Allah akulipee kila khery kwa kuilingania Daawa Ya Ahluu sunna
@AbubakarSadeek-x4s9 ай бұрын
Allahummah Mruzuku jannatul_firdausi nuzula
@nuruali96086 жыл бұрын
Mwenyezmungu amrehemu shekh nassor bachu na mamangu Fatma Ahmed Duwel na Waislam wote walotangulia mbele ya HAQI awatilie nuru ndani ya Maqaburi yao, awasawamehe madhambiyao, awaondolee adhabu za Qabri, awajaalie Maqaburi yao yawe vyumba katika vyumba vya Peponi.. Amiiiin Amiiin YAARABBIL_AALAMIIN.
@abdulramankijongs42696 жыл бұрын
Ameen thumah Ameen in shaa Allah
@jiskerz112 жыл бұрын
MASHAALLAH, MWENYEZI MUNGU AMPE AFYA SHEIKH NASSOR BACHU..
@abusalam70365 жыл бұрын
Allah amjaze nuru kwa sh.wetu nassor bachoo katika kaburi lake
@harunajaphary88196 жыл бұрын
Mungu amjaarie kila la kher shekhe Nasorro Bachu
@khamismussa63085 жыл бұрын
Allah amrehemu sheikh nassor
@jumaabdallah31375 жыл бұрын
Nakupenda sana sheikh bachu kwa ajili ya allah. Allah akurehem. Ameen
@nuruali96086 жыл бұрын
Allah amrehemu nassor bachu
@hilalimazrui99543 жыл бұрын
Manshalla mungu akupe peponjema ya firdaus ameen thuma ameen inshaalla
mwenyezi mungu msamehe makosa yake aliyoyatenda duniani amin
@BakariMwayaga-q2p6 ай бұрын
Allah amrem sheikh uyu mashallah yan yeye ni straight to point
@salimbiaisha6466 Жыл бұрын
Allah akurehemu Sheikh wetu
@Abdull-jb6eg Жыл бұрын
Allah akufunyie wepes huko akhera sheh wangu , inshaallah
@abdulramankijongs42696 жыл бұрын
In shaa Allah Allah s.w.t amrehemu na amsahee mathambi zake zote na amhifatha in shaa Allah
@abdillahijohar8307 Жыл бұрын
Allah amjaze kheir na amfanyie nuru kwenye kabri yake
@abdullaabdulla86183 жыл бұрын
Allah akurehem sheikhe wetu
@fatmah12mohamd465 жыл бұрын
Allah arhamhim wa askinhim fii janah.
@ramadhanrashid43754 жыл бұрын
السلام عليكم مشالله
@tadekoaisha2669 Жыл бұрын
Amin
@swabraty17605 жыл бұрын
Hii ndio ilmu nafia..alifariki lakina bado twaelimika kwa ilmu yake...Allah amfufue pamoja na mtume Muhammad salallah alaihi wasalam
@mohamedsaid214910 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU amlipe kila lililojema sheikh Nassoro
@salumswaleh70583 жыл бұрын
Mwenyenyezimungu amlaze mahali pema
@sirajidossa63695 жыл бұрын
Mungu amrehem
@othmanmsigiti17226 жыл бұрын
mashallah shekhe allah amlehemu
@ziadaally96847 жыл бұрын
mashaallah shekh allah akulipe hapa dunian na akher
@nuramoboy7 жыл бұрын
amlipe duniani wakati kishafariki miaka 4 ilopita?
@kizoyusele59866 жыл бұрын
nakubar sana shehe wangu
@kizoyusele59866 жыл бұрын
nasoro bachu mungu amuweke mahari pema amn
@saadikibinjazaa15115 жыл бұрын
cjaona shekh kama huyu Tanzania nzima.
@jayequalizer_ke111 жыл бұрын
nampenda bachu rahemullah
@HusseinNuru-zd3bf3 ай бұрын
Allah amlipe jannatul firdaus
@aishasadiqi90495 жыл бұрын
please muendelezo wa darasa hii, twaomba mtuletee..
@Truthshallprevail129112 жыл бұрын
Ameen. Myenyezi Mungu amulipe kila la kheri Shehe wetu huyu NAssor Bachu. Wallah Darsa zake zinatisha mashallah, mimi hapa europe zinanifadiya sana Alhamdulillah.
@rajabumhandoallahakupemali50396 жыл бұрын
Allah akulipe malipo makubwa
@alibinismaili23694 жыл бұрын
Alhamdu lillah
@sunnahtv63964 жыл бұрын
Nafurahi kuskia zina tisha naam zinatisha kweli kiasi kwamba najiona nikama bado nimezembea kufanya ibada sasa najitahid sasa kuji jadid kisawasawa kutekeleza alicho tuhusia mzee wetu mtukufu marhum Nasor Bacho ,hio nuru naona anayo yeye ameipata ladha halisi ya imani na akataka kutuonjesha na sisi Alhamdulillah
@mzeemangapi25743 жыл бұрын
Allah amfanyie wepesi insha'Allah
@kkutanzania53863 жыл бұрын
Hakika shekhe nassor ni fundi mzur sana ktk daawah na skuwahi kumuona hapa duniani lakin nimemis sana inshaallah tutakutana pamoja peponi Amin
@zilijumanne Жыл бұрын
Shekhe nasoro bachu
@skjjsj18894 жыл бұрын
Ma sha allah Allah amrehemu
@islamsaid336210 жыл бұрын
Ammin
@nuramoboy12 жыл бұрын
kAPUMZIKE KWA AMANI TUTAKUMISS SANA SHEIKH WETU
@bernardogunnto10416 жыл бұрын
mashaallah
@SaikiAlimwaliwangaMwaljw-ou1px Жыл бұрын
Kifo. Cha. Mtume
@jayequalizer_ke111 жыл бұрын
sauti peke yake ina nguvu flani ya kuweka imani
@hashimmohamed37136 жыл бұрын
Jibril Equalizer amiin
@kadoditsa3805 Жыл бұрын
Sanaa
@sadiqabdullah12944 жыл бұрын
😥😥😥😥😥
@kizoyusele59866 жыл бұрын
anajua
@jayequalizer_ke111 жыл бұрын
wale mashehe wanagombana tu kwa mimbar na kupigana radi,mbona wasimcopy huyu ?
@amanikasanga8793 Жыл бұрын
We v
@abukhanifah23255 жыл бұрын
hatotokea shekhe kama Nasoro Bacho.
@sunnahtv63964 жыл бұрын
@@ayoubabdullahshatu9816 YUPO ALHAMDULILLAH MTIZAME OTHMAN MAALIM AMEIRITHI USTAARABU WA MTUKUFU WETU BACHO ,TENA AMEIRITHI VILE VILE KWA HALI ILE ILE ,KWA HAKIKA OTHMAN MAALIM NDIO AMEIRUDIA MAWAIDHA ZA MZEE WETU KWA UKUMBUSHO NA KUMBUKUMBU ZAKE AL MARHUM NASOR BACHO, SASA TUNAMAKINIKA SANA KWAKE OTHMAN MAALIM UTADHANI KANA KWAMBA MZEE WETU NASOR BACHO YUKO HAI, ALHAMDULILLAH.
@sharifhussen45284 жыл бұрын
Naomba darsa inayoendelea ya mada hii
@sharifhussen45284 жыл бұрын
Naomba darsa inayoendelea ya mada hii In Sha Allah