Leo wallah sheikh mselem umeufungua ulimwengu na allah akulipe kheri, umefikisha na mungu anakuona ila kazi ya kuongoa ni ya allah, huu ni ukumbusho kw mwenye akil timamu ila kw machizi subirin ashuke malaika ndio mukumbushwe kw adhabu ya mungu
@RashidmohdRashid-zi2tr5 ай бұрын
Hongera shekhe nimekuelewa sna tu mie mashaallah kwa mawaidha mungu akuzidishiye Inshaaallah..
@mohamedally64285 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi ktk Dunia yako na akhera yako sheikh mselem nimekufahamu vizur sana alhamdulilah Allah akulipe kheri aamin
@makerebul36505 ай бұрын
Asante sana shekh msellem, unaeleweka sana Allah akuzidishie Ufasaha wako, na akulinde na wabaya Amiin
@SHOMARYHIMIRY5 ай бұрын
Aamin aamin aamin
@salumtakao98285 ай бұрын
Shekh mselemu Leo nmezidi kukuelewa. Hili swala lkuw na tarekh moj linwezekn sema watu ndo watetea umakund na hii arafa ni moja tu mashallah.
@mafiatv54795 ай бұрын
arafa siku kitendo ausehemu?
@twahambowe4405 ай бұрын
Arafa ni siku, arafa ni kitendo, na arafa ni eneo au sehemu
@MussaaliMohamed5 ай бұрын
Shekh Mselm bin Ally Allah kuzidishie ilmu y ahera akupe kitabu chako kw mkono wakuli
@wizlamability5 ай бұрын
Maasha Allah akujaalie mwisho mwema shk MSELEM BIN ALLY
@AbdulRama-u7d5 ай бұрын
Asante sana sheikh mselem
@magodanionlinetv5 ай бұрын
ماشاءاللہ جزاك اللهُ
@magodanionlinetv5 ай бұрын
allah akupe umri wenye mnufaa na mwisho mwema
@HassanSalum-qs2qp5 ай бұрын
Mashaallah umeeleweka alhamdulillah sheykh mselem ali ..swadakta
@HajiKipingu5 ай бұрын
Baaraka llahu fiika,umenyooka sana wao waendelee kupotosha watu malipo yapp
@ConfusedDahliaFlower-mb7mu5 ай бұрын
Allah akupe mwisho mwema nasie tunae kufatilia
@IshakaShauri5 ай бұрын
Ww ndo faraja yang ktk ufahamu wako unavyofafanua jambo mashallah
@abdallahyusuf76415 ай бұрын
Mashaallah swadakta mimi nimekuelewa zaidi . Nashukuru kwa kunielewesha ALLAHakuzidishie maisha malefu yenye afya inshallah
@EdiDula5 ай бұрын
Wenzake baada ya kutoka segerea, wameamua kuwaridhisha wakubwa kwa kutoa fatwa zakuwaridhirisha viongozi wakiwa machoni mwao, Allah akuhifadhi sheikh Msellem, nakuelewa sana kwa ufafanuzi wa hoja za wazi
@mubarakmohammed73115 ай бұрын
Je Mtume SAW, aliacha muongozo gani?
@omarissamashaallahpresiden29205 ай бұрын
Edi ww mtoto Bado hakuna elimu ya mtu mmoja masheikh kila mmoja na anavyofahamu yy ameona kufuata saudia ndio elimu yake ilivomwambia na hao unaosema wametoka gerezani ndio elimu Yao ilivomwambia nyie mliobaki bendera hufata upepo kasome kwanza ndio utukane (
@NefeslZoOl5 ай бұрын
Khekma hupatikana kwawenye ukubwa wa Elimu kama Shekhe Ally Allah awapee nuru na wengine Inshaallah
@Bombwejr185 ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh mselem 🤲🙏
@hassanZubery-o4m5 ай бұрын
Akili kubwa sana hii..shekhe umeeleweka vilivyo
@zedcomobilephones5 ай бұрын
Kiukweli Mimi sijamuelewa turudi pale pale katika hio dollar walipeana vipi taarifa wa muandamo wa mwezi? Na kama ikiwa zaman walikua wakitofautiana katika miandamo inamaaana technology ndio imebadilisha Sheria za dini?
@abouMuslin975 ай бұрын
Alhmdulillah jazakaAllah kheir mashaAllah TabarakaAllah hoja imeeleweka na maelezo yamefahamika
@nassortrans125 ай бұрын
ماشاء الله بارك الله فيك وجزاك الله خيرا كثيرا
@MkubwaKhamis-m4l5 ай бұрын
Mashaallah allah akuhifadhi sheikh yaan umeogea point ya msingi kabisa na muhimu sana kuzingatia hili
@msafirithabiti27245 ай бұрын
Maa Shaa Allah! Jazak Allah Kheyr.
@faisaloaljabry64005 ай бұрын
Asiye taka kuelewa hataki tu Sheikh Kuwaelekeza watu wasiyo taka kuelewa haisaidii bora tuwaombee Allah awaongoze In Shaa Allah
@fisabillah-o7r5 ай бұрын
Umesema kweli @faisal
@FeisalDoctor-wr8ws5 ай бұрын
Watak bakora tu wengin at izo dua haziwapati
@mafiatv54795 ай бұрын
ndg msiwalazimishe watu, acheni usenge wajina nyie, kila mtu anamaono yake
@kisanganyakiswanta13795 ай бұрын
Sasa nimekuelewa vizur sana shekhe hata mtu asie na elim akikosa kukuelewa basi huyo ana siasa zake shukran sana shekhe
@SAIDMOTE5 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh mselem nimekuelewa vizuri sana, shukran
@asamandhiry86485 ай бұрын
Sheikh Msellem umeongea na kufahamika ulichokiongea. Ila umeelezea juu ya tarehe moja ni sawa hapo hapo ulitakiwa kuongea tofauti za nyakati. Huku jua lina piga umesema ni saa sita mchana huku upande wa pili giza totoro usiku wa saa ngapi ikiwa watu wamesimama Arafa mchana upande wa pili usiku, inayumkinikaje waliopo katika jiza la usiku wakafunga sunna ya Arafa?! hawawezi kufunga abadan! Tunatakiwa tufuate nyakati na nyakati zinatazamwa kwa mwezi, kiislamu. Nahisi ulikuwa ueleze tofauti za nyakati pia. Wabillahi taufiq
@mikealeck64475 ай бұрын
Genius, Maasha Allah
@mubajoti7435 ай бұрын
Dah hakiamung nikimskilz sheh mselem namuele nikimskilz sheh farid namuelew yn naumia kichw man wot wana point dah sjui nifate wapi 😢😢😢
@AbdulRama-u7d5 ай бұрын
Umejibu vizuri
@saidmohamed68025 ай бұрын
mashaalaah
@MohamedKilindumbo5 ай бұрын
Masha llah Allah akubaari
@badimruma66955 ай бұрын
Asalamu Alaykum Shekhe, naomba kuuliza kwa lengo la kujifunza, hivi ikitokea nimeuona mwezi leo, lakini Saudia wasiuone leo, wauone kesho, inatakiwa mimi nisiukubali mwezi niliouona Tanzania? La pili, katika umri wangu sijapata kusikia Saudia wametangaza kuwa mwezi umeandama Tanzania hivyo tarehe ya Ki Islamu imeanza, hivi mwezi hauwezi kuandamia Tanzania? Mwisho, ni nani mwenye mamlaka ga kutangaza mwezi pale Saudia? Maana kuna mtu nilisikia akisema ni Serikali, lina ukweli? Shukrani Shekhe kwa mafundisho.
@mdauwetu5 ай бұрын
Shekh anasema suala la mwezi mmoja. Kiufupi huo mwezi uonekane Saudia basi. Maana wao mwez ukitangulia kwengine wanaukataa
@ChudiOmi16 күн бұрын
Sheria haipo kwa mtazamo wako shekh.... mche mungu.
Unakuta mnaopinnga hata kuswali huuswali kazi. Kusubili eid tuu
@AbuwJuhaymah5 ай бұрын
Unabichwa gumu wewe kaah
@AliSalim-yu4mo5 ай бұрын
Ni mtazamo wake lkn ni WA kielimu sio ubishi wa maskani!
@KS-iw7qv5 ай бұрын
Allah ni Mjuzi Zaidi....
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
@@AliSalim-yu4mo kwani lazima umuelewe ww bhana walomuelewa inatosha so hata mtume alipingwa japo Jambo alilokuja nalo walikuwa Ni hakki lakini walimpinga ndo kawaida ya wanadamu unazani tutaongoka wote itakuwa ibilis haina maana ya kuwepo basi ili maandiko yatimie lazima wengine wapinge hakki uliona wapi wote mtaamini
@FatumaSaid-t4r5 ай бұрын
MashaaAllah Allah akuhifadhi shehe wetu.
@HusseinAmaniOmarAlhamdy5 ай бұрын
Takbeer!! Allahu Akbar
@mkude5 ай бұрын
Maashaallah ALLA H akuhifadhi sheikh umeeleweka vizuri
HAPO NIMEKUFAHAMU JAPO WEWE HUJAFAHAMU SHEKH MSELEM TUNATAKIWA TUFUNGE KWA KUONA MWEZI NA TUFUNGUWE KWA KUONA MWEZI RAMBDACATOKE HALIFA LAKINI KI UHALISIA KILA NCHI NA KUONA KWAKE MWEZI
@ismailsoud36345 ай бұрын
Swadakta Sheikh umejitahidi .safi na vizuri.
@tobosha32365 ай бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh Mselem
@NasmaThabith5 ай бұрын
Maashallah shaykh❤❤
@RashidmohdRashid-zi2tr5 ай бұрын
Mambo
@RajabuBabu-c9y5 ай бұрын
Nashukuru nimekuelewa
@user-di1lg1pm2l5 ай бұрын
shukran kwa elmu mashallah
@hilaljaffery40115 ай бұрын
Hatuwezi kuwa na tarehe moja dunian kweny uislam Na tareh ya kiislamu haiwez kuwa sawa na tarehe za kikafiri ndo maan uislam umekuja mgeni na utaondok mgeni Uislam Mola ameutwahirishaaa usiufananishe na tarehe za kikafiriu
@KomboFaki-xq4pw5 ай бұрын
Eee sheikhe wangu wee amakweli hii imeenda nasikitika sina chakukupa ila Allah atakulipa kheir ishaalah
@hadijamushi86745 ай бұрын
Barakallahu fikhy sheikh wetu
@RamadhaniShabani-nc5ve5 ай бұрын
Masha Allah
@hamisikanengene82855 ай бұрын
Asante shehe
@jumasalum26775 ай бұрын
Swadakta Umesema ukweli Kumbe wewe una elimu kweli na msimamo wa kweli Masha Allah
@salimrajabu46885 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh mselem Aly
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Sghekhe umeeleweka. Vzr sana sema watu leo hawataki hakki wanasukumwa na mihemko ya makundi ila ukitaka haki ulichongea ni sahihi kabisa 😢
@abdulabdulathumani59925 ай бұрын
Sio miemko sheikh kaongea vizur saa kalend ya kizungu hii ikifika mda huna aja yakumuangalia mtu time imechange lakin swala la mundamo wengine wanaweza fika saa8 usiku awakuswali taraweh awakuwa nania awakujiandaa na ibada sa 11 alfajir ndo wanapata taarifa au 12 hawa funga yao ramadhan itakuwaje
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Kalenda wanayo Sheikh Mselem. Maana kama tutaiangalia Hijja ya mwaka 2025 tutaiona na tayari mpaka tarehe ya siku ya Arafa ishaandikwa.
@husnamohamed94485 ай бұрын
Kijaaliwa inshaAllah itakuwa alhamis tarehe tano mwezi wa sita
@fedrickchristopher89565 ай бұрын
Mashaallah
@nassorsuleiman4515 ай бұрын
Allah aalam
@MgazaMhina5 ай бұрын
Nimekuelewa sana Shekhe wangu
@ShaibuMohammed-tj8il5 ай бұрын
Mtume aliweza kuwaambia LAKUM DIINUKUM WALIYA DIIN , Lakin binadamu wa leo kwenye pesa yupo tayar kupotesa dini kw ajili ya dunia
@ramadhanirajabu87745 ай бұрын
Ahsante mwalimu
@suleimanhemed95435 ай бұрын
Duuh kwa hakika ibilisi ana nguvu
@abdallasalim41045 ай бұрын
Hiyo mantiki sheikh imemempiga chenga sana
@AmeKombo-n8c2 ай бұрын
Ni kweli uyasemayo
@hassanyusuph94465 ай бұрын
Tunao fanya kama shekhe alivyo eleza ni sawa na tunao fanya kwa namna nyengine pia n sawa kwa mtazamo wangu sababu kubwa ya wote kua sawa n kwamba wote tunatafuta fadhila za mwenyezimungu na radhwi zake
@sadammjili91015 ай бұрын
Hukuna ibada pasipo stahiki kwan kufunga siku ya eid ni dhambi
@abdab84665 ай бұрын
Hamo mselem umeuguza,ikiwa east afrika unasema siku ni sawa,je australia,na japan,na morrocc,
@abdukherykhamis735 ай бұрын
Shekh mselem tunakuelewa na tunakufaham sana mashallah M/mungu akuhifadhi,lakini kwann ulipotafsiri Aya pale mwanzoni ,bwana mtume Muhammad s.a.w,wakati anapewa Habari na M/mungu ilikua ni mwezi muandamo au miez miandamo,mana Hua tunasikia kua tafsiri inayo Kuja hapo ni miez miandamo nasio mwezi muandamo,tunaomba ufafanuzi.
@RashidAhmed-h7t5 ай бұрын
Na mimi naomba unisaidie kwani miezi ipo mingapi?
@RamadhaniShabani-nc5ve5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@musarashid-xw1qm5 ай бұрын
Allh akuhifadh mselim
@esir66675 ай бұрын
Kiongoz mmoja yupo ni qur an na sunna na hilo ndo tulioachiwa sio saudi arabia
@mustafahakim-iq7dj5 ай бұрын
Ufahamu wako mdogo
@esir66675 ай бұрын
@@mustafahakim-iq7dj nifahamishe
@RajabuMarindaАй бұрын
fafanua iyo qur,'an na sunna zinasemaje kuhusu tareh, unaubishi wa kishetani
Na ingekuwa dunia nzima inaongozwa na kiongozi mmoja mfano Mtume Muhammad (SAW) basi bila shaka angeruhusu kila nchi ifunge na kufungua kwa kuuona mwezi kwenye nchi yao au karibu ya nchi yao. Na alifanya hivyo wakati wa uhai wake. Mfano: upo wakati Saudia walifunga siku tafauti na Oman.
@vicentpantaleo58375 ай бұрын
Kama nkufunga kila nchi na mwez wao mbona mwaka huu tumefungua bila kuuona mwez au aliuona wap ndg ndug yangu
@RashidSoudMohd5 ай бұрын
Asielewa maana usimpe maana she msellem umemaliz🤝🤝
@mafiatv54795 ай бұрын
kamaliza yey mwanachuoni wanne au mumempasisha ww
@HileHile-ns9xv5 ай бұрын
Swadakta nkwel kabsa Allah atuongoze
@majondejohali52595 ай бұрын
Kaongea kiswahili vzr
@challengepcn79825 ай бұрын
What about the people living in Australia and America
@HijaSaid-xd7fg5 ай бұрын
Allah aendelee, kukupa umri, maana hao mamluki wanapotez kundi kubwa sana, na Allah ajua mafikio yao
@IssaChikoka5 ай бұрын
Shekhe ninakuelewa cn ishaalla zidi kutuelimishs
@abdab84665 ай бұрын
Hapo mseleme unalizimisha
@tariqsaad-hj9zn5 ай бұрын
Tareh ya kiisilamu saangapi inaanza nakufunga kunakupasa mchana au ucku?
@w40585 ай бұрын
Hassan Yusuf uko sawa kwani Mtume SAW kwa mujibu wa khadithi za hao hao Masheikh wanasema aula ni kufuata muandamo wa unapoishi kwa hivyo tutafanya kwa mujibu wa maneno ya Mtume SAW nyie fuateni mnavyoona sawa na sie tutafuata tunavyoona sawa Allah atutaqabalie saumu zetu
@JUMAKANYEBWE-hy7ge5 ай бұрын
Hii ndo kweli hakuna tarehe moja mbili kwa mwezi wakiona wenzenu fateni mwezi hautoshi kuenea dunia nzima kwa wakati mmoja
@lailafakhihaji5 ай бұрын
Sheikh upo sawa kabisa kwa kweli tanzania na Kenya ndio wapingaji wakubwa lakini wenzetu wa west wanaungana na dunia sikukuu ni siku moja yaani ni Tanzania na kenya ndio kuna hii sintofaham Allaaa ndo ajuae zaidi
@mohagurey22145 ай бұрын
Sababu ya masufi
@AbdillahAlly-fl4vh5 ай бұрын
@@mohagurey2214unawazimu wewe,masufi wamefanyaje
@mohagurey22145 ай бұрын
@@AbdillahAlly-fl4vh wametutengenezea arafa yetu
@DrNassor5 ай бұрын
Mi nimependa apo kwenye lailatul kadir kila Mmoja apelekewe yake kwenye kisahani Kwa siku yake
@ShaibuMohammed-tj8il5 ай бұрын
MIMI NAONA HIZI NI NJAMA TU ZA MAKAFIRI, KUTAKA ISIPATIKANE USAHIHI WA SIKU YA ARAFA , MANA KMA UKIIFATILIA CALENDA YA HIJRI , RAMADHANI YA MWAKA UNAOKUJA WASHAJUWA NI TAREHE NGAPI NA CKU GANI. Aliekuwa hanayo iyo kalenda adawlod calender HIJRI ataipata aone. Haiwapotezi wla haibadilki.
@AdamHwai5 ай бұрын
Shekhe nimekuelewa sana
@ahmedaltiwany5 ай бұрын
Suali lipo hapa, je ikiwa kuna nchi ipo mbele kwa masaa imetizama mwezi siku ya 29 haikuoona watahesabu 30, na kuna nchi nyengine ipo nyuma kimasaa ilipofika magharibi wakatizama mwezi wakauona sasa kwao ni tarehe 1, je wale wa mwanzo wabadilishe records zote walizoeka ili tu kufanana na hawa??
@husseinshamte71295 ай бұрын
Tarekhe ya kiislamu (kufwta mwezi mwandamo) huwa zinafungamana na Ibada Ama hilo calendar la kidunia Wala halina mafungamano na Ibada Kama Tarekhe ni Moja ,,, kwanini ابن عباس aligoma kufungua alipoambiwa mwezi umeandama kwenye hadithi ya كريب na mwisho akasema هكذا علمنا رسول الله صلى الله عليه وسلم Hivi Ibn Abbas yeye alikua hajui kama Tarekhe ni Moja?
@abdukherykhamis735 ай бұрын
Mie naongezea Ile tafsiri aliyo itoaa,ni swali kwa mwezi muandamo au miez miandamo kwa mujibu wa aya?
@Superbasil-h3x5 ай бұрын
Hebu jamani niambieni . Mtume SAW alikuwa akifunga kabla ya kufaradhiwa hija . Na hata bada ya kufaradhiwa hija haikuthibitika kuwa slikuwa akifunga kwa kuzingatia muandamo wa maka JAMINI ACHENI BIDAA ZA KISALAFI
@abdulabdulathumani59925 ай бұрын
Sheikh umeongea vzuri tunakupenda sana lakin swala la mwezi ni tofaut na tareh .tareh ikifika saangp tunajua sikuimechange mwezi umechange swala kuandam wanaweza pita watu saa 12 awajauona wamefika saa 8 usiku wengi wamelal hawakuw nania ya kufunga awaja swali taraweh saa 12 asubuh au saa 11 alfajir ndo wanapata taarifa watafunga vip awa
@mwadinbakar95535 ай бұрын
Mbona Enzi hizoo za wale MAGWIJI wa Elimu ya kiislamu (akina SUMEIT) hayakuwepo haya 'mazonge'? Kama sio Kanisa basi Marekani yupo katikati ya hili VURUGU
@salumndihokubwayo-t4o5 ай бұрын
Jazaka llahul kheir
@MasudiNia-td7ie5 ай бұрын
Mi nauliza kushikwa kwa mwezi je ukishikwa saudia na sisi huku pia tutekeleze ibada ya kupatwa kwa mwezi?
@abdallahhalifa58605 ай бұрын
Ssa sheikh msellem hapo ndipo ulipotuchanganya kutuambia watu wazamani ilivyokua mitandao haijaingia watu walikua wakifunga kwa muandamo sasa wataka sema Dini imekamilika ssa siku za nyuma ilikua badoo Sheikh hapo hujasema bado
@mrafm72855 ай бұрын
Huo mfano nilishawaambia watu lkn Kuna watu mibishi duniani lkn Iko siku wataelewa Inshaallah
@KambiRamadhan-pm1sy5 ай бұрын
Naomba namba yako
@KS-iw7qv5 ай бұрын
Hatusemi sisi ni Arafa yetu Jumapili hapana... sisi tunafunga mwezi 9 ulosuniwa... Hatupo Makka.. Arafa ipo Makka.... Swiyam ya Mwezi 9 ilifungwa Kabla kufaradhishwa Hijja..... Tulikuwa hatujui Kama kuna Arafa... Media Situghuri..... Hatupingi neno Swaumu Arafa... ila ni kwa walokuwepo Makka na Hawahiji ndio wapate Fadhila.... Sisi tufunge mwezi 9 kutokana na mwandamo wa Makan yetu.... na kuandama mwezi dunia nzima siku 1.. na pia haliwezekani.... #ALLAH NI MJUZI ZAIDI... ALLAH ATUONGOZE
@KassimAlly-xp4dz5 ай бұрын
Sasa hii Swaum ya Arafah inawahusu nani maana walokuwepo Hijja wao hawafungi siku ya Arafah sasa hi Hadith 2funge siku ya Arafah ikoje naomba unijb
@mohamedbedui94865 ай бұрын
Jambo lakidini ya mwenyezimungu huwa halikengeuki jmn, wakat wa korona watu hawakuenda kuhiji wala hawakusimama arafa, swali swaum ya arafa ilikuwepo ?
@omarkhamis59135 ай бұрын
Watu walihiji na walikaa arafa pia
@saidmohammed24055 ай бұрын
naunga mkono
@mohagurey22145 ай бұрын
Man yudhilillahu fala hadiya lahu
@Adamu9725 ай бұрын
Ukirejea Hadith ya Qurayb kwenye Sahihi Muslim, utagundua kuwa hata kama Mtume (S.A.W) angekuwepo leo asingetangaza mwezi wa sehemu nyengine, kwa sababu hivyo ndivyo alivyoamrisha.
@masoudsalum5 ай бұрын
Kumbe kwa mtazamo wako sio kwa mafunzo ya dini
@OmarShela-p2z5 ай бұрын
Uislamu hautaki ingekuwa bali uislamu unahitaji mafunzo alotuachia mtume
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Kua na tarehe moja Dunia nzima mimi sikubaliani na wewe tena kwa Mujibu wa Quran na Sunna. Ikiwa tarehe unayoizungumza wewe Sheikh ni ya Kiislamu ila kama ni ya Kidunia kwamana ya Milaadia ni sawaaaaa