Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART II)

  Рет қаралды 61,822

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 592
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Wallaahi nakupenda saanaaa abuu iddy muhammad iddy allaah akupe afya na akulinde na kila uhasidi
@twalibusaidi5281
@twalibusaidi5281 4 жыл бұрын
MAASHALLAAH SHEIKH WETU ABUU IDDI ASSALAFIY AL MANHAJIYYA.. SIO HAO SALAFIYU WAPOTOSHAJI. TUNASHUKURU SANA KUTUTOA KWENYE GIZA LA MAHHABI ANSWARISUNNA/SALAFIY WAPOTOSHAJI
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Allah akuweke Shekh, dnia hailingani kwama saa, kanada kumi namoja yauku kwetu kwao ndio kunakucha, Masha Allah Shekh, nalengo lenu umoja nyie mashe sio kubaguana, hawa,wale, sie, tena sikuizi kuna kina sis zaid, khatari sana hawa watu
@salumkomba7682
@salumkomba7682 5 жыл бұрын
Swadakta Sheikh... Maradh ya mgonjwa wako ni makubwa sana kwa hiyo ongeza dozi tena atapona tu kwa uwezo wa ALLAH, Inshallah
@user412
@user412 5 жыл бұрын
Salum Komba hakikaaaa
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Salumu komba Allaha akuweke sana xababu macho na masikio yako wayatumia vema sana
@jumaally4286
@jumaally4286 5 жыл бұрын
Masheikh heshimianeni na pendaneni kwa ajili ya Allaah(sw) kuufanya UMMA wa Waislam kushikamana.
@theglobalsociallibertyexpr6150
@theglobalsociallibertyexpr6150 5 жыл бұрын
Daaaah Sema , ongeza Sauti kubwa , Shekh Muhammad Iddi , Umefanya kazi Kubwa Saana ya utafiti , Tunyooshe , tudunge Soote masindano makali makali , Nimekufatililia myaka 4 nimekufaulu saaana tena sana Nitakutembelea nikuone ni kusalimie kwa sasa nipo Pakistan , Daarul-Iftaa ya hapa Jamia Ashrafia inakuungamkono tudunge masindano " hata hapa Khutuba za Ijuma zinarekodiwa Na Wale Maulana wenye msimamo mkali wakisiasa wanarekodiwa " Lahore - Pakistan
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Allahumma aaamiin ALLAH akuhifadhi uje kumuona mwamba wetu huyu
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 5 жыл бұрын
msituchanganye sisi,,, nurdin kishik ni shekh mzr, kam unampenda mfate mkanye si mitandao, hiz usuda na kijicho... Allah ndo mjuzi.....
@ommarymgeni1536
@ommarymgeni1536 5 жыл бұрын
Oman Oman samahn askurupukeeee kutukan wanawazuon kam Shekh yusuph anabahan kumkfursha
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Wew Oman una zungumza nin mbona sijakuelewa Emu nikuulize hivi wawajua masheikh wew ni kina nan na ikiwa wawajua bc kua na adabu huyo sio sheikh bali huyo ni khatwibu wa vetenar tu dar es salaam nzima na atabaki hpo tu lkin hawezi kusimama katika membari za wanaume hata mara moja
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 5 жыл бұрын
@@othumanisamata1499 najua mashekh kulik unavyowajua wew,,, ten nafatilia san mawaid yao san,,, hil mt anapoongele kuhus kuelimish si kumtaj shekh fulan,, unapokany au kuony unya kwa kutumia kitabu na suna zake, na kam mt katelez mfate na muambie yey kama yey maan hakun mkamilifu, hivy ndivy mtume alivyofundisha,, si mt unamtangaz na kumkosoa mitandaon..... badiliken... kukosea kup kil kiumb anakosea isipokuw mungu pekeee,,..... Allah kareem...
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 5 жыл бұрын
namuomb Allah amuwek nurdin kishki, ampe afya na rehem kubwa katik kuitangaz din ya Allah, amnusur na hasad, fitin za dunia 🙏🏻🙏🏻🙏🏻ampe kil itaji la moyo wake in shaa Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
@@OmanOman-gc1zu Alaaa nashukuru kama umetambua hilo kua kiumbe anakosea Lakin piah tambua na hili makosa yanazidiana alafu makosa mengne ni ya upotoshaji wa umma
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 5 жыл бұрын
MADHEBU YA IMAMU SHAFII ALLAH AMRAHAM UNAYAJUA AU WAONGEA TU..!!, UKO MBALI SANA NA IMAMU SHAFII, UNA NYOA NDEVU, UNAVAA ISBALI, MAULID WEWE NI SUFI SIO SHAFII
@MohamedHussein-nr6fs
@MohamedHussein-nr6fs 5 жыл бұрын
Inshalaah mungu akipenda eid ijayo tumuone mwanafunzi Mohamed iddi atasemaje tena wewe unakijeli kikubwa sana kwaajili sheikh nurudin kishikish anaalikwa kilasehemu ndiyo unakuwa naye uhasidi muogope Allah Mohamed idi
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mwanaume wa ilimu shekh abuu iddy
@husseinkakanga3361
@husseinkakanga3361 5 жыл бұрын
Uko vizuri sana shekh Iddy unahoja nzito sana hao watapata taabu sana
@tahiyamushi9229
@tahiyamushi9229 5 жыл бұрын
Shkh Abu Idd ungekuwa unampenda ungemfuata ofisini kwake ukamwambia.... Hayo yooote
@awadhiyassau3592
@awadhiyassau3592 5 жыл бұрын
Kainyooshe famiria yako namisharubu Kama yapaka
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Kumpenda na kufuata ofisin kwake Kuna husiana nin
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
@@awadhiyassau3592 matusi sio Elimu Sheikh Muhammad idd M/MUNGU akuhifadhi sana kipenz chetu endelea kuwanyoosha hao mpaka wakae sawa
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 жыл бұрын
nikwel kabisa uyo anachuki t na shekh nurdin kish
@mrishokhan217
@mrishokhan217 4 жыл бұрын
abuu idi hata ndavu huna?
@abdhulihassan8501
@abdhulihassan8501 4 жыл бұрын
Maasha'Allah, hapa vitu vipo vya kunyooka tu si kubahatisha kattu. Kongole sheikh, Mola akupe kheir nyingi na umri mrefu wenye kheir nyingi. Baada kutizama clip ya sheikh wa mkoa akikutaja kwa kejeli ndio nimefika hapa kukuskiza... yaani nashangaa yuakutukana kwa lipi kwa maneno yalo nyooka namna hii? Mashekhe matumbo wana balaa si mchezo.
@hamisally5850
@hamisally5850 5 жыл бұрын
Cha msingi ni kukaa chini na kueleweshana kwa hekima na sio kutoleana maneno makali kama hayo kwenye mitandao ya kijamii,
@rashidyahya99
@rashidyahya99 5 жыл бұрын
Angetumia maneno gani? Yaa ustadh, utwambie we msomi wetu!! Watu wengine karanga BAO!
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 5 жыл бұрын
hawajui km maadui wa uislaaam ndo wanafraia....ni jmbo la kurekebxhana kwa hekma na mawaidha yalomema....
@selemanimarko2432
@selemanimarko2432 5 жыл бұрын
Kha hivi hi ndo hekma mzee want kwa Nini usimfuate mkakaa chini mkatafutA ukweli Ila wewe ndo umeharibu kuliko kishki
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
@@selemanimarko2432 Kama huku ni kuaribu basi uharibifu wake ni sahihi sheikh Muhammad idd endelea kuharibu sababu uharibifu wako mzuri
@athumansuphian1616
@athumansuphian1616 4 жыл бұрын
Aaambiwe hapahapa mtandaoni cndipo anapopotoshea anaesema afuatwe kwa siri ungejuaje kama anamapungufu hau nawewe hujielewi
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 5 жыл бұрын
Kwa tafiti yangu, nimegundua sheikh sharubu elimu yake ni ndogo kinyume na vile wajinga wengi wanavyomdhania kwamba ni msomi wa dini bali huyu sufi mzushi ni jaahil katika dini jambo ambalo humpelekea kuwa na hasadi,chuki na ubishi usio na msingi.... Nitoe mfano sehemu ndogo tu ambayo ameisoma kwenye kitabu alichonukuu UK 554...amesoma kwamba "ويستحب يوم عرفة ".... Kipande hichi huyu sufi amesoma kwamba" wayustahabbu yaumi".... Hapa katika kanuni na msingi wa lugha ya kiarabu Kuna makosa katika fani ya "Nahw"..... Kwa kosa hili la wazi nimegundua kwamba elimu ndogo ni maradhi yenye kuangamiza jamii!. Mche Allah Ewe sheikh sharubu, sufi na mzushi.
@ismailchumu6889
@ismailchumu6889 5 жыл бұрын
Wewe ndio empty mind, hoja uchwara hii
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 5 жыл бұрын
It seems you don't understand your Islam to the extent that you an unconscious!
@amiduiddy8580
@amiduiddy8580 4 жыл бұрын
Dawa imeingia
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 5 жыл бұрын
Yaani kuanzia Muhammed idi na hao washabiki wake Wote ni watu wa jazba wasio tumia hoja za kielimu Bali jazba, husda na chini tu. Masuala haya idi ni wa juzi tu kayakuta halafu ajiona eti yeye ndiye anajua kuliko akina ibni Taymiya, wanajua kuliko hata kina Shafii na Maliki na kuliko hata maswahaba. Maswahaba hawakuwahi Kuwait's wanaokhitalufiana nao kuwa ni wapotoshaji. Sheikh idi dini ni bahari yabidi akasome. Elimu ndogo ni sumu kwa umma na huleta mfarakano kwa kitu ambacho hata hakimtoi mtu katika dini. Tazama, aliyeswali juzi na aloswali Jana una uhakika kuwa wa juzi amepotea? Una uhakika kama wewe ndio upon sahihi? Ikiwa una jibu la idi basi upo na fikra alizokuwa nazo shetani alipojiona yeye ndiye anajua kuliko hata mungu pale aliposema " Mimi ni bora kuliko huyo (Adam)" kumuita mtu mpotoshaji INA maana yeye" kapotea na anapoteza wengine" kwa wenye kujua hilo muislam aliyepotea ni muovu. Mtume s.a.w hakuwahi kumuita muislam yoyote kuwa ni mpotovu wala maswahaba wala tabiina wala maimanu kwa jambo la jitihada lisilovunja akida ya uislam. Ila wanaoshabikia hapa wamepbwa na chuki na kwa kuwa hawa kazi yao ni ushabiki hawatoi hoja ila kuusapoti huu uovu anaowafanyia mpaka wema waliopita tena wanachuoni wakubwa kubwa waliokhitalifiana juu ya hayo ila hawakutukanana au kukashifiana wala kutoleana maneno kama haya ya kipuuzi yasiyo ya kielimu Bali siyasa na ushabiki. Elimu ni nuru na jazba ni Giza. Masuala haya wanaoyazungumzia humu wanazungumzia kwa jazba tu na hasad n chuki wengi Wao. Masuala ya khilaafiya yalianza tangu wakati wa mtume S.A.W na watu walipofahamu tofauti maana mtume S.A.W kauli zake Nilikuwa zinajumuisha maana mfano alipowaambia "Atakayekuwa anamuamini Allah na Siku ya mwisho asiswali alasiri mpaka kwa banii quraydhwa" wakawa wameelewa maswahaba kwa kukhitalifiana hawa wakaelewa mpaka wafike kwa banii quraydhwa hawa wakaelewa kuwa wajitahidi ili wafike waswalie kule ikiwezekana swala ikiwalutia humo na isipowezekana waswalie njiani waendelee na safari. Makundi mawili yaligawanyika na wengine wakaswali nje kidogo ya wakati kutokana na walivyofahamu na wakawaelekeza watu Wao. Wengine wakaswali kwa wakati na wakaenda pia kwa banii quraydhwa mtume alipifikishiwa alicheka tu jakumuita mmoja Wao mpotoshaji wala hawakuitana wapotoshaji. Sasa swala ambayo ni ibada nzito zaidi na masuala haya ipi fatwa mmetumia Kuwait's watu wapotoshaji? Elimu kwa nini isitumike Bali mtu atumie husda na nafasi ya kuweza kuitoa chombo cha habari kueleza mambo ya kipuuzi yasiyo na chembe ya elimu wala adabu? Tena wanapata na mashabiki. Maana ukiwa Kazi ni kugeuza ushabiki basi unaleta makundi kwenye dini yasiyo na maana kwa faida ya shetani tu na hayatakusaidia. Sote tulikuwa tunashiriki mwezi mmoja zamani na tulikuwa na jazba kama hizo ila kujizuia na kutafuta jitihada ya kielimu pande zote ukikosea utapata japo thawabu za kujitahidi. Allah anajua wanaofanya kwa ushabiki nao na kufarkanisha umma kwa jambo lisilomtoa mtu katika dini. Kwa nini nyie masheikh wenzenu ramli wanapiga na kufuga majini na ushirikina wa albadiri n.k hamuwakemei na hill ndio kamtoa mtu katika dini na hao hao masheikh wengine wachawi na waganga wa ramli wanashabikia ikhtilafu eti Naye kasahau sio muislamu kwa kuwa mshirikina si muislam. Ajabu hii.
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 5 жыл бұрын
Baarakallahu fiika akhy, the message has been well conveyed.
@aboumaumba2888
@aboumaumba2888 4 жыл бұрын
Exactly well said...
@aishamalaki116
@aishamalaki116 5 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH Jaman Dawa imefika mahala pake ALLAH akupe maisha marefu yenye kher uendelee kuwafundisha wasiojuwa pumba na mchele vimeonekana! Nasasa natambua kumbe kuna madhehebu mengi kwenye uislam yakiwemo mashia' makadihani , mawahabia, na AHALULSUNNA WALJAMAA, na hili lamwisho ndio original hayo mengine ni feki
@yassinmmbwera9273
@yassinmmbwera9273 5 жыл бұрын
Mashekhe acheni kushambuliana fanyeni ya msingi. Kukaa chini hamukai kila siku mitandaoni migoro yenu haijengi dini. Mwenye Elimu hutumia Busara, Hekma na Weredi katika kulikabili jambo. Nyinyi munakwama wapi. Kitu ambacho mimi naamini ninyi nyote munatumia vitabu hakuna aliyetunga munachozungumza.
@emuthree
@emuthree 5 жыл бұрын
' Kila nchi ina arafa yake....' hebu hii kauli iangalie kwa makini. Kila nchi...haiwezekani kwa kila nchi ikawa na Arafa yake. Muandamo wa mwezi unatokana na sehemu zinazoendana kimasaa. Ndio maana akatumia lugha hiyo iliyowakera...kuwa haiwezekani shekhe akasema hivyo...je sio kweli, kuwa haiwezekani kila nchi ikawa na muandami wake...! Sizani kama alikuwa na maana mbaya hapo, ...mimi nawaomba mashekhe, msifikie huko, elimu ni bahari, na hakuna ambaye anaweza kuimeza elimu ya bahari nzima, kaeni muelewane, na kwenye kuelewana, mvumiliane,..na msiyakuze hayo kiasi hicho mimi nina imani mtafika kwenye mshikamano wa kweli. mwenyezi mungu anajua zaidi
@nyanyambuli7163
@nyanyambuli7163 5 жыл бұрын
LAZI YAKO NZURI SANA WAPOTOSHAJI MWAKA HUU WATARAMBA MCHANGA.
@lungusii
@lungusii 5 жыл бұрын
Subhanaallah haya Sheikh wetu, baba yetu basi munge muita faragha ili muya malize ...inshaAllah sisi tuna wasikiliza nyote ...
@Burange666
@Burange666 5 жыл бұрын
Mwezi ni mmoja Dunia nzima usitudanganye Shehe ubwabwa kwanza wewe Shehe gani wewe baada ya kuzungumzia jambo la maana wewe kazi yako umeshikilia mwezi hata kipofu ukimuuliza atakwambia mwezi upo mmoja Dunia nzima acha ubishi nenda kasome kofia kubwa na kanzu kumbe hamna kitu huyu kweli Shehe ubwabwa acha majungu njaa inakusumbuwa hiyo.
@barikiabdallah4721
@barikiabdallah4721 5 жыл бұрын
Kwani anaongea upuuzi
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 4 жыл бұрын
Fanya mpango bac dunia nzima tuswali adhuhuri moja
@abdallahalkithiry9043
@abdallahalkithiry9043 5 жыл бұрын
Hawa masheikh hawatumii hikma /hata ukiaangalia masheikh zetu wa zamani walihitaliana lakini hawakulumbana walikaa chini na kila mmoja alimuheshimu mwenzake. Na huu si wakati wa kugombana kilichotakiwa tuangalie waislamu tumekwama wapi ili tuwe na nguvu za kiuchumi za kidini na vijana wengi hawana elimu wasaidiwe vipi tuwe na umoja wenye nguvu lakini sisi tumebaki kugombea mwezi mwandamo tu /huo hatugombei ijumaa kwani hiyo sijasikia watu wakisema hatufati ijumaa ya Saudia hawa wanatudanganya wao wakienda Saudia idd wanacheza huko wakirudi wanatudanganya hawaheshimiani tutakwenda hivi mpaka qiyyama kitasimama sisi bado tunagombana Namuomba Allah atuletee surhu na tushikamane na kamba yake. Amiin
@maryamtemba1760
@maryamtemba1760 4 жыл бұрын
Shida nikua huyu kamà angekuaua na hikma asingekuja kumkosoa mwenzake hadharani kwani si wote wako Tanzania kilimshinda nn kumfata kumweleza
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mawahabi hawawafatilii mashekhe zao,yaan huwa mara nyingi wanabadilisha maneno lakini wafuasi wanafuata tu bila hata kuhoji,ni kweli alisema kuwa maswala ya arafa hayana khilafu,leo anasema yana khilafu...sasa tushike lipi kutoka kwakee???
@ashuashu3843
@ashuashu3843 5 жыл бұрын
Mwenye uelewa mzuri wa fikra atajua hapa nani yuko sahihi,ila kwa wasojielewa ndio wataona wanayoyajua wenyewe(ajabu ni nchi moja kusali Eid mara mbili je hamjiulizi miaka iliyopita mbona haikuwa hivyo ni kweli mmepotoshwa.sasa mbona saudia wanasali wote siku moja na tz kila mtu na salaa yake ya Eid mwesho mtaisali na salaa ya ijumaa tofautti.
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 жыл бұрын
Ashu Ashu Safi San
@maryamtemba1760
@maryamtemba1760 3 жыл бұрын
Sinaskiaga neno mfumo kirto huko kwenu ndio unawatawalia mpaka dini
@maryamtemba1760
@maryamtemba1760 3 жыл бұрын
Badili mufate Quran inasemaje munafanya serikali,, sasa mpaka serikali ndio iwaambie sasa fungeni ndio mufunge,, fungueni ndio mufungue ninachojua ss waislam calendar yeti ni moja tu
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Alla akuhifadhi Yaa Sheykh. musiwabakishe wazushi hawa lazima mujipange kama walivojipanga wao
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
Siku zote Abu iid akitoa neno "HUFIKISHA " ما شاء الله ، الله يجزيك خيرا
@centralzonetvtanzania7313
@centralzonetvtanzania7313 5 жыл бұрын
Ma answari hua wanashangaza sana utakuta wanalingania umoja kwa mtu ambaye yuko zake arafa hana hata habari lkn wanashindwa kuelewa hutba zao za kiswahili ijumaa zinavunja umoja maana kama miskiti yote duniani ingesoma hutba ya kiarabu inamaana popote pale duniani mtu aweza soma khutba na wote tungeelewa kiarabu sasa wameacha sunna wanasoma kiswahili matokeo yake wanajikuta wanaongea porojo tu mimbarini pia hawahawa wanaotukataza tusisome dua ya pamoja baada ya swala ndio wajifanya wanahimiza umoja
@ibrahimatadi9416
@ibrahimatadi9416 5 жыл бұрын
NAAM SHEIKH ALLAAH AKUHIFADHI KWAKUTUELEMISHA PIA ULIMWENGU WA WASOMI UNANUFAIKA NA WEWE.
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Allahumma aaamiin
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 5 жыл бұрын
Acha hasadi wewe Mohammed idi ..itakutesa sana hiyo na sisi waumini tumesoma sasahivi hatukufati kipuuzi kama zaman ..wewe ndio mpotoshaji na mjinga kidogo ktk ilimu
@abduliddy9620
@abduliddy9620 5 жыл бұрын
sheikh wangu abuid endelea kuwaweka sawa Hawa atamimi nawaita wapotoshaji nimefurai unatembea Na vitabu. wakijibu hiko kitabu
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Na ataendelea kuwaweka sawa mpaka mwisho na sisi tunakuja hiv hiv kufuata nyendo zenu masheikh wa ulimwengu
@abdunoor3775
@abdunoor3775 4 жыл бұрын
Huyo shehe wako Abu id kwa huku tanga tunasema ana ihi (wivu,chuki,fitna)
@abdiabdi1752
@abdiabdi1752 5 жыл бұрын
shekh dini haipelekwi hivyo usilete chuki kaa kimya kama huna cha kuongea
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Emu njoo uongee wew ikiwa yeye atakaa kimya alfu tukusikie utaongea nini wew mtoto abdi
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 5 жыл бұрын
Kwa io ukikufurishwa weyee unataka NA wengine wasielekezwee
@swahibuallymussa154
@swahibuallymussa154 5 жыл бұрын
ABDI ABDI UNAONEKANA WEWE NI JUHA KULIKO ABUU JAHALI,KITABU ALICHOSOMA NURUDINI NDIO HICHO KINAFAFANULIWA,INAMAANA MAELEZO HAYO PIA HAMYAELEWI NYINYI MAWAHABI? AMA KWELI NYINYI MAWAHABI NI WAPOTOSHAJI,NAWASHANGAA NYINYI MNAOMUITA NURUDINI ,SHEKHE,DUH!SASA MBONA HATA KITABU HICHO NURUDINI MWENYEWE HAKIELEWI?SWALI LA MSINGI;JE KABLA YA VYOMBO VYA MAWASILIANO MLIKUA MWAWAONAJE MAHUJAJI WALIOSIMAMA VIWANJANI?AU MTUKUFU MTUME S.W.W.NA MASWAHABA ZAKE WALIKUA WANAFUNGAJE?ACHENI UZUSHI WA KUITATIZA DINI NYINYI WAPUUZI,HII DINI SIO YA WATU WAJINGA HIVYO,ETI KUNA WATU WA UDHURU MILELE,DUH!!UJINGA MBONA UMEWATAWLA HIVYO,HUYO NDIO MWALIMU WENU,MKUBALINI TUU WALA HAMTAPUNGUKIWA KITU,HALAFU MNASEMA AFUATWE NYUMBANI,MBONA YEYE HASEMEI NYUMBANI,YAANI ANAPOTOSHA WATU HALAFU AFUATWE NYUMBANI AKAFUNDISHWE PEKE YAKE?TUTAMFUATILIA MPAKA AELIMIKE MAANA TUNAJUA HANA ADABU YA ELIMU,NA LAZIMA ATIWE ADABU MPUMBAVU KABISA,ANAMKUFURISHA SHEIKH NABHAANI?UKAFIRI UMEMRUDIA YEYE NA WANAOMUUNGA MKONO.
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 5 жыл бұрын
Abuu idi nimekuelewa sana Allah. Akubariki
@adammaulid2356
@adammaulid2356 4 жыл бұрын
نسأل الله العافية والسلامة
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 5 жыл бұрын
Weka izo ndevu kwanza, usifuge sharubu. Mbona mnabishana mitndaoni ushauri zaidi tumieni miskiti mkae mujadili kisha mtoe fatwa baina yenu na hapo mueleze mlichokijadili. Ili waislam wawe kitu kimoja na wasigombane, jueni huko ndiko kuwafanya makafiri wakuoneni ni watu waso na elimu ya dini yenu. Jengine kwanini iwe mabishano yenu ni siku za funga ya arafa na ramadhani, mnawapoteza waislam wasokuwa na elim kidogo hata wale wanaotaka kuingia ktk uislam wanapoona hali hii basi hawaingii kwa sababu ya ikhtilaf hizi.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 5 жыл бұрын
Izozakochuki tu. Mie ndevu naziona km wey huoni. Muhimu sikia elmu
@mbaroukali7547
@mbaroukali7547 4 жыл бұрын
kwn ndevu ndio din
@swalehothman8251
@swalehothman8251 4 жыл бұрын
Mbarouk Ali muislam kuvuga sharubu haifai na kuvuga ndevu ni sunna
@athumanj.buyogela9295
@athumanj.buyogela9295 5 жыл бұрын
JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDI NO🅱️- Sheikh Kassim Mafuta Kassim حفظه الل @
@lovepipy4811
@lovepipy4811 5 жыл бұрын
Athman asssalaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh Habari Za masiku AKHUY.. mkombolaguha@gmail. com
@abdulrahmanngaluma3768
@abdulrahmanngaluma3768 5 жыл бұрын
Mashaallah
@lavezy_0798
@lavezy_0798 4 жыл бұрын
Hiii sio sahihi Kwa Waislamu kugombana mitandaoni kwa kuwafurahisha makafiri na hatuna muda wa kumuangalia yeye (Kafiri) Allah atujaalie salama
@abusalam7036
@abusalam7036 4 жыл бұрын
Ahsantum shekh idd
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 5 жыл бұрын
SHUKRAN SHEIKH HATA MAASI YA WAZI TOBA YAKE YATAKIWA IWE WAZI. MAASI YA SIRI HUTUBIWA KWA SIRI.
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
الله أكبر صدقت الأخي الزغوي
@captain_kharus4784
@captain_kharus4784 5 жыл бұрын
ماشاء الله شيخ محمد عيد بارك الله فيك يا شيخنا الكريم
@omarymohd4990
@omarymohd4990 5 жыл бұрын
Waislam chamuhimu sasahivi nikumelekea allah namtume hamnashekhe hapa zilesikuzamwisho zakiama zimekaribia kilashekhe anajivutia kwake kwanitatizo likowapi
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
اللهم آمين
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
@@omarymohd4990 masheikh wapo shika adabu yako wew
@lulually6722
@lulually6722 4 жыл бұрын
@@othumanisamata1499 mwendawazimu huyo kwanza hata ukimuuliza maana sheikh hajui ndio wale wale bendera hufata upepo haya sheikh babaako cheka basi fyuuuuu😒😒
@saeedal-awen2190
@saeedal-awen2190 5 жыл бұрын
abu idi unapata dhambi kupotosha watu. ili tu usionekane hujuwi. ila ukweli ni kweli elimu huna na uwelewa wako ni mdogo.
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Wewe ni juha nini Elimu ya sheikh Muhammad idd hufikii wew na mwlimu wko kishk
@saidmaulid7668
@saidmaulid7668 4 жыл бұрын
Waambie hao wasio jua
@matumbistanmikau2895
@matumbistanmikau2895 5 жыл бұрын
Dawa imeingia haswa. We umeita wanazuoni wapotoshaji. Kweli kuna elimu na kuelimika. Mzee kapata moto mbaya
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Haswaaa
@rajabujuma507
@rajabujuma507 4 жыл бұрын
Shekh mbon anafug masharubu badal ya ndevu
@anksusiabdurashid114
@anksusiabdurashid114 3 жыл бұрын
Mie cjui
@saeedal-awen2190
@saeedal-awen2190 5 жыл бұрын
Eti huyu nae sheikh. mtu mwenyewe ananyoa ndevu na kuacha sharubu. inamana hajiwi km Mtume kamrisha kuacha ndevu nakupunguza sharubu. anampinga Mtume atawakubali nyie.
@tausimleela8275
@tausimleela8275 4 жыл бұрын
Usimtukane...wala usimdharau...ana elimu Kubwa kuliko wewe..kikubwa ni kumuombea Dua..kwa sabab ufaham Wa elimu anatoa Allah sio ww.
@mimah2543
@mimah2543 3 жыл бұрын
Duh.. Mtihani wallah
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 3 жыл бұрын
Wew Abu iddi hujuu kuachia masharubu niharamu bona umenyow ndev ukaachia mashsrub we mnyewe hauna elimu unajitakia umarufut pupa ww
@mohamadally5732
@mohamadally5732 5 жыл бұрын
Sheikh eid abuu eid uko sahihi sana tumekuelewa mwanachuoni wetu
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 5 жыл бұрын
kabisa
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 жыл бұрын
Mohamad Ally nikweli
@sayeedsaleem6395
@sayeedsaleem6395 5 жыл бұрын
Haswwaaa
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
Maana ya ujinga nn ?
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
Wote wapo sawa mzungumzaji na mzungumzwaji
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 5 жыл бұрын
Sheikh endelea kuwapa tiba hawa wapotoshaji sisi tunakuelewa sana kwa sababu unajikita kwenye hoja
@mussajangwa9106
@mussajangwa9106 5 жыл бұрын
Wallah kishk hana ilmu Anatakiwa asome
@khamissalum9285
@khamissalum9285 4 жыл бұрын
Uyukishiki mpumbavu voo
@saidmaulid7668
@saidmaulid7668 4 жыл бұрын
Wewe na sheh wako hamumfikii Kishki
@sportsentertainmentvideo6633
@sportsentertainmentvideo6633 5 жыл бұрын
Fanyeni yooote ila kumbukeni ipo ciku tutaulizwa tuliufanyia nini Uislamu wetu!! Msizungumze kwasababu tu ya kutafuta ushaabiki na kwasababu tu eti mnavyo vya kusemea na ipo nguvu kubwa nyuma yenu!!! Hakika mmnausambaratisha ummat MUHHAMAD (S A W ) Allah awazindueni katika Dini....muwe waadilifu IN SHA ALLAH!!
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Acheni chuki mashekh dunia mapita mm nampenda sana shekhe Nurudini kishki usiyempenda kufa bac
@hassanislaq3380
@hassanislaq3380 5 жыл бұрын
shekh nurdin wala hakukutaja pale mwembe yanga alaf pili mbn umebez sana kwa issue bnfs mara anajiona mara vifedha mbn unatoka nje ya mada au umekusudia kumdhalilisha
@maheralmuayqily1900
@maheralmuayqily1900 5 жыл бұрын
Hassan Islaq Usipate tabu ndugu ni dalili ya Chuki...Husda...Tamaa na roho mbayaa na kumuonea mtu doge kwa alichopewa na Mola wetu
@seifhassan8418
@seifhassan8418 5 жыл бұрын
Wewe sheikh acha tabia ya kumfedhehesha sheikh mwenzio tabia hiyo sio nzuri vipi Abou Iddi unakosea ndugu yangu sisi waislam tusiwe kama mayahudi
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 5 жыл бұрын
Ameshapotosha umma kishki ulitaka umma uwelimishwe kwa njia gani? Ili ujumbe uwafikie
@adoteacha6318
@adoteacha6318 4 жыл бұрын
Huyu kishki ni ngombe tu, ebu jaribu ulete upambuvu wako hapa kwetu kenya this stupidity of the highest level
@apollocky3642
@apollocky3642 4 жыл бұрын
Shekh wew muogope Allah wew nawenzio ndio wakumuomba radhi shekh kishki wew na wenzako wew hufai kuielekeza jamii rud darasa nakama ukizid Allah akujaalie uwe muelew Maan unaweza kua m2 mzm Lakin uelewa ukawa mdogo umenikela San wew na shekh walidy mnachafua San uislamu Allah awasameh bur Maan hamjui myafanyayo!
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 жыл бұрын
Shekh Muhammed iddi uko vizur San San usichoke endeleza kuelekeza tu
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
Anaye zungumziwa na anayemzia wote hawana utofauti wao
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 5 жыл бұрын
Sawa sawa Sheikhunaa waweke sawa waliopotoka tumechoka na mawahabi na ilmu isiokua na adab na nidhamu.
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 5 жыл бұрын
Sheikh sharubu anatetea usufi na bida'a.... Allah amuongoze katika tawhid na Sunnah.
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Wew je hutaki kuongozwa???
@maryamtemba1760
@maryamtemba1760 4 жыл бұрын
Sheikh acha kumkosoa sheikh mwenzio kiasi hicho alafu hio yako ni hasadi etii kibri cha pesa ww una hasadi Allah atakushinda
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 жыл бұрын
Sheikh sikwakuelekezana kwa staili hiyo Mambo ya kukhitilafiana ktk mitandao si vizuri kwasababu kwa kuelekezana mitandaoni tutachekwa na wasio waisilamu sheikh badilika
@hamimumlindwa3244
@hamimumlindwa3244 5 жыл бұрын
huyu shekhe anamatatizo sana kwani mwanafinzi hawezi kua na elimu kuliko mwalimu wake
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Kiswahili tu hujui utaweza jua Elimu wew hamimu shika adabu yako
@saidmaulid7668
@saidmaulid7668 4 жыл бұрын
Wewe mpumbavu usiena elimu unaenda kama upepo
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 жыл бұрын
Wew shekh kam unaona mwezako anakosea nivyema kumtafuta na kumkalisha chin na kumwambia nasiy kumuanika mitandaon iyo n chuki na husda uliyo kuwa nayo nawala s mafundisho ya Allah na mtume wake muhamad alafu piya kila mtu atamfata anae muamin yupo sahihi maan kila mtu atapo fufuriwa atafufuriwa nayile anae mpenda shekh jirekebishe maan kaz ya kuwazalilisha wezako azaran siyo vizr ten unamkosea san Allah
@allyabdallah4898
@allyabdallah4898 5 жыл бұрын
Shekh ww huna elimu unanjaaa tu unazid kupotoka umnafiki Abu idi unaunafiki ndani yake
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Njaa na Elimu panamahusiano gan??? Ally abdallah wew ni juha
@abuuhudhayfah5108
@abuuhudhayfah5108 5 жыл бұрын
Mbona kuhusu maulidi hanukuu kutoka kwa hawa mashekhe wa saudia? Leo kwenye mwezi ndio anaona wanafaa
@alexmahone.1863
@alexmahone.1863 5 жыл бұрын
Mohammed Iddi usidanganye watu ww ni SUFI nawala sio madhebi ya kishafi. Lapili mbona Sheikh Qassim Mafuta ashakupiga Raddi sana tu mbona hujamjibu km ww ni kidume kweli?
@quran._0013
@quran._0013 5 жыл бұрын
Jibu zuri hili usalafi huo wanaouita uwahabi umekamilika wa
@maheralmuayqily1900
@maheralmuayqily1900 5 жыл бұрын
Alex Mahone. Akhy unapozungumza mtu anaitwa Qassim Mafuta yule ni mwanaumeeee....!!! wee ushawahi kumsikia nani katika hao wapuuzi kina Muhammad Idd hata akiwaradi wabamjibu...?? ule mwamba hawauwezi
@rashidyahya99
@rashidyahya99 5 жыл бұрын
@@maheralmuayqily1900 kwel kuna watu na Viatu! Yaan wewe ata sijui ni size gan, Alex huyo ata hatuwezi kumjibu ngoma sio yake!!!
@alexmahone.1863
@alexmahone.1863 5 жыл бұрын
@@rashidyahya99 unijibu yakua ashajibu anavo pigwa Raddi na Sheikh Qassim au unijibu kua Mohammed iddi sio SUFI?
@9119-r4t
@9119-r4t 5 жыл бұрын
Umemwambia ukweli sufi lakupoteza watu hili shekh
@abdullahiibrahim5609
@abdullahiibrahim5609 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣najua unatafta kuwa maarufu kama sheikh Nurdin lakini huwezi kuwa famous Eri ujiunge na WASAFI ujulikane East Africa na wala si kutumia jina ya Kishki kutafta umaarufu.
@user412
@user412 5 жыл бұрын
Abdullahi Ibrahim Abdi sheikh huyu Abuu Iddi ni bahari kwa elimu
@user412
@user412 5 жыл бұрын
Kishki mtoto tu yule tu kwa Abuu Iddi
@mohamedmasood7921
@mohamedmasood7921 5 жыл бұрын
Allah(sw) atuongoze kwa sote ktk wema
@rashidmohd115
@rashidmohd115 5 жыл бұрын
Kunyooshaa ci kwa namna iyo kaka' umekosa hekma' ww mzee' wametafautiana maswahaba baniikuraidhwa' je Apo dar es salaam'
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Vip walitofautiana mas haaba??
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 жыл бұрын
Mwambieni mlio karibu na Sheikh Kishki awache mashairi ya vijiweni anapokuwa kwenye mimbar ya msikiti. Msikiti ni nyumba ya Allah si mahala pa kufanya mzaha.
@azizamkindi1784
@azizamkindi1784 5 жыл бұрын
AllAH ameharamisha chuki za sisi kwa sisi ungemfes sio vizur wote waislam kuweka mtandaon
@abdulathumani5256
@abdulathumani5256 3 жыл бұрын
Mashekheee zetu Kwann mnatofautian ktk mas Ala mbalimbali????
@ismailhussein9734
@ismailhussein9734 3 жыл бұрын
Hiyo recording kila kitu naitilia Shaka itakua ninjia ya ulaji akipeleka hizo Video kwa mabosi wao saudia
@aimanathumani2599
@aimanathumani2599 5 жыл бұрын
Unajua sheikh iddy ni fasaha sana unamuelewa kwa mapana ya mada yake lakini sharti uwe na fahamu nzuri ndio utamuelewa la sivyo utamtukana tu...
@fetysukafetysuka8811
@fetysukafetysuka8811 5 жыл бұрын
hakuna wakukuelewa wewe ndo mpotoshaji
@kondesaidi2040
@kondesaidi2040 5 жыл бұрын
Kishki ni mpotoshaji,,, tufuate mwezi wa Qran. Nasio SAUDIA.
@fetysukafetysuka8811
@fetysukafetysuka8811 5 жыл бұрын
@@kondesaidi2040 kakukataza kufunga?funga lakini usimuite mpotoshaji kishki namfananisha na swahaba wa mtume aliy wewe je ?acha fiitna ni uchafu wa moyo kumbuka kwa gari lipo mlangoni linakusubiri tafuta nauli ya kutumia njiani axha majungu si mtaji bali ni miflisi
@kondesaidi2040
@kondesaidi2040 5 жыл бұрын
Mbona wewe umemuita mpotoshaji?? Ujajiona Apo ee!! Swala nikwamba tangu enzi za mtume watu walifuata QRN ktk miji yao,,,, CM, TV, TEKNO, vilikuwa hakuna,,, watu walifunga na kuswali idi kwakutumia QRAN na Muandamo wa MWEZI,, sasa mm Leo hiii et ujeuniambie Swahaba kasema tufuate Saudi !!?? Kwaiyo QRN na Saudi Bora nini ??? Kaaa na Swahaba wako mama .
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 жыл бұрын
Ni mfasaha Sana kwani inahitaja uwe na akili ya asili ndipo umuelewa la sivo utatoka patupu kwa uelewa mdogo
@abamoofficial6289
@abamoofficial6289 5 жыл бұрын
kata izo sharubu kwanza baada mkatoa maada za maana mnaanza kukosoana
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 5 жыл бұрын
Abamo Official 😁😁😁
@swahibuallymussa154
@swahibuallymussa154 5 жыл бұрын
ABAMO OFISHO,RUDI KWENYE LENGO,HAPO NAAMINI MMEELEWA NDIO MAANA BAADA YA KUFUATILIA KINACHOZUNGUMZWA WEWE UNAONGELEA SHARUBU,MAWAHABI SASA NDIO NAAMINI SASA KWAMBA NYINYI ASILI YENU NI WALE WATU WA NAJIDI AMBAO MTUME ALIKATAA KUWAOMBEA DUA,MAANA MTUME S.W.W,ALISEMA HUKO NAJIDI NDIO MAHALA PA FITINA NA MISUKOSUKO,INAONYESHA WAZI KABISA KWAMBA NYINYI NI WATU WA FITINA NA MISUKOSUKO,MAANA MANENO ANAYOELEZA ABUU IDI,YAKO WAZI,NA INAONYESHA HUYO MPUUZI WENU AMEDANGANYA WAZIWAZI LAKINI HILO PIA HAMLIONI,AMA KWELI NYINYI NI WLOKOLE NAMBA MBILI,BAADA YA WALE WA + MNAFUATIA NYINYI.NA LAU SIO NYINYI HII DINI INGEKUA NA UMOJA MPAKA LEO.ILA MUNGU ATAWAHUKUMU,NAONA MNAANZA KUGAWANA MAKUNDI.
@dhulhijjabilali143
@dhulhijjabilali143 4 жыл бұрын
@@swahibuallymussa154 wewe uliombewa?
@ibrahimaliy7670
@ibrahimaliy7670 5 жыл бұрын
Sheikh Mohammed wafundishe na mashehe wetu wanoenda kwenye kaswida za taarabu mfano wa usiku wa helwa
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Asnte baba Ibrahim
@swalehmudhihir6612
@swalehmudhihir6612 5 жыл бұрын
Sheikh tunapenda ufafanuzi wako,ila inabidi uwe unasimama katika nukta muhimu au makosa yanayoendana na mada. Mambo binafsi ya mtu bora ungeyaacha. je kila kosa linalofanywa hadharani hukosolewa hadharani. Kwa madai yako Sheikhul Mimbar amemkosea Mufti hadharani nawe akaamua kumkosoa hadharani. Na vipi mbona umekaa muda mrefu sana tangu kutokea kwa kosa umekuja kulikosoa sasa hivi je huu ndio uadilifu??na je huku ndio kumpenda Sheikhul Mimbar unakodai??
@maheralmuayqily1900
@maheralmuayqily1900 5 жыл бұрын
Habari Mpasuko Maneno yanayotamkwa sio yalio moyoni...na Lugha anayotumia kumkosoa mtu ni lugha ya wazi kuwa hyu mtu hayupo sawa kiakili wala hakusudii Dini Bali anakusudia kupata umaarufu tu kudhalilishana
@mudyxhumedmudy5888
@mudyxhumedmudy5888 4 жыл бұрын
Kwani mnagombea nn nyinyi mashekhe kwanye dini ya UISLAM SUBIRINI MTAKAPO KUFA NDO MTAJUA NINANI MKWELI MASHEKHE MITANDAO NYOTE MUNA CHUKI ZENU NA SIO KUELEKEZANA.
@dhulhijjabilali143
@dhulhijjabilali143 4 жыл бұрын
wababaishaji sana hawa mashekhe ..umaarufu wa kitoto
@hassanislaq3380
@hassanislaq3380 5 жыл бұрын
abuu idd inabid uelewe kuwa kuna hukum ya funga na arafa ..funga inaanzia asubuh kabla hata mahujaj hawajaenda viwanj vya araf...kw hy unaposema je wakiondoka hawa wameraken wafunge nn..hukum ya funga inaendelea mpk maghArib yao wao wafungaj
@athumanj.buyogela9295
@athumanj.buyogela9295 5 жыл бұрын
JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDI No🅰️-Sheikh Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه kzbin.info/www/bejne/n5-thqaMhLxsh8U
@babbabli3095
@babbabli3095 3 жыл бұрын
Mimi nilivoelewa ni kutwii fatwa za serikali na Mufti anaelipwa na serikali. Lakini kitu kimoja mimi ningependelea uniembie, wembe gani unatumia????? Maana hicho kidevu kinan'gara kweli kweli🤣🤣🤣🤣🤣
@mfaumeatimwanga9227
@mfaumeatimwanga9227 5 жыл бұрын
utaumia sana shekhe tena sana sisi tunamuelewa na hivi unavyotukana unatusaidia kukuelewa kuwa wewe huna sifa ya kutuongoza. wewe tumekukimbia na tunajaa viwanjani sana. hatukuelewi siku hizi kuna simu na tv kwa hiyo wewe ongea mpaka povu likutoke hatukuelewi
@kondesaidi2040
@kondesaidi2040 5 жыл бұрын
Sio wote ni wewetu pekeyako,,,, mm nafuata Qrani na muandamo
@omarsheikh3706
@omarsheikh3706 4 жыл бұрын
Umtu yoyote yule ambaye hawezi kuzuwiya hasira basi hamogopi Allah kohivo wewe shetani amekuchukuwa wewe sheikh Mohammed iddi
@yasserkhalifa4097
@yasserkhalifa4097 3 жыл бұрын
Ww abu idd allah akuhifadhi , ila acha kutafuta umaarufu kwa kuwakosea mashekh wenzako
@shabanibinuri826
@shabanibinuri826 5 жыл бұрын
Ningekuona wamaana sana kama unaongelea mashekhe ambao wako ndani weka ndevu kwanza.
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Alfu kishki aendelee kupotesha watu eeeh
@salmaamour4246
@salmaamour4246 5 жыл бұрын
Mpotoshaji mkubwa ni wewe muone sharubu kama kambare huna lolote ila chuki tu hayo mafundisho ya kushambuliana kwa maneno mumeyatoa kwa nani kama nyinyi sio wapotoshaji nawala sio wafuasi wa mtume muhammad rehma na amani ziwe juu yake nyinyi wafuasi wa ibilisi
@seydouside4081
@seydouside4081 5 жыл бұрын
Suna ya ndevu vipi shekh
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 5 жыл бұрын
hahaha yeye anafuga sharubu ananyoa ndevu
@jailaniramadhani7628
@jailaniramadhani7628 4 жыл бұрын
Kishki hana ilim
@allymnzava3818
@allymnzava3818 5 жыл бұрын
Huyu kabakia kubishana na kupotosha waislamu oyaoya! Na hivi alivyopewa ufasaha wa kuongea ndio anawachanganya kabisaa. Yeye ndio mpotoshaji.
@hamisimabokellah3545
@hamisimabokellah3545 5 жыл бұрын
ABUU IDDI iyo arafa ni siku sio SAA kwani tunaanza kufunga asbh na sio mchana hakuna swaumu ya kuanzia mchana, maana hata nyinyi wa bakwata mnaanza kufunga asbh kwa hiyo popote ulipo kama swaumu ya arafa itakua ijumaaa basis wale wote watakao diriki hiyo Sikh itawalazimu kufunga wawe mbele au nyuma
@hassanomar4291
@hassanomar4291 5 жыл бұрын
kisimamo cha arafa kinaanza saa saba mchana baada ya swala ya adhuhuri mpaka swala ya magharib na hakusema kama watu wafunge mchana wacha kusema kitu usicho kijua
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 жыл бұрын
Kishki hana hekma hata hotuba zake anajazba wakati mungu hataki hinyo maana mungu alimuambia mussa na nduguye hareen nendeni kwa firauni kampe maneno laini sasa huyo hana hayo halafu hana elimu ya kumzidi sheh mohammed idd na hoja hawezi kumshinda labda sheh idi amletee mwanafunzi wake lakini kwa sheh idi sio saizi yake hapo mwisho
@altaz9041
@altaz9041 4 жыл бұрын
shekh una fanya sivo kama ungekua mkanyaji mzuri unge mfata ukq mkanya lakini ivo una vo fanya io ni mipasho shekh dini haikoivo mtu akikosea mna kaa meza moja mna elekeza lakini sio ku aibishana mitandaoni
@akambi482
@akambi482 5 жыл бұрын
Tunakuelewa sanaaa maalim na wao washaanza kuelewa
@yahpinfo16
@yahpinfo16 5 жыл бұрын
Ndugu angalia majibu ya Mohamed issa yana kutosha kama hutaelewa hapo basi hata akija malaika huta muelewa pole shekh masilahi yata kuumiza mbele ya mwenyezi mungu
@mwajumameja4921
@mwajumameja4921 4 жыл бұрын
Nyinyi munamchukia sana kwasababu anakuambieni ukwel achen choyo
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 5 жыл бұрын
Asante_Muhamed iddi ndo mana wamefanya dini iwe mbaya na iwe na mitihani wantukana mashejh sasa mambo yana warudi
@medicalclass8705
@medicalclass8705 4 жыл бұрын
Katika Dini tunafundishwa nidhamu Kwel kama kwel mwaipenda dini kusemana mtandaoni ni nidhamu Hizi pesa zitawafaa ulimwenguni tu akhera mtajuta tu kuweni makin
@saadsalum3253
@saadsalum3253 5 жыл бұрын
Nawewe vip shekh muft ninani huyo nishekh wako peke yako huyo nishekh wa serikali peke yako ama nawewe niwale wale wa bakwata 😂😂😂😂😂 mohd idd nilikuwa nakupenda sana lakn leo nimejuwa kama wewe nibakwatwa
@abdulrahmanissa5374
@abdulrahmanissa5374 5 жыл бұрын
saad salum na yeye niwalewale was bakwata2,kwani skukuu ni Mali ya mufti&serikali???
@abdulrahmanngaluma3768
@abdulrahmanngaluma3768 5 жыл бұрын
Nyie wote hamjitambui .... Allah mtukufu atuongoze wallahi
@mudyxhumedmudy5888
@mudyxhumedmudy5888 4 жыл бұрын
Umeongea ndugu
@zainabkhatib6509
@zainabkhatib6509 5 жыл бұрын
MashaaAllah shekh tunakualika zanzibar
@fikiriayubu1358
@fikiriayubu1358 5 жыл бұрын
Ttushawachoka mnacha kufundisha watu kuswali mnazozania mambo yasiyonamsingi mpaka mnatukanana kilamtu afate anachokiamini
@othumanisamata1499
@othumanisamata1499 5 жыл бұрын
Maostadh wanafanya kazi gan madarasan ikiwa Masheikh nao wafundishe watu kuswali
@zeehbblacqtger8918
@zeehbblacqtger8918 3 жыл бұрын
Huyu Shekh wallah hafai allah amuongoze aache ujinga wake
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
Wewe ndo mjinga kasome dini
@fat-hiyaali4723
@fat-hiyaali4723 3 жыл бұрын
shk nurdern anajielewa na anayofanya hana mda wa kujibishana na mtu hata mkamkosoa vp hana mda wa kuwajibu
@yasinishekallahakusaidi8766
@yasinishekallahakusaidi8766 4 жыл бұрын
Sheikh Mohammed IDD ni moto Wa kuotea mbali
@mename6020
@mename6020 4 жыл бұрын
Arafa ni moja... Nch zinazotofautiana lisaa moja mawili au masaa machache wafuate Saudia...
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Arafa kuwa ni moja ni ilimu ya kihuni hiyoo
@maryamtemba1760
@maryamtemba1760 4 жыл бұрын
Wewe ni hasidi sheikh sasa kurekodi ww inakuhusu nn, ama hio gari yake ndio inakupa kiwewe, acha arekodi bwana ww pia si urekodi ukitaka
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,4 МЛН
Sheikh Mohammed (FULL) exclusive interview - BBC NEWS
24:03
BBC News
Рет қаралды 7 МЛН
MUHADHARA || DR MBARAK AHMED AWES || MASJID NOOR
51:29
Abdisa Mirza 001❤️
Рет қаралды 133
MAJIBU MARIDHAWA KWA MPOTOSHAJI KASIM MAFUTA BY Shk Abuu Idi
30:33
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 28 М.
Sheikh Mohamed Idd - Maisha Baada Ya Kufa Part 2
23:04
SheikhIddi
Рет қаралды 11 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:52:00