No video

SHEIKH MUHAMMAD BACHU ALIPOKUWA LAMU VISIWANI SHANGA RUBU

  Рет қаралды 787

Al Haajar TV Kenya

Al Haajar TV Kenya

Күн бұрын

#alhaajartvkenya #mombasa #live
SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE
Instagram: Alhaajartvkenya
Twitter: Alhaajartvkenya
Facebook: Alhaajartvkenya
KZbin: Alhaajartvkenya
© Al Haajar TV Kenya 2024

Пікірлер: 20
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Ай бұрын
ALLAH akupe subra sheikh wetu kipenzi cha umma
@bafaaabuu
@bafaaabuu Ай бұрын
Allah akuhifadhi na atuhifadhi na sisi hapa duniani kaburi na kesho ahera amini
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh kipenzichetu Allah akujalie pamojanasisi pepo amin
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 Ай бұрын
Hafidhwaka Llah 😊
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Ай бұрын
Shehkewetu bachu wanakuchukia lakini hao hao ndowanapenda kufatilia dawazako nawanaipenda hasa watakukubalitu wapetu dawanyinginyingi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
Assalamu Aalykum Waramatullahi Wabarakatu. bachu umekwenda Lamu kutia fujo na Ustadh Hasan Bwanamkuu alikubana kwa mas'ala ya Aarafa ulibaki kuuma vidole video ziko ktk TikTok na Sheikh Izzudin alikwita mbona mpaka sasa zii hujajibu mwito wa Sheikh Izzudin? fujo jingi na njanja njanja nyingi za kupotosha umma
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 Ай бұрын
W Salam W Wabarakaatuh,ndugu punguza chuki,roho mbaya,husada na choyo,hazisaidii kitu,M Mungu ndo ashamchaguwa kumpandisha Darja Sheikh Bachu,hata muendelee Kampaka matope ya kila aina ya ubaya.Aliyepewa kapewaa.
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
😂😂😂😂😂ati nini Sasa hao uliotaja cjui hassan aliongea kama mtu hajielewi toka lini msikiti ukawa mtu anasema ati bachu kaweka jiwe la fitna lamu tena izzudin sisemi vibaya ila Kuna watu wakuweka vikao nao ila masufi n makhurafi nikupoteza mda msingi mkubwa n wanaofuata mikao juu hawajui maskini ila kama uliowataja vigogo fitna mnayo nynyi acheni uzushi n mfanye tawba kwa Allah mmezusha sana 😢😢😢😢
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
​@@johariabdalla3319swadakta ❤❤wazidi n chuki zao ila bureee na wajue uzushi hauendi popote n watarudishiwa wao waachane n bachu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
@@johariabdalla3319 ndugu yangu sio mas'ala ya chuki hayo ni maneno alafu ukimtaja Allah sio M Mungu ni Mwenye Ezi Mungu. Kisha Mwenye Ezi Mungu hawezi kumpandisha Daraja mtu mwenye kutukana wanazuoni au watu kwa sababu Mtume S.A.W maisha yake yote hakuwai hata Makafiri kuwatukana na kuwakufurisha. Sasa wewe kataa bachu hatukani wanazuoni
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
@@hassanWanjiku Ustadh Hasan Bwanamkuu ungemuuliza bachu na Sheikh Izzudin si alikwita mbona hajajibu bachu kutoka mjadala na Ustadh Said Omar Ashirazy hawezi kukubali kukabiliana nao ki Elimu hana Elimu yakutosha bado yatakiwa akasome zaidi. Kisha kuna kitu nataka kuwaambia nyinyi mawahabi mwajisahau sana umesema tuache Uzushi kwani huko kwenu hamuna Uzushi? Tena nyinyi Uzushi wenu ndio mibaya sana, ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم AL-ULUHIYYAH, AL-RUBUBIYYAH, AL-ASMA'WA SWIFAAT, hichi kigawanyo Cha Tauhid ipo ktk Aya gani ya Quran au Hadithi ipi ya Mtume S.A.W?
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 42 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 49 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
MUHADHARA MADA:SUNNA SIO KUWEKA NDEVU AU KUVAA KANZU FUPI AU KILEMBA:SH.MUHAMMAD BACHU
1:03:39
Masjid sunnah Islamic Zanzibar 2
Рет қаралды 4 М.
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE (PART 05)
1:08:07
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 10 М.
SHAMAILU NABII || SHEIKH MUHAMMAD BACHU
39:06
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 330
SIRA YA MTUME MUHAMMAD S A W - OTHMAN MAALIM
2:41:37
Saleh Ally
Рет қаралды 271 М.
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 42 МЛН