SHEIKH NYUNDO| AWAZUNGUMZIA MADALALI WA MJINI

  Рет қаралды 67,808

JAI ONLINE TV

JAI ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Shehe wetu tulikupenda allah alikupenda zaidi akupe pepo ya milele na sisi mola wetu atupe mwisho mwema amini
@bakaryjuma6135
@bakaryjuma6135 4 жыл бұрын
nkupnd kW ajili ya Allah akusamee dhambi zako ukakae peponi na mtume na mirume wetu amiin
@زهرغنيه
@زهرغنيه 4 жыл бұрын
Tutagukumbuka sheikh wetu allah ugupunuziye adhabu za kabr
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 жыл бұрын
Mashallah shekhe nyundo tunakupenda
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 4 жыл бұрын
Innalillahi waina ilaihi rajuun yaani shekh ulikuwa ni mtu mcheshi sana naona mwengine hatotokea km ucheshi wako allha akulaze pahal pema peponi amin unapopewa kitabu choko ukishike kwa mkono wa kulia
@chabunu3367
@chabunu3367 3 жыл бұрын
Allah akujaliye miongoni mwa watu wapeponi sheikh nyundo
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Subhannallah kweli kabisa maneno yako😭😭😭
@azizauledi4108
@azizauledi4108 4 жыл бұрын
swadakta sheikh wetu Allah akuhufadhi
@YasinKijoji
@YasinKijoji 4 жыл бұрын
nilikupenda sana kwaajili yaallah shekhe wangu
@saadarashid8174
@saadarashid8174 4 жыл бұрын
Innalilah wainnailah rajiuun brother nyundo we will missing you always
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 4 жыл бұрын
Sheikh Hussein Hassan jabu allah akurehemu bi idhinillah FROM NASRI THE BIGGEST BOSS NASRI
@zuberykharoub6868
@zuberykharoub6868 4 жыл бұрын
tutakukumbuka sana sheikh nyundo
@hamisimkimo9599
@hamisimkimo9599 4 жыл бұрын
Allah akupee kauli thabiti
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci 8 ай бұрын
Simba wa Allah ❤️❤️❤️
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 4 жыл бұрын
Innalilahi wainnailaihi rajiun
@nurdiomari6949
@nurdiomari6949 4 жыл бұрын
Yani we mzee mm siamn kama umetuacha jaman tatz nn mzee
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
qul nafsi dhakal tul maut
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 жыл бұрын
Yaani mtihani wallahy watu wema kuondoka mapema peponi makazi yake aameen
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Aaaallah kurehem😭😭😭😢😢
@samratsuleiman2066
@samratsuleiman2066 4 жыл бұрын
Makafiri hawatapata amani labda wasilimu.wawe waislam.enyi makafiri ingieni katika uislam.kuslimu bureee
@mudimaarifa9394
@mudimaarifa9394 4 жыл бұрын
hapa dawaah mpk kiama
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Dawa mpaka kiama
@hassanhassan7763
@hassanhassan7763 4 жыл бұрын
Waislam hiyo nasheed inayoanza hapo kabla video haija play inaitwaje
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Fact kabisa! Sheikh unajitahidi.
@arbaab9337
@arbaab9337 5 жыл бұрын
Naaam swadakta na ni maneno ya wazi na ukweli kabisa--BY ARBAAB...✍
@yasiniselemani2412
@yasiniselemani2412 5 жыл бұрын
Naaam nyundo
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 4 жыл бұрын
Koti lako la leo nimelopenda mie
@designdesign4426
@designdesign4426 4 жыл бұрын
Uyu jamaa anachekesha
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 4 жыл бұрын
Hahahahaaaa pete
@okkanje1321
@okkanje1321 4 жыл бұрын
Okoka kaka utahubiri vizuri
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
aokoke mara ngapi!!!???
@okkanje1321
@okkanje1321 4 жыл бұрын
Good
@okkanje1321
@okkanje1321 4 жыл бұрын
Kwani kaokoka
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
@@okkanje1321 si umemsikia akisme inabidi ujisalmishe mpk mauti yanakufika, na yy yameshamfika
@twaharicco9427
@twaharicco9427 4 жыл бұрын
Aokoke awe kafiri kama wewe?? Ameshaondoka muongofu na mauti yamemfika akiwa kwenye haki.
@masoud.al-maamir9641
@masoud.al-maamir9641 5 жыл бұрын
Powa
@babualawi182
@babualawi182 4 жыл бұрын
Ayomambo yakokweli pasuwa majipu
@YasinKijoji
@YasinKijoji 4 жыл бұрын
nakuombea mwenyezi mungu akupe maafra shekhe we2
@kazijiamohd1113
@kazijiamohd1113 4 жыл бұрын
Allah akupe kauli sabiti akusamehe'makosa yako
@okkanje1321
@okkanje1321 4 жыл бұрын
YB
@latifaally6949
@latifaally6949 4 жыл бұрын
Allah akusamehe makosa yako na akupe nuru ktk kaburi lako (Amiin)
@samratsuleiman2066
@samratsuleiman2066 4 жыл бұрын
Makafiri hawatapata amani labda wasilimu.wawe waislam.enyi makafiri ingieni katika uislam.kuslimu bureee
@samratsuleiman2066
@samratsuleiman2066 4 жыл бұрын
Makafiri hawatapata amani labda wasilimu.wawe waislam.enyi makafiri ingieni katika uislam.kuslimu bureee
Mazoezi ya wanawake 😂 Sheikh Nyundo
2:29
Jiongezee Maarifa
Рет қаралды 1,7 М.
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН
TIBA KATIKA UISLAM (FULL VIDEO)// SHEIKH NYUNDO
42:00
arkas online tv
Рет қаралды 20 М.
SHEIKH NYUNDO -  SISI KILA KITU DARAJA LATATU MPAKA KULA.
18:44
HAJI ONLINE TV.
Рет қаралды 5 М.
KUNA MAKUNGWI KAZIYAO MATUSI TU //SHEIKH NYUNDO
19:13
arkas online tv
Рет қаралды 133 М.
SHEIKH NYUNDO AZUNGUMZIA JUISI YA TENDE YA KISASA
11:03
JAI ONLINE TV
Рет қаралды 159 М.
KIJANA ANAKUNYWA SUPU IMEFANYA VISIWA NA SKUKUU HII// SHEIKH NYUNDO
11:09
TAJIRI ANA VX ANATOA SADAKA BISKUTI MFUKUZENI NAZO// SHEIKH NYUNDO
15:14
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН