WANABANA PUA ETI MAULIDI BIDAA, HUO UJINGA WENU MUNASEMA MAULIDI BIDAA UISHE - SHEIKH HAMID JONGO

  Рет қаралды 21,695

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

WANABANA PUA ETI MAULIDI BIDAA, HUO UJINGA WENU MUNASEMA MAULIDI BIDAA UISHE - SHEIKH HAMID JONGO

Пікірлер: 267
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 8 ай бұрын
Subiri bunge la katiba asemwe Nyerere ulie naona kazi hii haikufai
@sabkiunaasib194
@sabkiunaasib194 2 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wangu na Imam wangu wa masjid manyema Allah akuhifadhi na akulinde Kwa elimu yako pana upo vizui Allah akujaalie mwisho mwema.
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
Unamuombe mwisho mwema afe na bid'a? Na kwa vile bid'a inapendeza zaidi kwa iblis kuliko maaswiyya hawezi akaacha hiyo bid'a.
@salumdarwesh7322
@salumdarwesh7322 Жыл бұрын
Mwisho mwema ndio unaujua wew? Kwa nn usiitikie Aamin kwa kuombewa mwisho mwema shekh wetu ? Na kama umeona hayupo kwenye wema hapo kaombewa wema kwa nn usiitikie dua apate mwisho mwema kweli je hupendi apate ,,, Je upo kwa wema au khiyana? Hayo mengine ukitaka mfuate aloyasem na ushahidi muelezane halaf utuleteee majibu ,,,, Allah anasema waulizeni wanaojua ikiwa nyinyi hamjui,,, je wew wajua yote ? ,,,
@AmiryMwambashi-d4l
@AmiryMwambashi-d4l Жыл бұрын
Mungu akuongoze mzee jongo
@salumdarwesh7322
@salumdarwesh7322 Жыл бұрын
Tuwaulize wanaojua ikiwa sisi hatujui ,,,, tusikae tukapinga mambo yenye manufaa na kuwakufurisha watu na kuwatia watu motoni kana kwamba mtu yeye ndio mcha Mungu na mtu huna elimu nalo Jambo ,,, kuweni makini dini ni pana sana
@saidyusuf9245
@saidyusuf9245 Жыл бұрын
Subhanallah hadithi zote zamtume hamupati moya ya kukumbusha mwatowa maneno bila yakuthibitisha dalili hiyo yaonesha wazi yakuwa hakuna dalili ya maulidi Mungu atuonewhe haki naturuzuku kuifuata na batili naturuzuku kuiepuka ammin ammin
@tamashamagoma2941
@tamashamagoma2941 2 жыл бұрын
Tumche Allah,, sio siasa, hii ni dini, mtaulizwa na aliekuumbeni hayo mnayoyazua
@KassimRamadhani-hh4fl
@KassimRamadhani-hh4fl 11 ай бұрын
Maashallaah
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Jamaa anapotezea watu muda tu. Huyu mzee anazeeka vibaya.
@bilallyhassani5165
@bilallyhassani5165 2 жыл бұрын
Wallah Allah akulipe kheri
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 2 жыл бұрын
UKITAKA KUAMINI KWAMBA MTUME S.W AMEKUFA AU KAINTAQIL ILA RAFIQUL A'LAA REJEA KHUTBA ABUBAKRI( r.a)BAADA KUTAWADHWA UKHALIFA ALAFU JIHESABU WEWE NA YEYE NANI ALIKUA ANA MAHABA ZAIDI JUU MTUME WA ALLAH انا لله وانا اليه راجعون...
@muniraally4091
@muniraally4091 Жыл бұрын
Wanaitwa masheikh alafu a hawatanabahi wamekua wabishi na washindani hakika sikio la kufa halisikii dawa toeni tafasir ya baranje tuelewe tuimbacho
@JoriJori-es2re
@JoriJori-es2re 3 ай бұрын
Unatakiwa ksoma kwanza ndg siyo kuwakebehe mashekhe kwa kfuata mkmbo
@majondejohali5259
@majondejohali5259 2 жыл бұрын
Ukiona povu ujuwe sabuni imekolea vizuri
@jumabeja956
@jumabeja956 Жыл бұрын
MTUME SWALALAHU ALAYHI WASAALAMA ALIZALIWA NA AKAFUNGA SIKU YA KUZALIWA KWAKE HIVYO SUNA. NI KUFUNGA SIKU YA JUMATATU SI KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YA MTUME KAMA MANASWARA
@JoriJori-es2re
@JoriJori-es2re 3 ай бұрын
Aliyekwambia hatufungi nan ndg yang
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Mawahabi ni pote ovu liloanzishwa na Muhammad Abdul wahab miaka 250 iliopita na wanachukia sana kumtukuza mtume na kutaja sira yake mawahabi ni moja ya tatizo kubwa kwa sasa
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
Kwanini msiwaambie watu waache maulidi kwasababu inakhitilafu kwani lazima kufanya maulidi? Me naona nguvu nyingi itumike katika kuwafunza watu swala na Quran na tabia za mtume Swalallahu alayhi wasallam 🙏🙏🙏
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Aaaaaa...unaweza kukaa kitako kwa kupindisha miguu
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 жыл бұрын
Usipo fanya unadha kuna mtu atakusumbua
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 2 жыл бұрын
Kwani tatizo ni jina maulidi au yaliyomo?? Kama limo linalofanywa ndani ya maulidi na halifai semeni tu
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
@@ismailmsangule1380 sasa mmeona kuwa Maulid ni tatizo, mnaiita kumswalia mtume. Hakuna anapinga kumswalia Mtume swala na salamu zimuendee, kinachopingwa ni hiyo bid'aa ya birthday ya Mtume ndio shida kwasababu hamjatanguliwa na wema wa umma huu
@salumdarwesh7322
@salumdarwesh7322 Жыл бұрын
Ukiona halikufai wew liache ,,, piaa kusoma muhimu watu watafute elimu cyo wanakurupuka kupinga au kukubali wasiyoyajuilia kujua Hadith mbili 3 haimaanishi ushakua shekh na wajua mambo yote tuwe makini na tunayosema na kuwatia watu ukafirini tusijitakase nafsi zetu Allah ndio mjuzi zaidi
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
Amebadilisha maada. Kuzaliwa mtume s.a.w sio bid'a lakini kutengeza sherehe ya mazazi yake na kusema ni ibada ndio uzushi (bid'a)
@JoriJori-es2re
@JoriJori-es2re 3 ай бұрын
Kwann ibada nn mwalim watu kipenz
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 2 жыл бұрын
كم من مريد للخير لن يصيبه
@honoremalumbakambi6281
@honoremalumbakambi6281 2 жыл бұрын
Bonjour
@abubakarramadhan1716
@abubakarramadhan1716 10 ай бұрын
وكم وكم من مانع خيرا وهو جاهل
@taturajabu8377
@taturajabu8377 2 жыл бұрын
Hatujui tunaenda wapi hakika,tumche Allah yeye ndye anajua mkamilifu ni nani,inshallha
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
Wewe ndio hujui uende wapi sababu ya kukosa ilmu na akili. Mtume s.a.w akuambia fuata maamrisho ya Quran, sunnah yangu na sunnah ya khulafai rashidiin. Simple. Achana na uzushi na utafaulu duniani na akhira
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
Halafu unaposema "yeye ndie anajua mkamilifu ni nani" unamaana kwamba kuna wakamilifu katika binadamu! Jambo ambalo halipo sawa, wanadamu wanamapungufu na wala si wakamilifu. Ukamilifu ni wa ALLAH pekee yake. Imanaana hata kwenye maneno yako kuna migongano ya kupatia kauli. Watu wasome dini yao waijue, na hii ni nasaha kwangu kwako. Mambo ya kushabikia mabid'a hayatokunufaisha. Na ushaona watu wanakosea kumkosoa huyu jaahil. Allah akuongoze.
@suleimanabdalla5022
@suleimanabdalla5022 2 жыл бұрын
Hajielewi you Mzee
@Aqdaam
@Aqdaam Жыл бұрын
Pinga hadi UFE ..... MAULIDI yali somwa, yana somwa, na yata somwa.....
@shamterashidi726
@shamterashidi726 2 жыл бұрын
Hilo nalo neno
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 2 жыл бұрын
Bora fiesta kuliko maulid
@abutwalhar613
@abutwalhar613 2 жыл бұрын
Dah mashekhe wetu Hao mashaallah
@mbaroukame2834
@mbaroukame2834 2 жыл бұрын
Mpeleke na ndugu yako huko fiesta ndio utajua lipi bora.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
Kama Haujazaliwa Nje Yandoa. Basi Utakuwa Wazazi Wako Hawajaomba Dua Wakati Wanakusaka. Ama Utakuwa Ulivyozaliwa Ujaaziniwa. jichunguze.
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 жыл бұрын
Mjomba ake na nyelele uyu alimlilia kule bungeni habari zako tunazo shekhe
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
😁☝
@kikosahani7937
@kikosahani7937 2 жыл бұрын
What about Christmas is BIDAA
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 2 жыл бұрын
Kwani Christmas ilianza lini??? Na je tarehe wanayosheherekea ni tarehe hakika???
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
Shekh huyu si ndo alilia kwa ajili ya Nyerere?
@chidolakhatib7847
@chidolakhatib7847 2 жыл бұрын
Umetumia neno la ujinga sio kitu kizuri kwa kweli tuchunge ndimi zetu
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Sio yeye ni waandishi wanaoandika headline hao
@chidolakhatib7847
@chidolakhatib7847 2 жыл бұрын
@@maryamalli9090 ni yy mwisho katumia hilo neno
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
Mjinga Hujifunza Hamnashida.
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
Inafaa kutumia hilo neno ikimaanisha ni mtu asiye na 'ilmu. Ila hapa kamaanisha jeuri maana anaowaita wajinga au waache huo ujinga anajua fika kuwa huwa wanapinga kwa hoja zilizomo ndani ya quran na hadiyth. Watu wa baatw'il huwa mara nyingi hawatumii hoja ila hutumia hoja zenye mfanano ili wawachanganye watu na kuwapambia watu jambo lao na hii huitwa TALBIYSI sio hoja. Mfano haya Maulid yalipopigwa vita wakabadilisha jina wakaita kumswalia Mtume.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
@@mundhirhassan2708 Maana Halisi Yamjinga Nimtu Anaeweza Kujifunza. Mjinga Sio Tusi Endeleeni Kujifunza Nasikila Kukanusha. Usipende Kujiingiiza Katika kundi "MANN JAHILA SHAIANN AADAHU" Mtu Hukanusha Kitu Maadamu Akijui. Kumbe Sikila Usichokijua Wewe Nibidaa Au Kharamu.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 2 жыл бұрын
Ndio maulid ni bidaa'Mbona hili halina shaka. Hakuna hoja ya kulitetea hata kama nyinyi hamkubali.Ni bidaa' shekhe.
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 жыл бұрын
Mashindano ya quran je??
@hamadsalim5641
@hamadsalim5641 2 жыл бұрын
Huwezi kufananisha Jambo JENGINE ili lako Lowe la halali la maulid munafanya kwa SABABU munapata maslah binafsi TU SIKUWAH KUSIKIA HATA SIKU MOJA WAKATI MASHEHE WA ZANZIBAR WAKO JELA IKIWAONGELAA KATIKA MAULID YAKO SHEHE HUJATIA BUSARA KABISA
@bemindfulofurswalah
@bemindfulofurswalah 2 жыл бұрын
Mtume salalahu caleyhi wasalam alifunga siku ya jumatatu alipoulizwa akasema ni siku ambao nimezaliwa na siku ambao niliteremshiwa wahyi!! Sasa ni wapi mtume salalahu caleyhi wasalam akasherekea maulidi? Mbona unadai unampenda mtume na kisha unamkhalifu
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 Жыл бұрын
Kupiga magoma kwao na kwa wakristo wa African divine mbona ni sawa tu , Bidaah jamani, Maulid ni upuuz
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Nini ndugu yangu ulilia bungeni kulilia madaraka
@hamadimussa2119
@hamadimussa2119 2 жыл бұрын
Huna jambo zaid ya vichekesho kuwachekesha watu wako
@asriyaaljabry27
@asriyaaljabry27 Жыл бұрын
Ht bibilia imekataza nyimbo vinanda haram kumadhimisha uzawa kufata matendo yake siku hizi mpaka mnatia aibu kucheza km mpo disco huo si uislam
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Hata mfanye nini bakwata imepoteza heshima yake kuuza mali za uma kiwanja cha changombe mmeuza hamna haya hamna uchamungu mmeuza njumba za wakfu zamisikiti mpo madarakani kutokana kwa nguvu za dola lakni hatakiwi
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 9 ай бұрын
Wee muhuni hakuna alokuwa hakujui huna ushekhee wowote pimbi wew
@JoriJori-es2re
@JoriJori-es2re 3 ай бұрын
Umepata Dhambi ndg yang kwan kakukosea nn ktk mazngumzo yake
@saidnassor5655
@saidnassor5655 2 жыл бұрын
Huyu ni Shekhe kweli yani hajuwi anaongea nini na atawa dalili ya uwingi kama watu wa jaahiliyya
@salumdarwesh7322
@salumdarwesh7322 Жыл бұрын
Unajua weweee mbn hujenda kuongea
@salumnuhu9066
@salumnuhu9066 2 жыл бұрын
Huna hoja za kimsingi Babu
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 2 жыл бұрын
Sheikh, Ittaqillah. Kwenye Maulid zenu HAKUCHEZWI MICHEZO KAMA YANAYO CHEZWA KWENYE FIESTA???
@jumatano242
@jumatano242 2 жыл бұрын
Hamueleweki mnapinga maulid kwahoja gani kucheza, ubwabwa, au nn hoja yenu nini watu kukusanyika na kumswalia mtume s.a.w
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
@@jumatano242 juha wewe. Salia mtume kila wakati na kila siku. Nani akuambia ngoja siku mazazi yake ndio mkusanyike na "msalie mtume" use your brain
@isihaqarajabu8374
@isihaqarajabu8374 2 жыл бұрын
Maulid yatabaki kuwa bidaa mpaka kiama kinasimama,kwahio mpaka ukaamua kuifananisha na fiesta kabisa huu mtihan sana,hakuna ushahid wowote kuwa maulid yanafaa na hao waliokusanyika hapo ilibid gan waende mbona sisi tupo nyumbn na tunamswalia mtume?
@luqmanajmalhiqmal4540
@luqmanajmalhiqmal4540 2 жыл бұрын
We huna elimu wala humjui Mtume [ s,a w]
@mafiatv5479
@mafiatv5479 2 жыл бұрын
Acha usenge wewe na ushoga,,, wewe wajua bidaa
@mafiatv5479
@mafiatv5479 2 жыл бұрын
Sawa hakuna ushahidi wa maulid kua yafaa,,, wewe type dalili maulid haramu,,, km kuna aya na hadiith isemayo maulid au mazazi ya mtume ni haramu? Tupe ndg km ipo dalili mimi leo naacha maulid ntavifata viwahabi
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
Tupe Aya Au Hadithi. Hatuhitaji Maneno Yasio Namashiko.
@mafiatv5479
@mafiatv5479 2 жыл бұрын
@@nurdinmfamau3493 wewe mashiko yako yawapi km maulid hayafai?
@أبوعبداللهراشدمحمدناصرراشد
@أبوعبداللهراشدمحمدناصرراشد 2 жыл бұрын
Weye mwenyewe mjinga kumbe
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 2 жыл бұрын
Wewe ndo mpumbavu maana huelewi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Innalillah!!
@ibniabdalla4817
@ibniabdalla4817 2 жыл бұрын
Nani kafariki tena huko kaka yangu nao innalillah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@ibniabdalla4817 "Al'ladhina idhaa aswaabahum Musweeba qaaluu Innalillah,,,,,",sasa kasome UK 349 wa kamusi ya Kiswahili Karne ya 21 toleo la pili 2011 chapa 2013, uone neno Msiba limefasiriwa vipi,,,,Kwahiyo si lazima kuwe na kifo Tu!!
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 жыл бұрын
@@jumakapilima7295 pole
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 10 ай бұрын
@@adamhashim3352 pole na wewe
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
Watu hawazungumzii kuzaliwa ni bid'aa bali huko kufanya sherehe ya kuzaliwa, mbona hujielewi mzee, na huku ni kuzeeka vibaya
@zawadihussein4018
@zawadihussein4018 2 жыл бұрын
Kumbee kumpenda mtume hutakiwi kusema mtume kafaa..au amefariki...? Vipi hii Aya isemayo كل نفس ذائقة الموت Ina maana gani
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 2 жыл бұрын
Bora mzinifu na mlevi kuliko anayemfanyia birthday Mtume Muhammad salla llaahu alayhi waalihi wasallam
@mahammoudhaji
@mahammoudhaji 2 жыл бұрын
Mh!maneno yako ni mazito
@mbaroukame2834
@mbaroukame2834 2 жыл бұрын
Una uthibitisho wa kauli yako.
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Na wewe ni bora kuingia Motoni kuliko kuingia Peponi.
@Nufaila442
@Nufaila442 2 жыл бұрын
Hii nyundo haswaaa
@khamisisaidi5267
@khamisisaidi5267 2 жыл бұрын
Weyee waonekana ni mtoto wa zinaa Mal uun mkubwa huna adabu na mtume weyeee ungelikuwa karibu ngalikutoa meno
@ibniabdalla4817
@ibniabdalla4817 2 жыл бұрын
Maulidi ni bidaa wala halipigiki hilo.....mtume mohmad sw hakuzaliwa mfunguo 6 mwenye maandiko adhibitishe hapa kama nasema uongo mimi nyinyi mashekhe munao sema maulidi ni sahihi mupo kwa maslahi yenu binafsi na familia zenu (mashekhe ubwabwa)musi wadanganye waislam kwa maslahi yenu binafsi mutaenda kujibu kesho akhera
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Ndugu yangu swali la Mtume kuzaliwa mwezi gani ni jambo lenye khitilafu kwa wanavyuoni so huwezi kuliletea shida kama unavyodhani.
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 2 жыл бұрын
Mchumia tumbo!
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 жыл бұрын
Ulitaka achumie nn labda?
@neemafatu471
@neemafatu471 2 жыл бұрын
Hivi kwa Nini kushikilia mambo yenye mashaka?
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
Acha Wewe. Pumzika Nafamilia. Tuache Na Kumswalia Mtume Wetu.
@samirsaid762
@samirsaid762 2 жыл бұрын
Fundii huyuuu Allah ampe umr mrefu tuendelee kufaidika na elimu yake
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 2 жыл бұрын
Naam huyo ni fundi wa kupinga sunna za Mtume Muhammad alayhissalam
@muhidinally3753
@muhidinally3753 2 жыл бұрын
Huyu ana elimu ya kupotosha. Kama alivyosema sheikh Mziwanda baada ya muda kutokana na kukosa weledi na umaskini wote tutakuwa Washia
@salumdarwesh7322
@salumdarwesh7322 Жыл бұрын
Aaamin
@allypapaa489
@allypapaa489 2 жыл бұрын
Sheikh wa Mchongo! Huna Dalili huna Chochote!
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Manyang'au wapenda ubwabwa wamekomaa kwa maulidi. 😁
@Abusalim308
@Abusalim308 2 жыл бұрын
Kumbe wagonjwa wa akili wapo wengi
@mtorosenga1272
@mtorosenga1272 2 жыл бұрын
Mgojwa wa akili ni wewe usiyekua na elimu
@Abusalim308
@Abusalim308 2 жыл бұрын
@@mtorosenga1272 mimi najielewa na nimesoma ndomaana nimekaa mbali na upuuzi kama huo
@mtorosenga1272
@mtorosenga1272 2 жыл бұрын
Ungesoma walau ukawa na elimu ya iptidayya usingepinga maulidi.hivyo kasome dini usisome aqida
@Abusalim308
@Abusalim308 2 жыл бұрын
@@mtorosenga1272 kwa taarifa yako ni shahada ya Al iptidai, ni Almutawaswit nina thanawy . Alhamdulillah nimefuta ijinga siwezi kuburuzwa kama wewe
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Kwakua ni mjinga wa kusoma na hutaki kusoma ndiomaana hata maneno ya Mtume unayaona kama kwamba yametoka kwa mtu asie na akili. Soma kwanza
@serengetishipping2196
@serengetishipping2196 Жыл бұрын
Nimewaadhika , maulid ndio kheri ya waislamu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 10 ай бұрын
Astaghfirullah!
@hijazhija316
@hijazhija316 2 жыл бұрын
Mswiba
@kikosahani7937
@kikosahani7937 2 жыл бұрын
What about Christmas?
@kikosahani7937
@kikosahani7937 2 жыл бұрын
What about Christmas is BIDAA?
@jamallmwalim6629
@jamallmwalim6629 2 жыл бұрын
*ebu mche Allah ww ebu tuaambie ni nani amewafundisha maulidi na tuambie NAWAAQIDH za maulidi Yani vitenguzi vya maulidi na mutwambie nguzo za maulidi*
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
Hahaha hawawezi jibu hilo kattu! Ila kuna nguzo moja hiyo ikidondoka maulidi yanakufa, yaani ubwabwa. Pia waulize "nyinyi ni watu wa kudhihirisha nia kwenye ibada na maulidi mnadai ni ibada, je mbona hamtamki nia ya maulidi? Mbona hapa watu wa maulidi wanajikhalifu wenyewe
@abdulhafidhtalib2226
@abdulhafidhtalib2226 2 жыл бұрын
Kwahy ndo hoja zako mzeee mbona hoja za kina mama
@fatmamuhamad3762
@fatmamuhamad3762 2 жыл бұрын
Asalamu aleikum ni Bida tu hiyo
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 2 жыл бұрын
Roho zinawauma kwa sisi kumfurahia Mtume SWA Haya tunawaombea dua Mwenye EZ Mungu awaondelee Chuki na husda
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 2 жыл бұрын
Kwani bidaa ngapi unafanya
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
@@ismailmsangule1380 hii hoja hata Abuw jahli hakuiulizia, hajawauliza maswahaba baada ya kuslimu *kwani nanyi si mlikuwa huku kwenye shirki?* Kwasababu si hoja, we umeambiwa ni bid'a unatakiwa kutoa hoja za msingi. Kwa bid'aa ni bid'aa sasa hapa unatakiwa kutetea kwa hoja, na hipati. Mana ukikataa kama sio bid'aa maana yake inaitia katika sunna, na ukisema hivyo basi tunakutaka dalili wapi Mtume kaamrisha au kafanya. Basi. Hakuna nyongeza ya swali.
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
@@khaliphaabubakar9466 na'am roho zinatuuma hatukatai bali zinatuuma kwasababu ya kuharibiwa dini ya Allah kwa jambo ambalo halikuthibiti katika dini ya uislamu, chimbuko lake ni kwa mashi'a wa baatwiniyyah ambao ni makafiri ndio walioanzisha na wakapokea masuwfi. Pili inatumia kwasababu ya kupotezwa ndugu zetu waislamu na watu ambao wanajali maslahi ya matumbo yao. Na kama itaondolewa ubwabwa Maulid yanakufa hayafanywi tena.
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 2 жыл бұрын
@@mundhirhassan2708 wewe una haki gani ya kuita watu makafiri? Kama kumsifia Mtume SWA inawauma basi mstahamili tu. Ukiwa na imani ya thati na kama mnavyo dai mnafata Quran na Sunna Lazima umpende na kumfuata Mtume wetu SWA. Allahu Barik
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 2 жыл бұрын
Tafiti zinaonyesha kila penye watu wa4 kuna mgonjwa wa akili mmoja
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Hiyo tafiti yako haina maana na ni uongo mkubwaa
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
😁😁☝
@jamallmwalim6629
@jamallmwalim6629 2 жыл бұрын
*kwan munadhani wingi wenu ndio haqqi nynyi munaakili kwael kama kweli muko na akili musengekata viuno mbele za wanaume wenzenu*
@checkcheck5191
@checkcheck5191 2 жыл бұрын
Hakuna watu wazima kwenu?
@hamzasima
@hamzasima Жыл бұрын
Hakuna ulicho ongea sheikh itaqillah hayo ni haramu wala hayanasibishwi na dini bidaa ni kuivalisha dini ww sheikh itaqillah yaa sheikh
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
Janga kubwa ni uwepo wa taasisi yenu Bakwata
@AbdulKareem-rq2uv
@AbdulKareem-rq2uv Жыл бұрын
Ww unaesema maurid ni bidaa hunaelimu ww nenda kasome vzr hata miaka 9 ili ujuwe raha ya kumtukuza bwana mtume
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 2 жыл бұрын
Masufi mmeishiwa na hoja mnaongea utumbo siku hizi. Hebu muwe mnachagua watu wenye akili kuongea. Sasa ndo nn kwamba uepo wa fiesta ndo ufanye maulidi isiwe bidaa. Akili zenu finyuu sana kwa kuwa mmeikataa sunna
@salumdarwesh7322
@salumdarwesh7322 Жыл бұрын
Mwenye akili ni wew bora ukatuongelee hem fanya haraka tusikose mambo muhimu ,,, changamka ukaongee ya maaana shekhe mkubwa na mcha mungu wetu
@AbdulKareem-rq2uv
@AbdulKareem-rq2uv Жыл бұрын
Hata we unasema maurid bidaa basi na na ww utabaki kuwa bidaa mpaka kiyama sababu hata ww umezuka tu
@AbdulKareem-rq2uv
@AbdulKareem-rq2uv Жыл бұрын
Ww unajuwa bidaa ni nn?
@AliMohamed-gv7nw
@AliMohamed-gv7nw 2 жыл бұрын
Kwahiyo mtume hajafa au?
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 2 жыл бұрын
Hh Mzee Kaa kitakousome khaki
@zawadihussein4018
@zawadihussein4018 2 жыл бұрын
Hivi huyu sie alie lia bungeni kwa sababu Kuna kafiri mmoja alitukanwa yeye kwa kumpenda huyo kafiri akatoa machozi
@saidnassor5655
@saidnassor5655 2 жыл бұрын
Hakuna elim hapo porojo tuu towa aya au hadithi au maneno ya maimam acha kupoteza waislam
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 2 жыл бұрын
Hili zee hamna kitu kichwani
@jumatano242
@jumatano242 2 жыл бұрын
Wewe mara kumi yake
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 2 жыл бұрын
@@jumatano242wote hamjielewi
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 2 жыл бұрын
Wewe huna adabu kabisa ,kwanza lugha hiyo unapata wapi?? uislamu gani unakufundisha Kutukana wanawazuoni???
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 2 жыл бұрын
@@iddyjohn1032 kama wanawazuoni ndio hawa watu ambao hata udhu wao hawaujui tusubili kiama
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 2 жыл бұрын
Huyo ndo kiongozi anaongea utumbo hvoo haya hao maamuma wasemaje jmn
@YusufYusuf-vk7hi
@YusufYusuf-vk7hi 2 жыл бұрын
Shekhe mbona kama wewe ndiye unaebana pua mbwembwe nyingi kazi kuchekesha watu tu. Vijana wenu kazi yao kukata viuno mbona hamuwakatazi
@alliyrubea5731
@alliyrubea5731 2 жыл бұрын
Kwa kweli huu ni msihani mkubwaa! Sasa maulidi kama si BIDAA ni nini! Ikiwa Maswahaba walioswali nyuma ya Mtume hadi nao wameondoka hakuna hicho kinachoitwa Maulid sasa Muelewe nyie Makhulafiii! Toweni hoja ktk kitabu au sunna za Mtume ili tukueleweni sio blaa blaaa tu!
@samirsaid762
@samirsaid762 2 жыл бұрын
Mda mchache niliokaa kwake nimefaidika na mengi
@zawadihussein4018
@zawadihussein4018 2 жыл бұрын
Kweli umefaidika na upuuzi mwingi kutoka kwa huyu munaafiki Alie liaa na kutoa machozi bungeni kwa sababu Kuna kafiri mmoja alitukanwa yeye kwa kumpenda huyo kafiri akatoa machozi
@Nufaila442
@Nufaila442 2 жыл бұрын
Ndio ni bidaaa na ndiosababu mnaitetea kwa nguvu kubwa 🤣🤣🤣
@ramadhanihashim3945
@ramadhanihashim3945 2 жыл бұрын
Nin maana ya bidaa
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Uthibitisho wa kua Maulidi hayafai tunaomba
@Nufaila442
@Nufaila442 2 жыл бұрын
@@ahmadzubeir3363 ni swahaba gani tunaye mjua aliyasoma haya mambo yenu ya uzushi
@thegreatmind9178
@thegreatmind9178 2 жыл бұрын
Sheikh dini ni kwa hoja wacha tuwe na debate halafu tuone dalil zenu
@FahadAli-ig7kp
@FahadAli-ig7kp 2 жыл бұрын
Sheikh hapa unachanganya mada hakuna sheik hata mmoja alie sema kuzaliwa kwa mtume muhammadi ni bidaa ila masheikh wanasema kua maulidi ndio Bidaa
@jamallmwalim6629
@jamallmwalim6629 2 жыл бұрын
*wewe na ABUU BAKAR nani anampenda mtume nilini walikusanyika wakafanya huo ujinga icho kiuno Chako utakwenda mkatia uyo alikwambia ufanye uzushi wa maulidi*
@ikabako2454
@ikabako2454 2 жыл бұрын
Lini walikusanyika wakashindana kusoma quran kisha wakapeana zawadi? 😅
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
@@ikabako2454, Kuna mambo mengine hayakufanywa lkn mazuri mfano mashindano ya Qur-an. Sunna ili iwe sunna iwe ima Mtume s.a.w kaifanya mwenyewe au wamefanya maswahaba na yy akaikubali (inamaanisha kipindi cha uhai wake). Ssa Qur-an imekusanywa baada ya kufa Mtume s.a.w kwahio tuseme bidaa???
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
Maulid kama si Bid'ah ni nini?
@saidyusuf9245
@saidyusuf9245 Жыл бұрын
Babu je maswahaba hawa kufahamu dini nyie ndio mwajuwa dini zaidi mwasema bila yadalili ateni kuzuwa kwenye dini
@JoriJori-es2re
@JoriJori-es2re 3 ай бұрын
Kwan kosa la maulid nn haswa hata ukasema hayafai?
@saidisalum1514
@saidisalum1514 2 жыл бұрын
huyu ndo hajui kabisa yani kwavile viesta ni mbaya zaidi akaona ahalishe maulidi heti kwasababu haifanani na fiesta hujui kwamba hata ukafiri unatofautiana
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
Hakuna hoja kaitoa hapo. Bali ni shubuha tupu na shubha si hoja ni kuwafanyia watu talbiys, kuwafunikia mambo waislamu. Na hii ni ghish, na ataukizwa juu ya hilo. Hawa watu wa Maulid wanafanana zaidi na wakristo juu ya hili, kwasababu wanaswara wanaosherehekea mazazi ya 'isaa na wao wanasherehekea ya Muhammad swala na salamu zimuendee. Kwa hili wamejifananisha nao. Pia mazazi amesherehekea ammi yake Mtume swala na salamu zimuendee huyo Abuw lahabi kwaiyo huyo ndie salafi wao kwa maana ndie mtangulizi wao, na hii Maulid ni sunna ya Abuw lahabi ndie alieshereheka. Kwahivo hatuna shaka kupigia mfano fiesta Maulid yao
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 2 жыл бұрын
Kwani kufanya kitu ambacho makafiri wanafanya haramu?? Na je kuna dhambi??? Na je kwa ushahidi gani???
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
Ndio maana Mkaitwa Wajinga Kwasababu Ujinga Sio Tusi Bali mjinga Anaweza kujifunza. Mnapinga Kwa hawaa Zenu Hamna Ushahidi Wa Qur'an Wala Sunna Mtuache Kidogo.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
@@mundhirhassan2708 Mnazisabihisha Hadithi Namahali Si Swarah Kuzinasibisha. Ili kuuondoa Ujinga Nikusoma Nasikila. Nasikila Kukikharamisha.
@mundhirhassan2708
@mundhirhassan2708 2 жыл бұрын
@@nurdinmfamau3493 ila hatujawahi sikia mtu wa maulidi kakiri kuwa mtume swala na salamu zimuendee kufanyiwa zama zake, na wala hatujawahi sikia kuna maswahaba walifanya baada ya kufa kwake, kwahivo sisi tupo nao hao ambao hawakufanya, wewe ambaye unaweka dalili mahala pake hebu waambie hao maveve wako wakupe uo ushahidi ambao ni swaraahatan wa maulidi bila ya kuegemea aya ambazo ni kuwafanyia shubha watu kama mtaweza, kitasimama qiyama hampati. Bali sisi tuna hadiyth na aya ambazo swaraahatan zimekuja kukataza watu kuzusha katika dini, na laana juu wa wazushi kama wasoma maulidi, Mfano tu, خالفوا اليهود والنصارى.... Wakhakifuni mayahudi na manaswara... Hii ni amri ya Mtume swala na salamu zimuendee, ambayo anakataa watu wasijifananishe nao, kwa idi zao, ibada zao, maongezi yao, mavazi yao na mengine mengi. Ukija suwfiyyah, watu wa maulidi wanasherehekea kuzaliwa kama wanavyosherehekea manaswara kuzaliwa nabii Isa, masuwfi wanasherehekea mwaka mpya kama wanavyosherehekea manaswara mwaka mpya wa miladi. Nani wamefanan na hao makafiri?? Nani wameweka dalili za quran na Sunnah mahala so pake? Hujitambui ndugu. Na ndio maana ya maneno ya ibn tayymiyyah Allah amrahamu, "mtu wa bid'aa haji na hojja ispokuwa inamrudi yeye mwenyewe.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
@@mundhirhassan2708 Wewe Umeyaona Ya Maulidi Tu. Kunavitu Vingapi Vinafanyika Nawakati Wabwana Mtumi Havijafanyika. Tukiwa Katika Maulid Tunakumbushana Mema Mema Nakukatazana. Tunakutana Najamaa Zetu. Tunakula Nakufurahi. Nichuki Nahasadi Zinazoendelea Kwenu Hata Mashiko Hamna. Hata Mswahafu Wakati Wamtumi Haujakuwepo Nasasa Tunautumia.
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 2 жыл бұрын
Labda kilugha neno maulidi?
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Maulidi kiugha ni mazazi. Mazazi iwe ya binaadamu,majini au wanyama.
@kadizosea6250
@kadizosea6250 2 жыл бұрын
wanapinga maulidi ila pilau la maulidi wanakula tunawajua na vikanzu vyao vimini
@fadhiliharuna3934
@fadhiliharuna3934 2 жыл бұрын
Subhaan llah ndugu yangu usikebehi sunna za mtume, usione unawatusi nakuwachafua wanaovaa kanzu fupi bali umemchafua nakumkebehi huyo Alie amrisha waislamu kuvaa hivyo. Nae ni محمد صلى الله عليه وسلم acha ushabiki bali wape hongera walio muiga mtume na wape pole wale walienda kinyume na mtume nakuwaombea Dua Allah awaongoze.
@sulemuntary6846
@sulemuntary6846 2 жыл бұрын
Tatizolenu hamutaki kusoma ndomana munamlaumu huyu Mzee Mnazijua bidaa nynyi
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 2 жыл бұрын
Mche Allah nasema lililo la haq kama hauna chakusema nibora ukanyamaza
@jumatano242
@jumatano242 2 жыл бұрын
@@fadhiliharuna3934 mnazidi vikanzu bhana tusikebehi nn mbona nyinyi mnakebehi maulidi
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص Жыл бұрын
Yeye kusema wanaopinga ni wajinga hajatukana, na yeye ameongea umwehu mtupu hapo! Hhhhhhhhhhhhhhhh
@allyigaly4659
@allyigaly4659 2 жыл бұрын
Mashkhe wte wa bakwata kazi na kula mali za waislam tu mmekalia bidaaaa tu mkiona waso waislam wanaendelea ama weng wao wako serikalin mwaaanza piga kelele oooh wanapendelewa hali ya kua nyie mmekalia bidaa zenu
@aboubilal3926
@aboubilal3926 2 жыл бұрын
Hebu leo tujaribuni kuuzima ubishi... Je, Mawahabi ni kina nani?
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
Wanaita wahabi mtu yeyote wa kuiga na kutetea sunnah ya rasuul s.a.w
@aboubilal3926
@aboubilal3926 2 жыл бұрын
@@mohagurey2214 Kama ni hivyo basi wangewaita Muhammadiyah (jina zuri sana ambalo hakuna Muislamu atakeyelikataa)
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
@@aboubilal3926 wakifanya hivo basi watapoteza wafuwasi so lazima ikuwe wahabi. Uliza tu namna ya kujuwa mawahabi, 1: wanapenda kuacha mandevu na kunyoa masharubu 2: kanzu Yao huwa juu ya ankle 3: wanapenda kupinga bid'a (uzushi katika dini) na kadhalika, ndio dalili ya mawahabi na hayo ndio sunnah ya mtume s.a.w
@aboubilal3926
@aboubilal3926 2 жыл бұрын
@@mohagurey2214 Kwa hiyo Uwahabi wanamaanisha sunnah?
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 жыл бұрын
@@aboubilal3926 mia kwa mia
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 2 жыл бұрын
Hii dini niya Allah nasio yabinaadam yeyote kwahiyo msilete kejeli nahao panyarodi niwatoto wenu masheikh kama nyie wapenda dunia
@salumdarwesh7322
@salumdarwesh7322 Жыл бұрын
Hata wew waweza kuwa nae hata zaidi ya huyo panya road ,,,, kama unajua kuwa dini ni Ya Allah basi usiseme mambo usiyoyajua unaweza kutupa ushahidi wa hayo unayoyasema hapo au umeamua tu mapenzi yako kuongea hayo kuwa makini
@jamilahamis2462
@jamilahamis2462 2 жыл бұрын
Wanao fnya maulidi ndio kundi la mtume msw wengine makafili Kama mashia
@أبونعيم-م8ر
@أبونعيم-م8ر 2 жыл бұрын
Maneno yako ni hatari sana,hebu tazama unavyo wakufurisha watu wengi pasina hoja,maneno yako yanawalenga pia maswahaba kama vile Abuu Bakr, umar,uthmaan, Ally... Hawa na wengine wengi hawakufanya maulidi hivyo kwa kauli yako hiyo hawa wote ni makafiri! NAKUNASIHI KUYAFUTA MANENO YAKO HARAKA IWEZEKANAVYO KISHA KUTUBU KWA MOLA WAKO.
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 2 жыл бұрын
@@أبونعيم-م8ر Mtume alayhissalam anasema"yoyote anaemuambia Muislam mwenzake ewe kafiri neno hilo linarudi kwa mmoja kati ya wawili hao"ikiwa aliyeitwa kafiri anastahiki kuitwa kafiri litampata neno hilo, kama hastahiki kuitwa kafiri linarudi kwa alietamka. We endelea tu kutuita makafiri mwisho wako utaona.
@hijazhija316
@hijazhija316 2 жыл бұрын
Allah amekusikia..ukiwa uyasemayo sio uhalisia,basi hio kauli itakurudia.
@azamomar9920
@azamomar9920 2 жыл бұрын
@Jamila Hamis Allah akuhifadhi kwani hujui usemayo bali nimihemko ya kiimani bila ya elimu touba ndo jambo muhimu kwako muda huu nakaa ukijua kwamba kila neno unalo ongea japo ni dogo kama punje ya ulezi utaenda kuulizwa na Allah sidhani kama utakuwa tayari kuwaita maswahaba wa mtume muhammad s.a.w nao ni makafiri kwa sababu hawakuhi kukusanyinka kushereheekea siku yake yakuzaliwa yani kufanya maulidi. Allah akusamehe nakuongoze ili uweze kubaini haki na upotevu.
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 2 жыл бұрын
Ww acha bang
@ibniabdalla4817
@ibniabdalla4817 2 жыл бұрын
shekhe mjinga ni wewe mwenyewe..tupe hadidhi au maandiko yanayo sema mtume mohmad kazaliwa mfunguo 6 huo munaosema muna mswalia mtume mohmad sw..hatuogopi kusema maulidi nibidaa na hakika ya bidaa ni motoni...acha kutudanganya hapa lete maandiko yanayo halalisha maulidi
@ibrahimabdallah9505
@ibrahimabdallah9505 2 жыл бұрын
Hivi kuna bidaa ngapi zinafanyika na mnaona halali? Hivi kuna mtu anayejua umuhimu wa quran zaidi ya mtume? Mbona tunafanya musaabaqa wa quran? Wapi mtume au maswahaba walifanya musaabaqa wa quran? Hizi ni ijtihada tu tuwache ushabiki.....
@ibniabdalla4817
@ibniabdalla4817 2 жыл бұрын
tupeni maandiko yanayo halalisha maulidi achakuzukuka zukuuka hapa
@ibrahimabdallah9505
@ibrahimabdallah9505 2 жыл бұрын
Mtume Muhammad ye mwenyewe alijisomea mawlid na maswahaba wakafwata na sisi tukajifunza kutoka kwao..ama unafikiri nani wa kwanza kueleza mazazi ya mtume?
@mohamediabdirashidi1099
@mohamediabdirashidi1099 2 жыл бұрын
Uozo mtupu mtapata tabu sana yaumul qiyama
@abdallahissa2617
@abdallahissa2617 2 жыл бұрын
Toa Andik litakalofany yaumul qyama wajute
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 2 жыл бұрын
Xx huyu amepewa mic yanini ajielewi
@issanasir3583
@issanasir3583 2 жыл бұрын
Huyu mzee huwaga Kama shoga...anajipendekeza Sana kwa mufti mpaka kero
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 Жыл бұрын
Hapana ndugu yangu usimtukane , asije chukua amali yako siku ya qiyamah, muache yeye atukane ila wewe usimtukane, naomba kama utaweza kuifuta hii comment itakua ni bora na umuombe Allaah akusamehe
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 2 жыл бұрын
Wacha kuvuta bangi wewe mwehu!
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 2 жыл бұрын
Bangi anavuta na baba yako mzazi?
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص Жыл бұрын
@@mohamedhamismagoraonlinetv459 babako eti? Hhhhhhhhhhhhh umelaaniwa ukiwa sababu ya kutusiwa babako, kwa kumtukana babake mtu! Haya kamwambie huyo mwehu akusomeshe hadithi hiyo.
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 Жыл бұрын
@@مبغضالبدع-ع9ص wewe ndo unamtukanisha baba yako. Anaonekana hakukupa malezi mema zaidi ya kukufundisha usafihi na mdomo mchafu kama alokuwa nao yeye. Na yeye baba yako amepokea somo hilo la matusi kutoka kwa babu yako. Unawatukanisha wazee wako.
@saeedal-awen2190
@saeedal-awen2190 2 жыл бұрын
hamna elimu nyie wazee.
@zuwenaabdallah4516
@zuwenaabdallah4516 2 жыл бұрын
Kma wazee hawana elimu nyinyi vijana mmeipata wapi 7
@siraajjumaathman2125
@siraajjumaathman2125 2 жыл бұрын
Jamani inategemea mtu anaegemea wapi kwani ukisikia hoja za mfanya maulid na yeye anako egemea na wasiofanya nao wanasehemu wanaegemea kama waislam sidhani Kuna haja ya kutoleana lugha mbovu kama Mtume aliposema dini ni nasaha Sasa km tutamia lugha mbaya na Kali nani atamsikiliza mwenzie? Kuna vingi vimezuka lakini katika njia mbili kama anavyosema imaam shafii kuja bidaa yenye kulaumiwa na bidaa yenye kusifiwa akatoa mfano wa swala ya tarawehe, Mashindano ya Quran, khutba kwa kiswahili na mengi mengi hivyo kila mwenye kulifanya jambo na yeye anapo tegemea Tusikufurishane Bali tunasiahiane
@imamsaleh6231
@imamsaleh6231 2 жыл бұрын
Elimu ni kitu gani? Elimu yako imeisaidia nini jamii ya kiislamu? Kwa elimu ulio nayo inanufaika nayo vipi?
@answaryhussein256
@answaryhussein256 2 жыл бұрын
Nimekuta wote wanaokataa maulid ni wajinga tupu hawana hoja hata moja
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
SHEIKH HAMID JONGO AMPA UKWELI  SHEIKH KABEKE
18:32
RADIO IQRA FM MWANZA
Рет қаралды 2,2 М.
Tazama hiki kipaji cha mtoto akisoma Quran.
7:48
M.Othman
Рет қаралды 7 М.
HATARI YA KUSHEHEREKEA MAULIDI//SHEIKH ZEINUL ABIDIN
9:11
Fauz Production
Рет қаралды 18 М.