SHEIKH;MUHARAM MZIWANDA/NAKATAA MAULIDI SIO BIDAA DALILI HIZI APA

  Рет қаралды 924

PEMBE ONLINE TV

PEMBE ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 13 күн бұрын
Mpuuzi Mmoja tu hivi. Kwa hyo Mawlid ......Haya Amekuja na mapya.
@LiduBoy
@LiduBoy Ай бұрын
Huy ni mwamb wa ilmu anawafundsh mawahab
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 15 күн бұрын
Daaah😂😂😂 msiba kweli na ww unamsifia Sasa katowa dalili ipi hapo mpk unamsifu mi nilijuwa ata toa kwenye quruani au hadithi za mtume kumbe maneno matupu, sawa na supu bila chumvi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 13 күн бұрын
Mawahabi Ndo nn??Maanake nini
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 15 күн бұрын
Nyi mashekh muogopeni Allah mtume katika usiwa wake mwishoni mwa uhai wake aliwahusia maswahaba nakuacheni vitu viwili aambavyo mkishikamana navyo hamtapitea kamwe hotuoba ambayo maswahaba iliwatoa sana machozi mtume alisema nakuacheni mambo mawili ambayo mkishikamana nayo hamtopotea kamwe baada yangu, kitaba llah wa sunnat kitabu Cha mwenyezi mungu na sunnah zangu,, na akasema mtume katika riwaya nyengine endapo mkihitiafiana bhasi ruddini katika kitabu Cha. Allah na sunnah zangu Sasa sisi na ninyi tunapishana kuhusu hayo maulidi mbona hatuyaoni katika hadithi na quruani mjomba mnapiga porojo. Miaka yote na kudanganya watu mziwanda kuweni na aibu na muogopeni Allah jama mnapoteza watu wasojuwa kwa maslahi ya matumbo yenu shauli zenu tuuh, ukweli mshajuwa kuwa hayafai Ila mbeki kuyatetea kimaslahi Sasa maamua ndo wanao angamia mmegeuka wachungaji wanaelewa ukristo so dini ya hakki wanabaki kutetea matumbo ndo kama ninyi na maulidi
@mutumwinkaashura1897
@mutumwinkaashura1897 23 күн бұрын
Kila Siku wanatafuta dalili ya kupasisha jambo lao hilo, na lao ingekuwa nijambo lakweli wangekuwa na dalili Moja ambayo ipo wazi inayo tetea kusherehekea maulid, Na Hao hao Wanao dai kumpenda Mtume ndio Wanao enda kinyume Na sunna Zake( kunyoa ndevu, kuvaa nguo ndefu,...) Allah atuongoze na atuepushe kufata matamanivu ya nafsi zetu
@nassorochura7838
@nassorochura7838 Ай бұрын
aisha radhillahu anha anasema mtu atakayezusha jambo ambalo sisi hatukulifanya na kuisema huyo yuko katika hasara
@aminaosman3315
@aminaosman3315 26 күн бұрын
,hao wanaopinga maulid wsambieni wawspe haki za yatima waliyowadhulumu wakisaidiwa na wizara ya afya na mahakama kumfungulia mjane kesi mahakamani na ushahidi ati watu suna
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 3 ай бұрын
Na ww pia ni mgumu kuelewa kuliko yahudi
@nassorochura7838
@nassorochura7838 Ай бұрын
haikubaliwi mtazamo wa binadamu hapo ni qurani na sunna kama za maimamu na wanazuoni wakubwa kama imamu yeyote hakuisema hiyo ni bdaaa lazima wakubwa waheshimiwe siyo kuwazushia mambo ambayo karne tatu bora hawakufanya
@nassorochura7838
@nassorochura7838 Ай бұрын
mashekhe mtaangamia kwa kutufundisha bidaaa mnazo fanya maamuma wafuate kama ni kuruani na suna maulidi ipo mahali gani mbona makelele mengi sana na hizi ni dalili za bidaa kupotea
@nassorochura7838
@nassorochura7838 Ай бұрын
mbona hamsemi swahaba yupi mtume yupi nabii yupi au karne tatu zile bora waliosherehekea maulid mtasema kuhusu mtu anayezini kura riba wanaofanya mambo ya kumuuzi allah na mtume wake lakini bidaa ya maulidi mbona hamtoki
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Watu kama hawa ni wagumu kuwaelekeza kuliko wakristo.
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Ай бұрын
Ww mwenyewe ni kichwa boksi Sasa utaelewa Nini
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Ай бұрын
Ww mwenyewe kichwa chako kitupu
004 1 OTHMAN MAALIM - KUMSWALIA MTUME
19:32
HABARI MOTO MOTO TV (HMM TV)
Рет қаралды 849
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
Je inafaa" fuliza " kwa muislamu. #fyp #drislam
6:18
ElimuDakika
Рет қаралды 142
HUU SASA NDIO MJADALA WA MAULIDI ORIGINAL
1:28:12
QANAATU SUNNAH TV
Рет қаралды 23 М.
JE MAULID NI BIDAA AU SIO BIDAA ?  SHEIKH IBRAHIM GHULAAM
2:14
HII NI KIBOKO YA WAHABI
19:33
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 11 М.
Mahabba ya Mtume ﷺ  kwa Ummati wake...  Sheikh  Mbarak Ahmed Awes
34:00
Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Рет қаралды 3,3 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН