Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@umukulthumu14198 ай бұрын
Kuna wanawake allah amewabariki matumbo yao wanazaa watoto wazuri namna hii mashaallah kwakweli nami namuomba allah abarik tumbo uzao wangu kama hivi hongera kwawazaz wake 👏
@azizaaziza79968 ай бұрын
Ammiiiiin yarabi
@jafarinauma67988 ай бұрын
Amiina
@ndayijeanclaude50948 ай бұрын
Ulio wazaa wewe ni mapira?
@babraadhiambo54568 ай бұрын
Amin you av make the btful dua ever my sister ... May Allah bariq pamoja na mie
@setkamidsa56458 ай бұрын
Amiiin
@aishahazary40978 ай бұрын
YAA ALLAH nijaalie kizazi changu au hata wajukuu zangu wafuate nyayo za Ramadhani au hata zaidi yake.Hakika wewe hujibu duwaa za waumini Aamiyn Yaa Rabby
@Mwanajah7 ай бұрын
Yarabi nakuomba na mm nipate mtt mwenye kukujuwa ya rabi❤❤
@mohdkhatib2232 ай бұрын
Amiin
@adandida57278 ай бұрын
MashaAllah huyu mtoto ana hikma, Allah amzidishie na amjalie umri mrefu
@zayumar29558 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah Allah amkuze vyema amuepushe na hasad huyu mtt mzuri wallah ni mtt ila ni MashaAllah maongez yake japo mengine ni kama mtt ila wallah anabusara wazaz wake wamepata mtt MashaAllah Tabarrakallah❤❤❤❤
@umsulaiman74688 ай бұрын
Jaman mwanangu Ramadhan Habib kienzi chetu Allah akuhifadhi yarab Allah akuongoze na ww utuongoze
@FatmaHassan-t4q8 ай бұрын
Wallahy najiskiia rahaaaaaaaaaaaaaaa.MashaALLAH.moyo wangu unasuuzika wallahy.Mwenyezmungu akueke umri twawil na uzidi kusimama kwenye njia hii sahihi . Yaa rabby waongoze pia watoto wetu majumbani mwetu wawe kwenye njia sahihi ya. dini na uwaepushe na mitihani mizito .
@aishahazary40978 ай бұрын
ALLAH akupe umri mrefu mwanangu kipenz.Akuepushe na hasadi za kila aina.
@hadijaalpha75477 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah ☝️Allah azidi kukuongoza kukuwezesha 🤲🤲🤲 bi idhnillah in shaa Allah ❤❤❤
@MerryBlanna8 ай бұрын
Mashallah ALLAH akuepushe na vishauwishi pamoja na vijicho venye husda na akujalie maisha marefu ynye busara
@UmmyHafsah7 ай бұрын
Allahuma aamin 🤲
@rahmasalim19898 ай бұрын
Masha'allah Tabarakallah Mwenyeez Mungu amzidishie umri mrefu wenye afya na furaha na amuondoshee husda za binaadam na majini. Insha'Allah.
@Khadijah-r9q5 ай бұрын
MashaAllah
@muhydinaden5528 ай бұрын
Interview ilikuwa sawa mpaka ulivyomtaja huyo hayawani lakini alhamdulillah sheikh amelika hilo suala wazi mwenye akili yatamfaa....Allah amuhifadhi sheikh Ramadhani aweze kusoma dini kupata ilmu zaidi na kuelimisha umma...Aamiin.
@HusseinAbdallahNgwema2 ай бұрын
Maa shaa Allah, alhamdulillah, Allah ambariki kijana wetu- huyu, awabarik wazazi wake na atubarik sore, in shaa Allah
@khadijabalolwaeuphrasie34887 ай бұрын
maa shaa Allaah tabaarak Allaah Allaah akujaaliye ilmu yenye manufaa duniani na kesho Aakhera Allaah akuhepushe na riyaa nakupenda mwanangu kwa ajili ya Allaah Allaah azidi kukuhifadhi kipenzi
@Adamunjoka7 ай бұрын
Amiiin yarab
@sultanaswaleh78138 ай бұрын
MASHAA ALLAH !.. ALLAH ! AZIDI KUKU HIFADHWI . 🙏🙏😭♥️♥️♥️♥️
@babraadhiambo54568 ай бұрын
Allah akuhefadhi sheikh Ramadhan .. akuepushe na hasad mdogo wangu
@Bintimohamed-k6g8 ай бұрын
Kabisa ,mambo ya urefu Allah ndio anajua❤❤❤
@mwawekomiuda97798 ай бұрын
MashaAllah M'mungu amlinde huyu sheikh mtoto na maadui wa kilimwengu. M'mungu ampe Elimu zaidi inshaAllah .
@SbOm-b7k8 ай бұрын
Allah atulinde na hasad za viumbee n Allah akupe umr umrefu na elumu yakher y Dunia nakhera pia, Ammin
@UuUu-d1b5 күн бұрын
Ya Allah mjaalie mtoto hyu Baraka,na kheir ln Sha Allah na mkinge na husda za,wenye kuhusudu na unijaalie mm na kizaz changu kiwe chema ln Sha Allah ❤❤❤❤
@skjjsj18897 ай бұрын
Ma sha allah Sheikh ramadhani Allah akujaalie umri mrefu wenye taqwa na baraka ndani yake Allah awabariki na awahifadhi wazazi wako
@BonaDonard8 ай бұрын
Nakupenda Sana mwanangu mungu akulinde nakilabaya duniani munguakuweke duniani miaka 200
@JohnMerireng23 күн бұрын
Aki ya Mungu huyo mtoto ni mzuri katika Imani na Mungu amtangulie katika safari yake ya maisha.
@YassnKalyango8 ай бұрын
Insha allah mungu akuzidishie elim Na hekima busara na akupe umri Mlefu uzidi kutufikishia daawa amina
@alimwadima2548 ай бұрын
MashaAllah Sheikh Ramadhan... Mwenyezi Mungu akulinde na Akuzidishie In sha Allah Taallah 🤲🤲🤲
@rasulihamadi97338 ай бұрын
Mtoto mdogo anabusara zaidi ya mashekh wetu wazee
@mashramadhani19898 ай бұрын
MTOTO UMBO TU HUYU LAKINI ANAKITU KIKUBWA NDANI KINACHOONGEA KUPITIA UMBO LAKE LA UTOTO. INGIA NDANI SANA UTAELEWA TU.
@saidiomari7087 ай бұрын
Allah hampi kila mtu hivi vipawa na busara kama hizi ndio maana hata mitume na manabii walikuja kwa uchache hili kuonyesha utukufu wake.
@OLUNGAJOSHMAH7 ай бұрын
Waamanisha kilicho ndani ni Q72@@mashramadhani1989
@abdallaawadhomarOmar-os3cn7 ай бұрын
MaahaAllaah
@HemedSerious3 ай бұрын
Natamani bachu aishi na huyu mtoto walau miezi sita na kama Allah atamjalia robo ya hekma za uyu nitafrahi sana.
@MachanoMohdmachano-mo6xe8 ай бұрын
Huyu kijana ni Bora kuliko Mimi yaa Allah tuongowe na sisi tuwe waja wako wema na tuhifadhi inShaallah , nakupenda Sana Sheikhe Ramadhani
@Shilangadi8 ай бұрын
Ameen
@hadijamandanje61898 ай бұрын
Amiin amiin ya Rabialamin
@sultanaswaleh78138 ай бұрын
Ameen
@abdillahiabdallah75308 ай бұрын
tuseme barakallahu fiyk mashallah ni kwa ajili ya neema uliopewa bnafc aliopewa mwenzio muombee Allah ambariki
@saidgawawa85198 ай бұрын
MashAllah tabarakallah,Allah ampe umbri mrefu zaidi huyu sheikh' wenye barka tele..na pia ampe elmu zaidi aweze kutuelimisha sisi wanadamu .wallahy ni furaha sana kujaaliwa kupata mtoto mwenye barka na Tena mwenye kipaji kizuri maisha Cha kuwa mwalimu wa dini au sheikh..! Allah amlinde kijana huyu mdogo Kwa kila Shari,amiin ya Rabb 🤲🤲..
@kijitamfyomi55988 ай бұрын
Allah akuhifadhi na majitu yenye hasadi na akujaalie uwe sheikh mkubwa wa kuongoza watu wamjue Mungu wao ameen.
@aminasalum-yh4fh8 ай бұрын
AMEEN AMEEN
@MachanoMohdmachano-mo6xe8 ай бұрын
@@aminasalum-yh4fh 🤲
@saifalhussaini97028 ай бұрын
Allahumma amiin
@mohdkhatib2232 ай бұрын
Amiin
@mussamwamoto82318 ай бұрын
Mashaalah,hekima nyingi na busara,na kumtanguliza mungu zaidi ,na kumpa mungu nafasi yani taqwa,sio jambo dogo,wapo waliokufuru miongoni mwa masheikh wakubwa kwa kuamini nyota na pete za Kijini, hakika wamekufuru,Allha amjalie mtoto huyu ktk kujulisha watu ktk utukufu wa Mungu zaidi.
@hasnaissah85008 ай бұрын
MashaAllah allah akulinde shekh Ramadhan
@mamilooutukufu35168 ай бұрын
Mungu nijalie nipate mtoto kama uyu daaaah yuko vizur kuliko hata watu wazima ana hikima na busara yan uyu kashushwa siyo kwa hekima hiz alizonazo
@samxx4118 ай бұрын
Amin ila na ww zidisha ibada ujipendekeze kwa Allah
@thedon84678 ай бұрын
AMEEN
@furahaabonga66428 ай бұрын
Mtoto anaeamini majini et wapo wanaohabudu Mungu
@jumasalimo63608 ай бұрын
Amin
@samxx4118 ай бұрын
@@furahaabonga6642 wewe elimu huna utajuwa nini unadhani
@SalmaShabani-mq6tc7 ай бұрын
MashaaAllah kwakweli hivi wazazi wake wanajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo,Allah akujaalie mwanangu umri mrefu uzidi kuwa mfano kwa wenzako🤲🏼🤲🏼
@MrishoSamueli8 ай бұрын
Wallahi hy mtt hana baya mungu ani jalie namimi nipate watt kamahy inshaallah🌹🥀🙏🙏🙏
@MarthaSamson-u8z8 ай бұрын
Namuoza binthi angu mwanaid aki maliza shule amfate kenya mashallah kijana yupo vizuri.
@lorelore29307 ай бұрын
Kenya ya wapi mtoto anakaa bongo
@jabirkasunzu68416 ай бұрын
Mashaallah
@fatumahamisi16048 ай бұрын
nakupenda sana sana shekh ramadhan Allah atujalie na sisi tuwe nawatoto kama wewe Wacha mungu
@suleimanadim65228 ай бұрын
Bismillah mashallah tabaraqa RAHMAN ALLAH ATUJAALIE tuwe wenye kufaulu amin
@samxx4118 ай бұрын
Huyu kijana wallahi namkubali Allah amemrudhuku elimu ya dini
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi pmoja wazazi wake pmoja mashekh zake❤❤❤ Allah akuhifadhi sheikh wg Ramadhani
@LovelyOmbreSky-pu4jt8 ай бұрын
Mashahalla mwenyezi mungu akujarie maisha marefu na mwisho mwema
@SophiaKamgunda2 ай бұрын
Alhamdulillah Wazazi wako naamini wanajiskia faraja sana Allah awajalieni nasi pia
@MwanatumuJumaa-rj4fg7 ай бұрын
Allah amuajalie huyu mtoto kheirat zaidi.mashallah
@HabibuUrasa8 ай бұрын
MASHAA. ALLAH kuhusu majini kajibu vizuri sana haifai kushirikiana na majini kwa lolote hata km ni majini mema
@nikrahayubu-sz3pw8 ай бұрын
Mmh mbon nambi sulaiman aliwamiliki na akafanya nao kz akawatuma we nae
@hassanomar10418 ай бұрын
@@nikrahayubu-sz3pwndio maana ukamuita nabii Allah amewapa kipaji flani kueza kuwamiliki lakini sisi binadamu wa kawaida nafsi zetu dhaifu sana hatuezi kuwamiliki labda watudhuru au uwadhuru wenzio kupitia wao. Basi ndio tukaambiwa tusishirikiane nao kwa lolote
@hassanomar10418 ай бұрын
@@nikrahayubu-sz3pwndio maana ukamuita nabii Allah amewapa kipaji flani kueza kuwamiliki lakini sisi binadamu wa kawaida nafsi zetu dhaifu sana hatuezi kuwamiliki labda watudhuru au uwadhuru wenzio kupitia wao. Basi ndio tukaambiwa tusishirikiane nao kwa lolote
@FatmaThaleyo-xk8jn21 күн бұрын
Masha Allah 🥰🥰🥰💖💖😍 mungu azidi kukuongoza kakangu mdogo 😂❤❤❤
@badrahibrahim68672 ай бұрын
Kweli Jamani Mwenyezi mungu kabariki uzao wa wanawake wote watoto wengine hawana ufahamu allah awafungue watoto wote ambao hawajielewi
@rahoumkhatry37588 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الرحمن ❤
@FadhilAdam-c5u3 ай бұрын
MashaAllah Allah akujalie miaka mingi hapa duniani
@salmafaraj65448 ай бұрын
Allah azidi kukuongoza sheikh ramadhan na akulinde na hasad na jamii islam inshaallah
@omarshaban47358 ай бұрын
Masha Allah sheikh ramadhan
@zamilmohammed22972 ай бұрын
ALLAH akulinde ndugu yangu akuzidishie elimu Amin
@leilamuhaji79458 ай бұрын
MashaAllah TabarakaRahman. Allah akulinde na akuonhoze ktk taqwa daima🤲
@denisnathan56328 ай бұрын
Mashallaah ❤️ mungu akupe umri mrefu inshallaah 🙏
@thedon84678 ай бұрын
AMEEN
@ZulfaShabani-qx8sn7 ай бұрын
Mashallah allahuma barik Shekh ramadhan
@abdulabubacartuaibo64223 ай бұрын
Walahi uyuuu ntoto anailim yaa ya Allah na Baraka Zaqueu,mungu nijalue angalau nipate ntoto moja kama ramadan
@Fumokale8 ай бұрын
Allah akuhifadhi akulinde na hasad na balaa za dunia na akhira na akukuze kwa salama na akujaalie IKHLASW..amiin
@sultanaswaleh78138 ай бұрын
Ameen 🙏😭🙏😭🙏♥️
@JumaMoha-nr6xn2 ай бұрын
Mashallah Allha hakupe jannah ❤❤❤
@Husna-z6f8 ай бұрын
mashaallah Allah akujaalie umri mrefu na akuzidishie elmu na akulinde na akukinge na kila shari Allah aongoze vizazi viwe kma Ramadhan Inshaallah
@omarkumbu36127 ай бұрын
Masha ALLAH...... ALLAH amzidishie Insha ALLAH.
@salimjuma94508 ай бұрын
Maasha ana hekima wallahi MUNGU amzidishie
@SaidiNjanga-ks1qp8 ай бұрын
Mashaallah shekhe Ramadhani Allah akuhifadhi ln sha Allah
@CynthiaNdayisaba-c4w6 ай бұрын
Masha Allah Tabaraka Allah Jazaka Allah hkeir
@Swalahudintv7 ай бұрын
Allah amhifadhi kijana wetu na amjalie daawa yenye manufaa mbele ya Allah.