Mashallah...Allah akufanyie wepesi huko uliko...nasisi atupe mwisho mwema inshaallah
@makamekibao6134 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Nassor Bachu nampenda sana naamin ni sheikh bora wa karne ya 21 nilitamani siku moja nikasome kwake ila niliposikia Amefariki nili huzunika sana lakini bhado ninajifunza kupitia darsa zake hizi alie iweka hii record Allah amlipe insha Allah pia Allah amjaalie sheikh wetu awe miongoni kwa watu wapeponi
@hanifahamis34023 жыл бұрын
Nakupenda Sana kwaajili ya Allah
@asiazuberi97225 жыл бұрын
Mashaallah
@othmanmsigiti17225 жыл бұрын
umu
@khamismussa63084 жыл бұрын
Allah amrehemu sheikh nassor
@mohammedalnabahan.41274 жыл бұрын
Nakupenda sanaaa
@othmanmsigiti17225 жыл бұрын
mashallah
@mohamedhaji22505 жыл бұрын
Asalam aleykum inaweza patikana part 3?
@samirhassanlau14735 жыл бұрын
Kila siku mawaidha yako kwangu ni mageni, na hii ndio swadaqa tul JARIYAAAA, alha akulipe kheyri na afanye kaburi lako liwe Nyumba ya kheyri kwako