SHEIKH MWAIPOPO AWAUMBUA MATAPELI

  Рет қаралды 9,606

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 106
@mrishoyahaya2693
@mrishoyahaya2693 3 жыл бұрын
Mwaipopo asante. Umelifichuwa lakuandaa watoto kisha mnawaita masharifu. Asante sana. Wanasunna aliliona hilo zamani wakalisema. Kwamba Hao watoto ni gemu tuuu. Sasa Leo Nyinyi kwa Nyinyi mwaekana wazi
@babauna3458
@babauna3458 3 жыл бұрын
Allah akulinde ya rabbi, sema kweli manake utapeli umezidi kwenye mitandao, Allah akuhifadhi mwalimu wetu mwaipopo
@skitunahimana192
@skitunahimana192 3 жыл бұрын
Musimutukane Sheikh MWIPOPO siyo mnafiki wala siyo muongo DR mwizi.alicho tufanyiya sisi watu wambali ALLAH amunusuru umauti usije kumkuta hajatulipa hela yetu.
@issabinmaryam7450
@issabinmaryam7450 3 жыл бұрын
Poleni utapeli ni mwingi sasa
@husseinkakanga4082
@husseinkakanga4082 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde
@suhel5209
@suhel5209 3 жыл бұрын
Mungu anisamehe kwa maoni yangu,Daktari sule namtilia shaka sana kwa utenda kazi wake.
@sophiasophia4668
@sophiasophia4668 3 жыл бұрын
Huyu dr sulle ni tapeli kweri?
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Duh! Tumeshafikia huku. Subhanallah
@aliujendo
@aliujendo 3 жыл бұрын
Hapo sawa sheikhe wala co husda wahadhiri tumqofu Allah duniya tuna pita hata kama ukijenga nyumba kwa utapeli huo hauwezi ukasimama tumqofu Allah Allah
@saay4273
@saay4273 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi na akuepushe na madhwalimu
@pacifiquemukanya1009
@pacifiquemukanya1009 3 жыл бұрын
Alllah akulipe sheigh mwaipopo
@delefantasticali8377
@delefantasticali8377 3 жыл бұрын
Mashaallah
@alimkali7329
@alimkali7329 3 жыл бұрын
Mke wangu alikuwa na shida ya dawa fulani. .tukampigia doctor Sule, akasema atatupa dawa tukamtumia elfu 10 za kenya....hatukupata dawa alituhangaisha na kutuhadaa...messages zote ninazo chatting zangu na doctor Sule...ana tuahidi na dawa haleti...sisi na mke wangu tulimuachia Mungu...ila alituudhi sana
@Big_father098
@Big_father098 3 жыл бұрын
Yule dr sule mwizii
@muridimukomwa9315
@muridimukomwa9315 3 жыл бұрын
Masha allah sheikh Mwaipopo mungu akungoze
@saidisalum2051
@saidisalum2051 3 жыл бұрын
DOKTA SURE NI MWIZI WA MDA MREFU SANA KAMA MLIKUA HAMJUI
@sophiasophia4668
@sophiasophia4668 3 жыл бұрын
Tunajua unamanisha dr sulle
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 3 жыл бұрын
Nimekuelewa anaeleweka hata Zanzibar aliyapeli akasema anakipindi Chanel ten hongera umejisafisha
@khalidmohamed454
@khalidmohamed454 3 жыл бұрын
subhallah
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 3 жыл бұрын
Shukran
@vipenziwaallah5814
@vipenziwaallah5814 3 жыл бұрын
KABLA YA KUINGIA KUTAFUTA VIEWS KZbin, ULIMFATA UKAMUONA UKAMWAMBIA AJIREKEBISHE? AU NDIO ULIMPIGIA SIMU HAKUJA UKAINGIA KZbin?
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 3 жыл бұрын
Innallillah wainnailaih rajiun
@khalidmohamed454
@khalidmohamed454 3 жыл бұрын
Wallah ni hatari sana tena sanaaa
@skitunahimana192
@skitunahimana192 3 жыл бұрын
Hakuna chaungo wala unafiki.uyo ni ukweli ni ukweli.sisi uku ulaya tunapigwa nabaridi kwakutafuta rizki yeye anashimama kwenye mimbali aliyo yishimama MTUME wa uma .kwakutuibiya .mimi nilinyamanza najua nimimi mwenyewe kumbe ndo byashara.ALLAH amunusuru
@nkurunzizaabdul-aziz7211
@nkurunzizaabdul-aziz7211 3 жыл бұрын
Pole Sana sasa dawa ulipewa zikakataa kukuponya ima na dawa haukupewa bada ya kuzilipia
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
Mm nasema Sule afanye Toba vingnevyo atapata balaa kubwaaa! sana Mwaipopo ww nakufananisha na Swahaba wa Mtume Sayyinidah Omari
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 3 жыл бұрын
Ujinga wako
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 жыл бұрын
@Mashauri Dautz....wewe mbona unauliza swali la ajabu? Hujui Kiswahili?
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 3 жыл бұрын
Na sasahivi maradhi yamekuwa yakiwaandama watu..naobinaadamu wasio na Imaan hutumia maradhi wenzao kama fimbo..mungu atawalaani wallahy wanakula dhulma.
@ajmalkiango4715
@ajmalkiango4715 3 жыл бұрын
Ebwana wee mtu upo...?
@furahandabadugitse2659
@furahandabadugitse2659 3 жыл бұрын
Zidi kuwachana allah akulinde
@hamimhamis7722
@hamimhamis7722 3 жыл бұрын
asalaam areykum. uko sahihi ktk hilo ila ulipaswa kumufuata kw hekima
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 жыл бұрын
Unajinadi ushahidi upo kwny simu, *Je, wakikuibia hiyo simu? si utakua umepoteza ushahidi?* Au MTU akikuingizia virus kwa njia ya Bluetooth wakaharibu hayo mafail? Ukiwa na ushahidi *uweke kwny e-mail* pia usitaje mahali ulipouweka
@newchanel6154
@newchanel6154 3 жыл бұрын
Hapo kikubwa mgao haujaenda sawa
@makamevuai4475
@makamevuai4475 3 жыл бұрын
Fala wewe
@issaramadhan4015
@issaramadhan4015 3 жыл бұрын
Kweli kaka
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 жыл бұрын
Sheikh Mwaipopo nakuomba uutunze ushahidi ulionao kwa wahadhiri wenzako. Huyo tapeli anaweza kuwalipa vibaka wakuibie simu yako.
@husseinkhalfan9467
@husseinkhalfan9467 3 жыл бұрын
Ila Mimi ningependa hayo Mambo mungeyafanyia uchunguzi na mungemuitwa pembeni mukamuhoji kwanini anafanya hivyo .
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 3 жыл бұрын
Ameitwa hataki, anawatukana wahadhiri, hii ni fupi IPO nyingine imetaja kila kitu you tube itafute
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
ameitwa na viongoz anachımba mkwara sasa watafanya nn!
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 жыл бұрын
Duuh mtihan
@Big_father098
@Big_father098 3 жыл бұрын
Hainaa haja ya uchunguzii sule ni tapeli wa siku nyingi na nimtu wa maslahi siku nyingi
@swalehmgomba100
@swalehmgomba100 3 жыл бұрын
Nae pia ndio Walewale kuna na muda alikua Zanzibar huyo Mwaipop Magogoni nae pia alikua na watapeli wamama anajifanya anasomea watu anatoa majini Mungu hamfichi mnafk sasa nimeanza kuumbuana wenyewe sasa
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
Mmmh
@manafeassamo7216
@manafeassamo7216 3 жыл бұрын
Ata kwetu mozambique ametapeli huyo sule mocimboa dapraia
@mrfashion1687
@mrfashion1687 3 жыл бұрын
Hutaki kumtaja jina wakati ushamtaja katika clip zako za nyuma, kwani doctor sulle mwenyewe mbona halitolei ufafanuzi hili au halioni??? Tunahitaji kauli kutoka upande wa pili
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
WEWE UNASEMA UKWELI BHANA HUYO ANAYETISHIA KWENDA MAHAKAMANI TENA MAHAKAMA ZA KIDUNIA . MUHUNI TU
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
Namfahamu huyo Doctor 😂😂😂😂
@peterremy8013
@peterremy8013 3 жыл бұрын
Napita tu kwa jirani kumbe kumeoza hivyo . Ila nimekuelewA mwaipopo kwa kusema kweli
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 3 жыл бұрын
Huko kwenu ndo kunanuka kabisa wachungaji wanashikana uchawi hata sisi tunafatilia na wanapingana hata Aina za maombi wengine wanatoa Siri kua mafuta Yale mnayokanya Ni ya binadamu so tabia za watu sio ndo dini
@newchanel6154
@newchanel6154 3 жыл бұрын
Ila hapa sio sehem ya kusemea hayo.kama kina sule matapeli hata wewe utakuwa tapel ila umezidiwa umeamua kutoa siri
@skitunahimana192
@skitunahimana192 3 жыл бұрын
Ni ukweli usiyo pingika anaco kizungumza CHEIKH MWAIPOPO.s ema mnafiki ni huyo huyo dr sule anaibiya watu kwakuzingishiya WISLAM .yeye ndo mnafiki tena mnafiki tena mnafiki
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Dokta sulle Huyo
@daudijuma5914
@daudijuma5914 3 жыл бұрын
hahahah
@yaqoobalhinai3805
@yaqoobalhinai3805 3 жыл бұрын
Sule ni tapeli tunamjuwa
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 3 жыл бұрын
Alafu mnamsema na kumtukana mzee yusuph kwa kurudi kwenye taarab kama mambo yenyewe ndiyo haya bado safari ya kutangaza dini kwa mashekh wetu bado sana...bora anaeimba taarab maana anakula jasho lake japo mungu hapendi kuliko anaetapeli jasho la wenzie kwa kimvuli cha ushekhe..shem on them
@Jasiminimansour6689
@Jasiminimansour6689 3 жыл бұрын
Dada kila mwanaadamu nimkosefu mkamilifu ni Mungu tu ndo mana tukaambiwa tukumbushane sisi hatuna ukamilifu,, ukamilifu ni wa Mungu tu,, cha msingi ww ktk maisha yako fuata uislamu tu usimfuate muislamu,, kwasababu muislamu kuna siku huenda atakosea hata kama nishekhe,, kwaiyo usitetee upande wa mzee yussuf, kama kakosea ataambiwa ukweli tu,, na shekhe skikosea nae ataambiwa tu kwaiyo isiwe hoja ya kumtetea mzee yussuf wote hawa ni watu hakuna malaika hapa anaeksea aambiwe
@Jasiminimansour6689
@Jasiminimansour6689 3 жыл бұрын
Kwaiyo usiwatie makosani mashekhe wote,, mana umesema kama hali ndio hii mashekhe wetu kutangaza dini bado Sana hapana, akikosea mmoja hawajakosea wotee,, Mzee Yususuf kama nikupotea kapotea atasemwa na huyu nae kama kakosea kakosea tu, atasemwa vilevile
@husseinmukwambo9001
@husseinmukwambo9001 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 Sheikh mwaipopo nakuombea Allah akuhifadhi na madhwalimu hao shukran kwa kutuamsha usingizini
@issabinmaryam7450
@issabinmaryam7450 3 жыл бұрын
Mzee si aliwaona akaona bora kule kuliko kuibia watu
@newchanel6154
@newchanel6154 3 жыл бұрын
Tukisha jua ukweli tuta msaidiaj huyo shekhe? Vipi ungetumiwa wewe ungefanyaje shekhe?
@maalimjuma10
@maalimjuma10 3 жыл бұрын
Ninyi nyote ni Matapeli tu, siyo Sulle peke yake, na Mashaikh wakiwaonya munaona kuwa wanaleta mgawanyiko na hawataki Umoja..!!!
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 3 жыл бұрын
Tatizo wahaziri wengi hawa maarufu ambao watu wanawapenda ni wapiga dili ika kina qassim mafuta akisema haya wamuona ni mtu wa kugawa
@thedon4221
@thedon4221 3 жыл бұрын
Wahadhir mmejaa husda na unafki 2 akuna ukwel wowote ule unao uwongea shekhe
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
Wew kaa kimia, acha Sheikh Mwaipopo aongee ukweli, huyo Doctor namfahamu kabisa 😂😂😂 matapeli lazima kuaweka wazi
@thedon4221
@thedon4221 3 жыл бұрын
@@joezeno8 huna lolote ww mwenyew mnafiki mkubwa na tumeshafaham ww ndie unae iyendesha hii chanel lazima umtete mnafki mwenzio
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
@@thedon4221 hapana, Masheikh wengi wanakuwa waganga gafla, nina wasiwasi nao
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
@@thedon4221 basata walishawahi kusema hayo kwamba Masheikh wengi wanakuwa matapeli, yaani kila kitu ni dalili ya Majini 😂😂
@thedon4221
@thedon4221 3 жыл бұрын
@@joezeno8 akil zakuambiwa chamganya nazako ww acha uboya
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
DR SULLE SASA BASI AKAMATWA KWA UTAPELI
19:46
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 171 М.
MCHUNGAJI SASA AUMBUKA ABAINIKA KUSILIMU MARA 2 KENYA
35:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 904
WAKRISTO WAINGIA MSIKITINI NA KUWADANGANYA WAISLAMU
33:20
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2 М.
DUNIA IMEISHA SHEIKH KUTANGAZA UCHAWI MSIKITINI
23:29
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 18 М.