No video

Sheikh Kassim MAFUTA Tupe Majibu ya kielimu, unao waunga mkono wanakubali mbona wewe hutaki kukubali

  Рет қаралды 17,853

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Күн бұрын

#QiblateinOnline #Kassimafuta #maulidnabi #maulidnabimuhammadsaw
Follow Us On:
INSTAGRAM: / qiblatein_onlinetv
FACEBOOK; www.facebook.c...
KZbin; / @qiblatainonline

Пікірлер: 181
@yusuphhamisi504
@yusuphhamisi504 5 ай бұрын
الله amuhifadhi shekh kassim mafuta ametufundisha kheri nyingi sanaaa
@musr931
@musr931 2 ай бұрын
Shekh Kassim ana kazi nyingi za kufanya, hawezi kumjibu kila Khurafi na Hizbi. Halafu hizo ndevu usizinyoe brother!
@khamismwande8330
@khamismwande8330 7 ай бұрын
Elimu, Elimu, Elimu..... Nawaelewa sana Kwa jinsi ambavyo mwajenga hoja ki elimu, mdahalo ni muhimu asikimbie
@AbdulhamiidKalumuna
@AbdulhamiidKalumuna 8 күн бұрын
Sheikh kasim Mafuta Allah amuhifadhi
@Saaid-yv6bg
@Saaid-yv6bg 8 ай бұрын
MAASHA ALLAH TUNAKUSIKILIZA TUKIWA SOUTH AFRICA CAPE
@abuukauthar525
@abuukauthar525 8 ай бұрын
shekh wee mwanaume usinyoe ndevu
@ramadhanitwahili6837
@ramadhanitwahili6837 8 ай бұрын
kwani ndevu ndio uwanaume nawe ivi izo ndevu unazani mitume walikua wanafuga tu ovyo ovyo ndevu chafu au walikua wanafuga kwa unazifu sio sisi tulivyo sasa.
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 8 ай бұрын
​@@ramadhanitwahili6837wee kasome
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db 8 ай бұрын
​Kwahivyo ndio anyoe?​@@ramadhanitwahili6837
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 8 ай бұрын
Kwani unatamani wanaume wenzako kwa kuvipenda videvu vyao mawahabi wenzenu saudia wote wananyoa ndevu mbona hutumi onyo kule uone kama hujarambishwa mchanga.
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db 8 ай бұрын
@@user-bo1ew3xq6w hii ndio akili ya makhurafi wote. Hoja zao sio za kielimu abadan. Mwanaume mzima anakwambia "Ikiwa saudia wananyoa ndevu na sisi pia tuwacheni tunyoe" hivo ndivo hujibu
@khamismwande8330
@khamismwande8330 7 ай бұрын
Wanaume wanazungumzia barazani, aandae mazingira tuu Ili tupate faida Inshaa Allah
@AbdulRahim-l8q
@AbdulRahim-l8q Ай бұрын
Akasome kwanza huyu sheikh sana maana wanatafuta kiki kwa sheikh Abu fadhwil kasim mafuta
@user-ue5ek3vu6w
@user-ue5ek3vu6w 7 ай бұрын
Kwanza kwenye salami hakuna neno taala ,jifunze kutoa salam
@seifsalum3018
@seifsalum3018 7 ай бұрын
Kusalimia tupu hajui, ataanzaj elewa adith za mtume
@mjaaliakhalfan9030
@mjaaliakhalfan9030 7 ай бұрын
قال الله تعالى(الذين يجادلون في ءايات الله بغير سلطان أتهم كبر مقتا عند الله وعند الذين آمنوا كذلك يطبع الله على كل قلب متكبر جبار)
@bagalucha
@bagalucha 7 ай бұрын
Hawa wengine hata sijui wanataka nini,YaAllah tuepushe na shari,utuongoze katika kila la heri
@user-hk6sg3zj4q
@user-hk6sg3zj4q 7 ай бұрын
Mtu mwenye anaonekana muhuni,,, huna baya!! Allah akuongoze
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 7 ай бұрын
Sasa mzushi kwani lazma mutaje shekh kasim mafuta kwani hakuna mashekh wengine wanaosoma maulid acheni kutafuta kiki Allah ajaalie wala asikujibu homa wew
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 8 ай бұрын
Sheikh nimekukubali hata kabla sijakuckia allah awape umri mujahid wa ahlul suna wajamaat tul twarika allah awape umri mrefu zigogo zetu tuta zidi kumswalia mtume kwa wingi.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 8 ай бұрын
Twarika hawawez kua watu wa sunna ni watu wa bidaa
@omarymakange8449
@omarymakange8449 8 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 Sunna mnayo mawahabi wazee wa tawhid 3, hata mwaona aibu kutangaza itikadi yenu mwabaki kupingapinga msiyoyajua.. Allah atuepushe na uwahabi
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 8 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 toa dalili kwa qur ani.pili nitolee kwa qur ani wapi imeandikwa watu wamgawanye allah mara tatu mungu wa rububi na wa ulihia na wa majina mengi ukinitolea hio aya mimi nanunua makasi ya kukata kanzu za watu kama nyie.na kama nyinyi ndio watu wasunna wapi imeandikwa muwe munawauwa waislamu ambao sio itikadi yenu.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 8 ай бұрын
@@omarymakange8449 itikadi yetu tunaitangaza vzr TU na Iko sahihi kabisa soma surat Maryam Aya 65 ndo ipo tauheed tatu sio nyie mnaopinga majina ya Allah na sifa zake zilizothibiti ndani ya Qur,an na sunna Kiufupi masufi mnampinga Allah
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 8 ай бұрын
​@@omarymakange8449 Kama tunaona haya wewe yamekufikia vp kama sio tabia ya kinafik
@omarymakange8449
@omarymakange8449 8 ай бұрын
Mawahabi kwakweli hawako katika dini ima kwa kujua au kutokujua..
@saidsaid-oj6qx
@saidsaid-oj6qx 8 ай бұрын
Kwani hao masufi ndo wapo kwenye dini ?na kunyowa ndevu nisawa hilo ?
@omarymakange8449
@omarymakange8449 8 ай бұрын
@@saidsaid-oj6qx 😂😂 dah ukiwa wahabi ni mtihani sana.. Watu hata itikadi zao hawafundishi sababu wanajua zimeoza sana, kwahiyo wamebaki kupingapinga na kuharibu dini ya Allah.. Allah atuepushe na uwahabi
@user-fq3gs2jx8h
@user-fq3gs2jx8h 8 ай бұрын
Amina mungu atuepeshi na mawahabi😂😂😂😂😂
@user-es1mf9xc9f
@user-es1mf9xc9f 6 ай бұрын
Kasome wewe kwanza hayo maswali yako hayana mwelekeo sheikh na niwie radhi kama ntakuwa nimekukosea elimu yako ni ndogo sanaaa yani mnoo
@mbarakahatibu3296
@mbarakahatibu3296 7 ай бұрын
Ukimtazam tu unaona shekh mhuni na muoga muoga.
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 8 ай бұрын
hawezi kubali
@W.Engineer125
@W.Engineer125 8 ай бұрын
Ameshapata laana za masheikh waliotangulia kwa kuwakosea adabu kwaio anakua kama majnuun
@user-yf4yf8ov6h
@user-yf4yf8ov6h 7 ай бұрын
Ebu kaji fundishe Kwanza usuluubu wadaawa ww mbona namisingi ya ruddy achakupoteza mudaa hahah
@yohana1242
@yohana1242 8 ай бұрын
Dr sule na masheh wenziwe wanaupigania uislam hawa wanagombana wao kwa wao mutihani wallah
@jamallymohammad929
@jamallymohammad929 7 ай бұрын
Salam yako tu inamakosa ss huko mbele tutakuelewa vp kingn wanaum hawanyoi ndevu
@NurdiniShabani-ut4rv
@NurdiniShabani-ut4rv 7 ай бұрын
Toa dalili acha kutukana hovyo au ndo Sunna ulizogundishwa.
@abbakariathumani9141
@abbakariathumani9141 7 ай бұрын
Mbona maneno mengi kiswahili
@NurdiniShabani-ut4rv
@NurdiniShabani-ut4rv 7 ай бұрын
We wajua kuongea kiarabu kingi ndo elimu? Ama nimekuelew vbaya
@user-rc9dr7pm3o
@user-rc9dr7pm3o 5 ай бұрын
Kwani utofauti wa mwanaume na mwanamke nindevu? Ndoulielewa ivyo muache shekhe amfunze uyo mafuta😂😂😂😂
@user-xv2ey8wv7u
@user-xv2ey8wv7u 7 ай бұрын
Unanyoa ndevu unataka mume
@user-gh2su5fb1k
@user-gh2su5fb1k 7 ай бұрын
Fuga na mavuzi bc
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 8 ай бұрын
Mwanaume umenyoa ndevuu hiviii wàhisi Nini mwanaume kunyoa ndevuu alafu bila aibuu waongea kwenye midya!??
@omarymakange8449
@omarymakange8449 8 ай бұрын
Utaingia peponi kwasababu una ndevu..!!?? 😂
@user-wu7tz1pq8y
@user-wu7tz1pq8y 6 ай бұрын
Kwani kunyoa ndevundio waislamu aunisuna
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 7 ай бұрын
Kumbe ili jishekhe halina kitu nenda kasome uko raddi nikatika daawa na nani alietukanwa na uyo unaemsemea wew barahiyani ni kama wew sio wahabii
@user-jw3xu9qy7w
@user-jw3xu9qy7w 7 ай бұрын
Hii njia ya mjadala ndio mwiba wa mawahabi kwakuwa Hawa hawatumii elimu wanatumia hila tu kupotosha wasiojuwa dini au wasiojuwa kuwa hili ni pote la kiyahudi
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 8 ай бұрын
Wewe tujibu ndevu umepeleka wapi?
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 8 ай бұрын
Anadhalura
@asmanomar8220
@asmanomar8220 7 ай бұрын
Kwni n wajib au
@ABUUAMINAABDALLAH
@ABUUAMINAABDALLAH 7 ай бұрын
Dogo kwa elimu bado sana kasome uitambue haki
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 8 ай бұрын
Jibu hoja kwanza mbona hoja mwazikimbia Na kama mwataka mjadala mbona Hamtumi Barua munazungumza tu mitandaoni kutafuta umaarufu na wafuasi
@pilabiliani9394
@pilabiliani9394 8 ай бұрын
Kumbe sheikh mwenyewe Hana hata ndevu hahahaha wewe mwanaume usinyoe ndevu
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 8 ай бұрын
Huna akili unafikir kila mtu ana asili ya ndevu nyingi mwehu wee ushoga umewajaa kujifanya kufata fata mkumbo
@kombomakame9541
@kombomakame9541 7 ай бұрын
Kwa kuwa Hana ndevu ndio SI Mwanamme? Mpe dada Yako uone kama ni Mwanamme au ni Mwanamke.
@ameirameir4349
@ameirameir4349 8 ай бұрын
Wanakubari au wanakubali
@rahimaabdillahi6287
@rahimaabdillahi6287 7 ай бұрын
Kwan mpaka mukutane au mwataka kuja kufanya fujo kama mohd bachu ww jibu hapohapo kama hivyo tulieni walahi hii njia ni mzur natunafaidikanayo na mtu anaongea kwa uhuru na aman inakuwepo wallah nikher kubwa jibuni maneno au elimu namnahiyo allah atuongoze ktk haki
@kugotwa004
@kugotwa004 8 ай бұрын
TOKEA MIAKA IYOOOO BADO MWAJIBISHANA NA KASIM MAFUTA SI MNIACHIE MIMI YULE MWEHU
@selemanijafari9225
@selemanijafari9225 8 ай бұрын
Kua na adabu
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 8 ай бұрын
Kasim mafuta ni mwehu wa taifa zima la tanzania
@burhaanmamboleo3551
@burhaanmamboleo3551 7 ай бұрын
Kugotwaa😂
@abuushaymaajuma1211
@abuushaymaajuma1211 8 ай бұрын
Kidevu kama asha
@jumafaki2891
@jumafaki2891 8 ай бұрын
Ndivo utavo kua siku ya kiama watu wote hawatakua na ndevu isipokua watu wawili tu nabii Adam na nabii mussa hata wewe unae mwambia mwinzio kaka kama asha nawe itakua huna ndevu sijui utasemaje siku hiyo au utapandwa na hasira
@omarymakange8449
@omarymakange8449 8 ай бұрын
Dini ya mawahabi ni ndevu tu 😂
@user-kq8lk1cx8g
@user-kq8lk1cx8g 8 ай бұрын
Mbonaa wamfananiza mume na mke. Kisaa kaacha sunnah...ww salafi gani????
@Bamvita-mr4eb
@Bamvita-mr4eb 7 ай бұрын
Wazungumzaji wengine tusipo kuwa na subra na kufikiri vizuri watatutia dhambini jamani
@saidramadhan4516
@saidramadhan4516 8 ай бұрын
Masheeeheeeee acheniiiiii hiiizooooooo mnatuchoshaaaaa kwa kweeeliiiiiii
@mdoekibai5063
@mdoekibai5063 7 ай бұрын
Huyo siokaka nijidada2 mpuuzi mkubwa huyo ndoman anaitwa mafuta
@SharifuKombo-rb6vk
@SharifuKombo-rb6vk 2 ай бұрын
Jmn tunaipelekawap din mbn mnatukanana ndevu cy uchamungu wala mtu hatoingya pepon kwandevu jmn
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 8 ай бұрын
Kumbe ninyi Waislamu mwapingana ninyi wenyewe juu ya Dini yenu, halafu mwawataka Wakristo wasilimu je hapo watajiunga na Kundi lipi miongoni mwenu Waislamu? Embu pataneni wenyewe kwanza.
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 7 ай бұрын
Hata Salam hujuwi itakuwaje hoja za kielim
@ABDULLAOALI
@ABDULLAOALI 8 ай бұрын
Kz ipo !! Allah ndo akaweka Dooms Day! Ili abainishe nan walikuwa sw!!
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 8 ай бұрын
watu wengine mwatafuta matatizo hivi wamjua mafuta vizuri ww utakula radi mpaka utafute njia ya kutokea.
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 8 ай бұрын
Ww ndo unamuogopa mafuta lakin hana lolote zaid ya upotoshaji tuu
@user-nv7jg6xc8l
@user-nv7jg6xc8l 8 ай бұрын
Mimi nnavyomuona mafuta ni katika wale aliowasema ALLAH kua wameiuza akhera yao kwa thamani ndogo ya dunia. Mafuta yupo kazini kwa ajili ya fitna
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 ай бұрын
Usiomjua mafuta ww hana ilimu mafuta kama ww
@ShurayfuHamis
@ShurayfuHamis 8 ай бұрын
Mafuta mwanafunz mdogo sana arud tamta kusoma
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 8 ай бұрын
Mafuta si mropokaji tu
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 7 ай бұрын
Sasa apo unauliza maswali au unajibu mbona me cjakuelewa?
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 8 ай бұрын
Watu wa bidaa kutwa kuipigania maulid wakati huo huo ni washirikina, sunnah karibu zote hawana mpango nazo, wengi wao hata swala na mambo ya wajibu yanawashinda, ukienda kuangalia familia zao ndio hazina dini kabisa kiasi hata wake zao kuvaa stara kunawashinda.
@ayubually5933
@ayubually5933 8 ай бұрын
Ushirikina unajua?
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Kwani nynyi si watu bdaa? Tuanze hapo km ww ni kidume
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 8 ай бұрын
Kwanza nyie mawahabi nani asie wajua mnapiga kelele inje kwa manyumba yenu mumekaliwa na wake zenu hamna say kabisaa huku mnangangana kutangaza ahirki za rububia na ulihia ambazo allah ahajazifundisha na mtume wake.
@yusuphhamisi504
@yusuphhamisi504 5 ай бұрын
Allah azidi kuwapa nguvu mashekh waziweke wazi bidaa unajua mgonjwa akilia sindano imeingia Kiukweli wazushi wamechanganyikiwa now
@saidsaid-oj6qx
@saidsaid-oj6qx 8 ай бұрын
Mbona mnaweka picha za watu wengine na unao wasema niwengine? Kwani hii ndo dini inaseme hivo
@user-op9fx3by1k
@user-op9fx3by1k 6 ай бұрын
Unataka umaarufu
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 8 ай бұрын
Kavae vazii la kiume la muonekano wako....mwanaume umenyoa ndevuu mabidaa mpaka kwenye salam!;;!!
@abuunaraimansalumal-shaib9260
@abuunaraimansalumal-shaib9260 8 ай бұрын
Porojo porojo porojo zako hizo elimu Iko wapi
@user-kq8lk1cx8g
@user-kq8lk1cx8g 8 ай бұрын
Panda ww kinarani. Utoe elimu
@Bamvita-mr4eb
@Bamvita-mr4eb 7 ай бұрын
Asthaghafirullah
@user-nx1tb4cj8w
@user-nx1tb4cj8w 7 ай бұрын
Kwan mwanaume hanyoi ndevu
@MwanaedahamisiMwakwina-eu3pn
@MwanaedahamisiMwakwina-eu3pn 7 ай бұрын
Acha kutafuta umaarufu tafuta uchamungu
@user-rf3mg3bh9j
@user-rf3mg3bh9j 8 ай бұрын
Mawabi mnakasha hawawez lengo lao kuogombanisha waislam wanapenda kusema TU kuropokwa
@AbuuAnwar-hg8qw
@AbuuAnwar-hg8qw 8 ай бұрын
Kasimu Mafuta hatoki kwenye hizo hoja kudadadeki 😎😎
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 8 ай бұрын
Kassim Mafuta ana Elmu kubwa wewe utamfananisha na huyo ng'ombe mwenzenu?
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU 8 ай бұрын
Kudadeki kwa watu wa bidaa ni sunna
@mohamediddi5126
@mohamediddi5126 6 ай бұрын
@@abuumuhammad7133Subhannallah. Allah atuongoze ndugu, kuwa na kiasi kuchunga ndimi zetu sio kumwambia mwenzio hivyo ndugu. Unamfanya mwenzio kama mnyama ni uislamu gani huo tulonao sasa.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 6 ай бұрын
@@mohamediddi5126 soma dini vizuri ndio utajuwa ubaya wa bidaa na machukizo makubwa ya kuzua katika dini aluvyokuwa anachukia Mtume Muhammad Sala na Salaam zimfikie, hivyo ni haki yake hilo jina
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 8 ай бұрын
Kumradd au kumtukana ? Kuwa mkweli shee
@lukumanisharifu
@lukumanisharifu 8 ай бұрын
Munatumalizia mb yote hii ni ya Muchele
@Yanikmanzi
@Yanikmanzi 8 ай бұрын
Qoran nimekuja njia zakurad
@saidkhamisi9592
@saidkhamisi9592 8 ай бұрын
Huyu anachotetea kitu gani ? Naona anabwabwaja tu
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Ww huelewi Kwa sababu ni mwehu
@UB40X1
@UB40X1 8 ай бұрын
Wewe na masheikh ni wapuuzi tu
@SalimuMajenga
@SalimuMajenga 21 күн бұрын
Anatafuta Kiki huyu jamaa wewe nisawa na mm
@user-op9fx3by1k
@user-op9fx3by1k 6 ай бұрын
Wewe Unataka followers wewe unachokiongea Hakina mashiko ya kielim
@muhammadnassibu7706
@muhammadnassibu7706 8 ай бұрын
Nyie masufi mnajitapa mnajua sana lugha!! Sheikhul Islam ametumia neno " قد يفعله بعض الناس" swali neno "قد" likija kwenye mudhwari'i linakuwa linafidisha nn??
@asmanomar8220
@asmanomar8220 7 ай бұрын
Duh! Inaonekana ata hujui lugha soma ww mwanzo
@abudardaiasaa7700
@abudardaiasaa7700 8 ай бұрын
Sheikh ww Kwan wazungumza nin halafu mbn hufundishi kitu ukaelekez kiengine. Lakn acha kuropoka kijan mkosoe shikh qssim kielimu. Ama kwa mm Apo ata bad na hao wanafunz wako naona hujawawek kwenye pwent ya kushik. Kassm mafuta katufundish mengi Allah amuhifadh nenda kasome kwanz halafu uje Tena unfundishe kasim mafuta
@omarymakange8449
@omarymakange8449 8 ай бұрын
Hivi mawahabi ili mtu awe kazungumza kielimu ndo inabidi azungumzeje..?? mana kila mkiletewa elimu munaikataa, ukweli mchungu ni kwamba hamna itikadi zaid ya ushirikina wazee wa tawhid 3, munapinga hata ya kweli na wazi.. Allah atuepushe na tawhid 3 yaani mawahabi
@mohdkhamis257
@mohdkhamis257 7 ай бұрын
Wewe ni jumla waliopuuzwa
@ABUUAMINAABDALLAH
@ABUUAMINAABDALLAH 7 ай бұрын
Huna kitu fuga ndevu kuwa rijali dogo
@asmanomar8220
@asmanomar8220 7 ай бұрын
Vaa kanzu y mdogo wako
@ABUUAMINAABDALLAH
@ABUUAMINAABDALLAH 7 ай бұрын
@@asmanomar8220 huna elimu mzushi wewe acha kupelekwa kama mke muolewaji mfuate mtume kwa yale aliokuja nayo kwa haki ya Qur'an na hadith sio akili zenu wazushi
@ABUUAMINAABDALLAH
@ABUUAMINAABDALLAH 7 ай бұрын
@@asmanomar8220 huna elimu kakojoe ukalale njoo darasani usome
@user-ki5tv8ju7z
@user-ki5tv8ju7z 8 ай бұрын
usitoe maelezo tupe maandiko
@ayubually5933
@ayubually5933 8 ай бұрын
Mwambie shehe mafuta aje tunamsubiria
@user-ki5tv8ju7z
@user-ki5tv8ju7z 8 ай бұрын
usifate mkumbo
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 7 ай бұрын
Jammani hata haya majaahili mwawapa midia?!??muone kidevuu kama kiaz;!! Kaendelee kuvuta bangituu wajilalamishatuu hapo !!!!! Haya kama ni kakako!!!!??toa hoja..
@Yanikmanzi
@Yanikmanzi 8 ай бұрын
Shekh qasim wapi amesema wapi pich ni haram
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 7 ай бұрын
Kwani haeki picha
@user-jw3xu9qy7w
@user-jw3xu9qy7w 7 ай бұрын
Uwahabi ni dili sio dini mukiwaita kwny mjadala lazima wakimbie hawana vyombo vya niqashi wanataka wakae wenyewe kupotosha wasiowafahamu ili kazi yao ya kupiga pesa kutoka kwa mayahudi ifanikiwe
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 8 ай бұрын
Kasimu mafuta ni kichwa koko hajielewi
@ZubedaRaajab
@ZubedaRaajab 8 ай бұрын
mche Allah kwa maneno yako ambayo Allah atakuja kukuuliza juu ya ulivyomuita Huyu Sheikh kisha ushindwe kumjibu. Haya maneno kamwambie live ikiwa kama kweli we ni mkweli.
@abbakariathumani9141
@abbakariathumani9141 7 ай бұрын
Wewe unataka kuvuliwa nguo 👗 ndugu yangu subiri
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
MAWAHABI WAOGA KAMA MBWA KOKO. HAWATHUBUTU MNAQASHA. WAO WAONGEE CHUMBANI KWAO TU KAMA WANAMSUBIRIA BWANA WAO AINGIE
@khalfanmasoud1514
@khalfanmasoud1514 8 ай бұрын
Uso kwa uso hawawezi kwa kumfata mtu au mjadala wa kielimu au mezani lazima wakimbie mafuta wengi walimwita alikimbia anabaki porini na speaker na internet kuchafua na kutukana watu tu
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 8 ай бұрын
Sawa
@abuukauthar525
@abuukauthar525 8 ай бұрын
shekhe kasimu mafuta anawataka mashekh zenu sio nyie wanafunzi
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 8 ай бұрын
Kwani Si Wanafunzi Wenzake Mwalimu Mmoja Kwahio Saizi Yake Angekua Anamtaka Sheikh Mbona Kasubir Afe Ndio Apige Kelele Chuma Kati Yuko Hai Alikua Kaijifuchia Mafuta Acheni Mwambie Atowe Rukhsa Watu Waje Hapo Sio Porojo tu
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 8 ай бұрын
Kwani Si Wanafunzi Wenzake Mwalimu Mmoja Kwahio Saizi Yake Angekua Anamtaka Sheikh Mbona Kasubir Afe Ndio Apige Kelele Chuma Kati Yuko Hai Alikua Kaijifuchia Mafuta Acheni Mwambie Atowe Rukhsa Watu Waje Hapo Sio Porojo tu
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf 8 ай бұрын
Acha uongo wewe bichwa kama mbwa koko huna lolote raubidhwaa weweww
@ayubually5933
@ayubually5933 8 ай бұрын
acha matusi njoo utoe hoja
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 8 ай бұрын
Ndevu zikowapi toka apa
@ayubually5933
@ayubually5933 8 ай бұрын
Mbona ww huingii msikitini na viatu au unajua ndevu
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Wewe mbumbumbu mwehu watu wote wamejaaliwa ndevu
@ayubually5933
@ayubually5933 8 ай бұрын
shehe kama upo vzr kwahoja nikualike sehem tuzungumzie mambo ya kielimu tena kwa garama zangu upo tayari??
@fredquinbi2389
@fredquinbi2389 7 ай бұрын
Ujinga ujinga
@user-fz9dq5kx1d
@user-fz9dq5kx1d 7 ай бұрын
Kwan Kassim mafuta ni nani mbona kama watisha watu kutokamana na huyo Kassim mafuta
@Yanikmanzi
@Yanikmanzi 8 ай бұрын
Alafu wanajidai wanampenda mtume
@lukumanisharifu
@lukumanisharifu 8 ай бұрын
Munatumalizia mb yote hii ni ya Muchele
@user-ki5tv8ju7z
@user-ki5tv8ju7z 8 ай бұрын
usitoe maelezo tupe maandiko
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 8 ай бұрын
Mwambie Mafuta Atowe Rukhsa Watu Aache Tabia Za Kurusha Maneno Pembeni Hahaha
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
MAANDIKO YA HUO MJADALA ALIOUOMBA AU?
@ayubually5933
@ayubually5933 8 ай бұрын
We njoo na mafua utakuta maandiko
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Maandiko ya nn unayotaka hapo we mbumbumbu?
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
​@@hilalkhalfan1452huyo naona ni mgonjwa wa akili ndugu maana ata mm cjafaham anataka maandiko ya nn apo
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
HISTORIA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA -ALLAH AMUHIFADHI
30:04
Elimu sahihi
Рет қаралды 63 М.
ALAMA ZA KUPENDWA NA ALLAH || SHEIKH KOMBO ALLY FUNDI ||
3:58
ABUUKHUBAYY
Рет қаралды 7 М.
Mdahalo Kuhusu Kupiga Dufu Sheikh Kassim Mafuta Dhidi ya Kazuba
2:36:10
BARZANJI MAULIDINI Sheikh Said Bafana
47:08
Masjid Riyadha Nairobi
Рет қаралды 41 М.