Shehe hasan husen nyundo Allah akupe kila la heriii
@hattusilli22254 жыл бұрын
Ahsante Mzee umefikisha uovu na umewaelekeza njia. Alhamdulillah
@biggestnasritv26014 жыл бұрын
Sheikh Hussein Hassan jabu allah akurehemu bi idhinillah FROM NASRI THE BIGGEST BOSS NASRI
@suleimankhamis34065 жыл бұрын
Nakukubali sana shekh nyundo
@abubakaromary83703 жыл бұрын
Maashaallah Allah akujaalie Mahala pema peponii amiin 🤲🤲🤲🤲
@sadakhamis12615 жыл бұрын
Daawa mpaka kiama 🙏🙏🙏🙏
@muhammedyussuf84064 жыл бұрын
Allah akupe kauli thabbit sheikh nyundo
@salmayussuf67115 жыл бұрын
big up nyundo
@salmahamisi40294 жыл бұрын
🙇😢sheikhe ALLAH akufanyie wepesi
@bandakassim83275 жыл бұрын
Mungu akupe kila la heri shehe nyundo
@rajaningonyani68035 жыл бұрын
Banda Kassim n
@abdillahsuleiman26665 жыл бұрын
Hongera sh nyundo
@bihidaya9234 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema pepon
@zainabkhatib65095 жыл бұрын
Asante kaka angu shekh nyundo
@binloufy4545 жыл бұрын
yupo vyema sana sheikh nyundo
@lungusii5 жыл бұрын
Innah lillah wainnah ilayhi ragiuun
@manasekamnde58023 жыл бұрын
Mimi ni mkristo ila huyu sheikh cjawahi kuchoka kumsikiliza Mungu ampe miaka mingi aendelee kufundisha
@maryammct39674 жыл бұрын
Subhannalllah😭😭💔💔😢
@abdullyhakim60615 жыл бұрын
Saiv wazanzibari waislamu wanaolewa na wakristo bila kujielewa,huwa wanabadilisha majina.
@rojalitanda44625 жыл бұрын
Nakubari sana mawaidha ya shekhe nyundo
@ahmedabry35085 жыл бұрын
Sh nyundo unaongea ukweli mtupu, Allah akulipe kheri
@deestarsniper33155 жыл бұрын
ahmed Abry Kweli
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eIG5YaGmpbZ_irM
@hajiabdalla57725 жыл бұрын
Kocha nyundo kweli mjomba .zanzibar imekuwa hatar na serekali dunia ndio yao
@abdullaabdullahmpakanjia23365 жыл бұрын
Nmeangalia comments zote lakini Allah awajalie mwishomwema Zainab Hassan na Abdullkarem Seif
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
asante sana ..ila pia jua moja ya dalili ya kiama ni watu wasio na elimu kuonekana ndio watu mashughuri kuliko wanaofuata minhaji ya salafii na ahlusuna waljamaa ..km ukitaka kuamini ilo sio muda mrefu atakuja tu mwenzake sh nyundo utakuja kuniambia one day...
@abdallaramadhan38504 жыл бұрын
@@abdulkareemseif667 Allah anasema kumbusha kwan hakika ww n mkumbushaji tu..Sasa ww unasema Sheikh Nyundo hana Elimu c sheikh..sawa Hlo hata mwenyewe alilisema lkn yy jukumu lake ni kukanya na kuikumbusha jamii juu ya kumcha Mola na hilo ni jukumu la kila Muislamu haijalishi una elimu au huna..Uharamu wa mambo uko wazi..sasa kwanini asikataze...Tatzo lenu munasoma kwa ajili ya Ushindani na kuwakosowa wale wanokumbusha hususani wale wote walotafauti na Msimamo wa Kisalafy.Aaah Acheni hizo bwana..
@abdulkareemseif6674 жыл бұрын
@@abdallaramadhan3850 mm sie mn mawaidha yasio na akida siyaelewi
@KhamisHaroub-uj5ci7 ай бұрын
Kam huyaelew usiyaskilize tuwache sisi tunoskiliza tuishi nayo sie ujumbe unatufikia vizuri tu
@rashidkassimjuma43205 жыл бұрын
Mashallah kazi nzuri ila kuna ulazima wa kutia sound nahisi mnaondoa ladha
@KhamisHaroub-uj5ci7 ай бұрын
Simba wa Allah ❤️❤️❤️ bado ananguruma
@niasanga23734 жыл бұрын
MashaaAllah
@shauqyknyshauqy21705 жыл бұрын
Unsema kweli shekh nyundo
@الزغويالزغوي-ض3ن4 жыл бұрын
DAH: MWENYEZI MUNGU AKUREHEMU
@suleimankhamis34065 жыл бұрын
Dawa mpaka kiama
@bormabdallah2074 жыл бұрын
ndivyo inavyotakiwa ukweri wa waziwazi kama hivyi mungu akureheu
@omarmhmammed2165 жыл бұрын
Sh.nyundo ww ndio kidume hasa,mana unachokiongea ww mashekh wengi hawayasemi na sijui kwann nasio kuwa hawayaon wanayaona na wanayajua lkn hawayasemi ukiyasema ww nyundo wnakuzodoa et huna mada moja unaporoja tu ukweli mambo machafu yamekithir katika jamii zetu.
@jamillahmussa37754 жыл бұрын
Hayo mawaidha ni kweli,, ndo corona katuchapa wote, waumini na wasio amini,,,,
@jumailyass93085 жыл бұрын
Zainab Hasan hummmm mungu anakuona
@nasabikudifa6704 жыл бұрын
subhanallah jamani huyu sheikh mbona kashalitabiri janga litakalokuja litaangamiza wenye makosa na wasonamakosa Lailallah hailallah mbona (corona) ndo hii inatuangamiza bila kuchagua, ALLAH akupe nuru ktk kaburi lako sheikh Nyundo
@aliyomar22224 жыл бұрын
Amein amein
@Chombezaflava5 жыл бұрын
Huyu ni nyundo maneno yake yanawagonga kwenye mioyo yao ila ushoga ndio umekisiri usheytwani umetawala
@suleimankhamis34065 жыл бұрын
Kwenye dini hakuna matusi sema kweli shekh nyundo anaekupiga huyo itakuwa tabia anayo
Mi ningeshauri kitu kinoja mtu anohisi shehe nyundo hamuelewi basi asiangalie video zake tu na tunomuelewa wacha tuendelee kumsikiliza
@shamimkingazi89255 жыл бұрын
Wasompenda ndo wanaguswa SHEKH yuko vzr nampenda
@binrashid86715 жыл бұрын
Mjinga hawezi kumjua msomi kwa sababu yeye hajawahi kua msomi...
@habibasharifubatashi69185 жыл бұрын
Khamis Rubea .NYUNDO NI SHEIKH KTK MASHEIKH WANAOJUA KUWASILISHA MADA ZINAZO IHARIBU JAMII ALF WATU WANAOGOPA KUYAELEZEA MAASI HAYO...NYUNDO ELEZEA SHEIKH WATU WAACHE MAASI ,WANAOKUPINGA WANAGUSWA MNO
@omarsaid20384 жыл бұрын
Asompenda c muislamu Wa kweli
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eIG5YaGmpbZ_irM
@khalidbalala77535 жыл бұрын
Abdul Kareem seif na zainab Hassan dini ya kiisilam si kumkashif mtu pindi anaeleza jambo la mungu
@hatimmohamed42995 жыл бұрын
Waambie japo hawapendi
@biramsakh92125 жыл бұрын
Shekh nyundo uko sawa
@amirathuman58365 жыл бұрын
Bi Ramsakh a
@muhammadahmedaliyyu38545 жыл бұрын
Inna Lillahi WA inna ilayhi raji'uni
@shabanalphonice65714 жыл бұрын
Mashaallah
@abdallamohd9231 Жыл бұрын
Mimi naskitika Sana Kwa kuondokewa na kiungo Alie akiwapa mafunzo wanawake
@sadakhamis12615 жыл бұрын
Unachokiongea nikweli.. Sadakta wale wanaokupinga ndio watendaji wa hayo. Daaaawa mpaka kiama😂😂😂😂
@salumdariyai14134 жыл бұрын
Sada Khamis niwwe huyo
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eIG5YaGmpbZ_irM
@khamismohammed25825 жыл бұрын
hawa wanaompinga nyundo wengi wao ni wasenge na wasagaji waliokua hawapend kuwambiwa ukweli.. angalieni na comment zao tu
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
kwa mawazo yako sio mawazo ya dini na pia wewe ni dhahiri kwamba huna ht chembe ya dini unachokijua
@khamismohammed25825 жыл бұрын
@@abdulkareemseif667 haya haya bhna ktk karne hii ww ndio unajua dini peke yako na muislam peke yako umeshushiwa kwenu kitandan kwa hiyo nenda tu pepon. sie tulokua hatujui dini tupo tu apa muarab ushatengenezewa pepo yako. tusalimie tu
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
@@khamismohammed2582 mhh ok ..ukikua utaelewa ninamanisha nn
serikali ipige marufuku saluni zinazo changanyika wanaume na wanawake hususan zanzibar hizi itikadi ilikuwa hamna zimeletwa na wabongo
@fatmamzuzuri80675 жыл бұрын
Shekh hongera CNAA ALLAH sw akupe AFYA njema wakumbushe waume wanaokimbilia kuoa 2*3*4 harafu huduma zilo lingeni
@زهرغنيه4 жыл бұрын
Tutagukukumbuka sheikh
@kalelaonlinetv5 жыл бұрын
nakuelewaga sana babu
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
dini ya wazanzibar ni ushabiki tu na sio kusoma
@saidkhalidsaid5 жыл бұрын
Usiseme kauli Kama hyo, wanna, wazanzibar wapo wasomi, tena wasomi wakubwa sema.Lkn baadhi ya Waislamu WA sasa wanna mfano WA mirengo yaani yametiya alyoyasema Al marhoom sheikh Ilunga Hassan kapungu Allah amrehemu. Mfumo Kristo ndo shida, soma Sana ila usiigawe elimu kwa utaifa huo n ujinga.
@saidkhalidsaid5 жыл бұрын
Wazanzibar wala watanganyika Hawana dini,dini ni ya Allah mtukufu.
@burughanmangi90795 жыл бұрын
Ww abdulkareem seif hiyo sio maneno yakuongeya dharauu sio mzur wazanzibar wapo vizul sana kuliko hta huko kwenu hamnaa
@rukiabaybe85945 жыл бұрын
Ni baadh xana
@sisterkeiwaukweli86345 жыл бұрын
Ndio nyundo gonga
@khalidbalala77535 жыл бұрын
Na style anayo ongea ndio style ya kila mtu ako nazo...mawaidha yanatolewa kulingana na mazingira ya watu
@issambwana68405 жыл бұрын
Subuhanawa
@JAIONLINETV5 жыл бұрын
FATILIA KIPINDI CHA DARSA ZETU KUPITIA JAI ONLINE TV KUPATA DARSA KUTOKA KWA MASHEIKH MBALI MBALI HAPA TZ KARIBUNI SANA JAI ONLINE TV
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Kumbe almaruhum sheikh alitabiri corona!!!
@suleimankhamis34065 жыл бұрын
Husomi maana mtu ukisoma unatakiwa ile elimu uloipata uitoe sasa ww umesoma kisha unanyamaza ndio umesoma NYUNDO TOA DAWA GONGA GONGA GONGA ALLAH AKUPE UMRI MREFU
@is-hakayussuf99815 жыл бұрын
Safi san kijan tumuomba Allah utuepushie kila baya na atujalie kila zur Inn Sha Allah
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
sio jambo by ila ijue akida yako nini unatakiwa ufanye na nini usifanye ilo ndio jambo la umuhimu sio kufuata mashehe ..dini usimkabizi sheike mbona pesa huwapi masheigh
@mohamedjuma37484 жыл бұрын
Tuna gonga nyundo Hadi mwisho was msumari Kama humpendi nyundo ni wewe2
@biramsakh92125 жыл бұрын
Serikali ipige marufuku uvaaji vbaya na manywele wanaume vjana. Waeke sheria kali isaidie kulea mana mitt haisikii wazee tena.
@manyotaskipper57655 жыл бұрын
Bi Ramsakh serikali imeshinda kumdhibiti KIRINGO MTU MMOJA ITAWEZA KUWADHIBITI HAO WALIO WENGI
@biramsakh92125 жыл бұрын
@@manyotaskipper5765 ah wallah mtihani tu Allah atusaidie waja wake lkn hee hatar
@hdh4385 жыл бұрын
Bi Ramsakh ww unaongelea serikali ya SAUDIA AU??? Mna km ya hapa ilo suala la kudhibitiwa na dini kupewa kipaumbele tusahau hadi qiama kitasimama
@hajiabdalla57724 жыл бұрын
Mjomba nyundo kama ulitabir kama kutakuja azabu .ndio hii corona
@musafirindikumana26514 жыл бұрын
Sheikh usijali maneno ya watu zidi Ku tuilimisha
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Pamoja na kuhutubu kama komedy, lakini ukweli ujumbe unafika!!!
@nasabikudifa6704 жыл бұрын
lahaullah walaquwata ilabillah ahaaaa alikuwa akikemea maovu hasa hanasa za kuendeana kinyume na maumbile akasema itakuja adhabu kwa sote huko kukaa kimya jamani mnaona maneno yake huyu sheikh ile kuondoka tu dunia athabu ikatushukia Tanzania mara tu baada ya mazishi yake ALLAHU AKBAR
@fakihkhatib80664 жыл бұрын
Yaa allah nani atachukua nafasi yasheikh wetu huyu?
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
dini si timu ZA mpira
@husseinkonz51925 жыл бұрын
Nyundo wagonge wanaokukejeli tunawasiwasi nao
@batashqiraa99364 жыл бұрын
Sasa mbona mnaweka mawaidha na muziki yaani unasikiliza mawaidha na muziki kwa pamoja jee huo ndio utratibu unakubalika ktk dini???
@nasranassor23335 жыл бұрын
Hahahahaaa mbavu zanguuuu
@shamimhayat76375 жыл бұрын
Sheikh wa vichekesho tu
@ustrama86115 жыл бұрын
Yamekugusa na ndio maaana
@foryoucreatorsinstitute82125 жыл бұрын
Pole utajuta wweee
@zubeirjuma18564 жыл бұрын
We shoga
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
sheigh kasome kwanza .aya ZA quran hazirembewi ivo
@anwarally11065 жыл бұрын
Acha ufala uo wewe
@idrissajumakona58715 жыл бұрын
Ww je ushasoma??
@issamohammed24585 жыл бұрын
waliosoma hawayasemi hujifungia ndani na vitabu vyake, Lakini nyundo ujumbe kaufikisha weye uliesoma umemfikishia nani tupe youtube moja tukusikie. Songa mbele Amiri wetu "GONGA NYUNDO" mpaka watoboke utosi.
@abdulhamidhaji50565 жыл бұрын
Wee umesema hujasoma kisha unamkosoa msomi!?? C ujinga ulioopitiza huo !!!
@omaralyan96585 жыл бұрын
Mueleweni bro seif , sijui kama mumetia akilini hiyo lafdhi ya quran anavosoma, haina mjadala ana vuruga vuruga aya
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
badala ya kusoma munakaa tu kwenye mitandao muskie nani kasema km uislam umeshushwa kwenye mitandao ....
@shehakombo61864 жыл бұрын
...
@faizasaid82625 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@salehkhamis93595 жыл бұрын
sheikh nyundo vp mbona siku hizi unatoa mawaidha katka miti na maholi msikitini umesusiwa kutoa mawaidha
@habibasharifubatashi69185 жыл бұрын
Saleh Khamis ..nyie mnaoegemezwa kwenye ukuta hatawapata msiktn inabidi awafuate kuwapa madhara ya kushikishwa ukuta
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
Ndo wale wale tu nyundo Othman maalim mzee wa maulidi ndio wale wale tu
@habibasharifubatashi69185 жыл бұрын
Abdulkareem Seif ....maulid yana thawabu kuliko LIWAT..UMEGUSWA,,,ACHAA NI HATAR KWA AFYA YAKO
@zuheorsalim77595 жыл бұрын
Nani anaweza kuamini km nyundo hajuwi kusoma qurani?
@habibasharifubatashi69185 жыл бұрын
zuheor salim ....Wewe ni shoga umeguswa acha ushoga
@zuheorsalim77595 жыл бұрын
@@habibasharifubatashi6918 hivi wewe ni muislam kweli anasema mtume ktk hdith sahihi ameipokea imamu bukhr kwa njia ya abu huruira ليس المؤمن بفاحش اللسان ولا بذى القول... Kwa kweli allah awarehemu mashekh zetu hawajtufundisha matusi nj hoja kwa hoja na km mtu hajuw bs tunasem hajuw......
@habibasharifubatashi69184 жыл бұрын
zuheor salim ..acha kupotosha watu kwa kutumia hadithi moja, soma sana utaelewa unakosea wapi na si kukariri hadithi moja
@zuheorsalim77594 жыл бұрын
@@habibasharifubatashi6918 Kwa kumtetea comedy nyundo inaonyesha tosha km wewe ni mjinga sana hata alifu huijuw halaf ni kinara cha juuuu kwa matusi khusuusan wewe ni mwanamke na ni bingwa wa matusi namna hiiii basi hayo mengine inaonyesha unayajua zaid allah uongoze umma muhamd kwani hawafahamu watendalo
@habibasharifubatashi69184 жыл бұрын
zuheor salim ...Sidhan kwamba wewe ni muislam kabs na hata maneno yako yanaonyesha huna uislam na wewe ni upande wa pili
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
mm siwezi kuongea mana sina ht elimu ila km nikiwa nayo siwezi kuongea km yeye. ivi amiri wako huyu anatoa mawaidha au anaropoka tu mara makwapa Mara mavuzi ya kwapa ivi iyi dini ndo ilivotaka ivi ...usimkabizi dini yako amiri kasome kwanza mbona pesa humpi
@hamzakombo23475 жыл бұрын
Hahahha inaonekana anakugusa
@zubeirkhamisabdallah96275 жыл бұрын
Aliye bora ni yule amchae Mungu naukimnyooshea kidole kimoja mwenzio vyote vinakurudia ww
@omaralyan96585 жыл бұрын
Huyu hta hujui umuelewe vp na gumzo, vichekesho, au mawaidha, tofaut kabsaa na sheikh othman maalim, huyu husikii hta hadith na aya
@islamkarata96554 жыл бұрын
Nyundo yupo sahihi kuliko maelezo yake maana anaenda sawa na sisi ambao hatujui hata alifu....na tunamuelewa vizurii sana ingekuwa shekh mwingine hapo dakika ya kwanza ya pili hadithi huu ni wakati wa kukemea sio wakati wa aya na hadithi maana vijana wengi sisi tunaelewa kiswahili sio quran....respect nyundo🤗🤗
Mhh hukunielewa lbd .mm nilimaanisha wazanzibar walio wengi wanarizika tu kuitwa waislam au zanzibar kuna waislam wengi hawaendi kusoma dini wanaisubiria kwenye maredio tu basi na porojo ZA watu wa bidaa
@ibrahimaziz71585 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhh nanga calipso
@mohammedseif48745 жыл бұрын
Ukweli mtupu anaongea
@oyay28214 жыл бұрын
Mitoto ya kiume yanaiga tuu
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
Kwani yake ni jitihada kivipi
@simbarajabu41575 жыл бұрын
Na ww ulivyovaa kilemba
@habibasharifubatashi69185 жыл бұрын
Simba Rajabu .. kaka wewe shooga...umeguswaaa
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
ni muislam na nampenda yeye ila anachoongea hakina bwenti mn anasema tu
@iromaillamusajuma6275 жыл бұрын
Huna point wewe unae pinga ukwelii
@hamzakombo23475 жыл бұрын
Huyu abdulkareem seif ni mwehu nilijaribu kufatilia coment zake