ALLAH(SW) akuhifadh pia akukinge na fitna amiin thumma amiin
@remyndaribike39643 жыл бұрын
Mimi ni mu Kristo ila sheih Mungu amuwekee wepesi Nampenda Sheih Mungu amuhifadhi Anajuwa dini ni nini
@alphoncenestorybishirangon18364 жыл бұрын
Shekhe umenena baba! Binafsi nimeyapenda mno haya mahubiri. Mungu akujaze hekima, busara na wepesi wa maisha. Naam akujalie mbingu kwa ujira wa hii kazi ambayo kwakweli ni kazi yake mwenyewe (Mola)
@massoudhaji69323 жыл бұрын
Apate mbingu au apate pepo?
@srsmediatz4 жыл бұрын
Hakika Mahaasin Tv inanitoa gizani,Allah awabariki Sana
@jasminmohamed61454 жыл бұрын
Masha Allah Allah SWT ajaalie tupate Jannatul Firdaus Amin ya Rabbi ajmain
@ismailmjesh23925 жыл бұрын
Uyu ni kidumeeeeeeeee..... Allah akuwekeeee shekhhhh
@athumanmussa27555 жыл бұрын
napenda halakati zenu allah awafanyie wepesi mdumu kwenye kheli
@allyissalipawe70724 жыл бұрын
Allah akulipe mbadala kwa ujumbe mzuri nakupenda kwa ajili ya Allah atukutanishe Janna amiin
@ramadhanabdalla12034 жыл бұрын
Mash Allah,tujipinde katika kumcha ALLAH.
@johnmwakajila95693 жыл бұрын
Amtegemeae mwanadamu kuwa Mungu wake amelaaniwa...Mimi mkristo ila namkubali sana Sheikh Mauba
@user-dd7go9rv5d4 ай бұрын
nakukubali sana sheikh
@fatmasaid52555 жыл бұрын
Allah akuweke inshaallah
@hassansalum61384 жыл бұрын
Fatma Said nc
@many27614 жыл бұрын
Mashaallah sheikh
@youssoufafete21753 жыл бұрын
Baraka llahu fiik ya shiekh
@ufugajiborawasungura49704 жыл бұрын
Mashallah Allah akulipe kwa ukumbusho mzuri.
@nusralilobwa47525 жыл бұрын
Mashaa Allah jazzakallahu khayra shekhe Aman
@alhajiomary22945 жыл бұрын
Maashaallah
@halima25493 жыл бұрын
Wallah sheikh hili swala la nyta naomba mlisemee Sana mana sai.. Kuna hata watu wanadai waganga wavitabu na Hao ndo wanaokuja na issue za nyota na makombe
@aishahamismabugmashaalluh32554 жыл бұрын
Natamani nimlete baba yangu umuelimishe shehe wangu baba angu mtiani jamani
@halima25493 жыл бұрын
Usjli dadangu zidi kumwombea na kumnasihi inshaAllah Allah atamuongoa
@hassancharo14963 жыл бұрын
Masha Allah
@ahmedsheikhmohammed93113 жыл бұрын
Jazakallahu kheri
@mcharoadamu30993 жыл бұрын
Mashaalah namuomba Allah akupeni maisha marefu mashekh wote wa mahaasin tv na wanazuoni wote duniani mzidi kutupatia daawa na kwa uwezo wa Allah tutabadilika inshaalah.
@SAYFANMUSSA4 жыл бұрын
I like amani mauba
@huseniyahaya74854 жыл бұрын
Vizuri sheight amani..
@jumanyakisho73674 жыл бұрын
Subhanallah
@muhidiniabdulrazaq60055 жыл бұрын
Swadaktah umesema kweli
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Shekhe wew allah akuhifadhi sana napenda sana daaw zako