Kongamano la kuukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhani na kujadili mmomonyoka wa Maadili, leo March 20 Ukumbi wa Karim Jee Dar Es salaam.
Пікірлер: 60
@maryamhamdan5353 Жыл бұрын
fantastic 💪 Allah akuhifadh na hassad
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Huyu mziwanda ana akili huyu, masha ALLAH!!
@suleimanrodriguez9484 Жыл бұрын
Maashaa Allah ! Shukran shekh nakupenda kwa ajili ya Allah
@abdililahahmed3095 Жыл бұрын
Hii safi sana, moja ya hutuba bora kabisa za Sheikh Mziwanda, hii bomba.
@yusufally2748 Жыл бұрын
Mashaallah Allah tuwekee masheikh wetu tuzidi kupata dawa
@mohammedsigulu57520 күн бұрын
Jazaakallahul khaira jembe!
@abbasmungia266 Жыл бұрын
Sikujua sheikh mziwanda upo vema hivi, Allah akupe mema katika kila unachokifanya Insha Allah
@SayyidAhmadBaalawy Жыл бұрын
Mola akupe umri mrefu na kukupanulia elimu yako na maarifa yako na uongezi wako wa maarifa inshaallah. Kullu aam wa antum bukheir wa Ramadhani kareem
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
Masha Allah, Allah Akbar Sheikh Mziwanda Alhamdulillah.
@salumukimbanga2495 Жыл бұрын
Sheikh Mziwanda ni azina ya Taifa
@alhabibmkama3566 Жыл бұрын
Mashaallah ya sheykhe muharram mziwanda
@ramaaman4020 Жыл бұрын
Shekh unaongea kwa makinisana Allah akuweke inshallah.
@blackjack4241 Жыл бұрын
بارك الله فيك الشيخ المفتي
@hamadsaid22322 ай бұрын
Mashaallah lahaula Wala kuwwata illa billahi
@MbaraqRashid-dz4ni Жыл бұрын
Hii mashine sio mchezo Allah amuhifadhi
@AL-MADRASATSIRAJI Жыл бұрын
Mashallah mungu akulipe kila LA kherii
@sassboy9360 Жыл бұрын
Mash Allah
@ashrafchillah98572 ай бұрын
Mashallah
@khelefomary4486 Жыл бұрын
Sheikh mziwanda ALLAH akubariki nakupenda. Kiboko cha Mashia wakikuona wanatamani wakutafune kisha wakuteme baharini
@khuswayikidaghanya6321 Жыл бұрын
Eti kiboko ya mashia toka lini awe hvyo mnajidanganya utam san
@khelefomary4486 Жыл бұрын
@@khuswayikidaghanya6321 manake aliwambia ukweli yakuwa wanawatukana maswahaba. Na hakuna sheikhe aliyewahi kutoka hadharani akawambia ukweli. Ndio maana nikasema ndie kiboko wa wa Mashia
@sheykhansheykhan Жыл бұрын
Maashaallah ❤❤❤❤❤
@muftiahmadimahmudulemba1918 Жыл бұрын
Maa Shaa Allaahu Vizuri mwalimu
@JumaJuma-sm5cl Жыл бұрын
MAA Shaa Allah 🙏
@nouhamour545 Жыл бұрын
Marshallah Marshallah
@muhammadmassoud3576 Жыл бұрын
Mashaallah
@saidyayoub4795 Жыл бұрын
MashaAllah ❤️❤️
@abdallahsaid8157 Жыл бұрын
MashaAllah!
@hudishehdadi7790 Жыл бұрын
Allah baarik
@user-lt7bh1jv6x7 ай бұрын
Hayo maneno ya mziwanda Niya jinsi ya kuzibiti njaa yake,acheni unafiki,HAo mashee wawili wamikoa nao wanalijua hilomtakuja kuumbuka zaidi e,
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Nime kukbali kitambo siyo leo we nifundi wa qiraani
@alfredrutaguza7506 Жыл бұрын
Mimi ni mkristo lakini huyu jamaa amenikosha sana kama marehemu shk.gorogosi
@maulidinchasi6401 Жыл бұрын
Ma shaa Allah
@habil6545 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Akuongoze zaidi nafsi yako izidi kuipenda kheri na uingie katika kheri kubwa zaidi ya Uislamu 🤲🏽.
@MkwenyaManya-pr8xc Жыл бұрын
❤
@alfredrutaguza7506 Жыл бұрын
Wakristo tujifunze kwa wenzetu kwenye dini yao hawaigizi bali wako siliaz
@mchilangaakomwaninyoyakwe8399 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@hafidhnzota2142Ай бұрын
Asalaam ALEIKUM NDUGU zangu wapiga picha Hao WANAWAKE hapo waliojipamba wamefuata Nini? MBONA hawajavaa vazi letu hijab wamejipamba KWELI NDIVYO Mwenyezi MUNGU alivyotuagiza?
@ramadhanikasebulla52214 ай бұрын
Chuma mziwanda
@HassanAhmed-os6uo Жыл бұрын
Fundi ❤
@husnatanga3161 Жыл бұрын
Bingwaa wa kufundisha!!!
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
احستم
@hassanmaputa Жыл бұрын
Hongela Sana shehe mziwanda mungu akudhidishie heli ,
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Mzuwanda wewe nifundi wallah nakuelewa hasa kwenye hujah
@DrswalehOmarry Жыл бұрын
Fundi mmoja
@zuenahamoud1532 Жыл бұрын
Kama mwijaku
@thabitngangila8562 Жыл бұрын
Kama kabudi!!!!
@jawasmhindi5888 Жыл бұрын
Mwamba
@juma2668 Жыл бұрын
⁰ L0
@rashidimatiwili7585 Жыл бұрын
Maashallah
@bakarimbelwa2398 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie inshaalwah
@hamynas Жыл бұрын
hawa ni wanafiki akiondolewa huyu wa sasa watasema maneno kama haya hawana hata aibu wala haya
@jafarimruke9111 Жыл бұрын
Haya ni maneno ya hekma huwezi sema kua ametolewa mbaya kaletwa mzuri hvo cyo wenye ilimu wameelewa alichozungumza sheikh
@jumaabdallah3258 Жыл бұрын
Allah Akusamehe, Kuwa staha kwa viongozi wa dini
@hamynas Жыл бұрын
@@jafarimruke9111 ni unafiki na kujipendekeza tuu siyo jingine tumewazoea wanakumbatiana ktk masherehe wakitoka hapo vijembe mwanzo mwisho mfano mzuri sheikh abuuid na sheikh alhadi mpaka clips za kukashifiana zikatoka mara ghafla wakaita waandishi wa habari ooh tumemaliza tofauti zetu ha ha ha haa haa
@jamilashabani8580 Жыл бұрын
mbona Una wivu hivyi @hamynas,, Waombee Wenzio kheir na lio sema ni Mmoja umewaunga wote Allah akuongeze katika kheir ila sheikh kasema Kwel Sheikh Walidi anapendwa sna na atazidi kupendwa ma Allah Ndio alifnya awe Hivyo alivyo sio kwa kutaka yy Ila Allah