Sheikh Ponda Ahoji Namna ya Kero za Muungano Zinavyoshughulikiwa 'Tanganyika Haipo'

  Рет қаралды 11,842

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

#ijuesheria
Amesema hayo Sheikh Ponda kwenye Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025 ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania tarehe 9 Mei 2024.

Пікірлер: 81
@ignacekiwale7281
@ignacekiwale7281 4 ай бұрын
Nakubaliana sana na Sheikh Ponda...Maadili ni Muhimu katika jamii pia uadilifu
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 4 ай бұрын
Hongera sana sh ponda Allah akuhifadhi Kwa busara zako na kueleza ukweli mbele ya viongozi majeuri
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 4 ай бұрын
Ni kweli ni majeuri kupindukia ajabu!!!!
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 3 ай бұрын
اللهم آمين يارب
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 4 ай бұрын
Umenena bila uchawa, napenda kiongozi wa dini anaejiamini kana sheikh Ponda ... Namkubali Sana sheikh Ponda.
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 3 ай бұрын
Shekh ponda ni msemakweli ❤ lazima Tanganyika irudi uasilia wake 😢 Zanzibar pia iwe na mamlaka yake ❤ikisha ibakie hichi kijifungu kidogo cha watu wa Tanzania hapo haki ndio itapatika
@ignacekiwale7281
@ignacekiwale7281 4 ай бұрын
Maadili,Uadilifu Sheikh Ponda nampongeza sana Kwa uelewa wake kuhusiana pia na swala la MUUNGANO...Viongozi wengine wajifunze kwake kama mfano wa kuiga....Yeye ana msimamo usioyumba lakini pia Ni MKWELI,asiyeogopa kusema!
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 4 ай бұрын
🎉 KWELI KABISA HUWA MI NA MUELEWA SANA
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 4 ай бұрын
Ukweli utakuweka huru duniani mpaka kesho akhera,hongera shekh Ponda
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c 3 ай бұрын
Shekhe ponda uko sahihi kwa mazungmzo yko, mungu ukujalie uwe hvyo hvyo
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 4 ай бұрын
Huyu jamaa ni genias sana,MUUNGANO sio mbaya WABAYA watu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 ай бұрын
Hata Katiba yetu ni nzuri sana na ni vigumu kupata kama hii shida ni MAADILI na UADILIFU. Matokeo ni KUTOKUTEKELEZWA na KUHESHIMIWA, Hivyo hata tukipata mpya nj bure. Ahsante Sheikh Ponda.
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 4 ай бұрын
Siyo kweli, hii katiba tuliyonayo ina matobo ambayo inabidi yazibwe.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 ай бұрын
@@edsonkahesi8603 Katiba yetu ipo kwa Sura na Ibara, hebu lete mfano onesha sura au ibara ipi yenye mapungufu halafu useme iwe vipi. 95% ya wanaoilalamikia Katiba iliyopo hawaoneshi tatizo lipo wapi na marekebisho yake ni yepi na ukiwaangalia vizuri utagundua kuwa shida yao ni ama kutokutekelezwa au kuheshimiwa Katiba mambo ambayo msingi wake ni ukosefu wa uadilifu na uaminifu. Mfano Ibara ya 74 (Tume ya Uchaguzi) iko vizuri sana na naamini hatutopata nzuri zaidi yake LAKINI dhahiri wanaipendelea CCM lakini hilo ni la kwao hawajatakiwa na hiyo ibara kufanya hivyo.
@YusufuMagembe
@YusufuMagembe 3 ай бұрын
Allah akulinde shekh ponda
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 3 ай бұрын
Salute Sheikh Ponda
@mgungulem3187
@mgungulem3187 4 ай бұрын
Short and clear 💪🏽
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 4 ай бұрын
Nice speech
@willygwaikana
@willygwaikana 3 ай бұрын
Ukweli huu wote bado hauna matunda maana inategemea uadirifu wa watoa maamuzi. Uadirifu unakosa nafasi kwa sababu watoa maamuzi fikra zao kubwa ni vyeo, heshima na maslahi ambapo kwa hayo hupinga kila ukweli na haki ikiwa tu vitashusha utukufu wao. Hii yote ni kukosa uadirifu. Sheikh Ponda nakukubali sana kwa nyanja hii ya ukweli kuhusu mstakabari wa ustawi wetu wa kweli. Ukiona kiongozi anazungumzia dini, basi ujue bado anaitumia dini kulinda maslahi yake. Ukweli kiongozi wa kweli hukubali ukweli na haki bila kujali faida au hasara. Uadirifu kamwe hauji kwa PHD, bali kwa uchaji Mungu wa kweli katika kule kuambatana na Mungu asemavyo kwenye vitabu. Leo wanawake ni watawala juu ya wanaume, hakuna Biblia au Kurani inayoamuru hivyo. Mavazi ya uchi mitaani na sasa hata maofisini, Biblia haisemi hivyo wala Kurani isipokuwa mungu wazungu ndiye anaetuambia hayo. Na wazungu zamani hawakuwa hivyo, sasa wamepotoka vya kutosha na ndio maana wanahamasisha ushoga duniani kiasi kwamba wako tayari kunyima misaada wasiokubali. Haki batili za wanawake na watoto ni miungu wazungu. Mambolea angamizi, pombe, vipodozi, chanjo, madawa, na vyakula vya kisasa kinyume na asili ni matakwa ya wazungu ili kukengeusha ufahamu wetu. Wazungu wanakumbatiwa kwa sababu kuna matakwa ya nafsi yanayopingana na yale aagizayo Mungu. Na vibaya zaidi hata hao hao viongozi wa dini wakiingizwa kwenye serikali yaani bunge au uwaziri, bado watakuwa ni wale wenye kumsifia rais au serikali huku wakikosoa kiuhafifu kwa unafiki kiasi kwamba sheria za dini zinazopingana na watawala kamwe hazitawekwa wazi. Labda tu viongozi hao wa dini wasiteuliwe na wana siasa na ambao watasema ukweli kwa kulingana na nukuu za kwenye vitabu vya dini. Leo ni rahisi sana kupuuza miongozo ya Mungu kuliko kupuuza miongozo ya wazungu. Miongozo ya Biblia na Kurani imeachwa na waumini wa dini hizo baada ya kusikia miongozo ya wazungu. Basi hao watazidi kutuongoza kukiuka zaidi maagizo mengine ya Mungu maana ndio miungu yetu ya kutumainia. Leo tunashuhudia kutimizwa kwa ukengeufu wa siku za mwisho, giza kuu kufunika kabila za watu duniani. Ila jambo la hakika, kupotoka kwetu haya kutazidi kuambatana na majanga duniani yanayoitwa kwa kisingizio cha uongo kuwa eti ni mabadiliko ya tabia ya nchi wakati ukweli ni mabadiliko ya tabia za wanadamu wa leo kuasi sheria za Mungu ndipo dunia inatiwa laana kwa majanga - Isaya 24:1-20. Yesu alikuja ili kwa kumfuata yeye tuwe na uzima kisha tuwe nao tele. Adui kazi yake ni kutuiba kwa njia ya kutudanganya ili atuharibu na kutuchinja - Yoh 10:10
@ebenezermushi957
@ebenezermushi957 4 ай бұрын
Sheih hongera .
@bobaiddi9599
@bobaiddi9599 3 ай бұрын
Maashaalla
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 4 ай бұрын
Mungu akuweke na kukuhifadh sheikh wa taifa
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 3 ай бұрын
Mijitu ya CCM hayamtaki Sheikh Ponda waliwatuma Polisi wao kumpiga Risasi ili wamue kule Morogoro mjini kutokana na ukweli anaouamini.
@ebitariho9720
@ebitariho9720 3 ай бұрын
Mzee ponda Mungu amjarie maisha marefu.
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 3 ай бұрын
Naam Sheikh sema kwel
@user-rg1wy6ft5l
@user-rg1wy6ft5l 4 ай бұрын
Yaani kaongea kweli shegh kuhusu uhuru wa Zanzibar
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 3 ай бұрын
Sheikh PONDA Uko vizuri mno Unafaa mno kuwa mlezi
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 3 ай бұрын
Asante shekh ponda
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 2 ай бұрын
Wame uwa watu wengi sana ao ccm Imefika mwisho wao. Wanatu danganya huku tunajua Ama hawa hawana Aibu wala adabu.
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 4 ай бұрын
Sheikh umejitahidi sana kuongea kwa hekima, unajua nazishangaaga sana mahakama za Tanzania na serikali ya ccm kusema watu wanahukumiwa kwa kukosa maadili kwa kukiuka sheria fulani wakati wao ndo vinara wakukiuka katiba wakiwa wa kwanza, maana siasa za chama chao ni kufuta historia ya Tanganyika isijulikane ilipata uhuru lini wanabaki kubwabwaja eti uhuru wa Tanzania bara mpaka siku moja rais akawakumbusha msisahau iliyopata uhuru ilikuwa Tanganyika ila bado wanajitia upofu, ukiwa ccm hata kama una elimu kubwa kiasi gani ni lazima uwe mpotoshaji ndo utaonekana mtu wa maana..
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd 3 ай бұрын
Allah akubarik 💯 uwo ndio ukweli
@pira7439
@pira7439 4 ай бұрын
watu wanakosowa lkn wahusika wametia pamba masikioni kwa tamaa zao .
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 ай бұрын
Mimi nasema ni mpenda Mungu. Nakiwa na hofu ya Mungu lazima uwe msema kweli. Lakini unafiki unafiki kweli ni kitu cha ajabu. Kwa nini kuwe na Zanzibar ina Inchi yao, raisi, na vitu vyao lakini kufuta Tanganyika. Sasa Tanganyika iliungana na Tanganyika Tanzania? Yaani wanapenda kusema yale yanayo wapendeza. CCM wanapenda sana uongo ili agenda yao izidi kuwa kuwadanganya watu. Asante sana kiongozi Ponda. CCM wanapenda sana unafiki mkubwa wanainchi tukilalamika tunaambiwa sisi siyo wazalendo. Siyo kuuwa watu tu bali wizi wa kura na kulazima mtu anatakiwa na viongozi wa CCM lazima ati waingize hata kwa goal la mkono na ndiyo hao wanatuambia watanganyika tuwashughulikie watu kwa sababu wametoa hoja. Hata ukienda Inchi nyingine hapa kwetu ulaghai mpaka unafundishwa watoto na wanainchi mpaka ulaghi umekuwa ukweli. Ripoti ya CAG haishughulikii lakini wakisimama bungeni waziri anatulaghai ati hakuna wizi.
@walterngowi5835
@walterngowi5835 3 ай бұрын
Hawa ni viongoz wa din wasiokua wanafiki heko sheikh Ponda Issa Ponda
@AbuuMuhsin
@AbuuMuhsin 3 ай бұрын
Huyu ndio sheikh wangu ninaemkubali ktk misimamo hakika haogopi mtu wala hayumbi mara zote ni chuma...... Ushauri wangu kwako sheikh wangu kipenzi hawa watu walishataka kukuuwa, hivyo punguza ukaribu naoo yawezekana unavutwa ujisahau watakumaliza haoo hawapendi unavyowakosoa kila mara
@reginamwendwa6709
@reginamwendwa6709 3 ай бұрын
Big brain
@JacksonMahende-ho2wb
@JacksonMahende-ho2wb 4 ай бұрын
Safi shehe
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 4 ай бұрын
Huyu Sheikh ni great think
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 3 ай бұрын
Kwa hili ponda uko sawa
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 3 ай бұрын
Unamfanya mtoto wa kitanzania aonekane mpumbavu mjinga akiwa mbele ya vijana wenzake duniani eti znz ilimpingua mwarabu kumbe uongo hata mimi na miaka yangu mingi najua hivyo kumbe serikali harari ndo ilipinduliwa
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
Zanzibar nyie ni watumwa wetu kaeni mtulie Kama mnataka haki yenu nivyema nchi mzima mngeandamana kwa fujo
@fredymwasenga6603
@fredymwasenga6603 4 ай бұрын
Kabudi, mbonna humkanushi shekh ponda, umeufyata eee!!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 ай бұрын
Kwenye kongamano hakuna kukanushiana hoja bora itajionesha yenyewe.
@thelalas9204
@thelalas9204 4 ай бұрын
mkanushe wewe nchi pia inakuhusu
@salama1113
@salama1113 4 ай бұрын
Katiyaviongozi wadini sio chawa ni hiyu
@user-pf2qk8fz9o
@user-pf2qk8fz9o 4 ай бұрын
Niko upande wako shehe 😊
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 4 ай бұрын
Kukukumbusha tu inatakiwa iwepo Tanganyika na Zanzibar..
@syedksa7184
@syedksa7184 4 ай бұрын
Ponda upo sahihi
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s 3 ай бұрын
waaambie Mzee ponds ccm siwaadilofu hata kidogo
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 ай бұрын
Uhuru wa Zanzibar hata hiyo Historia ina inaelezwa wazi kuwa kulikuwa na uhuru wa bandia hakuna shida kama kuna wengine wakiona ndio sahihi sawa.
@hassanmakame
@hassanmakame 4 ай бұрын
Inawezekana upo sawa...muhimu ni kuelewa alichosema Sheikh...kwamba ukosefu wa maadili na uadilifu umezaa watawala waongo wasiosema ukweli...ukweli hapo ni hiyo historia kufichwa...imefichwa kwa maslahi ya nani...? Akaendelea kutoa mifano mingine ya majizi huko serikalini ambayo hayachukuliwi hatua, yote ni kwa sababu ya kukosekana uadilifu.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 ай бұрын
@@hassanmakame Kama tatizo limeshaonekana tunalitatua je. Kwa sababu kama umma hauna uadilifu na uwaminifu sio viongozi tu inawezekana mimi na wewe na yule ni majizi zaidi tumekosa tu nafasi.
@user-rl6vf9tg8m
@user-rl6vf9tg8m 3 ай бұрын
Kichwa akiri nyingi hicho
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
👊👍✌️.
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 3 ай бұрын
Shekher ponda ninakukubali sana hua unaongea poiti sana ktk mambo ya msingi yanayohusu nchi yetu
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 3 ай бұрын
Shehe ni Muadilifu,hataki uchawa wala sio mnafiki
@user-eg3mh1gk5l
@user-eg3mh1gk5l 3 ай бұрын
Kwani shekh pond umesomea wapi mbona unaakili nyingi sana
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 3 ай бұрын
Sheikh ponda we ni kichwa nimeamini
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 4 ай бұрын
Kumbe Tanzania 🇹🇿 inawakimbizi, Wako Somalia 🇸🇴 😮😮
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 4 ай бұрын
Munawapigia mbuzi gitaa , na bahati mbaya hao mbuzi wapo kwenye shamba la mihogo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 4 ай бұрын
PONDA WAPO DE WAPONDEKE MAPONDWA HAYOOO VICHWA MCHUNWA!
@user-kg8dn6qr8o
@user-kg8dn6qr8o 4 ай бұрын
Ubalikiwe mzee wa busala ukiona mtu anabeza busala ya huyu mzee au bas
@AffectionateMoonLanding-hl3cu
@AffectionateMoonLanding-hl3cu 3 ай бұрын
Baba wewe ni hazina
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 4 ай бұрын
Huyu naye ni mpuhuzi wa akili
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 4 ай бұрын
Kakosea nini hapo mpaka unamtukana huyu Mzee nawakati anaongea ukweli au kimekuuma nini yeye kuongea hivi?
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 4 ай бұрын
Wewe ndo mpuhuzi namba moja
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 ай бұрын
​@@georgekimasaofficial1629Ndio shida ya social media, tumechanganyika mno ki level. Kwenye Kongamano lolote mawazo ya kila mtu yaheshimiwe.
@thelalas9204
@thelalas9204 4 ай бұрын
usitukane mawazo ya mtu,toa mchango bora kuliko wake, nina imani ungepewa kipaza sauti usingeyasema hayo unachukua advantage ya media kujificha huko.usiwe maskini wa kufikiri jenga hoja.Na wala usiupe nafasi ulimwengu ukujue kuwa wewe ni fyatu kiasi gani
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 4 ай бұрын
Mpuuzi ni wewe nyagau
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd 3 ай бұрын
Allah akubarik 💯 uwo ndio ukweli
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd 3 ай бұрын
Allah akubarik 💯 uwo ndio ukweli
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd 3 ай бұрын
Allah akubarik 💯 uwo ndio ukweli
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd 3 ай бұрын
Allah akubarik 💯 uwo ndio ukweli
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 15 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Millard Ayo
Рет қаралды 736 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН