Allah akubarik FIL duniya na kesho akhera akupe umbri na afya uzidi kutuelemisha mengi twashukuru xana kwa wasia wako nasi abado atuja olewa Allah akitujaalia tukipata kheri zetu tuyafuata mawaidha haya uliyotupatia tuwe wenye kuyazingatia na kuyatilia manani Alhamdulillah nimefurahi xana kwa naswaa hii 🥺🙏
@mariamramadhan42962 жыл бұрын
Allah akuzidishie taqwa akukutanishe nawachamungu siku yakiama ishallah
@mariamramadhan42962 жыл бұрын
Shukran sana allah atuongoze wote katika kher ishallah