Napenda mafunzo yako shekh kishk Mungu akuongezee miaka mingi ya elimu
@OmanOman-zc5dt3 жыл бұрын
Masha Allha shuk ran shekhe kishki kwa mawaidha mazuri
@mariamsuleiman4374 жыл бұрын
Mashalla mungu akujahalie mema Kati ya mema uzidi kutuelimisha Na ndoa zetu
@HusseinsalimHusseinsalim6 жыл бұрын
Allah akabar mashallah Allah akujaze kheir baada kheir na jannatul firdaus akuzidishie taqwa yaa rabbi alamin Allah humaa Ameen Kwa sote jamii islam
@halimaisaack70932 жыл бұрын
Asc mashAllah shekh Allah akuzidishea maisha marefu
@ashasalim59674 жыл бұрын
Mashallah Allah mjaze sheikh wetu kila jema nasisi waskilizaji wake
@faridashaban88534 жыл бұрын
Shehee mungu akubaliki sana tufundishe kutenda mema tuwachane namaovu naitwa farida
@muniragambere26805 жыл бұрын
Maa shaa Allah....in shaa Allah nitamuhudumia mume wangu mwenyewe nitakapoolewa....
@ummyhassan55735 жыл бұрын
Amina
@alimakame35294 жыл бұрын
Inshaallah
@leonadahaule94324 жыл бұрын
Mawaiza nimeyakubali
@omadybinumady54275 жыл бұрын
Naam shukran shekhe
@mwanaishahussein26355 жыл бұрын
Ishaallah tuwe na mazingatio kuwahifadhi waume wetu♥️♥️♥️♥️
@HusseinsalimHusseinsalim6 жыл бұрын
Allah atuogoze sote wanawake wa kislam inn Shaa Allah tuwe wenye kusikiza na kuyafanyia kazi
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Amin yarabi
@nurdinsalum46716 жыл бұрын
Maashaallah ishi miaka mingi yenye faida dunia na akhera
@mariamomar34924 жыл бұрын
00 Duwazakuswalia
@barutwanayohussein77766 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah, ahsante sana Sheikh Nurdin Kishki kwa kisa kizuri sana. Na tuache kutesa kabisa wake zetu inshaallah.
@nuiasadiki63426 жыл бұрын
mashaallah mungu atujalie tuwe wake wema kwa waume zetu
@myunaniniahmad64634 жыл бұрын
Shekhe waambie wanakera kwakweli. Yani mpaka futa wanazo jifutia tuna fua, chupi zenye damu tunafua yani hawa ni 2 machi.
@mwanaidisenty40999 жыл бұрын
mashaallah mungu atujaalie tuwe wake wenye subra jazaaka Allahul kheir shekh
@allymamu92195 жыл бұрын
Maashalah 👏 🍓
@bibahrajababdallah17434 жыл бұрын
Mashallah tabarakh'Allah
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Ina lilah waina ilahi rajiu
@aminajuma51614 жыл бұрын
It is the blessings to have you in ummat muhammad swalallah alayh Wa salam
@doctorukia11 жыл бұрын
SubhanAllah kisa cha mwanamke wa Africa aliyedhulumiwa na mume wake mwenye miaka 80 kimeniliza, Mungu amsameh mume wake, awajaaliye wote pepo,atujaalie na sie waume wa kheri na atupe subra kwa ajili yake Mola. That's a very good example to learn from. Shukran sana Sheikh Kishki, Mungu akulipe wema na jannah.
@noordinfats5209 жыл бұрын
doctorukia hata mimi kiliniliza kweli.
@suheilahsharifee6886 жыл бұрын
doctorukia
@jumamahayu60776 жыл бұрын
Subhanaallah walah huruma lakin hata Mimi nimeona mwanamke mmoja ametelekezwa miaka ming Na anakaa Na mwanamke mwingine
@hawaally57696 жыл бұрын
doctorukia Amiin Yaarab
@abdimohammed84935 жыл бұрын
doctorukia .
@anitanahimana21154 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah utonusur wakina mama kwenyo ndoa zetu
@AbdulKarim-eg5gy Жыл бұрын
MA shallah 🎉🎉🎉🎉🎉
@sundusabdi32222 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@husseinjillo50314 жыл бұрын
Mashaalah sheik jazakallau kheyran
@thegirl14056 жыл бұрын
Maashallah shukraan sheikh wetuuu
@zaidaali15025 жыл бұрын
Mashalha alha akuzidishie zaid na zaid
@aishamohamed85764 жыл бұрын
mashaallah mashaallah mashaallah
@mayfamily62339 жыл бұрын
masha Allah thanks for your lecture may Allah give you Jannah
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
Ya kishki Allah akuhifadhi
@koratmohamed95795 жыл бұрын
Mashaallah mungu atubarikiye.
@mamareshadurishadu87575 жыл бұрын
jazakallah khayra!
@rajabunuru41095 жыл бұрын
Mashallah
@habibashabani64267 жыл бұрын
Jazaakumulaah heyra Mungu akuzidishie
@shabah804 жыл бұрын
Mashaallahh
@mbarackseti463911 жыл бұрын
Its amoung the best teachings ever heard
@AminaAmina-kc6yy5 жыл бұрын
مااشا الله بركة الله
@AminaAmina-kc6yy5 жыл бұрын
Maashaallah ALLAH akubaarik
@jedunajeduna18063 жыл бұрын
Mashallha
@onyokoreo79995 жыл бұрын
Mashallah Barakallah feek
@fatmasaid52556 жыл бұрын
Asate sana Allah akulipe
@aminaaminanoor69077 жыл бұрын
manshaAllah jazakaAllah
@maryamoman59266 жыл бұрын
Mashallah mashallah
@zaharaqtpt83616 жыл бұрын
mashallah
@salmajuma40156 жыл бұрын
Hakika wanawake tuna vumilia mengi katika ndoa zetu mwenyezimngu atuzidishie Subra na atudumishe katika ibada
@rahmaikram8925 жыл бұрын
Mashaa allah
@hassanbukukwe60975 жыл бұрын
Mnavtumilia Nini wakati nyie Ndio chanzo cha Ndoa kuvunjika
@saddambarrow63646 жыл бұрын
Maashaa Allah
@bakarimasalu89825 жыл бұрын
Darsa nzuri,Maa shaallah
@zamzamail872311 жыл бұрын
sheikh nurdin maasha allah
@mariambakundukize43587 жыл бұрын
sheikh nurudin maasha Allah nakushukulu kwaiyo mawadha'
@alihassanmohamed26085 жыл бұрын
masha Allh
@maryamoman59266 жыл бұрын
Kweli shekh mashallah
@halimatanzani85876 жыл бұрын
Mashaallah sukrani
@fasitakhalifa22085 жыл бұрын
Naam shekhe uko swahibu mm nipo Omani ya shekh lakin kila shughuli hali ana
@abeid7135 жыл бұрын
Fasita Khalifa naam +255712687745
@mariamahmad82616 жыл бұрын
maa shaa Allah shukrn
@rahmahassan32355 жыл бұрын
Jazaka Allah kheir
@ukhutysalmaah14635 жыл бұрын
Wambie sheikh tena hawa warab waswahili ndo wanatabu sana Hawana huruma kwa mfanyakazi alafu wanamaneno Yale ya kiswahili yaan ukikosea tu utaskia kwenu maskini ndio maana mnakuja kufanya kazi ughaibun ni wavivu jmn
@momalrashdi15584 жыл бұрын
Anzory sana
@nasmaabdul2226 жыл бұрын
jazakallah .maashallah
@fatmatanzania23415 жыл бұрын
asalam alykm
@zamzamail872311 жыл бұрын
its best
@fatmatanzania23415 жыл бұрын
mwalim nakuomba nisaidie niko Omani nafanyakazi zandani napata mengi Sana hapa samahani Lakin nawa sema ila siongopi naweza hata nikiwa nasali nafokewa mwalim naomba unipi ndua yasobr
@ahdahmed83835 жыл бұрын
Maashaallah
@halimatanzani85876 жыл бұрын
Assalaam aleykum mm nipo omani wamenzidi kilakitu mfanyakanz
@حليمهال-غ1ظ5 жыл бұрын
Waghalaikumu salam Warahmatullah wabarakatu. 😀😀😀😀Haya. Tupeane pole
@عليجبار-ن3ي5 жыл бұрын
Ndio mfanyikazi mpaka kutandika kitanda,nguo za ndani zamumewe mfanyikazi aifue
@julihanjosephyjs63614 жыл бұрын
Ataukipika wanakusubiri ukapakuwe tunapata tabu tunavumilia tu umasikini,wanawake waomani awafati dini wanaumiza Sana naminiko omani kilakitu boi.
@maryamoman59266 жыл бұрын
Watoto wasikuizi hawapendi kupika wavivu sana sana
@aishatumbo93696 жыл бұрын
asalm alykum shekhe mm naomba kuuliza je inafaa kisal ukiwa umetia daw ?
@fatmaaly96865 жыл бұрын
Waarabu mpaka chpi zao wanafuliwa tena za hedhi ataweza kumuhudumia muume wakat yeye mwenyewe hawezi kujishuhulikia
@bintykigan62364 жыл бұрын
Lkn wa Oman wengi Wana pika wenyewe wallay bedroom yake pia huingii
@rehemabakali4944 жыл бұрын
@@bintykigan6236 Mmmmh labda kwako my lkn aslimia kubwa waarabu wanachati tu
@rehemabakali4944 жыл бұрын
@@bintykigan6236 Mm nimekaa omani mwanzo miaka 4 madamu wang jikoni haiingi ajulikani kaja mgeni wala mwenyewe sasa hivi nipo nyumba nyengine nayo hvyohvyo tena bora ata wa mwanzo alikuwa chumba chake anafagia mwenye lkn siyo hyu wa sasa
@bintykigan62364 жыл бұрын
@@rehemabakali494 Sawa sijakataa mm nimekaa miaka minane wallay na madam wangu alikua akipika mm nilikua namsaidia km kutaka vitunguu Kisha bedroom yake hakuniruhusu niingie hiyo ndio ilikua sheria yake na nilipo taka Kuja exit nilimleta dadaangu huko mpaka sahi a nafanya kazi.... Hivyo sio waarabu wote wenye Tabia hizo dear
@rehemabakali4944 жыл бұрын
@@bintykigan6236 maashaalllah hyo alikuwa anajielewa my na anajua umuhimu wa mume na haki za mume kwa mke na moyo pia anao my
@jihadijumanne92786 жыл бұрын
Mashaallah
@wazryayubu70786 жыл бұрын
asalllamualakum kishiki
@wazryayubu70786 жыл бұрын
an liminal I mini masalakakunfisako
@ukhutysalmaah14635 жыл бұрын
Hawa Wanawake wa kiarab pepo watazipata vipi kila kazi mfanyakazi ata kutandika kitanda😂😂😂😂😂😂
@maryamoman59265 жыл бұрын
Siwote sisi kilakitu tuna mfanya wenye natuna mfanya nabiyashara siwote wavivu
@عليجبار-ن3ي5 жыл бұрын
Ddngu hawa wamezidi, aaah jamani ma maid wadhalilika uhaibuni
@heyumi23402 жыл бұрын
@@عليجبار-ن3ي wanaweza kutanua miguu wanazaa kma panya kupika hawajui hata kidogo wachafu mpka kwenye chakula kma wakipika wanaroweka ty sio kupika
@fatmatanzania23415 жыл бұрын
maana naumia Sana nasina lakusema natamani hata nije ni some nijue ndin maana lab wako Sawa mm naona Wana kosea ila naomba unisaondie
@wahidawahida66756 жыл бұрын
Omani wanawake zao wanategea sana wafanyakaz ila sio vzuri hawawandai waume zao kila kitu shaghal
@fatmaaly96865 жыл бұрын
Umeona
@rehemabakali4944 жыл бұрын
Omani mume anaenda kazini mke kalala
@heyumi23402 жыл бұрын
@@rehemabakali494 pia wakirudi wanatumwa kma mbwa
@heyumi23402 жыл бұрын
@@fatmaaly9686 Omani hakuna wanawake wanajua kupika na kumuandalia mume mahitaji
@safiasuleiman84725 жыл бұрын
Mnafiki mkubwa
@alhmdulillahgdd31405 жыл бұрын
wew muokope mwenyezi Mungu kwa nini unamwita sheikh mnafikir? ila nisaw ata Mtume kuna watu walimwita msazi mchawi sas sikushangai kumwita sheikh Nurdini kuwa ni mnafiki