HAKUNA USHARIFU NI UCHAWI WANASAIDIWA NA MASHETANI, UTAWAONA WANAWANGUSHA WATU KWA KUWAMWAGIA MAJI

  Рет қаралды 13,934

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

• HAKUNA USHARIFU NI UCH... #sheikhmuhammadnduli #sheikhnurdeenkishki #sharifufeki #masheikhfeki #tibazakisheria
Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
KZbin: / @khidmaonlinetv350

Пікірлер: 98
@ahmedabry293
@ahmedabry293 3 ай бұрын
Mashallah sura ya mtu mkweli inaonekana.. jazaakallah sheikh kwa kutuelimisha
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 3 ай бұрын
Mashaallah Sheikh Muhammad nilikua nashangaa vipi ubaki kimya wakati unafiki huu unaendelea lakini Alhamdulilah wamekuja watu kutafuta uelewa wako katika upuuzi huu unao tetewa na baadhi ya watu kama Masheikh na inafurahisha kwa tabia yako yakusema kila kitu bila kuogopa. Allah akuhifadh na akulipe kheri za dunia na akhera Amiyn
@ArafaSaalum
@ArafaSaalum 3 ай бұрын
Maashaallah Maashaallah.Shukran sana sheikh wetuhakika umefafanua vizuri sana Allah akulipe kheri.Ifike wakati Sheikh wetu Kishk awache kuzozana nao.Alhamndulillah amefikisha,amebainisha iliyobaki Tumwachie ALLAH..
@rashidathumani6756
@rashidathumani6756 3 ай бұрын
Masha allah shekh allah atakulipa kwa elimu uliotoa, watu wenye elimu huwa hawajitangazi na wanaonekana tu, Hao wanajiita masharifu muongopeni allah....
@SuleimanMaalim-d4f
@SuleimanMaalim-d4f 3 ай бұрын
Baaraka Allah fiyk sh muhammad nduli itabidi urudi tena ktk kutoa elimu watu wanapotea na kupotezwa Allah akuweke sh na uendelee na kipindi
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 2 ай бұрын
Ma sha allah, sasa hawa ndio matabibu, kuna hawa wapo mtaani wanafuata waislam misikitin kuwadanganya, kwanza wanafanya biashara misikitin, pili wengi hawana elimu waongo wanaongea uwongo kwenye mimbari na baadhi ya maimamu wanawapa nafasi za kuongea kisa wanachangisha swadaka na wanamaneno mazuri yakuwadanganya waislam Wallah nawachukia na mimi hua siwaachi nikikutana nao Allah amenijaalia elimu ya tiba kwa kadri ya uwezo wangu nikiona uongo nauzuia
@aminaabood2898
@aminaabood2898 2 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu.uwendelee kutuelimisha..
@abasmuniru142
@abasmuniru142 3 ай бұрын
Maasha-Allah sheikh umefafanu kisheria zaidi ktk dini yetu ya kiislam
@SarahKyando-qb3sl
@SarahKyando-qb3sl 3 ай бұрын
Dini za watu ni shida mshike na kumuabudu Mungu wa kweli,
@Sofi99-u6o
@Sofi99-u6o 3 ай бұрын
Nafurah kwa Ajili ya Allah....mola Awahongoze ninyi viongozi wetu wedini wasema kwelii
@zainabzanzibar1518
@zainabzanzibar1518 3 ай бұрын
Allah ahafikishe hili jambo ili tuweze kupata tiba sahii na Allah akuhifadhi tabibu wetu mimi nilkuwa nakufuatilia tokea mwaka 2006 kwenye Redio zote ulizozitaja hapo mwanzo
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Mashekh mipasho wanawagawa waislam kwa kuukumbatia ushirikina kwa tamaa za vihela aibu tupu! Allah akulipe shekh.
@SurprisedDrill-ky9fi
@SurprisedDrill-ky9fi 3 ай бұрын
Asante sheikh wewe ndio umemaliza wote walikua wanazunguka tu umesema kweli wapo wanao mtumikia shetani wakiona wanamtumikia Mungu kuna sheikh alimtabiri toka alipokuja zanzibar wakati ni mtoto kumbe nawe unaelewa Namuombea Mungu ambadilishe inshaallah
@MalikiMrope-rf6lf
@MalikiMrope-rf6lf 3 ай бұрын
Allahu akbar mm nimeelewa vizuuuri taratiiiibu haya ndo maelezo ya tiba HUYO SHARIF ASEME NA HAO WANAOMKINGIA KIFUA KAMA NAO WANATAKA WAWE NA KIYUO CHA TIBA
@RukiaIssa-p1j
@RukiaIssa-p1j 3 ай бұрын
Hasbiyallah,, Allah awabariki wote mnaosimama katka haqi🎉🎉
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 3 ай бұрын
Bismillah maashallah
@ShaSha-mf2wf
@ShaSha-mf2wf 3 ай бұрын
Mashaalah
@MunahyaMubaraka
@MunahyaMubaraka 3 ай бұрын
Allah akubrk
@jumamohamed628
@jumamohamed628 3 ай бұрын
Swadakta Shekhe wangu
@SalmaIssah-q5k
@SalmaIssah-q5k 3 ай бұрын
Asalamu aghalaykum shekher Nduli Allah akujaalie baraka ktk kazi yako
@HalimaWazir-r5v
@HalimaWazir-r5v 2 ай бұрын
Tunashanghaa Kona baadhi ya masheke hawaafikiani katika haki
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz 3 ай бұрын
Kweli sheikh wangu kuna masharif wa kisheitwan kweli nakubali
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 3 ай бұрын
Allah akulipe kheri
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 3 ай бұрын
Nime wambia na naendele kuwaambia yule ni mushrik, Tapeli kwenye mambo ya kielimu yule hayumokabisaaa na mazinge amekosea sana lakini shetani hakatitamaa ktk kaziyake amefanikiwa kumpumbaza shekhe mazinge ALWAH Amjalie mwisho mwema yeye na sisi pia
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 ай бұрын
Pesa kwanza 😂😂😂 Maji ya upako 😂😂😂yamesha tua kwenu waisilamu 😂😂
@abdullipunjaje9603
@abdullipunjaje9603 3 ай бұрын
Maneno mazuri ila ni ALLAH badala ya ALWAH
@mamuamtoto
@mamuamtoto 3 ай бұрын
Labda typing error
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 3 ай бұрын
Yule dogo afaa kucharazwa bakora
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@@abdullipunjaje9603Alwa si Allah
@mwakilamwaki7308
@mwakilamwaki7308 3 ай бұрын
Nyie wengi mashekha mnamajini sana mnafuga majini zn mnasema majini wazuri kila shalifu mganga kila Shekha mganga
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 2 ай бұрын
Huyu ni shekh na anaogopa kujiita shekh lakin hawa matapeli wanajipa na usharifu alafu mashekh wa bakwata wanawapa support kisa aliekataza hii tabia ni kishk subuhana llah dunia tunapita hii mtakuja kujibu nini kwa Allah, mfano yule shekh wa Mkoa wa Dar es salaam anasema huyu firdaus ni sharifu utake au usitake, alafu anatunzwa pesa salalaa
@FatimahQaed
@FatimahQaed 3 ай бұрын
.mashaallah shekh Allah akupe umri naomba namba yako shekh shukran
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 3 ай бұрын
Sasa namba ya nin nyinyi wanawake mnashida
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 3 ай бұрын
Kongole sheikh kishki Umewafanya Masheikh wa haki wote kujitokeza kukemea utapeli wa masharif wa michongo
@AbdalaMakao
@AbdalaMakao 3 ай бұрын
Mola akuongoze kama kishki shekh wangu upo sahihi shekh wa mkoa walid nie ni mchawi kama sharifu wa mchongo shekh muhamad upo sahihi wale wezi tu
@mudigitaltv1707
@mudigitaltv1707 3 ай бұрын
Shekh usiseme hivyo hujui shekh walid alimaanisha sharifu jina au sharifu ukoo wa mtume!
@MgazaMhina
@MgazaMhina 3 ай бұрын
@@mudigitaltv1707sawa ila asingesema kwamba huyu ni sharifu umetaka ndio hivyo hutaki ndio hivyo
@salumhashill7719
@salumhashill7719 3 ай бұрын
Shekh walid hakupaswa kusema hivyo kajifedhehesha, nilikuwa namkubali sana lakini kwa hili mmm
@ZubeirHamada
@ZubeirHamada 3 ай бұрын
Yaani hawa wangejitkeza kwenye Mitandao kamahivi kuwasema Wasanii ingependeza kweli lakini nashangaa kujitokeza kwao ni kusubiri Muislamu mwenzao kusema jambo kadhaaa...utawaona haoooo
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 ай бұрын
Ww ndio walewale
@yasinawes3451
@yasinawes3451 3 ай бұрын
MashaAllah Sheikh he’s so funny mwenye ana penda matusi Number hiyo😂😂😂 please remember guys anything you say to the comment you going to see judgment day, so please guys stop cussing
@SarahKyando-qb3sl
@SarahKyando-qb3sl 3 ай бұрын
Mnabishana tu lakini kiuhalisia wote mpo sahihi kwa Sheria nataratibu za. kidini lakini siyo kwa mpango wa Mungu wa mbinguni
@khadijamikidadi3604
@khadijamikidadi3604 3 ай бұрын
Walijaa hata Shakahola matokeo ni kifo Kujaza watu si kigezo Sheitwaan anajaza watu wengi na Kila mtu anajua Tuwe makini na dini yetu tupate Pepo ya Allah 🎉
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Ай бұрын
Tapeli na haachi anatia pesa ndani na mafuta yke😢
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 3 ай бұрын
Baba etu mpole hapendi hata kujiita shehe kujitukuza anasema yeye mwanafunzi anatumia hekma Allah akuhifadhi umri mrefu na afya nzuri sio yule muongo adanganya watu eti akisema Poona hapo hapo umeshapona hata aibu haoni
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx Ай бұрын
Yule Mushrki ayejiita Fridaus Hana Kiwango hata Cha uanafunzi mana hata wanafunzi wanaonza kusoma hawawezi
@RamadhaniMriti
@RamadhaniMriti 3 ай бұрын
Watu Wana tapeliwa kuibiwa,,, wazi wazi halafu Wana tokea baadhi ya masheikh Wana wakingia kifua
@SalimaOman-hz1mi
@SalimaOman-hz1mi 3 ай бұрын
Asiseme yeye anayo kalama ana uwezo uwo
@ZenabazigaZenabaziga
@ZenabazigaZenabaziga 3 ай бұрын
Naamu kabisa wanasaidiw n'a mashetan
@ZubeirHamada
@ZubeirHamada 3 ай бұрын
Kwani ili uwe Sheikh jee unatakiwa uweje ama ufikie kiwango gani cha Elimu?
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 2 ай бұрын
Shekh kishk ameshaelezea sifa za shekh, awe anakijua kitabu cha allah kwa ufasaha sio yule tapel wallah hata kusoma suratul falaq hajui alafu anajiita shekh hata kwa maana ya umri mkubwa hana ,elimu hana tapeli
@AbdallahFaki-rd5qd
@AbdallahFaki-rd5qd 3 ай бұрын
Acheni ujinga huyo sharifu hata kuoga janaba hajui
@MussageAiuba-k2b
@MussageAiuba-k2b 3 ай бұрын
Yule sio shehe Wala sio shalifu taper wa kutupwa hana elimu Mimi Ally nanzidi Quran nanzidi Quran
@FatimahQaed
@FatimahQaed 3 ай бұрын
Naomba namba yako shekh NDULI shukran
@KHIDMAONLINETV350
@KHIDMAONLINETV350 3 ай бұрын
asalam aleykum namba ya sheikh ameitaja mwishowa hii video tazama utaikuta
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz 3 ай бұрын
Doh!!!! Sheikh umuongea vitu vya siri sanaa na pia umeongea poent
@FatimeOmari
@FatimeOmari 3 ай бұрын
Tuacheni choyo Cha roho hakuna uchawi wwt
@OmarySalehe-u3y
@OmarySalehe-u3y 3 ай бұрын
Endeleeni kumkalia kooni huyo mshirikina msimuache sasa hivi yeye analeta waigizaji ndio dalili zake
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 3 ай бұрын
Yule ni Sharifu wa Shetani anadanganya watu
@BimamuosmanOsman
@BimamuosmanOsman 3 ай бұрын
Kama huyo ni sharrif wa kweli siakaponye walo lala mahospitali..kuna viwete mabubu na wangojwa siaende akawatibu ...sharrif kiarabu pia huna kabisa, masharrif nilowaona maishani mwangu sikuona aina hiyo yako ...pete unazo vaa ...mmmh hukuona....nasema wewe sio sharrif wala sheikh kabisa wallahi thuma wallahi...
@SalimaOman-hz1mi
@SalimaOman-hz1mi 3 ай бұрын
Hule lambalamba wale waganga wakuoa vitu vyakichawi
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 ай бұрын
Wewe unahasada mungu amempa kipaji na kama tapeli watu wasingejaa ktk viwanja
@RastaSuma
@RastaSuma 3 ай бұрын
Wamejaa mambumbumbu wasio na elim ya dini kama wakristo wanavyoaminishwa kila kitu na kuitikia amina bila kuwa na elim ya dini ila wauislam wenye elim wanafaham ukweli wa dini yao hawadanganywi
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 3 ай бұрын
sasa hivi kuna wakristo wa chungaji mapadri wanasoma kuruani kwa wingi ili kupoteza waisilamu ndani na nje ambao wana jihita mashehi kama huu mpotefu wa dini yausilamu
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 3 ай бұрын
Wajua kusema ukweli ni thawabu........wewe sema tuu mimi nimtibabu lakin mgogoro waja pale,,,kujiita sharifu naywatumia majin Bahr mapete hayoo,,yeye aseme tu yeye ninan,, ETI aliinua mkono wamama wakaanza kudondoka chini,,
@keamohamedkhamis
@keamohamedkhamis 3 ай бұрын
freemason yule kijana atataka kuaribu uislam lakini yy atumikia vitu anavyo jua yy lakini ataki watu wajue yy ni mfuasi wa free mason amna sharifu hapo
@SuleimanMaalim-d4f
@SuleimanMaalim-d4f 3 ай бұрын
Sh ukisoma kitabu swaarimul battaar huyo ameweka mkataba na mashetani kufanya yake nae afanyie yake maslahi
@SalumMzee-cw8do
@SalumMzee-cw8do 3 ай бұрын
Mtume Muhamadi s a w alitabiria mwisho Dunia watazuka wafuas Wa Mash Dajal kabla ujio wake watakuja Majeshi Masih Dajal muda umefika ndio Amefika Sasa huyo
@nurdinhoza
@nurdinhoza 3 ай бұрын
Hao wanaojiita mashalifu wanashilikiana majini ni washirikina
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 3 ай бұрын
Masharifu wapo sikunyingi na wengine tulikua tunawabeba wakiwa wadogo hadi leo wamekua hatujasikia masheikh wakizungumza. Amekuja sharifu firdausi imekua gumzo kweli
@saidisaidi4502
@saidisaidi4502 3 ай бұрын
Asalaam Aleykum haya unayoyaandika utatakiwa uyathibishe kesho akhera leo tusaidie hiyo zamani ni sherifu gani alikuwa anafanya haya mambo ayafanyayo huyu sharifu fildaus
@Niget-us1np
@Niget-us1np 3 ай бұрын
Yule mikidadi ndo walikuwa wanambeba sas yule ukoo wake na family yake yote Ni wakristo lkn yey anamika mitatu anaenda msikitin na yule alikuwa anajina la wakristo walivyo tamka sahad kapewa Jin la sharifa yule Ni shalifu Jin walivyo silimu toka anamika mitatu atangazi dawa Wal mafuta Wal maji ya njano Ila anakarama hakuna mtu anawez pig yule nahio karm anasomea watu duwa na yule anasom Quran kabc atumii mafuta Wal alafu yule Ni muhubir anatangaz din tok mtt ss sio km huy anavyofany huyu Ata mtu ajasoma anawez kumjuwa kwamb yul Ni muhun kwaz anarug chafu kaambiwa asome hio sur anayoisomea maji hajasom kaambiwa athibitish usharif wake hajafany anatumia pes anawatuza mashekh
@OmarySalehe-u3y
@OmarySalehe-u3y 3 ай бұрын
Huyo anasemwa sana kwa sababu upotoshaji wake ni mkubwa sana anaeneza sana shirk
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 3 ай бұрын
Firdaus Kazidi Offside
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 3 ай бұрын
​@@Niget-us1npNlikuja kufuatilia name tulidanganywa sana kuhusu yeye. Ila hajazidi offside kama Firdaus
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 3 ай бұрын
Santhaaa ya Shaikh wewe katika wote waliohojiwa.... LAKIN wewee umetoboa siriiiii nisharifu wa mashethwan ukiangalia mapete theleeee vidoleni.....ukiangalia tu hizo pete nizakijin,,
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 3 ай бұрын
Eti watu wasingelijaa wewe akili mavi sana wewe....wanaojaa huko ni katika wale wajinga mambumbumbu hawajui chochote.Mna unasibisha uislaam na ukafiri kama vile makristo eti maji ya upako.wapumbavu ninyi.
@AbdalaMakao
@AbdalaMakao 3 ай бұрын
Huyo mchawi tu kama wewe usimnadi sharifu wa mchongo mpiga ramli hajui hata kiarabu sharifu gani acheni bsi kuwa madalali kama walid hao masharifu wa upako badae u p daddy
@AbdillahiMselem-ig2dm
@AbdillahiMselem-ig2dm 3 ай бұрын
Masalafi amna macho kujua Muna ongea pumba tu
@Mkubwa_jr
@Mkubwa_jr 3 ай бұрын
Wewe unaejuwa unahitajika utoe fatuwa zako zilizo ambatana na dalili za sunnah
@jumaamtenganya-8680
@jumaamtenganya-8680 3 ай бұрын
Watu wa sunah tunawajua hawana ilmu yeyote ile walio wengi wafata mkumbo ​@@Mkubwa_jr
@ZahratAhmad-o1v
@ZahratAhmad-o1v 3 ай бұрын
Dogo atapotea muda sio mrefu
@gademomari7607
@gademomari7607 3 ай бұрын
2kuwni makini
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 3 ай бұрын
Niko pamoja na wewe. Nipo znz lkn ni mwislam nice na shaka juu ya Quran.
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 3 ай бұрын
Wanadamu bwana !! Hata miujiza ya Muhammad na Mussa kuna watu kwa nyakati hizo walio sema hakika muhamadi wewe ni mchawi mkubwa sana na hiki unacho kifanya ni uchawi mtupu !! Kwa karne hii yeyoye atakaye ponya kwa karma za Allah ataonekana ni mshirikina !! Je wewe binadamu usiwe na uwezo kesho yako una wezaje kukataa na kupinga tiba za wengine ? Haliyakuwa wewe sio miongoni mwake !!
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 3 ай бұрын
SHIRK SHIRK SHIRK
HITILAFU ZA WAKRISTO JUU YA UUNGU WA YESU
1:01:01
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,9 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
JINSI YA KUJILINDA NA UCHAWI NA WACHAWI: SHEIK JUMA KONDO BUNGO
46:37
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 42 М.
التداخل المعرفي |  بودكاست شرفة | د. أحمد الرازي
1:24:58