unikamate mimi na unipeleke mahakamani nikathibitishe kwa aya za Qur'an wewe unakataa matusi tena hapo hapo unatumana Wakristo wajinga, oo Katonta
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
MATENDO 4: 12 Wala hakuna WOKOVU katika Mwingine awaye yote, Kwa maana hapana JINA jingine chini ya MBINGU waliopewa wanadamu litupasalo Sisi kuokolewa kwalo!! YESU KRISTO ndiye WOKOVU Kwa Kila Mwanadamu
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 14 күн бұрын
Wenaye towa izo ata za uongo apoo zimeandikwa wapi izo mbona nyiye hamuelewi ktu gani kinawachanganya?aya potovu zote izoo
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 14 күн бұрын
Wenaye towa izo ata za uongo apoo zimeandikwa wapi izo mbona nyiye hamuelewi ktu gani kinawachanganya?aya potovu zote izoo
@Isikamunyao
@Isikamunyao 19 күн бұрын
Wewe ninjaa ukonayo unaita wachristo makafiri na nyinyi dio makafiri saidi wewe bure kabisa wacha njaa
@babazungu3180
@babazungu3180 19 күн бұрын
Poulmushi,wakat wa yesu ni kwel yeye ni njia ya kweli ,wakati wa musa yeye ni njia ya kweli,wakat wa Mohammad yeye ndiyo njia nk maana yake mfuate hao watu ili upate uzima wa milele
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
YESU KRISTO ni Jana Leo na hata MILELE Nipe Aya ndani ya Qur'an inayosema Muhammad ni NJIA YA KWELI
@babazungu3180
@babazungu3180 19 күн бұрын
Njia ni neno tu ila maana yake wafuate hao watu ili upate uzima wa milele .wanachofundisha ufuate
@paulmushi2428
@paulmushi2428 18 күн бұрын
​@@babazungu3180 Huwezi kumfuata Muhammad ukapata UZIMA Kwa sababu Muhammad anasema siku ya kiama hajui atakachofanywa na Ninyi Waislamu mtakacho fanywa
@mobutu3884
@mobutu3884 18 күн бұрын
​​@@babazungu3180Mohamad angekuwa njia ya kweli msingekuwa mnamuombea kila sekunde,dakik,saa, siku kwa sababu hata yeye hana uhakika wa kutoboa, hii haihitaji akili nyingi kulijua ni wewe tu kuweza kuchanganua mambo, jiongezeni
@MathayoCharles-z2u
@MathayoCharles-z2u 19 күн бұрын
Wewe kama auna cha kusema siyo lazima uwe hewan kama ameomba ulinzi safi maana din yenu ya kigaidi
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 19 күн бұрын
Propaganda mnazomezeshwa makanisani
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 19 күн бұрын
Naona mpaka leo upo hai 😂😂 au unapoishi hakuna hao Magaidi nyote munaoshi Makafiri😅
@harrisoncharo-qz3vz
@harrisoncharo-qz3vz 19 күн бұрын
Kwenye propaganda ni miskitin​@@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 19 күн бұрын
@@hafidhissa4405 Hana akili timamu huyo
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@hafidhissa4405 Kwa mujibu wa khadith Muhammad ndiye muasisi wa UGAIDI soma KITABU: MSEMA KWELI - Juzuu 128 khadith no 276 - Kasema mtume ni pigane na watu mpaka Washuhudie kwamba hapana mungu apaswae kuabudiwa Kwa Haki ila allah na Muhammad ni mtume wake allah. Na wasimamishe Sala na watoe zakha. Wakifanya hivyo basi wamesalimika kwangu damu yao ila Kwa Haki ya Uislamu!!! Pia Soma Qur'an Surat At-Towba 9: 29, 123 Kwa maana ya khadith na Aya za Qur'an Uislamu unaugaidi!! Waislamu wa wanaofuata dini ni Al Shabab, Al Kadah, Islamic State nk
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 19 күн бұрын
😂Nlijua nimefunuwa Bible kumbe nipo You Tube
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
Kwa mujibu wa Qur'an Muhammad hakutumwa na Mwenyezi Mungu ALIYE ziumba MBINGU NA ARDHI Someni Surat 4: 79 na Surat Ahzab 33: 45 - Ewe Nabii! Hakika SISI tumekutuma Uwe shahidi na mbashiri na mwonyaji. Swali Hao Akina (NASI 4:79) na hao akina SISI waliomtuma Muhammad ni akina nani? Mungu ni mmoja tu!!
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 19 күн бұрын
Mwanzo 2:26 -27 bibilia . Tumfanye mtu kwa mfano wetu, anesema hayo maneno Ni Mungu so kuna Waungu wangapi ? Na hao wanao sema Tunfanye akina nani?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
Mwanzo 2: 26 Hapo Mungu alikuwa na YESU Soma YOHANA 17: 5 Na Sasa, Baba unitukuze Mimi pamoja nawe, Kwa utukufu ule niniliokuwa nao pamoja NAWE KABLA YA ULIMWENGU KUWAKO!!
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@hafidhissa4405 Hao akina NASI na SISI waliomtuma Muhammad ni akina nani?
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 19 күн бұрын
@@paulmushi2428 sasa km Yupo na Yesu . Unamaana kuna Waungu wawili?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@hafidhissa4405 Hata Sasa YESU KRISTO Yuko Mbinguni na Qur'an inakubali je hao ni waungu wawili?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
Katonta Mwaipopo, Kwa mujibu wa Qur'an yenyewe SI maneno ya Mungu Surat Baqarah 2: 97 - Sema: aliyekuwa ni ADUI wa Jibri basi huyo NDIYE aliyeiteremsha Qur'an Moyoni mwako!! Swali huyo ADUI wa Jibri aliyeiteremsha Qur'an Moyoni mwa Muhammad ni nani? Je Mungu anaweza kuwa Adui wa Jibri?
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 19 күн бұрын
@@paulmushi2428 Soma ufafanuzi wa Iyo Aya ktk iyo Quran.
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 19 күн бұрын
@@paulmushi2428 2:97 Ufafanuzi :-Na baadhi yao wanadai kuwa wanakupinga na wanakikataa Kitabu chako kwa kuwa ati wao ni maadui wa Jibril anaye kufikishia hichi Kitabu. Basi sema ewe Nabii uwaambie: Anaye kuwa Jibril ni adui wake, basi vile vile huyo ni adui wa Mwenyezi Mungu, kwa sababu Jibril haji na Kitabu hichi kwa nafsi yake, bali anakiteremsha kwa amri ya Mwenyezi Mungu. Na Kitabu hichi kinathibitisha Vitabu vilivyo tangulia kutoka mbinguni.. na kinathibitisha Kitabu chenu wenyewe..na hii Qur'ani (inayo teremshwa na Jibril kutoka kwa Mwenyezi Mungu) ni Uwongofu na Bishara njema kwa Waumini
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 19 күн бұрын
?????????
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 19 күн бұрын
Huwezi kuijua Quran ni lazima usomeshwe kakusomesha nani upotofu huo?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 19 күн бұрын
​@@mzeerajab9154 Wapi Aya ndani ya Qur'an inayosema Qur'an mpaka usomeshwe? Qur'an yenyewe inasema ni nyepesi kufahamika Soma Surat Qamar 54: 17, 22, 32 Soma kwanza Quran Maamuma ndiyo unifuatilie😅😅😅
@harrisoncharo-qz3vz
@harrisoncharo-qz3vz 19 күн бұрын
Wewe ulislim halafu hujuii kiarabu wewe ni bubu kwel😂😂
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 19 күн бұрын
Hajui kiarabu kwa maana ipi?
@harrisoncharo-qz3vz
@harrisoncharo-qz3vz 18 күн бұрын
@mzeerajab9154 mwambie asome qrn kwa kiarabu
KAZI IMEAMZA WAISLAMU NA WAKRISTO USO KWA USO
22:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 878
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Former Catholic Priest links Christmas to satanism || Fr. Gathang'i Waiguru
2:14:24
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 128 М.
SHEIKH ALIYEBATIZWA ASEMA ATAKA KUUWAWA NA WAISLAMU
32:15
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,3 М.
🔴HABARI YA SAA MBILI USIKU,  JANUARI 11,  2025
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,4 М.
Dr.Zakir Naik Awasili Salama Zanzibar, Alhamdulillahi
22:01
islamicftz
Рет қаралды 29 М.
WAKRISTO KUKUTANA NA WASOMI WA KIISLAMU
41:06
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,4 М.
SHEIKH ALIYESOMA SUDANI ABATIZWA NA KURUDI KWA WAISLAMU
41:17
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,4 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН